Just love watching ur interviews Dada much love from Nairobi Kenya ❤️❤️❤️ To Chidi Benz our all time Hip hop Legend in East Africa....much love n Big Up Bro👍👍👍
Oy chid nakubar kitambo nandomaana ata mwanangu nikampa jina la Rashid yani chid benzi Rashid abdalla noma xana salute father kizazi chetu uyu jamaa ndo alituwasha
Chid unaweza sana, lakini pia chid kuna kitu ambacho nimekipenda sana kutoka kwako, wewe ni mwepesi wa kubadilika, wasanii wengi wa zamani hawakuweza kudumu hadi leo ni kwasababu hawakukubali kubadilika kuendana na game ya sasa, moyo wangu ulikuwa ukiumia sana chid benz kuona unapotea kwenye game lakini nashukuru sana chid bado unajituma hata mimi nakuombea sana kwa mungu uweze kurudisha heshima yako, tafakari kitu chid hivi kwa mfano upotee kwenye game wakati bado tunakudai inakuaje?? Chid bado sana tunakudai kaka, hizi ngoma unazotoa ni kama unatuonjesha tu tu kaka.
Chidi Benzi!!!one big character !!!Sharp memory,special voice.Angekuwa wapi kama si changamoto za madini..Chidi ni mkubwa sana
Anajua mwamba
Just love watching ur interviews Dada much love from Nairobi Kenya ❤️❤️❤️ To Chidi Benz our all time Hip hop Legend in East Africa....much love n Big Up Bro👍👍👍
Chid humu anajibu vzuri sana, kumbe waandishi ndio huwa wanazngua
Ndio
Hapo alikuwa hajapiga vitu vyake bado
Kabisa yani
Utakavyo kuja ndio atakavyokupokea benzio😅
Sababu yupo live
Nilkua nkitamani sana kumskia Chidi akiongelea huu wimbo...❤❤
Uyu Dada nampenda sana..! ❤❤
😂😂😂
KUMBE chid ana madin!! Elewa neno (KUMBE 🎉🎉
Chi chi chid Benz sasaivi unaonekana uko vizuri yaani unarudia hali yako ya zamani. Shukran kukuona ivi ulivyo sasa
Oy chid nakubar kitambo nandomaana ata mwanangu nikampa jina la Rashid yani chid benzi Rashid abdalla noma xana salute father kizazi chetu uyu jamaa ndo alituwasha
naaaaaaaachiiiiiiiiidiiiiiiiii.....💥🔥🙏💪🇹🇿🇦🇪
Dada nakukubali Sana uko makini na una maswali makini
Chid benzi yupo uku morogoro haliyake Kwan sasa hailizishi
Salute chid..
❤❤❤🎉🇧🇮
Chidi umenizinguwa ujuwe.kuhusu kipini kwenye puea.😢😢
Chid unaweza sana, lakini pia chid kuna kitu ambacho nimekipenda sana kutoka kwako, wewe ni mwepesi wa kubadilika, wasanii wengi wa zamani hawakuweza kudumu hadi leo ni kwasababu hawakukubali kubadilika kuendana na game ya sasa, moyo wangu ulikuwa ukiumia sana chid benz kuona unapotea kwenye game lakini nashukuru sana chid bado unajituma hata mimi nakuombea sana kwa mungu uweze kurudisha heshima yako, tafakari kitu chid hivi kwa mfano upotee kwenye game wakati bado tunakudai inakuaje?? Chid bado sana tunakudai kaka, hizi ngoma unazotoa ni kama unatuonjesha tu tu kaka.
Nakukubali.
wow
Mkali tulia ivyo Ivyo daimond kakurudisha kwenye game
🇨🇩🇨🇩❤❤❤❤❤❤❤❤ sana
anaongea vzur chidbenz
Chidi hata swali la matching item analijibu kw essay😂
Chidi akiamua kujibu sahihi utaenjoy ila akiamua kukurusha utashangaa 😂
😂😂😂ukija anakupokea
Inatemgemea utakovyokuja ukija kiwaluwalu na yy anakupokea kiwaluwalu
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
KENYA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwamba na kukubali xana masaa24 dar stand haipingiki milele
Kumbe akili unazo unajizimaga data
My brooo iseee you and iget your pointed 😢
Nayeye pua inatundu kaah
King.kong
Laida