MWIZI ARUSHA ACHOMWA MOTO NA KUISHA KABISA, AMEVUNJA DUKA NA KUIBA LAKI TATU NA 20, WENZAKE WAKIMBIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 448

  • @shakilaAqram
    @shakilaAqram 3 วันที่ผ่านมา +25

    Yan wanetu Mungu tukuzie vema kwenye njia zitakazokupendeza🙏🙏

  • @NIYONZIMAJONATHANI
    @NIYONZIMAJONATHANI 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sema Hakuna mkamilifu... Ila majambazi, wezi, wachawi n.k hawafai

  • @alleyjuniourtz
    @alleyjuniourtz 3 วันที่ผ่านมา +44

    Hongereni wananchi kwa kazi nzuri mliyofanya mnasaidia serikali vema...kuna hawa na wachawi wachomwe moto

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 3 วันที่ผ่านมา +7

      Na wale wabakaji wafirwe halafu wachomwe moto

    • @lilianjonas2258
      @lilianjonas2258 3 วันที่ผ่านมา +7

      Watekaji wanachukuliwa tu video

    • @frankkessy1260
      @frankkessy1260 3 วันที่ผ่านมา +3

      lakini sio suluhisho la kudumu

    • @esterabonga7947
      @esterabonga7947 3 วันที่ผ่านมา

      @@lilianjonas2258 na watu wanabaki wanashangaa tu bila kumsaidia

    • @TusekelegeMwalusako
      @TusekelegeMwalusako 3 วันที่ผ่านมา

      Hao watakao wafila wafanywe nin​@@menalikechildren8836

  • @danielpeter8085
    @danielpeter8085 3 วันที่ผ่านมา +9

    Yan kiukweli wezi awafai wanakuaribia maisha muda mfupi tu unakuwa masikini...ila kwa ukumu iyo duuuh Arusha mna mbingu yenu mbarikiwe 🙏

  • @ChristianLungwajr
    @ChristianLungwajr 3 วันที่ผ่านมา +6

    Mmetisha sana ssfi sana hapo mngempeleka police angetoka angerudia mwizi nikama boda boda tu akipata ajali akipona anasahau anaanza tena kuendesha rafu chomeni sana mamae

  • @enockmakombe3144
    @enockmakombe3144 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunawakaribisha wezi tena BADO mali zipo sana kwenye majumba na maduka🙏🙏🙏🙏🙏 karibuni wezi

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 3 วันที่ผ่านมา +12

    Safi kabisa Dawa ya mwizi ni hiyo wanaiba mpka kuku ndani Kwa watu

  • @Mukary_TV
    @Mukary_TV 3 วันที่ผ่านมา +28

    Asante #millad kwa kutujuza update mbal mbal leo mimi ni wapili nipen like zangu

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 3 วันที่ผ่านมา +8

    Jamani mamake alimzaa mtoto mzuri tu, nyie mkisema mwizi,.mamake anasema mwanangu, hivi kwa Mungu kuna mwizi, muuaji, Yesu tusaidie wazazi

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mim walishatak kuniuw ni mung wangu tyu bad wakavunj dirish wakaib ndan yaan mwiz ukibahatik kumuwah bor kumuuw wal wanakuj wamejiandaa eti kwamb wakikukut awana urum jaman mwiz ni mbay mno ukibahatik bor kuchom kabisa ni wabay mno

  • @oliverdenis9465
    @oliverdenis9465 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    huyu kijana nimeona msiba wake maeneo ya majengo ya juu niliuliza nikaambiwa ameiba morombo alikuwa na wenzie lakin wenzie walikimbia yeye ndo akakamatwa!!! vijana wa Mungu tufanye kazi wizi ni kama tunajifupishia maisha.😢

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 3 วันที่ผ่านมา +46

    Mwizi anaweza kutubu na kumrudia Mungu

    • @ummukhawlah8433
      @ummukhawlah8433 3 วันที่ผ่านมา +8

      Kweli wamevuka mipaka,haifai kumuua mtu Kwa kumchoma moto

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 3 วันที่ผ่านมา

      @@ummukhawlah8433achomwe tu hakuna huruma apa mipaka ya nchi gan yaan ww mtu unakosa na wazo la Kwenda kuiba kwa mtu ni tamaa ya aina gan badala ya kutafuta chako unaiba walivyohangaikia wengine wachomwe na nyie mchomwe pumbv

    • @sebastiansulubesto3133
      @sebastiansulubesto3133 3 วันที่ผ่านมา +1

      subir yakukute

    • @emmanuelnyakunga8320
      @emmanuelnyakunga8320 3 วันที่ผ่านมา

      Nawewe uchomwe moto😅

    • @nurdinswalehe9834
      @nurdinswalehe9834 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kweli lakini hawa waliovuka mipaka wanakera mno kwanza akikuwahi yeye amekuua sasa wewe subiri akuue ukimuonea huruma huku ukisema atatubu hawa wezi sio wazanziber useme watatubu

  • @MrishoMussa-h6e
    @MrishoMussa-h6e 3 วันที่ผ่านมา +28

    Mwizi akatwe mkono sio kumchoma mungu amekataza kuadhibu kwa moto

    • @RidhiwaniMrisho
      @RidhiwaniMrisho 3 วันที่ผ่านมา +2

      Umesema haki

    • @Ars-t2k
      @Ars-t2k 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani sisi ni waarabu?

