'Waha ni Wafanyabiashara na Wana hela' - Mkuu wa Wilaya Kasulu Kigoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • "Uchumi wa Kasulu unategemea sana kilimo na biashara na Nature ya kabila la Waha ni wafanyabiashara na wengi wamejaaliwa kuwa na fedha. Unapozungumzia Kigoma kama mkoa na umapozungumzia 'centre' ya biashara ni Kasulu. Kwahiyo Kasulu kuna mzunguko mkubwa sana wa biashara na mzunguko mkubwa sana wa fedha zipo taarifa kwamba hata wanaofanya biashara sehemu zingine huwa wanakuja kufanya majumuisho ya biashara zao Kasulu. Unapozungumzia maendeleo ya kibiashara Kigoma huwezi kuiacha Kigoma" Mh. Col. Isaac Antony Mwakisu, Mkuu wa wilaya ya Kasulu, Kigoma.

ความคิดเห็น • 10

  • @gapablessgadison6863
    @gapablessgadison6863 2 ปีที่แล้ว +2

    Namheshimu mkuu wa wilaya yetu KASULU KIGOMA 🇹🇿🙏🔥,, chapa kazi kijeshi jeshi"wazi afande"hongera KASULU unazidi kuitetea,,bigup kwa kipindi hiki

  • @mathewisdory216
    @mathewisdory216 2 ปีที่แล้ว +3

    Exactly, Ha people are honest,hardworking,educated and full of talents. That's why most of them are rich.

  • @WILLIAMSEBASTIEN
    @WILLIAMSEBASTIEN 2 ปีที่แล้ว +1

    Facts kabisa, impact ambayo wameleta Tanzania wanastihili wapewe sifa zao .

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 2 ปีที่แล้ว +1

    Yes

  • @geofreyfabian310
    @geofreyfabian310 2 ปีที่แล้ว

    They tell you what to do but how to do utajua 2

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 2 ปีที่แล้ว

    Mwakisu barabara ya Heru juu kwenda Mpakani Burundi kupitia Muyama muitizame... vizuri.
    Pili fungueni Barabara ya Kasulu Titye. Na ikiwezekana Fungueni Titye Uvinza.
    Mkuu wetu jipange SGR ya kwenda Burundi iwe na station mjini Kasulu......

  • @tonymasy8872
    @tonymasy8872 2 ปีที่แล้ว

    We mdada umepasfia nyumbanii hadii mwenyew nmezdi kupapendaa japo ni ome

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 ปีที่แล้ว

    Kwa faida ya wengi Kasulu inapakana na Burundi tu.wilaya zinazopakana na Ruanda zipo Mkoa wa Kagera.

  • @alexjacob3255
    @alexjacob3255 2 ปีที่แล้ว +1

    Ssfi

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      *Mwami= Mfalme/King
      *Ntare= Simba/ Lion
      Hongera Afande ! Kasulu yampata Kiongozi mwenye maono na mbunifu! Bila shaka, Kigoma inakwenda kunyanyuka!