Majawabu muhimu kuhusu kuangalia nyota|Ramli|Muhammad Bachu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว +3

    ASSAALM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU MIMI Nawanasihi Waislam Wenzangu UTULIVU UPO KWA KUMTEGEMEA ALLAH ILA UKIANZA TU KUFATILIA MAMBO YA NYOTA YAKO CJUI PUNDA CJUI NG'E HUFANYI KITU BILA KUPIGA RAMLI MALA NANI KAKUROGA JAMN NDUGU ZANGU KWA MGANGA HUMALIZI NG'O KILA CKU UTAENDA NA JIPYA NA UTAMUONA HUYO MGANGA WAKO NDO MAISHA YAKO YA RABBI TUPE MWISHO MWEMA

  • @is-hakaali745
    @is-hakaali745 3 ปีที่แล้ว +2

    Haya ni mambo kwa Sasa ni mengi mno mpaka mtu akienda kusali msikitini kwanza anapiga ramli Allah akuhifadh ww pamoja nasi

  • @Arafati-t4y
    @Arafati-t4y ปีที่แล้ว

    Mungu mrehemu shekhe nassoro bachu kwa kutuachia ostazi uyu anae ushughulikia uslam yani anamsimamo kama swahaba omari ishallh mung akulinde na fitma brother tupo pamoya

    • @jumu1964
      @jumu1964 4 หลายเดือนก่อน

      Amiini

  • @jumashobaa4455
    @jumashobaa4455 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana nakupenda kwajili ya Alla

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว

    Nina ustadh wangu kanifunza madrassa.. cha ajabu nae kaingilia haya mambo.. Allah atuongoze

  • @elimunihoja6129
    @elimunihoja6129 3 ปีที่แล้ว +4

    Assalam alaikum "OMBI OMBI OMBI" shekhe maeneo ya soko la mwanakwerekwe pembeni ya mskiti wa sokoni kuna watu wanakuja wanadai kuuza dawa lakini wanatumia uchawi.
    wanadai wanaweza kubadilisha uume wa mtu ukawa uke.
    Cha kusikitisha ni kwamba watu wengi huwazongea na kuwasikiliza na hata kununua dawa zao naomba uje mskiti wa sokoni ulizungumzie jambo hili mana hawa watu wanapata wafuasi kila siku.

  • @raiyanmsawira132
    @raiyanmsawira132 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 Wazee wabangaa

  • @makameally1962
    @makameally1962 ปีที่แล้ว

    يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾
    90. Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni unyaa na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu.[10]

  • @rukiadhahabu7857
    @rukiadhahabu7857 ปีที่แล้ว +1

    Wangejuaje mtume karogwa, habari hizi,zilitolewa osipitalini usilolifahamu kaka,usilizugumze

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio uczungumze usilolijuwa maana Mtume aliambiwa na Allah na yeye Allah ndio aliyempa dawa ya kubatilisha uchawi

  • @ahmedmohamed-wm5ec
    @ahmedmohamed-wm5ec 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa halijasom hiki linanichefua Asa Kinga Kwl Kwl walomsomesha bab yko walikuw wapiga Ramli akiwemo shekh sleman bin alawy ww mtt wa juzi kielmu ht juzuu hujahifadhi unalet ujing wk

    • @MuhammadALI-uc4jg
      @MuhammadALI-uc4jg 2 ปีที่แล้ว

      Kwa maana hiyo wewe unimkosoa shekhe unajawabu gani kuhusu Ramli halali au haramu tupe jawabu wewe basi.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +1

    Na tena kuna wengine miongoni mwa wanaojifanya wanatibu watu kwa kufuata sunna wanafanya hayo na kupoteza waisilam wasiosoma. Kuna mmoja nilimwambia mm km mambo hayo ya nyota hayafai ni ushirikina.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @rukiadhahabu7857
    @rukiadhahabu7857 ปีที่แล้ว

    Hujawahi rogwa wewe

  • @rashidmzee3106
    @rashidmzee3106 ปีที่แล้ว

    Fanya tafiti vizuri kwanza maalim ktu kma ukjui achana nacho

  • @Izikiel55
    @Izikiel55 2 ปีที่แล้ว

    Sasa sheikh majini tumuelewaje sasa!!!?😊

  • @coastalwavetzoniline5315
    @coastalwavetzoniline5315 3 ปีที่แล้ว

    Assalaikum naombeni namba ya Sheikh

  • @amirimuswadiq1709
    @amirimuswadiq1709 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh angalia nyuma hizo tylis zina misalaba

    • @allyciza
      @allyciza 2 ปีที่แล้ว

      🇧🇮🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ndikumanajoha2450
      @ndikumanajoha2450 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣hata taarifa ya ilmu nujumu huijuwi subhanAllah.

  • @zahormbwana690
    @zahormbwana690 3 ปีที่แล้ว +3

    Hawa watu wapo wengi wapiga ramli na sisi waislam nijukum letu sot kuondoa uchaf huuu hatar wat wanaritadishwa na huku wanasali mtihani mkubwa mno

  • @ndikumanajoha2450
    @ndikumanajoha2450 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mimi ningekuomba kurudi shule

  • @muhammad-Swaabir
    @muhammad-Swaabir 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtu akipinga ramli ametoka katika uislamu😂

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว

      Ndo tulipofikishwa apo🤣

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Km huku nje utamkuta mtu anapeleka kiganja chake cha mkono kinatizamwa...yote ni mambo ya kishirikina. Mpaka yale magazeti yanayoandika nyota pia...Nakumbuka zamani tulikua tunakatazwa lkn siku hzi watu wamevamia kila kitu wanaona sawa tu.

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 kweli kabisa

    • @bamoclimber4186
      @bamoclimber4186 3 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796
      Hata wale wanaotabiri mvua ni washirikina utabiri wa Hali ya hewa

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 3 ปีที่แล้ว

      @@bamoclimber4186 soma uelewe hiyo haifanani na ramli hali ya hewa kuna vipimo vya kisayansi

  • @fawziadarabu9727
    @fawziadarabu9727 2 ปีที่แล้ว

    NIKUTOKUSOMA NA WlALIOSOMA NIKJPUUZA NAKUSAHAU ADHABU YA YA ALLH

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 3 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe hiyo Azlaam Ni mchezo wa patapotea,Rudi fanya research zaidi Nini Ramli,Bado hujaigusa Ramli hapo,

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  3 ปีที่แล้ว

      Itakua Ramli ni kula mikate na kachori

    • @abdulazizmwipi9295
      @abdulazizmwipi9295 3 ปีที่แล้ว

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. hyo Ni ramli kabsa hakuna Shaka Surat maidah imeeleza waz azlaam Ni ramli

    • @makameally1962
      @makameally1962 ปีที่แล้ว

      ​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.
      يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾
      90. Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni unyaa na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu.[10]
      Anae bisha na abishe sasa wape elimu hao

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.mimi nina kushauri mambo usiyo kua na elimu nayo achana nayo mpaka usome kwanza

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuujibriltv5233ww mwenyewe elimu tuelimishe huo uhalali wa ramli

  • @makameally1962
    @makameally1962 ปีที่แล้ว

    يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾
    90. Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni unyaa na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu.[10]

  • @makameally1962
    @makameally1962 ปีที่แล้ว

    يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾
    90. Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni unyaa na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu.[10]