    • @beatricesamwel9133
      @beatricesamwel9133 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna bible imeandikwa mwizi auawe mchawi achomwe moto

    • @ummukhawlah8433
      @ummukhawlah8433 3 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@Ars-t2khata kama sio muarabu je Kwa Sheria ipi unayoiamini inaruhusu adhabu kama hii?

    • @kaltumsharif9547
      @kaltumsharif9547 3 วันที่ผ่านมา +1

      Akili zero,uarabu inahusiana nini,wakati dini ndio inasema hivyo
      Zero brain​@@Ars-t2k

  • @NeemaSamueli
    @NeemaSamueli 2 วันที่ผ่านมา +1

    Siyo kitendo cha kufuraia ila vyombo vya sheria vipo unapomchoma mtu moto ni zambi kwa mwenyezi mungu na kizazi chako mungu anakipa rahana kumchoma mtu moto na ndo maana vyombo vya sheri viliwekwa kwa matatizo kama haya pia ingekuwa vzr atoe ushirikiano awaonyeshe wezi wenzie ili muweze kuwathibit hao wezi.kwakweli mm simtetehi mwiz ila kujichukulia sheria mkonon siyo.poa.

  • @SechySeche-hm6bd
    @SechySeche-hm6bd 3 วันที่ผ่านมา +3

    Angekua kakaako au mtoto wako, ungewasha moto? Hao ni ndugu walioathirika kisaikolojia , wavivu wa kazi ambao wazazi wao walishindwa malezi. Kuweni na huruma. Mkikuta watu hawana maisha wasaidieni kwa chochote wasifikie huku. Kuna watu wamepewa akili za kutafuta pesa, hiyo ni baraka Mungu kawapa kusaidia wanyonge. Kuna watu wengi wanahitaji msaada msitapanye fedha zenu kwa anasa.

  • @HassanLimbwenda
    @HassanLimbwenda 3 วันที่ผ่านมา +14

    Innalillah wanna illaih rajiuun mungu awasamehe mlichokifanya sio kitu kizuri kabisa kukatisha uhai wa mtu ata kama nimwiz lakin kumuua niadhabu ilio pitiliza Ndio maana Uislam unasema mwizi hukumu yake ni kukatwa mkono mmoja na akirudia tena malizieni mkono uliobaki nadhani hii ni busara kubwa kuliko kuua kwani hatoweza tena kuiba kwasababu hana tena mikono jamani muogopeni mungu kwani sisi wote ni marehemu watarajiwa tutajibu Nini kwa mungu😢

    • @samweldaniel7982
      @samweldaniel7982 3 วันที่ผ่านมา

      Ukimkata mikono utakuwa unamhudumia sio????? Dawa yao ni hii tu.
      Mlee mwanao vyema, ukishindwa basi waachie walimwengu wamfunze.

    • @godiegodie1336
      @godiegodie1336 3 วันที่ผ่านมา

      Uislam unasemaje kuhusu uzinzi? Hamna dini inayoimiza kuua kama uislam

    • @samoomohammed93
      @samoomohammed93 3 วันที่ผ่านมา

      @@godiegodie1336Uislamu unasema mzinifu aliyeoa au kuolewa apigwe mawe mpaka afe na asiyeoa au kuolewa apigwe bakora mia moja.

    • @samoomohammed93
      @samoomohammed93 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna dini bora duniani kama uislamu na ndo dini inayofanya ulimwengu uwepo hadi sasa ndo dini iliyosababisha nikaumbwa mimi wewe wazazi wako na watu wote duniani mwenye dunia yake ndo ametaka uislamu ndo iwe dini ya kumuabudia yeye kwa watu wote. Hivi ungejisikiaje mzazi wako ndo angekuwa mwizi akachomwa moto mbele yako halafu useme hiyo ndo adhabu nzuri.?

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@godiegodie1336lakini sio ukiiba.

