@waluohopaulo2116 sasa wewe unalazimisha asome iyo kwaiyo iyo aliyosoma alitoa wap mdomoni kwake, kitabu chenu ni kina jichanganya chenyewe na ndio mana mbaka leo na nyie mko kwenye kujichanganya tu hamuelew mko wapi
Manabii hawabatizi mtu na Yesu mwenyewe hajabatiza mtu, Wakristo wanabatiza kwa kudai kama binaadamu yeyote akizaliwa anakuwa anadhambi ya asili ameirithi kutoka kwa Adam alipo kula lile tunda peponi na huu ni uwongo na uzushi, kwanini? Kwa sababu Mwenyezi Mungu alifuta dhambi ya Adam baada ya kutubu kwa hio hakuna kitu kinaitwa dhambi ya asili, soma Quruani inavyo onyesha kama Mungu alimsamehe Adam: Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu. --al_baqarah 37
Jamaa halina hoja, liko tu, kwa hivyo mnampinga kristo. Khaa! Kwani yeye hampingi Muhammad? Na kama Quran imeletwa na mashetani kwa nini basi inaonya, inaeleza ya kesho, inafundisha maisha ya binadamu duniani na akhera, nk. Hajui kama shetani haelezi mazuri! Jamaa mhoji yu ovyo kabisa. Ahsante sheikh.
@@dudejuma Muhammad alikuja kupotosha watu waingie kwenye imani yake, mtume wa mwisho alietumwa na Mungu duniani ni Yesu Masihi tu, Muhammad ni tapeli kama matapeli wengine
Kasome ata Biblia ya Saudia, ila Kristo ndie mwokozi wa maisha ya kila mwanadamu. Yoyote aendae kinyume nae hawezi kufika kwa Mungu wetu alie hai. Labda kwa Alla Mungu wa waislam
ANDIKO KWA WAPINGA KRISTO. Mathayo 16:15-17 [15] Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” [16] Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” [17] Yesu akasema, “Heri wewe Simoni mwana wa Yona, kwa maana hakuna binadamu yeyote aliyekufunulia jambo hili, ila Baba yangu aliye mbinguni. Ila waislamu 😅😅😅😅😅😅
Hawa jamaa waislamu Mungu awasamehe sana muangalie anapopindisha maandiko jamaaa anamuuliza enendeni ulimwenguni kote mkayafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu eti anapindisha yale ni makabila kumi na mbili du
Wakristo nyinyi imani yenu haieleweki na waumini sahihi wakiipinga mnadai kama hawana elimu ya roho, for example juzi juzi tu Ndacha na Danieli wanabishana kuhusu Utatu
Hizi ni mbili baadhi ya sifa nyingi za MPINGA KRISTO kutoka kwa Biblia!! 1 Yohana 2:22 Je, mwongo ni nani? Mwongo ni yule anayekana kwamba Yesu si Kristo. Mtu huyo ndiye mpinga-Kristo, anayemkana Baba na Mwana. 2 Yohana 1:7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, watu wasiokiri ya kwamba Kristo alikuja kama mwanadamu. Mtu kama huyo ni mdanganyifu na mpinga-Kristo.
Sasa utaamini vipi iyo aya yako wakati biblia original ata babu yako hakuwah kuiona so umejiridhisha vp kama kuna ukweli wakat tunaona biblia now zipo tafaut
Asiyemuamini Allah na Mtume SAW, na mwenye kuamini Nabii Issa kuwa ni Mungu wote ni makafiri na wote kesho motoni. Allah hana haja nao hata kuwauliza chochote. Watakuwa Fil Narri Jahannam. Makafiri watuambie huyo mungu wao anayo dhakari au uke hata azae! Mmh!!!!!!
Allah amewaumba waislamu kwa makundi kabla hata hawajazaliwa. 1. Kundi la Watakao ingia motoni - Hata fafanye mema gani (hawa wameumbwa kwa jili ya jehanam) 2. Kundi la watakao ingia peponi - hata wafanye mabaya gani.
Sasa kwa mujibu wa biblia yesu hakuwah kukutana na yohana, maana yohana yko jela anaskia habari za yesu ndio akauliza shwali kua ndio yeye alie tabiriwa au asubiriwe mwengine, sasa tuambie ww alimbatiza wapi
@@mudighurayra waislamu mnapotoshwa kila siku na walimu wenu...eti yesu hakuwah kukutana na yohana????? Matayo 3:13 Kisha Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka mto Yordani ili abatizwe na Yohana. 14 Yohana alitaka kumzuia akimwambia, “Mimi ndiye ninahitaji kubatizwa na wewe, mbona unakuja kwangu? ” 15 Lakini Yesu akamjibu, “Kubali iwe hivi kwa sasa; kwa maana inatupasa kutimiza haki yote.” Kwa hiyo Yohana akakubali. WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!.
Yohana hakukutana na Yesu.Wala Nabii Yesu hakubaatizwa na wala hakuleta ukristo.Nabii Yesu ni muislamu. Muislamu ni mtu aliyejisalimisha kwa Mungu/ALLAH aliyeumba kila kitu.
@@berry4726 ni kweli Yohana hakukutana na isa.Wala Nabii isa hakubaatizwa na wala hakuleta ukristo.Nabii isa ni muislamu,Muislamu ni mtu aliyejisalimisha kwa Mungu/ALLAH aliyeumba kila kitu.
@@berry4726 Wewe unamaanisha hivi >>>> Yohana hakukutana na isa.Wala Nabii isa hakubaatizwa na wala hakuleta ukristo.Nabii isa ni muislamu. Muislamu ni mtu aliyejisalimisha kwa Mungu/ALLAH aliyeumba kila kitu.
