MAJAMBAZI WATANO WAMEUWAWA NA POLISI KATIKATI YA ZIWA TANGANYIKA KIGOMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024
- Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuwawa na jeshi la Polisi Mkoani Kigoma katika Ziwa Tanganyika baada ya kutekeleza uporaji wa vifaa mbalimbali vya uvuvi.
Kamanda wa polisi Mkoani Kigoma ACP James Manyama amesema vitu vilivyokuwa vimeporwa na kupatikana ni pamoja na Mashine tatu za Maboti, Simu za wavuvi pamoja na Nyavu za kuvulia usiku wa kuamkia leo December 20.