  • @JosephBalebanga
    @JosephBalebanga 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kumchoma binadamu mwenzio kisa kaiba ni dhulma kubwa na kila aliye shiriki ataandikiwa dhambi ya kuua, dhambi ya pili ni ku jichukulia sheria mkononi ya muadhibu binadamu mwenzio kwa kumchoma moto bimaana Mwenye mamlaka hayo ni Mungu pekee na ukifa na dhambi hizo zitakutesa siku ya kiyama ewe Mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema amiin

    • @victorianganyagwa2467
      @victorianganyagwa2467 วันที่ผ่านมา +1

      Unaijuw San din et bc uje uibiwe we uone tuntft pesa kw tabu af Mt aje t kamseleleko bc n we mwizi lbd unamtetea mwenzko

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 วันที่ผ่านมา

    320,000 mnatoa uhai wake, sio sawaaa. Angepelekwa kwenye vyombo vya sheria

  • @gambigambi7254
    @gambigambi7254 3 วันที่ผ่านมา +18

    Kazi nzuri wananchi mnaisaidia serikali kuondoa uovu nchini

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @williamsenkoro2210
      @williamsenkoro2210 3 วันที่ผ่านมา +1

      Badala ya ki deal na waiba kura kwenye uchaguzi au..

    • @chensigns6748
      @chensigns6748 3 วันที่ผ่านมา +1

      Masikini wenye hasira inayosababishwa na ujinga

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 วันที่ผ่านมา +1

      Wizi wa mabillion ndio ma serikali mna waogopa mnauwa wizi wa dogo

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@chensigns6748 serikali ya majizi mna waogopa😂 mnauwa mwizi wa laki

  • @EdithaRaphael-fp4gb
    @EdithaRaphael-fp4gb 3 วันที่ผ่านมา +31

    Jamani jamani😢😢 hata kama tumwogope Mungu hii ni hatia tyri kwa Mungu hii damu itawadai, mngemuadhibu tu imeniuma..,tujifunze kusamehe nasi tutasamehewa kwa Mungu

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 วันที่ผ่านมา +4

      Hujawah kuibiwa wew wanaachia nin kufanya kazi watafute vya kwao

    • @JosephNyanda-ci7qe
      @JosephNyanda-ci7qe 3 วันที่ผ่านมา +1

      We falaaaaa

    • @EdithaRaphael-fp4gb
      @EdithaRaphael-fp4gb 3 วันที่ผ่านมา

      @@kamarhelo mh haya kaka

    • @EdithaRaphael-fp4gb
      @EdithaRaphael-fp4gb 3 วันที่ผ่านมา +1

      @@JosephNyanda-ci7qe sawa we mwenye hekima

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 3 วันที่ผ่านมา +6

      Mwizi akikukuta hana huruma wewe, wkt anaenda kuvunja alikuwa anawaza akikutwa afanywe nini, yy akikukuta anakuwa kajiandaa shoooo ama zako ama zake.

  • @GraceAlex-h9n
    @GraceAlex-h9n วันที่ผ่านมา +1

    Kablaujachoma mtumoto jiulize ww kama hujawahi fanya kosa lolote choma ila kama umewahi usifanye lakin hamna mtu asiefanya kosa hapa duniani basi magereza yote yachomwe moto maana kuna watu wabaya zaid

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 วันที่ผ่านมา

    Namtakia marehemu kifo chema! Mungu akipenda atampokea!

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 3 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana iyo ni kazi nzur

  • @ZaimanMan-j5o
    @ZaimanMan-j5o 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ila jamani kweli unatoa uhai wa mtu kwa laki tatu na 20 this is inhuman😭😭😭they must be arrested those who were involved on this criminal

    • @CharlesSayi-x6t
      @CharlesSayi-x6t 2 วันที่ผ่านมา

      Io mbona kubwa jaribu ata 100😂😂😂😂

    • @oliverdenis9465
      @oliverdenis9465 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂

  • @jaqlinemanyama
    @jaqlinemanyama 3 วันที่ผ่านมา +1

    wauwawe tu wanarudisha maisha

  • @AzizaEliya
    @AzizaEliya 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ila Hawa watu wameniibia mala2 jamani inaumaaa sanaa acha tu wafe wanakela sanaa staki hata kuwaskia

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hongereni sana ili angalau waendelee kuogopa mamamaeeee

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 2 วันที่ผ่านมา

    Daah nilisikitika sana kuna dada mmoja jina lake Halima aliibiwa kwa kuvunjiwa duka lake pale Olmatejoo ila tutalipiza kwa kumkamata hata upite miaka ili wiz ukome

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 3 วันที่ผ่านมา +2

    Duh Awawezi wanarudishan nyuma tu bora wananchi mlivyo fanya jukuuma la kumchma fast maana mnaisaidia serikali kukomesha wezi na vibak mitaani

  • @LovelyTreasureMap-gy5et
    @LovelyTreasureMap-gy5et 3 วันที่ผ่านมา

    Mmekata tiketi wenyewe kwa mikono yenu yakwenda jehanamu shetani kawaweza kweli hasira inakata kwenye kifuwa Cha mpimbavu poleni sana Bado mlango wa neema haujafungwa tubu sasa

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 3 วันที่ผ่านมา +4

    Huu ni unyama. Walioua si tofauti na huyo mwizi! Duh hatari sana.