Kweli huyju shekhe anaonekana ni mwanafunzo wa midaharo kama hii akasome vizuri Quran inamtambua yesu kama nani na kwa nini arudi yesu na sio mtume mwingine na kama kasema yesu alikuwa nadhambi ndogo ndogo atueleze from Quran na suna hizo dhambi ni zipi
Wewe usivyo jitambua hujui kama hapa vinanukuliwa vitabu vyote hadi wanavyo viamini wakristo wenyewe. Sasa ukiwa na akili za upande mmoja lazima upate taabu, na pia kusema vidhambi vidogo vidogo ambavyo mwanadamu hawezi viepuka aya zipo ndani ya Quran. Sasa nijambo la aibu sana wewe uliye Muislamu kuingiza upinzani wako hapa
Embuhilo swali uliza ata chatGpt itakujibu Muhammad saw na waislamu pekee ndo wanaowalinda na kuwatetea nitumie yote na manabii nyie wakiristi na wayahudi mnawazushia uwongo na kuwatusi manabii na mitume wa Mungu uislamu pekee umewapa mitume na manabii heshima Yao ilozulumiwa kwenye bible
SIMULIZI UYO MZEE ATAKUOTA, MAANA WW SIO MCHUNGAJI WALA MWALIMU WA DINI LAKINI KUPITIA MAANDIKO MACHACHE TU MPAKA AMEKUNJA SURA. ANGEKUTANA NA NDACHA ANGEMPIGA NA MAKOFI.
Yesu anabatizwa na Yohana M[athayo 3:13-17]. Yohana anatuma wanafunzi akiwa Gerezani kwenye [Mathayo 11: 3-7]. Yaani unaruka kuanzia aya ya 3 unaenda kudanganya Yesu hakuonana na Yohan kwenye aya ya 11. Kati ya aya ya 3 na aya ya 11, ipi imetangulia?
Anakubali Mungu alimfanya Yesu kuwa mkuu na mwokozi kwa israel wakiungama na kutubu dhambi zao kupitia Yesu atakuwa watapata toba na msamaha wa dhambi, ila sio mkinga, msambaa mluguru mpemba na wengineo isipokuwa wa Israel. Anakiri bila kujijua. 😅😅😅 Hamna kitu apa. Na mm mpaka aniombe radhi
HUYU NI JINI, NA HUYU NI MUONGO , QURAN YENYEWE INAMUONGELEA MASIHI ISSA NI ROHO YA MWENYEZI MUNGU, msimsikilize huyu jini atapeleka roho zenu kuzimu baada ya kifo achaneni naye.
Kwa Mujibu wa Quran inasema Mungu atakufa, hivyo hata sipati shida ya kuijadili wala kusikiliza chochote kilichomo. Muislam twende Quran 29 aya 57, kisha Quran 5 aya 116. Njoo na majibu, kama huna unalolijua tuliza mshono kuleee! 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Waislam mnatumia nguvu nyingi sana kuaminisha watu kuwa uislam ni dini ya kweli. Unajua maana yake ni nn? Sio dini ya kweli. Jiulize kwanini wakristo hatujaanzisha huo mjadala wa dini ya kweli. Na kwanini hatuma .uda wa kupoteza kuwakosoa wenye imani nyingine tofauti na ukristo? Ukweli hauitaji kutumia nguvu, tunajua imani yetu ni thabiti, ndo mana tuna"relax. Tunaingia kanisani jumapili kwa ibada kuu, mara moja kwa wiki. Ila waislamu bhana, msikitini kila siku, tena mara 5 kwa siku. Hahahahaha, kazini saa ngapi ndugu. Na Mungu alisema asiefanya kazi na asile. Pia alisema fanyeni kazi ndani ya siku 6 za juma. Siku ya 7 ni siku ya sabato, tusifanye kazi, iyo ni siku maalum ya kumtukuza kumsifu kumwimbia na kumuomba toba na kumtolea fungu la riziki anazotupatia kila siku. Oneni waislam mnavyoteseka ili tuwaone ndo dini ya kweli. Hahahahahahahahahahahaha Alafu Quran iyo iyo inasema Mungu atakufa kama sio bangi ni nini. Quran 29 verse 57 alafu nenda Quran 5 verse 116. Alafu aje muislam na majibu ya kukanusha izo aya hapo.
Ogopa kupotosha usichanganye maji na mafuta,maandiko yanayo sema kwenye uumbaji natumfanye mtu kwa mfano wetu,wao wangapi na akaumbwa adamu, mwalimu kichwa chako ni bangi tupu
Simulizi kuna kitu unafeli kwanini hoja zako zinalazisha mtu ajibu majibu unayoyataka wewe ukiwa mtu Wa hoja usitake mtu akujibu majibu unayoyataka kwa kupenda ukristo uwe ni dini ya haki
Akili za waislam wengi haziko tofauti na hii shida apa. Ila sio shida, Yesu aliwatabiri baba zao na babu zao kabla ya uwepo wao kwenye uso wa dunia. Alimtabiri mpaka nabii wao wa mchongo, mzee wa pepo za uzinzi na mito ya pombe.
mini mkristo nimeokoka nampenda yesu pia namwamini mtume shaka kwakitabu kwamaana kwamujibu wahistolia yakitabu chaslim mtume anakufa tu koloani zote zikachomwa moto swali JE HII YASASA IMEANDIKWA NANANI🤔🤔
Waislam wanateseka sana, wanajua fika Yesu Masihi ni wa kwanza kabla ya Nabii wa uongo aliedanganya waumini wake pepo ya uzinzi na ulevi. Muhammad alitabiri nini ikiwa yeye alidandia unabii matokeo yake Akafa mazima akaenda kuzikwa. Mana alijua atafufuka kama Yesu Masihi hakurudi mpka leo Na waislam walivyo wanafiki na imani yao dhaifu ili ionekane thabiti eti wanamsifia Ostaz mnafki na mwenye elimu duni. Mbogo ana google kichwani. 😅😅😅😅😅
Kaongeza vitabu vilivyomtaja Muhammad ambacho sio BIBLIA. 😅😅😅😅😅😅😅 Yani kitabu chochote kinachounga mkono uislam anatumia, maana Biblia na Quran havijatosha. 😅😅😅😅😅😅
Daaaaaaa kweli Wasilamu wengi Kwa style hiii ya huyu shee nagundua Hakiri sio mzuri kabisa najisikia vibaya kusema haya mko na Hasiri ya Uwongo sana Sio wakweli kabisa.
