VIDEO ya JOSHUA AKIUAWA NA HAMAS KWA RISASI, FAMILIA YAKE YAFUNGUKA WALIVYOPAMBANA KUMNUSURU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- VIDEO ya JOSHUA AKIUAWA NA HAMAS KWA KUPIGWA RISASI, FAMILIA YAKE YAFUNGUKA WALIVYOPAMBANA KUMNUSURU
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Poleni sana pia tumeumia Sana watanzania.
INNA lILAHI WAINNA ILAYHI RAJ'UN allah amhifadhi
Poleni sana ndugu zetu inauma inauma sana! Mwenyezimungu awe faraja yenu awape subra! Innalilah wainnalilah rajiuun!
Dah Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema.Lugha gongana imesababisha kifo cha dogo mTZ.
Kweli kama familia mlifanya kazi ya ziada
Poleni Sana,Hao watahukumiwa na Mungu wasipotubu
Sasa Waziri anatoa taarifa kupitia twitter bila kutaarifu familia kwanza
😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌tumbo la uzazi limeuma jaman, Mungu wangu
Poleni Sana familia yote Mungu awape faraja itokayo kwake, Hakika Mungu alierarua ndie atakaeshona.
Poleni sana familia na Mungu awatie nguvu jamanii,,wezetu wa marekani washafanikiwa sana ktk hili wakishajua tu nchi fulani kuna shida,chapu wanaanza kuwaondoa raia wake mapema,,sisi sasa mmmh!!
Mungu ampe pumziko jema 🙏
Poleni sana wana familia. Inauma sana kwakweli
Daaaah Inauma Sana An Mungu Ndo Anajua
Nashindwa kabisa kuendelea kuangalia! Mungu ampumzishe kwa amani
Poleni Sana wana family ya mollel
SERIKALI YENYEWE SASA. HATA TAMKO TU😢 Poleni Sana Familia
Inaumiza sanaa jmn dah😢😢😢😢😢kukatisha ndoto za watoto wa watu wazazi wameangaika kusomesha watoto halafu inaishia maumivu😢😢😢
sasa alikwenda kufanya nini siku hizi za vita serekali wawarudishe vijana walobaki wapo wengi huko
@@sabihaibrahim143walipelekwa na serikali kwa ajili ya masomo ya kilimo
Kama Kuna ubalozi wa wapalestina uondolewe au manaa
@@AverinaShirati sio tatizo ondoa tu
@@AverinaShiratiuna uhakika ndugu yetu ameiawa na HAMAS kwa nini wasiwe Israel ndiyo waliofanya HIVYO na kurikodi ili kupata huruma za dunia wakati dunia inawashutumu wao Israeli kwa Kuwaua na kuwanyanyasa wapalestina
Hii mwanamke imeshindwa kabisa kuokoa maisha ya uyu mtz inchi inaongozwa kikike tu
Nineumia Saba .Polebi Familia,Poleni nsugu
Poleni sana familia ya Mollel
Nimeumia sana 😭😭😭😭
Poleni sana wanafiamilia
Poleni sana nimeumie sana jamani basi mwili wa kijana upatikane tu mungu
Poleni saaana ndugu na jamaaaaani. 😢
Swali walienda wanafunzi wangapi? Wengine vp wapo wapi?????
Mungu amlze pema peponi tanzania akionekana mwarabu katashingo wanatunyanyasa sana jamani
Sku zote izo mwili utapatkanaje😢😢😢😢
Poleni Familia, Mungu Awatie Nguvu ktk kipindi Hiki Kigumu Mnacho Pitia, Tumbo la uzazi linaniuma, jamani😭.
Kuna uzembe umefanyika mpaka kijana wetu Joshua amepoteza maisha. Poleni sana familia you did your best. Mungu wa mbinguni awe mfariji mkuu katika kipindi hiki kigumu😢 RIP Joshua
Uyo mayahudi wamemuua ndiio maana wanagaramia mpaka safari
Poleni sana Joshuas family
Aoo wamemuua wenyewe ilikutengeneza kiki ,lakini hamas wanahaki ya kupambania nchi yao
Daah 😭😭😭poleni sana wanafamilia mungu awatie nguvu
😂 ohoooh ohoooh ?, Poleni sana ndugu zangu familia ya joshua 😭 lakini pia kumbukeni ya kwamba smells mpaka siku ile bwana atakapokuja kuwaamsha wote walio lala ktk kiristo 🙏
Poleni sana familia ya Mollel. Watanzania wapenda amani tumeumizwa sana na tukio hili. Apumzike kwa amani kijana Joshua😢
Tunapenda amani lakini tamaa ya kujiunga na wazayuni ktk kuangamiza palestina imemponza
Familia poleni sana. Huzuni kubwa
Poleni sana wafiwa.