    • @naseebjoseph5330
      @naseebjoseph5330 3 วันที่ผ่านมา +2

      Hujawai kuibiwa! Wewe! Hao wakikukuta wanakuua! Mungu akuepushie asee!

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ungejua kua ndani ya bibilia na Quran ndo penye mauaji kuliko haya ya leo

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 3 วันที่ผ่านมา +8

    Lk 3 zimekuuwa ndugu yngu looooh

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂 acha afe tu mbwa huyo

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 2 วันที่ผ่านมา

      Alishaiba vingi

  • @JackKanyigo
    @JackKanyigo 3 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana lkn Mngekuwa mnafanya hivyo hata kwa wezi wa kubwa wa lasilimali za nchi,.tungekuwa tushaendelea sana

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 3 วันที่ผ่านมา

    A-town ombeni mkabidhiwe wale waliotaka kumteka kimario kwa uchunguzi zaidi then muwape police taarifa

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e 3 วันที่ผ่านมา +6

    Allah ameweka sheria "Mwizi akatwe Mkono", Kwan haitoshi jamani au Nyinyi ndo mna akili zaid kuliko aliyekuumbeni, Kiukwel Ole wake kila aliye husika na kumuuwa huyo Kijana, Ni Dhambi kubwa sana Kuuwa.

    • @daudiyusuph3828
      @daudiyusuph3828 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa imani yako si kwa kila mtu

    • @Baharia92
      @Baharia92 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@daudiyusuph3828sio Kwa Imani yake mpaka ukristo umekataza kuua hyo hukumu ya kukata mkono ipo

    • @Jureyji
      @Jureyji 3 วันที่ผ่านมา

      Mwizi anayeiba kwa kuvamia unajua hukumu yake?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hukumu ya kumkata mwizi mkono ipo kwenye nchi yenye Sheria za kiislamu, hapa kwetu hakuna.
      Ila wizi wa mfano huo, kuvamia usiku mbaya zaidi, hata mmiliki anauawa tu, omba kila siku iwe Salama kwako usiingiliwe na mwizi nyumbani, huwa wanajipanga kwa lolote lile, nawe hujajiandaa unatoka usingizini.

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 3 วันที่ผ่านมา +1

      Allah ndio nani

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 3 วันที่ผ่านมา

    Hawachomagi watoto wao ila mtoto wemwenzenu mnachomatu muogopeni mungu sana😢😢😢😢

  • @HassanAthuman
    @HassanAthuman วันที่ผ่านมา

    Sheria mkononi sio nzuri

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mngechukua hatuna kama hizi kwa wezi wa kura na wale wanaoiba kura Ili watu Fulani washinde. Nadhani tungekuwa na uchaguzi huru Tanzania

  • @GraceAlex-h9n
    @GraceAlex-h9n วันที่ผ่านมา

    Jaman lakin siokujichukulia Sheria mkononi😢

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 3 วันที่ผ่านมา +2

    vijana wetu nyinyi mnatuvunja moyo sana sisi mama zenu dada zenu

  • @salomesemkiwa2675
    @salomesemkiwa2675 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ila wanaobaka na kulawiti watoto wasio na hatia hamuaadhibu mnaishi nao mitaani tu

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 3 วันที่ผ่านมา

    Wanaofurahia jambo la mauaji humu Mungu awahukumu vibaya.wafe vibaya na vizazi vyao kwan unaua umeumba wewe??? Kesho yako waijua mnaabudu nini???kwann ujichukulie sheria mkononi??unaucchungu kuliko serikali????nyooo

    • @VeronikaMwampashe
      @VeronikaMwampashe 3 วันที่ผ่านมา

      Unahasra na wewe ni mwizi ? Tafta kwashida wake wakubebee utaelewa na laaana zakooo kikubwa tufanye kazi wizi ni mbaya

  • @taulentiKatumiro-r7j
    @taulentiKatumiro-r7j 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 3 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezmungu tulindie Hawa watoto wetu,vijana wenzangu tufanyeni kazi mbona we zenu wanaokota hata machupa na wanaishi aisee

  • @LovelyTreasureMap-gy5et
    @LovelyTreasureMap-gy5et 3 วันที่ผ่านมา +1

    Msichukue Sheria mkono uliyeuwa unazambi kuu kuliko mwizi ndio maana mwizi anahukumiwa miaka mitatu muuwaji anahukumiwa kifungo Cha maisha au kunyongwa kisasi ni juu yake mungu iyo damu itawalilia kizazi hats kizazi ole wake afulaiyaye msiba wa jirani yake

    • @mnisi3694
      @mnisi3694 3 วันที่ผ่านมา

      Unataka kusema

    • @VeronikaMwampashe
      @VeronikaMwampashe 3 วันที่ผ่านมา +2

      Huuuu wewe tema mate watakuja wakuibie utaelewa

  • @kelvindagine9571
    @kelvindagine9571 2 วันที่ผ่านมา

    Simu na 350k acha ushamba wee mwenye duka unaachaje mauzo dukani na simu . . Halafu kumuua mwizi safii ukiibiwa utajua kwa nn nasema ivyo mwizi achomwe moto ivyoivyo

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 3 วันที่ผ่านมา

    Hizi ni roho mbaya zilizo pitiliza, kumchoma binadamu hivi jamani. Hawa wauwaji washitakiwe.

