UKWELI WOTE: KILICHOMPONZA 'KIBOKO YA WACHAWI' HADI SERIKALI IKAFUNGIA KANISA LAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @MaryNzioka-jt5fw
    @MaryNzioka-jt5fw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Haya ni mapito na yatapita. Mtumishi Mungu azidi na kukutia nguvu.Hata Yesu aliyapitia na aliyashinda

    • @lilyg2134
      @lilyg2134 4 หลายเดือนก่อน +1

      fala kweli wewe

  • @SadockChessa
    @SadockChessa 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika Mungu amejibu maombi yangu na wenzangu ya juu ya mtu kumainiwa na kuabudiwa badala ya Mungu muumbaji watu au washirika nimazezeta wa kiroho kiboko huyo asema wauumini wake ni wadangaji wanapata pesa kwa kudanga nao wasema amee

  • @MaryNzioka-jt5fw
    @MaryNzioka-jt5fw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Mungu aendelee na kukutia nguvu haya ni mapito tu.Mungu hutetea watu wake.

  • @JaneRobert-ev6tk
    @JaneRobert-ev6tk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wachawi Mungu alishaanza kuwtandika viboko kmbuken mkono was Mungu cio mfupi kama mnavyodha kitainuka kiboko kingine mtapigwa tu Kwa jina la Yesu

    • @ashapearubart2624
      @ashapearubart2624 4 หลายเดือนก่อน

      @@JaneRobert-ev6tk 🇨🇩Congo hakuna washawi?

  • @SadockChessa
    @SadockChessa 4 หลายเดือนก่อน +9

    Serikali kwa Mungu amewaafumbua macho si huyo tu wote wanaotumia mafuta ,chmvi,maji ya upako nk nimatapeli wanatumia mazingaombwe kuwapumbaza ili wajipatiea kipato chunguzeni usajili na katiba zao kisha wachukuliwe hatua za kisheria wakate laseni uganga wa kienyeji watchable kuchafuaimani ya kikristo

    • @PaulMwakyusa-vz7ee
      @PaulMwakyusa-vz7ee 4 หลายเดือนก่อน

      wwboyaaaa😒

    • @YohanaCharles-ry1kh
      @YohanaCharles-ry1kh 4 หลายเดือนก่อน

      Akili hauna msenge wewe sijui mganga wewe mchawi

    • @Mrhouseplan
      @Mrhouseplan 4 หลายเดือนก่อน

      Wew hata hujitambui wew kasome biblia vizur maana Yesu mwenyewe alitumia matope kumponya mtu na mitume walitumia mafuta kuwaponya walipooza .
      Yaani kuna watu vipofu na wenye chuki na wew umo

    • @mtumishidebora-tt4pq
      @mtumishidebora-tt4pq 4 หลายเดือนก่อน

      Hata mlango wakanisa hujue uko wapi una commet nn dhambi unazo mpaka simamia la kwako hapa duniani hakuna mwenye haki ni moja tu ww una waza waatumishi wanatumia chumvi na maji hy ni kazi ya MUNGU kama ndo hvy na waganga majumba yao yafungiawiwe na misikiti pia yote na makanisa yote yote ni imani na ndo maana huwezi ingilia imani ya mtu

    • @mwessamkala8051
      @mwessamkala8051 4 หลายเดือนก่อน

      Yule mtumishi aliye kuwa na ukoma akaambiwa aende yordani akachovye mara saba au yale maji yalikuwa mkojo wa mama yako hata hao viongozi wenu wanakili mafuta yalitumika ila kwa kuwa wachungaji wenu hawana maono wako kimwili ndio maana makanisa yenu hayana matokeo ukienda mgonjwa unarudi vilevile

  • @VeronicaFedrick
    @VeronicaFedrick 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kiboko ya wachawi nakuombea Mungu akupe maisha marefu uzidi kuwauwa hawo wachawi haijalishi watu wanakuponda vip Tena hao wanakuponda ndo wachawi wenyewe wenyehao y

  • @Tikijmlengo
    @Tikijmlengo 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo masikini haponi hapo ndo tujue yalio tabiriwa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VanessaFadhil
    @VanessaFadhil 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu msenge 😅😂