Mbona Paul Hussein Mubarak Yuko.Tanzania ni mtu ambaye alipata Degree ine za uislamu ya Kwanza Tripoli Libia ,Kuwait City, Teheran.Iran pia Saudia Arabia. Huyo. muinjolisti aliokoka na isitoshe.aliokoka kupitia Korohani yenyewe ikampelekea kwa Yesu. mimi namfuata mtandaoni nikiwa hapa Marekani lakini mu Congomani by Nationality. Mumfuateni Hussein Mubarak nyinyi Waaislam muokolewe. Mubarak Hussein ni mzaliwa wa Bukoba/Uzizi
Kulingana na Quran surah 19:19 Yesu ni pure, ajawai fanya dhambi ata moja, na Quran iyo iyo na Hadiths zinasema Muhammad alifanya dhambi nyingi sana 🤔 kwanini Muheshimiwa sheikh anapinga Quran?? 🙂
Biblia ndiyo wanayo itegemea ndiyo ina sema yesu anasema mwenyewe kuwa mzigo wake ni mwepesi yaani dhambi zake sasa wewe usicho kielewa hapo nini? au nawewe unataka kumtakasa awe Mungu au mwana wa Mungu? Yaani ni Maajabu kuwa Muislamu kuwa na kichwa kigumu kuelewa lakini wasiyo kuwa waislamu wana elewa.
@@imhotepheru436 Soma na Mathayo 11 : 29 - 30. Mathayo 11 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ²⁹ Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; ³⁰ kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi. Usiwe na mawazo mgando kubishana kwenye jambo usilo na elimu nalo. Kila jambo lina mahali pake, huu ni mjadala wa hoja pande mbili na vitabu vinavyo tumika ni vya pande mbili kwahiyo uelewe mantiki ya msemaji amekusudia nini kusema hayo usiwe unakurupuka tu, Hapa siyo uwanja wa Mawaidha msikitini bali ni uwanja wa hoja dini linganishi. Siyo kujua aya kwenye Quran tu ndiyo ujifanye kuwa una weza mijadala hii
UYU OSTAZ KANZU UELEWA WA BIBLIA SIFURI, YEYE ANASOMA KAMA ANASOMA JUZUU 😅😅😅😅 Yohane 5:37 [37] Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Nyinyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake, Hapo Yesu alikuwa anawaambia wayahudi waliotaka kumuua kwa kuwa Yesu alimponya mtu siku ya SABATO alieumwa kitandani kwa miaka 38. Alimaanisha kutoka na imani yao haba ya kutokumuamini Yesu hawana sikio la kuweza kusikia sauti ya Mwenyezi Mungu wala jicho la kumuona. NA SIO UYO MGONJWA ANAVYOWADANGANYA WAISLAM WENZAKE. Soma Yohana 5 verse 1 - 37 ndo utaelewa ww muislam unaemsikiliza uyu Mzee wa hovyo.
QURAN NA MUHAMMAD VYOTE NI UNAFKI ULIOKUJA KUUPINGA UKRISTO, NA ILI QURAN IPATE NAFASI NI LAZIMA WAIPINGE BIBLIA AMBAYO WAMEIKUTA IMESIMAMA. SIWEZI KUISIKILIZA MANA NI KITABU WAPINGA KRISTO. Ila waislamu. 😅😅😅😅
Shekh unawakela sana wakristo endelea kuwapa ndozi ivyo ivyo adi wanyooke, shekh nakukubali auongei wewe yanaongea maandiko tu tena unawadhibu kwa maandiko yao wao mwenyewe
Nilicho gundua wakilisto wanaweka akili Zao zakibinadamu katika mambo ya mungu na pili wanalitaja jina la mungu lakini awajui uzito ukubwa wa mungu wakilisto wanaweka sana akili Zawe neno mungu awajalijua bado bado sana😢😢
Swali langu namba kuuliza wewe mwandi wakilisha swali hili kwa mujibu wa uislamu YESU nimtume wa waisrail je ujiowake anaokuja kamaalivyokiri kuwa atahukumu kufuata quluani je hii mara yapili atakuja kwa ajili ya waislaeli au limekaeje
Quran 4:172-173. According to Sura na Aya hizo naniatawaingiza watu peponi? Allah au YESU? Mungu Hana mwana na hii Quran 19:19 Haiwi Allah kuwa na mwana ila nini,,? Quran 3:78 Yaani unampinga mpaka Allah na Muhammad na Quran yao sio Bure utakuwa unapepo la uongo wewe
Aya uliotoa iposahihi yesu ninuru juakwamba manabii wote walio tumwa na mungu wakweli wote ninuru Jiulize waliomfuata nabi musa je? Waliomfuata daudi hawaingi kwenye nuru?
Nisawa useme anaemfuata rais nyerere ataingia kwenye nuru anaemfuata rais samia haingii kwenye nuru wakati wotehawa power yao imelingana nawapo chama kimoja
@@zuberkasim7150 1. Aya uliotoa iposahihi yesu ninuru - SHUKRAN KWA UAMINIFU WAKO 2. manabii wote walio tumwa na mungu wakweli wote ninuru - TOA NDIKO KUHUSU MADAI YAKO ISIWE NI MAFUNZO POTPUVU YA WALIMU WENU. Jiulize waliomfuata nabi musa je? Waliomfuata daudi hawaingi kwenye nuru? MUSA NA DAUDI WALIBAINISHA NA KUELEKEZA WATU UJIO WA YESU KRISTO MUSA KWA TORATI 18;15 DAUDI KWA ZABURI 16:8-11 NA MWISHOE YESU AKATHIBISHIA WANAFYNZI WAKE KWENYE LUKA 24:44 Akawaambia, “Haya ndiyo mambo niliyowaambia nilipokuwa pamoja nanyi; kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika she ria ya Musa, katika Maandiko ya manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”
Ujinga mtupu -- endeleeni tu na hiyo " roho ya mpinga kristo " lakini siku inakuja mtakapo kuwa mkiogolea kwenye moto wa milele " hapo ndipo mtakapojua kuwa,kumbe mlikuwa Gizani"
Mmekalilishwa waislamu ndio wapinga kristo wakati ninyi wakristo ndo wapingaji wakubwa matendo na mafundisho ya Yesu hamyafati bali manafata mafundisho ya akina Paulo,Yohana,
Ulisha wahi kusikia yesu alikaa kwenye viti na kufanya ibada kama unataka kumfata yesu sujudu, fuga ndevu usivae suti kwenye ibada tawadha apo ndio utakua umemfata yesu
@@mudighurayra Ndio...Yesu alikaa kwenye viti - Luka 4:16 Yesu alifanya ibada kwa Baba yake Mwneyzi Mungu...sio mungu tasa, kipofu na bubu!! Kufuga ndevu na kuvaa suti kwa raha zangu - Mhubiti 9:8 muhammad ali-copy mafarisayo kutawadha, lakini Yesu anawaambia > Matayo 23:27 "Ole wenu walimu wa Sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mko kama makaburi yaliyopakwa chokaa ambayo kwa nje yanaonekana kuwa mazuri, lakini ndani yamejaa mifupa ya maiti na kila namna ya uchafu. 28 Hali kadhalika ninyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu."