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 3 วันที่ผ่านมา +1

    Watu ni wanyama jaman uhai wa mtu ni zaid ya hiyo laki tatu jaman mkamaten mumpeleke police 😢😢😢

  • @AminaMukhandi
    @AminaMukhandi วันที่ผ่านมา

    Jamani hawa vibaka wa arusha kwakweli wanatutesa sana. sio kutukaba barabarani sio kutuibia madukani dah hatuna amani...

  • @tugemwakilewa1298
    @tugemwakilewa1298 3 วันที่ผ่านมา

    Ilikuwa ni vizuri awataje hao wenzake kabla ya kumchoma, maana inawezekana walioshiriki kumchoma ni baadhi yao ambao wapo kwenye mtandao hivyo wanaogopa wasitajwe.

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 3 วันที่ผ่านมา

    Nikweli Yakuwa Wanaudhi Kwanamna Yatabia Zao Zawizi Lakini Adhabu Yakumuuwa Nikubwa Kuliko Kosa Lake. Ninani Kati Asiyeiba Kila Mmoja AnastailibYake Yakuiba. Tuwe Subra Japo Kidogo Katika kutoa Adhabu.

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nilikuwa naishi Tanzania ila kwa sasa naishi you tube. Neema popote ulipo naomba urudi bado nakupenda sana❤

    • @FrankSamson-r6s
      @FrankSamson-r6s 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 3 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅

    • @IsmailYusuf-nb9jt
      @IsmailYusuf-nb9jt 3 วันที่ผ่านมา

      Neema ninaye na ninatamba naye 😂😂😂

    • @SarahMdogo-d9m
      @SarahMdogo-d9m 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 dada neema rudi Frank anateseka

  • @RAMADHANAllykibanga
    @RAMADHANAllykibanga 3 วันที่ผ่านมา +4

    ❤😂🎉wananchi wahuko kesho nitamiletea kuku na bata mule sawa inapendeza sana

  • @jamesmarumbo6820
    @jamesmarumbo6820 3 วันที่ผ่านมา

    Atakama ameiba ila sio vizuri kumuua binadamu mwenzio ila waambie ulio uwa damu ya binadamu sio nzuri inaenda mpaka kwenye kizazi chako chote ! damu ya chumvi sio nzuri mtaniambia!!

  • @GODFREYSABAYO-yz4qx
    @GODFREYSABAYO-yz4qx 3 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani tuweni namoyo wahuluma kama mungu anavyo tuhulumia wezi nidugu zetu tuwapeleke mageleza pengine waweza kumludia mungu wakawa laia wema kuliko kuwauwa jamani sisi niwazazi hiyo damu ikarudi tukazaa wezi shetani asitawale akili zetu tuka mkosea mungu yesu alisema tumuombe mungu atusamehe kama nasisi tunavyo wasamehe wenzetu mbona sisi hatusamehi tutasamehewa nanani kama sisi hatusamehi emungu ulumia watu wako

    • @beatricesamwel9133
      @beatricesamwel9133 3 วันที่ผ่านมา

      Biblia imeruhusu lakini,mwizi auawe mchawi achomwe

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 3 วันที่ผ่านมา +3

    Amri ya Mungu inasema usiiue

    • @LamekiMichael-pz7rv
      @LamekiMichael-pz7rv 3 วันที่ผ่านมา +2

      pia amri ya Mungu inasema usiibe

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂​@@LamekiMichael-pz7rv

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 3 วันที่ผ่านมา

    Arush nawapend hii ndiy zur san lak tatu hat ainunuw kiwanj uli hat mwak bor saf arush

  • @MkumboKahongo
    @MkumboKahongo 3 วันที่ผ่านมา

    kama unahuska na uuaji wa Nafasi ya mwenzio ukiwa nawe na mtenda dhambi, Elewa nawe kifo chako kitakuwa n chamaumivu makali pia, unashiriki mauaji wakati nawe ni mtenda dhambi, Uasherati unafanya, Unazini, Unaiba, Unasema uongo, nawe labda ulishaua, fkr kabla ya kutenda, usjibebeshe dhambi za mtu mwngne 😢😢😢😢

  • @JaqlineExavery
    @JaqlineExavery 3 วันที่ผ่านมา +5

    Daah hata kama ameiba sio sawa kumchoma moto nimeumia sana 😢😢Mungu saidia vizazi vitu hii ni kutaka mali kilaini vijana tuache uvivu tupambane