  • @roselynmkata3993
    @roselynmkata3993 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nilishangaa mtanzania yupi uyo congo kwanza ni wachawi wakubwa njaa imewajaa kumbafu zao😢

  • @spitfiremusicproducer9623
    @spitfiremusicproducer9623 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nilienda laki tano kachukua na hakuna chochote alichosaidia huyo mbwa tapeli sana

    • @EliaMhile
      @EliaMhile 3 หลายเดือนก่อน

      Pole

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂eti kiboko yao duh😢 akha no comment

  • @SadockChessa
    @SadockChessa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Na bado shetani atzidi kuletea manabii zaidi huyo machado 7:15,21.

  • @AnastaziaSebastian
    @AnastaziaSebastian 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi hawa watu wanaojiita manabii si jui mapastor kwakweli siku hizi wameongezeka saaana mungu atuepushe na matapeli

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hao wafuasi wake wanao andamana piga viboko kabsa

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ila wa congo wanashibia Tanzania 😅😅😂😂 kwakweli noma

  • @GodwinBuberwa
    @GodwinBuberwa 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani wapi wengi wapigaji serikali ngamua macho kwa kweli ni shida tabu tu

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 4 หลายเดือนก่อน

    Tapeli nyau uyuuuuuuuuuu😅😅😅😂😂😂

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wana jua wabongo wana penda uwongo. Na kuamini. dio maana wachungaji wa mchongo wako wengi.

  • @benernest5125
    @benernest5125 4 หลายเดือนก่อน

    IKAFUNGIA KANISA AU IKAFUNGIA KIBANDA!??
    TUONGEE UKWELI JAMANI! SERIKALI HAIKUFUNGIA KANISA BALI IMEFUNGIA KIBANDA CHA SHOGA MPUUZI!!

  • @AfroMedic
    @AfroMedic 4 หลายเดือนก่อน

    Kajichibua 😂 njaa mbaya, wanawake tapeli, wanaume tapeli

  • @SadockChessa
    @SadockChessa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Anasema yeye Anataka pesa tu, wauumini hawashituki je ni upumbafux100

  • @footystatx
    @footystatx 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni hatari 😢

  • @JosephNyamhanga-g3j
    @JosephNyamhanga-g3j 3 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa mpigaji

  • @hezronmlwale7416
    @hezronmlwale7416 4 หลายเดือนก่อน

    Fungieni wote wanaotumia mafuta ya upako, maji, chumvi, soda, vitambaa na takataka zote zinazotumika huko. Hawa hawafai kwenye jamii yetu.

    • @AngelMazola
      @AngelMazola 4 หลายเดือนก่อน

      Na ulahaniwe wew unaetaka maji namafuta yaupako yafungiwe tena ulahaniwe mara100 kasome biblia sio unaropoka tu mtandaon

  • @MarthaLungwa-sr4er
    @MarthaLungwa-sr4er 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo ukimwona mtu muuwe hyo uongo sasa wanauwa wa chawi kimaombi yao na kama ni mchawi ila sasa kuwa anashinikiza watu kuuws mmmh

  • @KitsaHope
    @KitsaHope 4 หลายเดือนก่อน

    Weye umekulicha wa ngapi wa congo

  • @MwajumaRamadhani-r6b
    @MwajumaRamadhani-r6b 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani wengi wameshapigwa na wachungaji

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ni chama

  • @SelemaniKoo
    @SelemaniKoo 4 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh lakini si kwahiyal

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona hata mwamposa ni hivyo hivyo

    • @benernest5125
      @benernest5125 4 หลายเดือนก่อน

      WOTE WAPUUZI TU! SHAURI YAO WANAOWAENDEA!!