@@chapchap-oz1ou Sasa kweli utakua na akili umeona ndio point iyo ety Mungu tasa, sifa ya Mungu ni uumbaji na sio kuzaa kama Mungu atakua ana zaa itakua ana tafauti gani na wewe
Uongo - Heshima (Worship) unayompa Mungu Yesu anastahili IVO IVO.....ukimheshimu Mungu pekee bila Yesu Kristo dua yako inaangukia patupu. Yohana 5:23 ili kila mtu amheshimu Mwana kama amheshimuvyo Baba. Yeyote anayekataa kumheshimu Mwana, anakataa kumheshimu Baba aliyemtuma. 24 Ninawaambia hakika, yeyote anayesikiliza maneno yangu na kumwamini yule aliyenituma, anao uzima wa milele na hatahukumiwa. Amevuka kutoka kwenye mauti, na kuingia katika uzima. WAISLAMU MMEDANGANYWA M'MKANE MWANA...MNAINGIA KWA MAUTI ....YAANI JEHANAM!!
Simulizi Mungu akubariki sana
Mbogo kichwa ngumu kweli Mungu akusaidie
Izi comments zangu zinaonyesha ni jinsi gani niko PROUD kumfuata Yesu Masihi. Raha sana
Unafata Yesu kivipi?
Mwambie sheikh asome Mathew 3:13-17 vile Johana alimbatiza Yesu,awache uongo ya kiislamu.
UISLAMU BILA UONGO UTAANGAMIA!!
@waluohopaulo2116 sasa wewe unalazimisha asome iyo kwaiyo iyo aliyosoma alitoa wap mdomoni kwake, kitabu chenu ni kina jichanganya chenyewe na ndio mana mbaka leo na nyie mko kwenye kujichanganya tu hamuelew mko wapi
@@mudighurayra
kawaida ya kafiri mpinga Kristo atasoma lakini atapinda tafsiri,,,
Manabii hawabatizi mtu na Yesu mwenyewe hajabatiza mtu, Wakristo wanabatiza kwa kudai kama binaadamu yeyote akizaliwa anakuwa anadhambi ya asili ameirithi kutoka kwa Adam alipo kula lile tunda peponi na huu ni uwongo na uzushi, kwanini? Kwa sababu Mwenyezi Mungu alifuta dhambi ya Adam baada ya kutubu kwa hio hakuna kitu kinaitwa dhambi ya asili, soma Quruani inavyo onyesha kama Mungu alimsamehe Adam: Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu. --al_baqarah 37
@@chapchap-oz1ou hivi kama kweli ww unasema biblia iko perfect nikulize kwani wewe Mungu wako nani
Sheikh wew uko vzuri
Jamaa halina hoja, liko tu, kwa hivyo mnampinga kristo. Khaa! Kwani yeye hampingi Muhammad? Na kama Quran imeletwa na mashetani kwa nini basi inaonya, inaeleza ya kesho, inafundisha maisha ya binadamu duniani na akhera, nk. Hajui kama shetani haelezi mazuri! Jamaa mhoji yu ovyo kabisa. Ahsante sheikh.
@@dudejuma Muhammad alikuja kupotosha watu waingie kwenye imani yake, mtume wa mwisho alietumwa na Mungu duniani ni Yesu Masihi tu, Muhammad ni tapeli kama matapeli wengine
yote hayo walikopi ktk biblia maana islam imeukuta ukristo
Jmn nimewatangulia naomben likes 😂😂😂😅
Jipe mwenyewe
Kasome ata Biblia ya Saudia, ila Kristo ndie mwokozi wa maisha ya kila mwanadamu. Yoyote aendae kinyume nae hawezi kufika kwa Mungu wetu alie hai. Labda kwa Alla Mungu wa waislam
Umefanya maamuzi mazuli sana kaka
Simulizi ujumbe umefika mwenye sikio na asikie
ANDIKO KWA WAPINGA KRISTO.
Mathayo 16:15-17
[15] Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” [16] Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” [17] Yesu akasema, “Heri wewe Simoni mwana wa Yona, kwa maana hakuna binadamu yeyote aliyekufunulia jambo hili, ila Baba yangu aliye mbinguni.
Ila waislamu 😅😅😅😅😅😅
Mashallah sheikh mbogo
Hawa jamaa waislamu Mungu awasamehe sana muangalie anapopindisha maandiko jamaaa anamuuliza enendeni ulimwenguni kote mkayafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu eti anapindisha yale ni makabila kumi na mbili du
Mataifa alimaanisha makabili 12 ya Wana wa Israel
@@sultanbakary4292na ulimwenguni kote alimaanisha nini
@@sultanbakary4292 wana wa Israel maana yake ni wacha Mungu, ndo wanaitwa wana wa Israel. Biblia sio juzuu ndugu. Watoto wadogo hamuwezi kuelewa.
WAARABU PAMOJA NA MUHAMMAD WAMEWEZA KUWAWEKA NDONDOCHA NDUGU ZETU WAISLAM.
Wamekariri kila kitu bila ata kuchanganua.
MUNGU WASAMEHE NDUGU ZETU.
@@Jamal22-o5n SIO WARABU NDGU YANGU NI PAULO NDO KATUFANYA TUWE MAZUZU
Habari ya Neno la Mungu ni la KIROHO ukiongea kama umelewa hakuna lolote unatafuta tu njaa mkale
Umekuingia hiyo chomoa
Wakristo nyinyi imani yenu haieleweki na waumini sahihi wakiipinga mnadai kama hawana elimu ya roho, for example juzi juzi tu Ndacha na Danieli wanabishana kuhusu Utatu
Nyinyi bibilia kama itaifuatilia vizuri itaitambua kua sio ile ya uhalisia hamuoni inavyo pishana maandiko yake
Hizi ni mbili baadhi ya sifa nyingi za MPINGA KRISTO kutoka kwa Biblia!!