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 3 วันที่ผ่านมา +1

      Siku utaibiwa ndio utajua inaumaje kwasasa tulia hivyohivyo

    • @PeterMgonja-u1m
      @PeterMgonja-u1m 3 วันที่ผ่านมา

      Wew ujawai ibiwa

    • @LevinaAdamu
      @LevinaAdamu 3 วันที่ผ่านมา

      Hujawahi kujua uchungu wewe

    • @nurasam5475
      @nurasam5475 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@hellendaniel3809hili jibu linatoka kwako? Imagine huyo mtu ni mwanao utaweza hata kunyanyua mdomo ? Mwizi hauliwi hata siku moja jifunze kitu kwenye hili kama huta umia basi endelea kusema hayo ila kama itakugusa basi ombea watu wasiwe na tabia hizi za wiz na kutojichukulia Sheria mkonon

    • @maryjustertarimo9858
      @maryjustertarimo9858 3 วันที่ผ่านมา

      Nilikuwa hivyo, ila baada ya kuibiwa wezi na waiwawe tu, tena niomba siku nikute anapigwa ni chochee utambi, wamenirudisha sana, pumbavu zao.

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona mahakamani mtu mwenye hasira kali hakimu hamsamehi acheni kuchoma na kupiga watu kwa singizio hasira kali.

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 3 วันที่ผ่านมา +13

    Mgempiga tu. Hapo dhambi itawaandama (dhambi.ya umwagaji damu)

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 3 วันที่ผ่านมา

      We unakiri timamu kweri zambi iyo unaiyona kwa wariomua lkn wezi hawana zambi

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 3 วันที่ผ่านมา

      Watu tunaibiwa kila sku na hawachi mbwa hao police hakuna faida bola kuriwa

    • @bilid4128
      @bilid4128 3 วันที่ผ่านมา +2

      Mwizi siku zote alenga kuiba au akuue wewe alafu atoweke

    • @Daniel-g2f6v
      @Daniel-g2f6v 3 วันที่ผ่านมา +2

      Dhambi ni nini tuanzie hapo

    • @HappyElias-t9f
      @HappyElias-t9f 3 วันที่ผ่านมา

      Huna akili Kwa hiyo wewe huna dhambi 😏

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 3 วันที่ผ่านมา

    Wakiwa wana chomwa ivo wallahi wizi utaisga kabisa batu wataweza ata kuacha ata maduka yabozi Na wanakuta Sawa kama warabuni

  • @leilaRashid-pp7uo
    @leilaRashid-pp7uo วันที่ผ่านมา

    Mngekuwa mnachoma pia watekaji sio wezi peke yao

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 3 วันที่ผ่านมา +3

    Na maisha yamezidi kua magumu sasa watu wanabaki kuiba iba nakazi hamna

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 3 วันที่ผ่านมา

      Kaibe nawe uone kitakachokukuta

    • @mcback4384
      @mcback4384 3 วันที่ผ่านมา

      Mwambie na mwanao aibe sababu hakuna kazi ageuke jivu

  • @osiahstimah
    @osiahstimah 3 วันที่ผ่านมา +2

    Arusha respect kwenu ukiibiwa ndio utajua kwa nn tunasema wamekoma😂

    • @samweldaniel7982
      @samweldaniel7982 3 วันที่ผ่านมา

      @@osiahstimah Ili mradi asiteswe sanaaaaaa. Inakuwa chap tu kazi kwisha.
      Kumtesa sanaaaaaaa ndo sio nzuri kwa kweli

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 3 วันที่ผ่านมา +2

    Vijana acheni ujinga fanyeni kazi kweli mtu unauliwa kweli na kuchomwa kwa sababu ya laki 3 na 20 kweliii haya

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 3 วันที่ผ่านมา

    Hapana mwizi msimwue!!! Mchapeni viboko hadi ajikojolee afu apelekwe magereza. Lkn sio kuua. No.

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 3 วันที่ผ่านมา

    vizuri sana wana nchi mmefanya vizuri maana serkal haitaki kudhibiti maovu

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 วันที่ผ่านมา

    Arusha tutaiga mfano kutoka kwenu Kwa sababu hapa dar ni mlenda na bamia

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 3 วันที่ผ่านมา +6

    Ipo sku mtalala mauti na wtto wenu watachomwa moto km muliemchoma hapo. Pandeni mbegu za upendo ili mungu akazkumbuke siku za usoni

    • @AdelaSamuel-o3t
      @AdelaSamuel-o3t 3 วันที่ผ่านมา

      Mwizi lazima achomwe ivi unajuwa maumivu ya kuibiwa unawaonea huruma wezi tulio ibiwa tunajuwa uchungu

    • @HamisLeo
      @HamisLeo 3 วันที่ผ่านมา +3

      @AdelaSamuel-o3t hiyo mbengu unayoipanda ipo sku mwanao atapta sehem walipoibiwa na kusakiziwa kuwa nyy nae atachomwa moto bila uchunguzi.

