Nimehamia uislam sina miaka mingi ,ila huyu bwana kanifanya nifuatilie story vizur ya jinsi uchawi ulivyoingia ,huyu shehe anadanganya sana ,😢😢😢, ukisoma hata Quran al baqara 102 , inakataza kabisa ushirikina ,tena inasema UKIJIFUNZA UCHAWI TU NI UMEKUFURU, haijalishi unautumiaje uo uchawi ,kwa uzur au kwa ubaya , QURAN IMEWEKA WAZI KABISA UKIJIFUNZA UCHAWI NI UMEKUFURU , io anayoongeza yeye ya uutumie kwa uzur au kwa ubaya ni ya kwake , maaana kote kote ,utumie kwa uzur au kwa ubaya ,bado ni lazima utumie majini ,ambayo Mungu kakataza ,anataka atagemewe yeye tu na sio majini ,kwa io shehe anapotosha uislam Njia alizoruhusu Mungu kutatua changamoto zetu ni 1. Kusoma dua 2. Kusoma sura za Quran Lakin ukitumia uchawi ,UMEKUFURU
Haaaaaa Tulia brother Dawa ikuingie ukishaaa kaaa vizuri Hakiri itakufanya kugamua lililojema kwako. Me nimeshukuru sana Sheeee kuwa wazi ili tufunguke Macho safi Shee tupe Ukweli Tujue Dini Yetu ilivyo Bora mhhhhh
Waisilam na ndio mana Allah akatuamrisha tusome. Kusoma ni fardhi/lazma. Ukisoma watu km hawa hawaezi kukupotosha. Allah atuepushe na shari za washirikina, amiin
Wewe nishee wamchongo,huna unacho jua kwenye dini, unapotosha watu mjinga wewe. Alla kuleta uchawi kama mtihani kweli lakini,mtume kakataza kabisa kunifundisha elimu ya uchawi, kur,Aniyenyewe hujui kusoma ebu acha ujanjaujanja kwenye dini.na usimsingizie imamu Shafi acha uongo. wewe kama watangaza dawazako tangazatu, LAKINI USINASIBISHE NA DINI ,MCHAWI MKUBWA WEWE.
Acha uongo wewe ,acha kupotosha watu uchawi niharamu na hakuna uchawi mzuri na m baya. Mbona nyie waganga mnapenda kuropokwa bila elimu nyie? Wewe na kina yusufu diwani ,na kina dokta sule niwalewale
Nimehamia uislam sina miaka mingi ,ila huyu bwana kanifanya nifuatilie story vizur ya jinsi uchawi ulivyoingia ,huyu shehe anadanganya sana ,😢😢😢, ukisoma hata Quran al baqara 102 , inakataza kabisa ushirikina ,tena inasema UKIJIFUNZA UCHAWI TU NI UMEKUFURU, haijalishi unautumiaje uo uchawi ,kwa uzur au kwa ubaya , QURAN IMEWEKA WAZI KABISA UKIJIFUNZA UCHAWI NI UMEKUFURU , io anayoongeza yeye ya uutumie kwa uzur au kwa ubaya ni ya kwake , maaana kote kote ,utumie kwa uzur au kwa ubaya ,bado ni lazima utumie majini ,ambayo Mungu kakataza ,anataka atagemewe yeye tu na sio majini ,kwa io shehe anapotosha uislam
Njia alizoruhusu Mungu kutatua changamoto zetu ni
1. Kusoma dua
2. Kusoma sura za Quran
Lakin ukitumia uchawi ,UMEKUFURU
Uchawi ni uchafu
Haaaaaa Tulia brother Dawa ikuingie ukishaaa kaaa vizuri Hakiri itakufanya kugamua lililojema kwako. Me nimeshukuru sana Sheeee kuwa wazi ili tufunguke Macho safi Shee tupe Ukweli Tujue Dini Yetu ilivyo Bora mhhhhh
Alhamdulillah ww ni muelewa
@@frankmugomba3484
Kasome acha uvivu
Huyu sheh hajui dini au anajua ila anafanya anachojua yeye tofauti na maamrisho ya allah?
Watu km hawa wafungiwe kuongea mana wanachanganya watu wasio na elimu tu na kuwapotesha
Waisilam na ndio mana Allah akatuamrisha tusome. Kusoma ni fardhi/lazma. Ukisoma watu km hawa hawaezi kukupotosha. Allah atuepushe na shari za washirikina, amiin
Uhuru ukizidi sna mwisho unakua fujo hyu co sheikh hyu mshilikina 😢
Allah hamfichi mnafik. Hio Quran unavyoisoma km unaendesha garı bovu.
Huo ndo uislam halisi mengine ni maigizo tu hakika uislam ni ukafiri asilimia 💯
Weee bdo hujaujua uislam
Huo ni ushirikina uliowazi ambao hauna tofauti na ukafiri.
yani ustadh haoni kisisi❤
Uchawi ni dhambi yenye kuangamiza na mchawi hukumu yake ni kuuwawa
Hakuna uchawi mzuri uchawi ni haramu ,mtume kasema ,tujiepushe na madhambi. 7 yenye kuangamiza ,uchawi ni miongoni mwa hayo
Muulize kuhusu chuma ulete
Tukisema na shetani ni jamii moja mnasema hutuna elimu
shekhe kulunge mchawi ni mpya sana mbele ya allah
Proud to be kujeni msikie wanao ijua dini wanazungumza huku sio kubisha tu na hamnja soma
Alokwambia kuahuyu kasoma nani
Uislam kila ktu kinataka utoe ushahidi sio uongee tu km stories za bibi yako
Malaika hawamuasi Allaah mche Allaah ww
Hakuna thawabu ykufanya uchawi
Megine ndiyo Megine siyo, shetani naye ni mwalimu ana aye fundiSha uchawi.
Babu unakufuru uo uchawi wako usituchanganyìe nadini
Kwani hiimijitu ya hovyo kunawatu inawaamini kweli? Huyu sio shekhe huyu ni shetani kama mashetani wengine
Mhhhhh Bwana Huyu ni Sheeee tens Mkweli Kabisa sio Mnafiki real Sheeee.
@@frankmugomba3484we unaonekana una chuki na uislam sana
Ayo madheb ya imamu shafi tupe dalili nani kasema km unaweza tumia njia ya uchawi na ukapata thawawbu
Wewe nishee wamchongo,huna unacho jua kwenye dini, unapotosha watu mjinga wewe. Alla kuleta uchawi kama mtihani kweli lakini,mtume kakataza kabisa kunifundisha elimu ya uchawi, kur,Aniyenyewe hujui kusoma ebu acha ujanjaujanja kwenye dini.na usimsingizie imamu Shafi acha uongo. wewe kama watangaza dawazako tangazatu, LAKINI USINASIBISHE NA DINI ,MCHAWI MKUBWA WEWE.
Duuuuuuh ina maana hauja elewa chochote kweli bx wewe ndo hujui😂 chochote
@@SaleheKikumba we unajua nini kuhusu dini
@Useri-bn6ye sijui chochote
Tumeelimika sana.
Acha uongo wewe ,acha kupotosha watu uchawi niharamu na hakuna uchawi mzuri na m baya. Mbona nyie waganga mnapenda kuropokwa bila elimu nyie? Wewe na kina yusufu diwani ,na kina dokta sule niwalewale
Acha uongo wewe