1 Yohana 2:22 Je, mwongo ni nani? Mwongo ni yule anayekana kwamba Yesu si Kristo. Mtu huyo ndiye mpinga-Kristo, anayemkana Baba na Mwana.
2 Yohana 1:7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, watu wasiokiri ya kwamba Kristo alikuja kama mwanadamu. Mtu kama huyo ni mdanganyifu na mpinga-Kristo.
Maneno ya Yohana hayo sio Yesu
Sasa utaamini vipi iyo aya yako wakati biblia original ata babu yako hakuwah kuiona so umejiridhisha vp kama kuna ukweli wakat tunaona biblia now zipo tafaut
@@mudighurayraLete biblia yako sahihi na Quran yako sahihi tutaamini.Mtume wa majini mudi ndiye mpinga kristo
@@ulimwengumaulid7397
Comment ya Mpinga Kristo 😂😂😂
@@mudighurayra
Ukidai ni feki...toa yako original tuone tofauti!!
Asiyemuamini Allah na Mtume SAW, na mwenye kuamini Nabii Issa kuwa ni Mungu wote ni makafiri na wote kesho motoni. Allah hana haja nao hata kuwauliza chochote. Watakuwa Fil Narri Jahannam. Makafiri watuambie huyo mungu wao anayo dhakari au uke hata azae! Mmh!!!!!!
WAPINGA KRISTO PALE WANAPOAMUA KUONYESHA RANGI ZAO HALISI.
Allah amewaumba waislamu kwa makundi kabla hata hawajazaliwa.
1. Kundi la Watakao ingia motoni - Hata fafanye mema gani (hawa wameumbwa kwa jili ya jehanam)
2. Kundi la watakao ingia peponi - hata wafanye mabaya gani.
@@brightzone. hebu tupe iyo aya mzee sio porojo tu hhh
@
Sahih Muslim - Hadith Namba 2662c
Soma hiyo Hadithi - Utaona. Ukishamaliza kusoma rudi tena hapa.
@@mudighurayra
Sahih Muslim Hadith Namba 2662c
Ukimaliza kusoma naomba urudi hapo - ili tujadili zaidi. Usiache kurudi tafadhali.
Simulizi zone upovizuri
We mbogo Yesu alibatizwa na Yohana kabla Yohana hajafungwa gerezani acha kudanganya watu kwa kusoma maandiko alafu unatafsiri kinyume
Sasa kwa mujibu wa biblia yesu hakuwah kukutana na yohana, maana yohana yko jela anaskia habari za yesu ndio akauliza shwali kua ndio yeye alie tabiriwa au asubiriwe mwengine, sasa tuambie ww alimbatiza wapi
@@mudighurayra
waislamu mnapotoshwa kila siku na walimu wenu...eti yesu hakuwah kukutana na yohana?????
Matayo 3:13 Kisha Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka mto Yordani ili abatizwe na Yohana. 14 Yohana alitaka kumzuia akimwambia, “Mimi ndiye ninahitaji kubatizwa na wewe, mbona unakuja kwangu? ” 15 Lakini Yesu akamjibu, “Kubali iwe hivi kwa sasa; kwa maana inatupasa kutimiza haki yote.” Kwa hiyo Yohana akakubali.
WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!.
Yohana hakukutana na Yesu.Wala Nabii Yesu hakubaatizwa na wala hakuleta ukristo.Nabii Yesu ni muislamu. Muislamu ni mtu aliyejisalimisha kwa Mungu/ALLAH aliyeumba kila kitu.
@@berry4726
ni kweli Yohana hakukutana na isa.Wala Nabii isa hakubaatizwa na wala hakuleta ukristo.Nabii isa ni muislamu,Muislamu ni mtu aliyejisalimisha kwa Mungu/ALLAH aliyeumba kila kitu.
@@berry4726
Wewe unamaanisha hivi >>>> Yohana hakukutana na isa.Wala Nabii isa hakubaatizwa na wala hakuleta ukristo.Nabii isa ni muislamu. Muislamu ni mtu aliyejisalimisha kwa Mungu/ALLAH aliyeumba kila kitu.
Kweli huyju shekhe anaonekana ni mwanafunzo wa midaharo kama hii akasome vizuri Quran inamtambua yesu kama nani na kwa nini arudi yesu na sio mtume mwingine na kama kasema yesu alikuwa nadhambi ndogo ndogo atueleze from Quran na suna hizo dhambi ni zipi
Wewe usivyo jitambua hujui kama hapa vinanukuliwa vitabu vyote hadi wanavyo viamini wakristo wenyewe. Sasa ukiwa na akili za upande mmoja lazima upate taabu, na pia kusema vidhambi vidogo vidogo ambavyo mwanadamu hawezi viepuka aya zipo ndani ya Quran.
Sasa nijambo la aibu sana wewe uliye Muislamu kuingiza upinzani wako hapa
@@kahenatz3594 Hamna kitu apo, uyo ostaz ni chenga
Mpinga Christor n Mohamed juu akuna nabii alikana yesu c mwanga wa ngungu
Kwaiyo kama Mungu atakua na mtoto kama wewe mtakua na tafauti gani
Thofauti Wa MUNGU Ni Uwezo Wake Wewe Hauna Na Hauto Waikua Nao Hata Milele🎉❤
ukweli mtupu.....muhammad na wafuasi wake ni wapinga Kristo....na ghadhabu ya Mungu imewakalia - Yohana 3:18/36
Embuhilo swali uliza ata chatGpt itakujibu Muhammad saw na waislamu pekee ndo wanaowalinda na kuwatetea nitumie yote na manabii nyie wakiristi na wayahudi mnawazushia uwongo na kuwatusi manabii na mitume wa Mungu uislamu pekee umewapa mitume na manabii heshima Yao ilozulumiwa kwenye bible
@@thehomeoffootballskills4358
mtume wa wailsmau ni muhammad....na alipewa utume huo na mke wake khadija
Msipo mwamini Yesu kuwa ndiye mwana wa Mungu hamna uzima wala hiyo pepo
Unadalili gani? Sheikh hapo amethibitisha kimaandiko kama Yesu mwenyewe hakusema kama ni mwana wa Mungu
He ndio hawa watu wa pididi tena mandiko huelewi mwalimu mdogo
Kaijibu comment yangu niliomwambia elimu yake ya ku'GOOGLE. 😅😅😅😅😅
SIMULIZI UYO MZEE ATAKUOTA, MAANA WW SIO MCHUNGAJI WALA MWALIMU WA DINI LAKINI KUPITIA MAANDIKO MACHACHE TU MPAKA AMEKUNJA SURA. ANGEKUTANA NA NDACHA ANGEMPIGA NA MAKOFI.