Viongozi wa serikali watatue sintofahamu kuhusu mwili wa mtoto Joshua. Ninawaomba jamani embu vaeni viatu vya wazazi na ndugu zake jamani. Inauma sana sana sana.
Waziri mwenyewe ni yusuph makamba hovyo kabisa. Labda angekuwa Kabund jitihada zingefanyika😢😢
Imeniuma sana,jamani watoto Wetu wameuawa bila hatia😂
Ila hizi imoj hazina adabu 😅😢
WATANZANIA TUNAMTAKA NDUGU YETU.
Poleni sana ndugu inauma mnoo😭😭😭
I have watched the video of the killing of that young man, I am very saddened. Rest in peace young man😢😢😢😢
Ilike
Siwezi kufikiria maumivu ya mama yake akiiona hiyo video ya mwanae akiuwawa kikatili 😭😭😭
Kati ya Mayahudi na Hamas Nani anauwa watu kikatili.
@@saliminyusuph6122 Una utindio wa ubongo au??
Umeona nimetaja Hamas ama Wayahudi hapo??
Au unaleta mihemko tuu
Poleni sana
Poleni sana familia 😭😭
Kwahiyo hata mwili haujaonekana kwa siku zote hizo😢😢😢
Polen Sana Ila tujifunzekuchukuavtahazar jaman hivivitu sio vyakawaida tunapoteza nguvukaz
Hamas wachapwe mpaka wakome,,,,
Kabisa wachapwetu
Na Mayahudi nao walaaniwe. Wanaua watoto wachanga na Wagonjwa mahospitalini. Mbona amuoni Hilo .
@@saliminyusuph6122 watoto wa wahamas niwaibilisi Wacha wachapwetu uzao waibilisi hautakiwi
Ndungu zangu watanzania wenzangu mm tzn nipo nje ya nchi mabalozi wetu awana mpango awana msada n mtanzania uku
Israel au?
Poleni familia, hawa vijana wote wawili wameuawa wakiwa katika kutaka kutimiza ndoto zao.
Celemence Felix Mtenga 22yrs yenye mwili uliletwa.
Joshua mollel 21yrs. mwili haujapatikana.
Ni huzuni kubwa sana.
Ni m
Dah Pumzika kwa amani Joshua 😭
Looh joshua kipenzi umepelekwa israel kwa mafunzo ili ukauawe ??inauma saana pumzika mtoto wetu
Sasa kama hawajui mwili ulipo hiyo DNA mlitaka mkaifanyie wapi
R.I.P joshua 😢😢
Lakini wale sio jeshi la hamas jeshi la hamas hawaonyeshi sura zao angalieni vizuri hizo picha wale ni wa Israil tu.
Kwani wewe ni hamas au?
Tatizo la Tanzania ni serikali yenu haina uchungu na raia wake km ilivyo kwa mataifa mengine
Na zile picha wamevaa sare za wanajeshi wa IDF zinauhusiano gani? Embu tuambieni ukweli
Ubalozi wa Palestina ubanwe ufuatilie kilichotokea.Kama vipi wakitoe hapa nchini.Where is our value bwana 😡😡😡
Watz mna ujinga flani hivi, go watch the video again, check lile eneo la tukio, wapita njia walikua wametulia wanapita na yao. Waisraeli wameuwa ndugu yenu lkn chuki na ujinga wenu ndio mnashikilia eti kauliwa na khkhamas. Hamas waweke mwili wa mtz ili iwe nini sasa na wauweke wapi when bwana wenu israel kavunja hospital zote.
