ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kama wewe nimuha Na uwe Na kidono au hauna gonga like twenzetu
Hongera saaana mzee wangu sisi niwaelewa mnooo
Kigoma siyo wabishi bali hawapendi janjajanja wanapenda vitendo
Yessssssssss mwalimu
Kigoma
Hakuna watu wabishi na wajuaji kama waha 🤣🤣
Barikiwe sana Big mastor 🤝
Good job
Mzee yupo sahihi bigap.
Siyo wabishi wanaakili nzuri
Dumila umeama wangu duu nakukumbuka kitambo sana
Barkiwa
Ebaanaa eeeeeee
Sema hatutaki ukaguzi unaofanyika kwa abiria hapa stesheni hatupendi kunyanyaswa mizigo kutupwa mizigo yetu hapa stesheni kukutotoza pesa halamu hapa stesheni hatutaki kitu hiki.mizigo midogo lakini hatuna uhuru sasa tutaashika dola sasa kupambana nahawa wajinga wanao tusumbua stesheni
Vidono nikwaajiri ya kujikinga dhidi ya maadui kwa vitu vyenye ncha kali kama panga
Kidono kipo wale wazee wote ulowahoji wanacho sema mwene kidono hasemi Kama anacho, Kigoma ndio home najua
Duh
Seen by pro kigoma media
Aiseeeeee mwisho wa reli kigoma asante big mastory
Tumejua vidono