Waisilam wengi ni mbumbubu hata anachokieleza
Uyu Ostaz hajitambui, anaacha vitabu vya dini anachukua vitabu vya wasomi wa kidunia 😅😅
Uyu Ostaz ni noma, eti kuna Biblia nyingine tofauti na Biblia Takatifu kaisahau anataka aitumie kujibu maswali. 😅😅😅😅😅😅😅
Hivyo vitabu vipo kwenye google pia aisee
Jamaa linapotaka kujibiwa sahihi linababaisha kwa kutoa swali jengine. Nadhani linafahamu lakini fedha tu ndizo zitakazowaingiza wachungaji motoni.
wapinga kroto hayoo
Mbogo myahudi wa leo
Huyu Kwa mdahalo Hana lolote, na hakuna siku amewai shinda
Yani leo ninachokkiona ni Simulizi anambaka Ostaz wa waislam 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Simulizi we wavuta bagee eeh maandiko yote hayo sheikh letu yuwakutolea bado2 Nafsii yako aija kusuta.
Yesu anabatizwa na Yohana M[athayo 3:13-17]. Yohana anatuma wanafunzi akiwa Gerezani kwenye [Mathayo 11: 3-7]. Yaani unaruka kuanzia aya ya 3 unaenda kudanganya Yesu hakuonana na Yohan kwenye aya ya 11. Kati ya aya ya 3 na aya ya 11, ipi imetangulia?
Hoja ya waislamu hakuna ngeni
Anakubali Mungu alimfanya Yesu kuwa mkuu na mwokozi kwa israel wakiungama na kutubu dhambi zao kupitia Yesu atakuwa watapata toba na msamaha wa dhambi, ila sio mkinga, msambaa mluguru mpemba na wengineo isipokuwa wa Israel. Anakiri bila kujijua. 😅😅😅
Hamna kitu apa. Na mm mpaka aniombe radhi
HUYU NI JINI, NA HUYU NI MUONGO , QURAN YENYEWE INAMUONGELEA MASIHI ISSA NI ROHO YA MWENYEZI MUNGU, msimsikilize huyu jini atapeleka roho zenu kuzimu baada ya kifo achaneni naye.
Kwa Mujibu wa Quran inasema Mungu atakufa, hivyo hata sipati shida ya kuijadili wala kusikiliza chochote kilichomo. Muislam twende Quran 29 aya 57, kisha Quran 5 aya 116. Njoo na majibu, kama huna unalolijua tuliza mshono kuleee! 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Akitaja maandiko unaweza ukasema kuna mtu, kumbeee chenga 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Huyu msanii anapinga maneno yote ya Yesu na maandiko yake. Wafuasi wa marehemu Muhammad ni wapinga kristo kabisa
MBINGU NI VIUMBE 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Yale yale, kuna majua mengi. Uyu Ostaz ni chenga. Kesho atasema bahari ni kiumbe 😅😅
Waislam mnatumia nguvu nyingi sana kuaminisha watu kuwa uislam ni dini ya kweli. Unajua maana yake ni nn? Sio dini ya kweli. Jiulize kwanini wakristo hatujaanzisha huo mjadala wa dini ya kweli. Na kwanini hatuma .uda wa kupoteza kuwakosoa wenye imani nyingine tofauti na ukristo? Ukweli hauitaji kutumia nguvu, tunajua imani yetu ni thabiti, ndo mana tuna"relax. Tunaingia kanisani jumapili kwa ibada kuu, mara moja kwa wiki. Ila waislamu bhana, msikitini kila siku, tena mara 5 kwa siku. Hahahahaha, kazini saa ngapi ndugu. Na Mungu alisema asiefanya kazi na asile. Pia alisema fanyeni kazi ndani ya siku 6 za juma. Siku ya 7 ni siku ya sabato, tusifanye kazi, iyo ni siku maalum ya kumtukuza kumsifu kumwimbia na kumuomba toba na kumtolea fungu la riziki anazotupatia kila siku. Oneni waislam mnavyoteseka ili tuwaone ndo dini ya kweli. Hahahahahahahahahahahaha
Alafu Quran iyo iyo inasema Mungu atakufa kama sio bangi ni nini. Quran 29 verse 57 alafu nenda Quran 5 verse 116. Alafu aje muislam na majibu ya kukanusha izo aya hapo.
Ogopa kupotosha usichanganye maji na mafuta,maandiko yanayo sema kwenye uumbaji natumfanye mtu kwa mfano wetu,wao wangapi na akaumbwa adamu, mwalimu kichwa chako ni bangi tupu
Simulizi kuna kitu unafeli kwanini hoja zako zinalazisha mtu ajibu majibu unayoyataka wewe ukiwa mtu Wa hoja usitake mtu akujibu majibu unayoyataka kwa kupenda ukristo uwe ni dini ya haki
LILE NI TAMKO SIO KAMA MUNGU ALIMUEKA MTOTO TUMBONI KAMA UNAVYOJUA WEW SIMULIZI...MUNGU ALISEMA TU KUA ISSA AKAWA ISSA... SIO ALIMUEKA TUMBONI...
Uyo taahira ulimuuliza swali la jua kuzama matopeni akashindwa kujibu leo unamuuliza kuhusu Kristo unategemea atakujibu nini?
Akili za waislam wengi haziko tofauti na hii shida apa. Ila sio shida, Yesu aliwatabiri baba zao na babu zao kabla ya uwepo wao kwenye uso wa dunia. Alimtabiri mpaka nabii wao wa mchongo, mzee wa pepo za uzinzi na mito ya pombe.