😢😢😢
Hakika watu hawa walioimwaga damu hii isikua na hatia, watatoa esabu. Kwa kua Adamu inazunguka zunguka ikilia lia juu ya vichwa vyao 😭
Nahao mashoga wakiyaudi wanaouwa watoto tena vichanga mpaka sasa nizaidi ya watu elfu ishiri hao wako sawa sio hao ndio kuni za jahannamu mayaudi
R.I.P poleni sana wafiwa
R I P. J😢
Ningekua nauwpezo ningeenda kuwauwa wote walio toa uhai wa mtanzania wetu walaaniwe na mungu
Mayahudi ndo wenye laana ona wanawaua Wagonjwa mahospitalini. Hadi watoto wachanga.
Kauliwa na settlers yule km, go watch the video kwa kutumia akili. Waisraeli wanaongea kiarabu pia.
Inaumiza sana:( poleni sana familia !
Acheni uzushi, tumieni akili.
Poleni sana jamani msiende Israeli linalopashwa kufanya toba 😭😭
Wa kwetu wanawaza uchaguzi tu mwakani hawana utu bana. RIP young bro
Acheni ujinga nyinyi yaani ovyooo eti ameuliwa na Hamas...mlithibishaje nyinyi tukio hilo? Akili zenu ni mavi sana....propaganda za wazayuni zitawajingisha sana.
😭😭😭😭😭😭
Vita sasa vinamulikia vijana wa Tanzania sasa ?
😂
Waarabu ni makatili mno, walijua ni mwafrka lakini walijifanya Hawa muoni kama mwafrka.
Walio muua ni Israeli sio hamas
@@AbuuKajembe-yy8djkuwa akili wewe acha ujinga kwenye majanga
Sasa awe na Akili VP Kwan kasema yy hana akili hapo
@@derrickmbaku4768 kama ni hamas Israel iyo video wameitoa wap
@@AbuuKajembe-yy8djvideo nyingi za hamas zilipatikana baada ya wanajeshi wa hamasi walikuwa wakirekopi kufa wakiwa na kamera zao...
😭😭😭😭😭
Tumepoteza wataalam wetu , israel na ukraine.R I P
Waziri badala ya wasiliana na familia wewe unatuma kwenye mtandao wako
Hivi haya magaidi yakoje
Rip ndugu yetu.
Si kweli Hamasi wa zuie mwili?? Ndio mjuwe israil waongo hawana mwili watagharamia vipi kama hawana mwili? Na ukipatikana ushaharibika kabisaa! Poleni saana kwa machungu haya, ila israil waongo. Kwanza hawa wapendi wa Africa.
Hawa waafrika wamerogwa na "taifa teule", wanawaabudu waisrael na kwao hawana kosa hata wauwe waarabu wote wataona ni sawa tu. Wameuwa mpk watoto ktk incubators na waafrika wengi wanafurahia just because wanachukia waarabu na waislamu.
Watakuwa wamepeleka mwili kwa medical school kwa kujifunzia wanafunzi wao huko.... wanatuona waafrika kama mapanya.. au wameogopa utakuwa ushahidi wauaji kushtakiwa
Waliomuuwa sio kundi la Hamas kwnza ao Hamas hawaonekani kirahisi Hilo kundi ni la Israel apo ni kujenga chuki baina ya Tanzania na Palestine naomba uchunguzi ufanyike kw wazi ili kubainisha
Kwenye video ni kama walikuwa wana muuliza je wewe ni mtu wa alshabab? Elezea tujue, wewe unatokea wapi kwanini uko huku, sema hakuwaelewa. Na mwingine alikuwa akihimiza msimuue huenda ni mtu wa alshabab. Poleni sana wanafamilia
Ukiangalia vzr utajua km ile video haikurekodiwa siku ya October 7, kulikua hakuna fujo na waisraeli walikua wanapita bila kuogopa kukamatwa na hao mnaosema ni hamas
@@salma0000 hapana kinachoonesha imerekodiwa siku ya tarehe 7 October, ni silaha nzito walizonazo hao Hamas, huoni wana bunduki nzito, na pia wanamtishia kwa kisu? Hamas ni kundi la kigaidi.