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 3 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@AdelaSamuel-o3tmungu hajasema hvy mwizi akiiba akatwe mkono akirudia Tena akatwe mwingine ndoo dawa Yao nyie endeleni kuuwa mtakoma siku ya kiayama

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 3 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@HamisLeowambie ndg yang maana malipo ni hapa hapa duniani

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 3 วันที่ผ่านมา

      Torati inasema mwizi auwawe kama kuna uthibitisho kuwa ni yeye​@@nikrahayubu-sz3pw

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 2 วันที่ผ่านมา

    Mmefanya makosa makubwa sana, tubuni kwa Allah..

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 3 วันที่ผ่านมา

    Awa wasenge washaniibiaga pkpk nusu wakatishe uhai wangu

  • @SophiaAlly-ih2ss
    @SophiaAlly-ih2ss 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa hivi polisi na mahakama ni wananchi komesha aise

  • @fundiumemeronicelectricalt1177
    @fundiumemeronicelectricalt1177 3 วันที่ผ่านมา

    Inasaidia ata kama kuna mwizi apo akiona alivyokua majivu ataamua bora akalime kuliko kuiba

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 2 วันที่ผ่านมา

    Daaa, huzuni sana .

  • @LowassaKivuyo-n1y
    @LowassaKivuyo-n1y 3 วันที่ผ่านมา

    Poleni na hongeren make tayari memkamata hapo sawa

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 3 วันที่ผ่านมา

    Kwanini unaacha hela dukani usiku dada? Uwe unatoa kila jioni unapofunga duka. Pole kwa mkasa huu.

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 3 วันที่ผ่านมา

    Mtu ku chomwa. Sio vizuri.. Moshi Ile Ina fuga Baraka kwenye aga LA inch. Tanzania acheni ku chomwa vina ndamu😢

  • @NajmaMgallah-g8x
    @NajmaMgallah-g8x 2 วันที่ผ่านมา

    Mmh hv kwel kun mt anaachaga hera dukani cy kwel, kw upande wa hera mmh, ila km kaiba vingne sawa

  • @vansclassic2131
    @vansclassic2131 3 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ndio Azabu yake jamani ndo alisataili iwe hivyo

  • @jescaflugence3258
    @jescaflugence3258 3 วันที่ผ่านมา

    Hongela ata bibulia inaruhusu wala damu yake ahitadaiwa mikononi mwenu achana nawale wanaowaogopesha awajui maandiko

    • @DaudMoche-rl4cg
      @DaudMoche-rl4cg 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 jesca shkamoooooo🙌🙌🙌

  • @SamiaomaryRwambo
    @SamiaomaryRwambo 3 วันที่ผ่านมา +3

    Iyo roho itawashatki kwamungu kesh atakam ameiba Ila sio sawa

  • @EdwinAugustine-up5kd
    @EdwinAugustine-up5kd 3 วันที่ผ่านมา +1

    safi sana wananchi,mm nawaunga mikono,ni wakuchoma tu hawa

    • @Aksa-yk1dp
      @Aksa-yk1dp 3 วันที่ผ่านมา

      Chizi wewe

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 3 วันที่ผ่านมา

    Hyo nzur snaanaaa safiiii mnoooooo uwa uwa uwa yaan usiniache mtu hai😊

  • @LovelyTreasureMap-gy5et
    @LovelyTreasureMap-gy5et 3 วันที่ผ่านมา

    Sikama wazazi hawakuwalea ipasavya la iyo ni rohozipo zinazo fatal katika kizazi hats kizazi kunakuwa na msukumo wa ajabu nani yake

  • @nurasam5475
    @nurasam5475 3 วันที่ผ่านมา

    INNALILLAH WAINNAILAIH RAJION nasikia uchungu mno kwa hili tukio Allah amsamehe sana huyo kiumbe aliyetangulia ,,,Yaa allah walinde watoto zetu na hii hatma mbaya ,walinde ndugu zetu ,jamaa zetu,majirani zetu,na watoto wote Yaa Rabb 🤲 mwisho mbaya sana huu wallah kwenye dini yetu mwizi haruhusiwi kuuwawa kabisa anaeruhusiwa kuuwawa ni mzinifu aliyekwenye ndoa wanachimbiwa shimo na kuwekwa humo na kurushiwa mawe hadi kufa sio mwizi jaman...inaumiza watu hubadilika imagine ni mtoto wako anachomwa moto , baba yako,mumeo,kaka yako😭😭😭 au rafiki yako try to imagine jaman inaumiza mno mno mno tuache kujichukulia sheriq mkonono kwenye suala hili jaman 😭😭 Allah awasamehe kwa kutojitambua unaweza kukuta anaemuua mwenzie.anadhambi nzito zikianikwa hadharani yeye ndio anafaa kuuliwa ila kwa kudra za allah kamstiri sisi dini yetu hata kama hujarusha jiwe kwenye tukio la mauaji ukishuhudia tu kama huna msaada wakumsaidia huyo mtu bora uondoke ukijifanya kuangalia mtu anauliwa hadi mwisho wewe nae unaitwa muuaji na dhambi hiyo itqkutesa hadi unaingia kaburini ndugu zangu tutubu na madhambi yetu sio kujishikilia bando matatizo ya wengine kuna sheria tuache kuhukumu mungu angekuwa anahukumu hivi unadhani tungebaki hadi leo? Fikiria mfano ukiwa unamadhambi mengi Unajikita unawaka moto mwenyewe tu bila sababu hadi kufa unadhani wewe leo ungebaki ? 😭 ALLAH ATUSAMEHE SANA

