UTHIBITISHO KWAMBA QURAN NI KITABU CHA MUNGU KWELI KAMA BIBLIA/ UST. SULEIMAN MBOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @fettymcharuko7341
    @fettymcharuko7341 4 วันที่ผ่านมา

    37. Na haiwezekani Qur'ani hii kuwa imetungwa na haitoki kwa Mwenyezi Mungu. Lakini hii inasadikisha yaliyo tangulia, na ni mfafanuo wa Kitabu kisicho na shaka ndani yake, kutokana na Mola Mlezi wa viumbe vyote. 37
    ❤❤❤❤❤

  • @tospend
    @tospend 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kama unataka kujua Quran sio kitabu cha Mungu mtafute Sam Shamon ukiwa open mind utanishukuru

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 5 วันที่ผ่านมา

      Jamaa yupo vizuri sana..na mwenzake Godlogic💪..wana elim kubwa sana ya dini.

    • @JoeZeno-q1b
      @JoeZeno-q1b 5 วันที่ผ่านมา

      Sam shamour uko vizuri

  • @roggerasili3089
    @roggerasili3089 6 วันที่ผ่านมา +1

    Unataka Biblia iandike unavyofikili wewe
    Kama neno Biblia alimo kwenye biblia ndio sababu isiwe Biblia

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 7 วันที่ผ่านมา

    KILA MARA NAKUELEZA KWENYE UISLAM HAKUNA MUNGU!MBONA UNACHANGANYA MAMBO.

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 6 วันที่ผ่านมา

    Makafir wagumu kuelewa saana....waobwanataman kwenda mbingun na co pepon na ndio maa misalaba wana vaa ad walev na wanajua wataenda mbingun....

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 7 วันที่ผ่านมา

    Uongo miiiingi...ungemuuliza mambo ya evolution ja Charles Darwin

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 7 วันที่ผ่านมา

      @@waluohopaulo2116 Tumia akili wew ile inaitwa Dawn Theory of Evolution ni nadhalia ambayo haijathibitishwa kisayansi, Ingekua inaitwa Dawn Fact of Evolution hapo kweli Quran is about FACT ambazo zipo na Zijazo ambazo zingine hazipo

  • @fettymcharuko7341
    @fettymcharuko7341 4 วันที่ผ่านมา

    Wagalatia jibu hilo hapo Quraan 10--37 hamna ujanja kwenye kitabu cha mwenyezi mungu😂😂 uislam raha sana toeni aya nanyi tuone 😂😂😂

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 4 วันที่ผ่านมา

    Science na Quran ni kama fisi na simba,. Na Quran bila Hadiths akuna uislamu, Sala tano zipo kwa hadiths ila Quran imetaja sala tatu pekee, Quran inasema dunia iko FLAT 🤔 Quran inasema nyota ni kombora za kumpiga shetani 🤔 Quran inasema dunia imebebwa na samaki/nyangumi SURAH 68:1 Ibin Abbas TAFSIR) 🤔 Same time Allah kaishikilia Dunia SURAH 35:41 🤔 Surah ya kupiga mawe mzinifu aipo kwenye Quran ilipotea kwa kuliwa na mnyama (SUNAN IBN MAJAH 1944) Quran aiezi kuwa Complete au kitabu cha Mungu...

  • @ulimwengumaulid7397
    @ulimwengumaulid7397 7 วันที่ผ่านมา

    BIBILIA INASEMA MUNGU ALIUMBA MIMEA HALAFU BAADAE JUA SASA SCIENCE INATUAMBIA MIMEA INATEGEMEA JUA NDO INAKUA KOSA LA KWANZA LA WAZI HILO, BIBILIA INATUAMBIA KAINI ALIENDA NCHI YA NODI AKAMJUWA MKE JE HUYO MKE ALIMTOA WAPI??????
    QURAN INAJITETEA YENYEW BUT BIBILI INATETEWA

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 7 วันที่ผ่านมา

      tuliza majini chini kijana kasome icho kitabu cha shetani utaelewa kwamba si kitabu cha Mungu!

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 7 วันที่ผ่านมา +1

      @JeanMuzaliwa-bs6qh Huna hoja zaidi ya kutukana na ndivyo mlivyokalilishwa makanisani kwenu hamuwezi kuutetea ukristo wenu au bibilia yenu kwa hoja za kimantiki au za kisayansi zaidi mnatukana tu nasisi tutawaelimisha bila kujali matusi yenu ni kaujinga mnako soon kataondoka

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 7 วันที่ผ่านมา +1

      Na quran inatuambia dunia ni tambarare😂 hapo vipi boss?😂 pia inasema jua linazama kwenye matope😂 hio je? Mtume katika hadith anasema ukila tende saba hakuna sumu itayokudhuru lakini akafa kwa sumu 😂 hapo vipi mkuu?

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 7 วันที่ผ่านมา +1

      @Anonymous-w9v-i1p Usilete story weka Aya hapo ili uelekezwe

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 7 วันที่ผ่านมา

      @@ulimwengumaulid7397 Aya za nini mkuu wewe si muislam umesoma kitabu chako leta maelezo tuelewe..ndugu.

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 7 วันที่ผ่านมา +4

    quran si kitabu cha mwenyezi Mungu never,biblia pekee ndicho kitabu cha Mungu duniani ukatae ukubali full stop,na akuna mtume alie tumwa na Mungu anaitwa Muhammad no,pope,Muhammad nima agent wa shetani,ndio mm nakubali quran inatumika kwenye uchawi waganga wengi wakienyeji utumia quran!

    • @ramadhanikuhanga3324
      @ramadhanikuhanga3324 7 วันที่ผ่านมา

      Hayo mawazo yako mgando tatzo kichwa kikubwa ubongo wa mende

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 7 วันที่ผ่านมา

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh Lete hoja acha munkali acha hasira

    • @waluohopaulo2116
      @waluohopaulo2116 7 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@ramadhanikuhanga3324Allah aliteremushia Muhammad jinni.

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 วันที่ผ่านมา

      Bibilia inasema mungu malaika na yesu hawakijui kwamwee kitabu kinachoitwa bibilia sasa wewe tujibu ni mungu yupi alokuja na bibilia na alipewa mtume gani bibilia

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 วันที่ผ่านมา

      Ikiwa shetani ni mwanafunzi wa yesu katika wale wanafunzi 12 mmoja shetani nasio Paulo sasa shetani ni mwalimu wenu wa bibilia