@@edwinalexander1170 yaani Hamas waingie Israel wakamuuwe mtanzania tu wasiuwe adui zao waisraeli waliokua wanapita kama wapo kariakoo, hawana hata silaha. Mambo ya Palestine hayakuanza October 7, fuatilieni siasa za mashariki ya kati acheni ujinga wa kiafrika huo. Israil ni kundi la magaidi ya kizungu linalokalia ktk ardhi za waarabu kimabavu ndio maana hata dna ni marufuku Israel
@@edwinalexander1170 educate yourself, mnatutia aibu waafrika mnaounga mkono genocide mbwa nyie kisa mmeambiwa ni taifa teule.
@@salma0000 Nani anaunga mkono mauaji? Kuna kikundi chochote cha kigaidi cha kikristo duniani? Vyote si vya kiislam? Hapo mtanzania aisiyekuwa na hatia ameuawa na wanamgambo wa kiislam wa Hamas. Bado mnatetea dini kwa kuuwa watu? Nani sasa ni mbwa?
Hamuwajui wa Israel nyie kwa Fitna 😢😢
Hakika...Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa mpendwa na mtanzania mwenzetu Joshua aliuawa na Hamas hiyo 7th Oct, 2023 au siku nyingine yeyote ile. Kwa Mungu tumetoka na kwake tutarejea, Jina Lake Lihimidiwe.
Wewe ndio tunakujua
Balozi wa palestina Tanzania angetakiwa awe summoned aulizwe na serikali inakuwaje mtanzania anauawa na kundi la Hamas, kwani hajatoa hata masikitiko yake kwa watanzania juu ya hayo mauaji.
Ubalozi wa Hamas una ffaida gan
Mabalozi wanakula mshahala wabule awana msahada tunaona ukienda kwa balozi wewe mtanzania ana mpango nawewe ndivyo ilivyo
😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌
Sasa wanamuua wanarekodi ili iwasaidie nini? halafu wanajua yeye siyo Muisrael ni Mtanzania, kwa kweli hiyo ni dhambi sana damu isiyo na hatia kabisa. R. I. P Joshua.
kuna siri serekali haisemi kweli
Hii ni hao waisraili ndio waliotenda .hainiigii kwenye kichwa kua ni wapalestina wamuue halafu wajirikodi na kurusha kwa waisraili
Israel wameipata wap iyo video
Una uhakika gani km wale ni wapalestina waliofanya vile, ukiambiwa jiambie, go watch the clip again bila ya chuki za udini may be utaelewa, kumbuka km waisrael wanaongea arabic na english pia
raisi wa wabunge duniani nimtanzania nausicho kijua sauti za wabunge duniani zinanguvu sana kuliko chochokile hio ndio sababu ya dr tulia aliwasiri kule Israel nahawa wame tengeneza video hii natukio hili namsara kuwabebesha hamasi ili kutujengea chuki tanzania na Palestine
Nashangaa kuona mtu anaiombea palestina wakat yy n mweus watu ambao Ata awamjui kama Leo ndugu yetu kauliwa na hao hao mnaosema wanapgania haki tujitanbue waafrika so kla ktu Cha kushabikia
Uwashangai pia wanaoiombea israel
😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema nenda Joshua
😂😂😂😂😂
Wamemuua wenyewe waisrael
Hapana mm ninahiyo vodeo
@@giftibariki829 video ya nani
Mbona anaonekana mdogo kwenye ile video
Mm ninazo zote mbili alizopingwa risasi kauwawa km tembo mtoto wawatu mdogo uyu mungu atawalaani
@@giftibariki829please naziomba
😢😢😢😢
😢😢😢😢
Si mlisema mwili umekuja na umezikwa na Bahasha la pesa mkapewa sasa huyu ni nani tena
Huyo alikuwa mwenzake,walitekwa wawili
Huyo ni mwingine. Ni mmasai wa Arusha. Wa kwanza alizikwa Kilimanjaro.
Kila mtu alitekwa kivyake hawakutekwa kwa pamoja
Yule aliyeletwa alikuwa mtu wa Moshi sio joshua
Serikali ya bongo ilikaa kimya muda wote
Hamas wachapwe mpaka wakome,,,,
Wala sio Hamas hao ni Waizrael angalia vzr
@@AishaTarimokabisa ila wanasingizia hamas
Bado ujasema
Sasa bado hajasema nan mie au weye
Ni kweli wng
😢😢😢😢