Iyo biblical imebadilishwa mara nyingi na imeingiziwa mabomengi si katika mafunndisho sahihi ya issa
We mbogo usiishie kwa mstari wa 20 tu endelea mbele uwelewe
mini mkristo nimeokoka nampenda yesu pia namwamini mtume shaka kwakitabu kwamaana kwamujibu wahistolia yakitabu chaslim mtume anakufa tu koloani zote zikachomwa moto swali JE HII YASASA IMEANDIKWA NANANI🤔🤔
Ili kukataa kuwa yesu haokoi inatakiwa ukose akili hata ya kuendea chooni😂😂
Yesu ni Mungu hivyo hakuna la kumshinda tito2:13
Waislam wanateseka sana, wanajua fika Yesu Masihi ni wa kwanza kabla ya Nabii wa uongo aliedanganya waumini wake pepo ya uzinzi na ulevi. Muhammad alitabiri nini ikiwa yeye alidandia unabii matokeo yake Akafa mazima akaenda kuzikwa. Mana alijua atafufuka kama Yesu Masihi hakurudi mpka leo Na waislam walivyo wanafiki na imani yao dhaifu ili ionekane thabiti eti wanamsifia Ostaz mnafki na mwenye elimu duni. Mbogo ana google kichwani. 😅😅😅😅😅
Kaongeza vitabu vilivyomtaja Muhammad ambacho sio BIBLIA. 😅😅😅😅😅😅😅
Yani kitabu chochote kinachounga mkono uislam anatumia, maana Biblia na Quran havijatosha. 😅😅😅😅😅😅
Daaaaaaa kweli Wasilamu wengi Kwa style hiii ya huyu shee nagundua Hakiri sio mzuri kabisa najisikia vibaya kusema haya mko na Hasiri ya Uwongo sana Sio wakweli kabisa.
Mtu unasema hakiri alafu bado unasema una akili 😂😂😂dah hatari sana
Mbona Paul Hussein Mubarak Yuko.Tanzania ni mtu ambaye alipata Degree ine za uislamu ya Kwanza Tripoli Libia ,Kuwait City, Teheran.Iran pia Saudia Arabia. Huyo. muinjolisti aliokoka na isitoshe.aliokoka kupitia Korohani yenyewe ikampelekea kwa Yesu. mimi namfuata mtandaoni nikiwa hapa Marekani lakini mu Congomani by Nationality. Mumfuateni Hussein Mubarak nyinyi Waaislam muokolewe. Mubarak Hussein ni mzaliwa wa Bukoba/Uzizi
yani kuluani nikitambu chahovyo sana asa kuruani yote imekop kwenye biblia cz imekua mwaka wa1000 nyuma naalieleta uislamu namtume muhamadi
Kulingana na Quran surah 19:19 Yesu ni pure, ajawai fanya dhambi ata moja, na Quran iyo iyo na Hadiths zinasema Muhammad alifanya dhambi nyingi sana 🤔 kwanini Muheshimiwa sheikh anapinga Quran?? 🙂
Biblia ndiyo wanayo itegemea ndiyo ina sema yesu anasema mwenyewe kuwa mzigo wake ni mwepesi yaani dhambi zake sasa wewe usicho kielewa hapo nini? au nawewe unataka kumtakasa awe Mungu au mwana wa Mungu?
Yaani ni Maajabu kuwa Muislamu kuwa na kichwa kigumu kuelewa lakini wasiyo kuwa waislamu wana elewa.
Mbogo ni muongo sana
Simuliz Mungu ammbariki sana ujumbe umefika
Uelewa wa mbogo anaelewa lakin anajitoa fahamu Mungu akusaidia
@@imhotepheru436 Soma na Mathayo 11 : 29 - 30.
Mathayo 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁹ Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
³⁰ kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Usiwe na mawazo mgando kubishana kwenye jambo usilo na elimu nalo. Kila jambo lina mahali pake, huu ni mjadala wa hoja pande mbili na vitabu vinavyo tumika ni vya pande mbili kwahiyo uelewe mantiki ya msemaji amekusudia nini kusema hayo usiwe unakurupuka tu, Hapa siyo uwanja wa Mawaidha msikitini bali ni uwanja wa hoja dini linganishi.
Siyo kujua aya kwenye Quran tu ndiyo ujifanye kuwa una weza mijadala hii
Ukifatilia vizuli uislamu ndio mpinga kristo mwenyewe
Tulieenda Cuba 🇨🇺 tumeelewa
YAANI NIACHE BIBLIA, NIIFUATE QURAN KITABU KINACHOHUSISHA MAJINI NA MAFUNDISHO YA MUHAMMAD YA KUPIGA MSWAKI? 😅😅😅😅😅😅
Hawa jamaa zetu ni wapinga Kristu waziwazi eti jamaa anasema Yesu ana dhambi ndogondogo du .waislamu wanachojua tu ni kwamba Yesu alitawadha
UYU OSTAZ KANZU UELEWA WA BIBLIA SIFURI, YEYE ANASOMA KAMA ANASOMA JUZUU 😅😅😅😅
Yohane 5:37
[37] Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Nyinyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake,
Hapo Yesu alikuwa anawaambia wayahudi waliotaka kumuua kwa kuwa Yesu alimponya mtu siku ya SABATO alieumwa kitandani kwa miaka 38. Alimaanisha kutoka na imani yao haba ya kutokumuamini Yesu hawana sikio la kuweza kusikia sauti ya Mwenyezi Mungu wala jicho la kumuona.
NA SIO UYO MGONJWA ANAVYOWADANGANYA WAISLAM WENZAKE.
Soma Yohana 5 verse 1 - 37 ndo utaelewa ww muislam unaemsikiliza uyu Mzee wa hovyo.
QURAN NA MUHAMMAD VYOTE NI UNAFKI ULIOKUJA KUUPINGA UKRISTO, NA ILI QURAN IPATE NAFASI NI LAZIMA WAIPINGE BIBLIA AMBAYO WAMEIKUTA IMESIMAMA. SIWEZI KUISIKILIZA MANA NI KITABU WAPINGA KRISTO. Ila waislamu. 😅😅😅😅
Shekh unawakela sana wakristo endelea kuwapa ndozi ivyo ivyo adi wanyooke, shekh nakukubali auongei wewe yanaongea maandiko tu tena unawadhibu kwa maandiko yao wao mwenyewe
Nyerere ni baba yenu wakristo wa Tanzania, je amekuzaaeni?