  • @princessloveness-j3q
    @princessloveness-j3q 4 หลายเดือนก่อน

    yaan ww kaa uko uko kwenu tuu haaa

  • @emanuelyntamila9141
    @emanuelyntamila9141 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mh kaz tunayo ila bibilia ilishawekawaz sasa yanatimia

    • @joycemeela8595
      @joycemeela8595 4 หลายเดือนก่อน

      Mchawi kufa na afe maana hata Biblia imeandika mwanamke mchawi afe maana wengine ni wachawi kweli

  • @JaneRobert-ev6tk
    @JaneRobert-ev6tk 4 หลายเดือนก่อน

    Kiboko ya wachawi huko endelea kuwa.ombea watu wako waliokuwa na iman na wewe bwana hufanya njia rohoni waafrika niwa nafiki walikua wanapanda ndege.mpaka naigeria kwa galama kubwa na walikuwa wanrud namagojwa yao kiboko kawaponya watu wangap hapa nakuwasaidia wangapi mmeng ' ngania ohh laki.tano.laki tano kwa waganga je mnendaga bule

    • @JaneRobert-ev6tk
      @JaneRobert-ev6tk 4 หลายเดือนก่อน

      Nina Iman na mtumishi wa Mungu endelea kutuombea watu ulio pea na Mungu wako hayo ni mapito tu na Yana ushindi ktk jina la yesu

    • @zabibusaidi1404
      @zabibusaidi1404 4 หลายเดือนก่อน

      Nyie wootw washirika wa waganga na mmeliwa cn yenu du yawenzenu midomo juuuuuu

    • @mtumishidebora-tt4pq
      @mtumishidebora-tt4pq 4 หลายเดือนก่อน

      Hapo sasaa kwani amewalazimisha mtoe si mumetoa wenyewe heheehe huko kwa waganga hamuoni mnavyopeleka hela hatari sana tukianza mambo ya imani basi imani zote zote za dini na za waganga zote wote hawana hawana haki maana ni imani

  • @juliusjamanda7313
    @juliusjamanda7313 4 หลายเดือนก่อน

    Mwamposa pia yuko njiani

  • @charlesjuma154
    @charlesjuma154 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo alishawahi kunitapeli tena huyo notapeli kabisa

  • @Nivocavitymalle
    @Nivocavitymalle 4 หลายเดือนก่อน

    Domo kubwa kama bakuli

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu arudi kwao, kuna watu wanachajiwa mpaka dola 2000

  • @peterchande957
    @peterchande957 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna masia siyo kweli, kuhusu kutoa hela siyo kweliila wasaidizi wake ndo went shida lkn yeye huduma yake bure kabisa, hata kwa Mwamposa alipakaziwa kama hivyo lkn huduma ni but kabisa

    • @MomG-d6o
      @MomG-d6o 4 หลายเดือนก่อน

      Kuna watu wamekili kutoa pesa ili kuombewa

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 หลายเดือนก่อน

    Acheni ubaguzi akiwa raia wa kongo ndio sio nabii? Tuambie alicho chonganisha?acheni umbea na roho mbaya madhabahu zote zinasadaka,kwa mganga unatoa zaidi ya laki tano,na usimuache mchawi aishi ndivyo neno la Mungu linavyosema

    • @claudiangowi9628
      @claudiangowi9628 4 หลายเดือนก่อน

      Hatutaki manabii matapeli wakongo mnataka pesa nyambafu

    • @sabinaboas6760
      @sabinaboas6760 4 หลายเดือนก่อน

      @@claudiangowi9628 kaumbe dunia yako isiyo na manabii,wacha kuwa farisayo na sadukayo

    • @claudiangowi9628
      @claudiangowi9628 4 หลายเดือนก่อน

      @@sabinaboas6760 habari ndo hiyo kuma kibuyu

    • @floramussafloramussa3246
      @floramussafloramussa3246 4 หลายเดือนก่อน

      shida yako uelewi

    • @sabinaboas6760
      @sabinaboas6760 4 หลายเดือนก่อน

      @@floramussafloramussa3246 wewe ndio uelewi,acha kuwa farisayo na sadukayo,kasome biblia vizuri uelewe chuki roho mbaya aijengi,ukweli utabakia kuwa ukweli na uongo utabakia kuwa uongo tuu

  • @VanessaFadhil
    @VanessaFadhil 3 หลายเดือนก่อน

    Mpumbavu mwenyewe taper wewe

  • @VanessaFadhil
    @VanessaFadhil 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu msenge 😅😂