    • @Aksa-yk1dp
      @Aksa-yk1dp 3 วันที่ผ่านมา

      Dah mm bnafs nimeumia sana

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 3 วันที่ผ่านมา

    Chezeya pengine nasiyo arusha yaani kamaliziwa kabisa.kaenda motoni huyo.

  • @siliviaDali
    @siliviaDali 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi mnaosema wamefanya vizuri kumchoma n vile labda c ndugu ama familia yko

    • @VeronikaMwampashe
      @VeronikaMwampashe 3 วันที่ผ่านมา

      Hujawahi ibiwa wedada na ukabaki ombaombaa

    • @siliviaDali
      @siliviaDali 2 วันที่ผ่านมา

      @@VeronikaMwampashe nakubali bt nko sure ingekuwa ndugu yko hungeongea hivi

    • @VeronikaMwampashe
      @VeronikaMwampashe 2 วันที่ผ่านมา

      @@siliviaDali hata kama niwangu wizi haufaiiii

  • @MagdalenaZephania
    @MagdalenaZephania 3 วันที่ผ่านมา

    Laki 3 tu inamuuwa mtu jamani hizi tamaa nimbaya

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 วันที่ผ่านมา +1

    hawa jamaa wanakela sana lazima
    wauwawe kabisaaaa

  • @noelluchiba3660
    @noelluchiba3660 3 วันที่ผ่านมา

    Watu wanaiba mabilion ya pesa na wanatajwa kabsa ,lakn hawachukuliwi hatua.
    Na nyie wanainchi hamjawahi ,kuwarushia mawe, kwenye gari zao,hata kuandamana tu hamna.ila kesi za walala hoi wenye njaa kali kuku

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 3 วันที่ผ่านมา

    Na isiwe kwa wezi tu wanao lawiti watoto nawabakaji wawatoto wote uweni kisha wachomwe moto kama huyo.

  • @FredyNkwabi
    @FredyNkwabi วันที่ผ่านมา

    Dawa ya mwiz n moto

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 3 วันที่ผ่านมา

    Ni petrol gani iyo inauguration mtu hadi kubaki majifu

  • @paschaljoh5729
    @paschaljoh5729 3 วันที่ผ่านมา

    Hii nguvu ya wananchi kwann isingelikuwa inatumika hata kwa Majizi ya serikalin ( wahujum uchumi) tukawa tunawachoma moto pia

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana wachomwe tu maaana polis wanaambiwa hawana hatia

  • @nellykira7812
    @nellykira7812 3 วันที่ผ่านมา +1

    Daw nzur ya mwz ndio hyo wanaotetea wote wanafuga wez

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 3 วันที่ผ่านมา

      Nachojua Tanzania wezi ni wengi sana na wasiojulikana watafuteni popote pale muwafanyie hivyo maana km hakuna hatua zinanzochukuliwa Bora wananchi wachukue Sheria mkononi mwizi muuaji akipenda police kesho yake tuu anatoka Wala Hana wasiwasi Sasa serikali waachieni wananchi wafanye yao na msilalamike

  • @ProJays
    @ProJays 3 วันที่ผ่านมา +1

    Unaacha pesa kw Duka

  • @KipazaOfficial
    @KipazaOfficial 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mngekuwa mnaua na wezi wa serikalini ningewaona mną akili ila huo ungese na hiyo dhambi itawatafuna sana..nashukruu Mungu sisapoti uwizi ila kuua hapana as nahisi nafsi yako kama haijafa huwezi Choma au mtu wakati wewe pia ni mdhambi mkubwA na Mungu hajaamua kukuua😢

    • @GrolyJackson-l8r
      @GrolyJackson-l8r 3 วันที่ผ่านมา

      wewe mjinga wewe ujawai ibiwa ngoja skuwakuibie utajua

    • @KipazaOfficial
      @KipazaOfficial 3 วันที่ผ่านมา

      @ mjinga baba ako na nahisi hata cha maana cha kuibiwa huna na uwe na heshima na watu usiowajua next time..mimi nimetoa maoni Yangu Kama huna lugha nzuri weka tako pembeni jamba ulale

  • @SatwantHoogan
    @SatwantHoogan 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu!😱