Kitabu chennu hamna injili somen humo sio injili ilio andikwa kwenye biblia
Nilicho gundua wakilisto wanaweka akili Zao zakibinadamu katika mambo ya mungu na pili wanalitaja jina la mungu lakini awajui uzito ukubwa wa mungu wakilisto wanaweka sana akili Zawe neno mungu awajalijua bado bado sana😢😢
Hata kuandika tu Mungu unakosea utajuaje habali za Mungu kupotia qurual
Qurual ndio nin?
Acheni makumbano ambayo kati yenu hakuna mtu yeyote mwenye jibu
Swali langu namba kuuliza wewe mwandi wakilisha swali hili kwa mujibu wa uislamu YESU nimtume wa waisrail je ujiowake anaokuja kamaalivyokiri kuwa atahukumu kufuata quluani je hii mara yapili atakuja kwa ajili ya waislaeli au limekaeje
Ndio maana mkaambiwa msome kwanza kabla ya kukurupuka,
Quran 4:172-173. According to Sura na Aya hizo naniatawaingiza watu peponi? Allah au YESU?
Mungu Hana mwana na hii Quran 19:19
Haiwi Allah kuwa na mwana ila nini,,?
Quran 3:78
Yaani unampinga mpaka Allah na Muhammad na Quran yao sio Bure utakuwa unapepo la uongo wewe
Mwambie sheikh ya kwamba wayaudi pia ni wana wa Israeli and they are part of 12 tribes who decided to follow there own path of belief.
Simulizi usilete mwanafunzi au mtu hajui lolote Kwa maswali... huyu zuzu
iv kwanini yesu hamumwelewi kwaspichi zenu tu jmn eti mungu ajawah kutoa saut nakuongea nawatu we sheeumepotea sokdg
Bongo fundi sana
Ukristo nimatatizo sana yesu anase yeye nimtu
Yohana 8-40 wapi kasema ni mungu❤
Mbona unarukia aya ya 40 na kuziacha nyingine???
Aya ya 12 Yesu Kristo ametangaza yeye ni Ayat al-Nur - Mwenyezi Mungu!!
Aya uliotoa iposahihi yesu ninuru juakwamba manabii wote walio tumwa na mungu wakweli wote ninuru
Jiulize waliomfuata nabi musa je? Waliomfuata daudi hawaingi kwenye nuru?
Nisawa useme anaemfuata rais nyerere ataingia kwenye nuru anaemfuata rais samia haingii kwenye nuru wakati wotehawa power yao imelingana nawapo chama kimoja
@@chapchap-oz1ouupo sahihi yesu ninuru je? Waliomfuata musa daudi hawaingii kwenye nuru?
@@zuberkasim7150
1. Aya uliotoa iposahihi yesu ninuru - SHUKRAN KWA UAMINIFU WAKO
2. manabii wote walio tumwa na mungu wakweli wote ninuru - TOA NDIKO KUHUSU MADAI YAKO ISIWE NI MAFUNZO POTPUVU YA WALIMU WENU.
Jiulize waliomfuata nabi musa je? Waliomfuata daudi hawaingi kwenye nuru?
MUSA NA DAUDI WALIBAINISHA NA KUELEKEZA WATU UJIO WA YESU KRISTO
MUSA KWA TORATI 18;15
DAUDI KWA ZABURI 16:8-11
NA MWISHOE YESU AKATHIBISHIA WANAFYNZI WAKE KWENYE LUKA 24:44 Akawaambia, “Haya ndiyo mambo niliyowaambia nilipokuwa pamoja nanyi; kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika she ria ya Musa, katika Maandiko ya manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”
Mbogo we muongo maneno yako yatakushuhudia
Mbogo maneno yako yatakuhumu
Ujinga mtupu -- endeleeni tu na hiyo " roho ya mpinga kristo " lakini siku inakuja mtakapo kuwa mkiogolea kwenye moto wa milele " hapo ndipo mtakapojua kuwa,kumbe mlikuwa Gizani"
Mmekalilishwa waislamu ndio wapinga kristo wakati ninyi wakristo ndo wapingaji wakubwa matendo na mafundisho ya Yesu hamyafati bali manafata mafundisho ya akina Paulo,Yohana,
Pole sana ndugu ktk Adam
Ulisha wahi kusikia yesu alikaa kwenye viti na kufanya ibada kama unataka kumfata yesu sujudu, fuga ndevu usivae suti kwenye ibada tawadha apo ndio utakua umemfata yesu
@@mudighurayra
Ndio...Yesu alikaa kwenye viti - Luka 4:16
Yesu alifanya ibada kwa Baba yake Mwneyzi Mungu...sio mungu tasa, kipofu na bubu!!
Kufuga ndevu na kuvaa suti kwa raha zangu - Mhubiti 9:8
muhammad ali-copy mafarisayo kutawadha, lakini Yesu anawaambia > Matayo 23:27 "Ole wenu walimu wa Sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mko kama makaburi yaliyopakwa chokaa ambayo kwa nje yanaonekana kuwa mazuri, lakini ndani yamejaa mifupa ya maiti na kila namna ya uchafu. 28 Hali kadhalika ninyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu."
@@chapchap-oz1ou Sasa kweli utakua na akili umeona ndio point iyo ety Mungu tasa, sifa ya Mungu ni uumbaji na sio kuzaa kama Mungu atakua ana zaa itakua ana tafauti gani na wewe
Mbogo muulize paulo kilcho mtokea njian alikutana na mwamba imara bado wewe
Ukiabudu Yesu maana yake unaabudu binaadamu mwenzako.
Full stop
Uongo - Heshima (Worship) unayompa Mungu Yesu anastahili IVO IVO.....ukimheshimu Mungu pekee bila Yesu Kristo dua yako inaangukia patupu.
Yohana 5:23 ili kila mtu amheshimu Mwana kama amheshimuvyo Baba. Yeyote anayekataa kumheshimu Mwana, anakataa kumheshimu Baba aliyemtuma. 24 Ninawaambia hakika, yeyote anayesikiliza maneno yangu na kumwamini yule aliyenituma, anao uzima wa milele na hatahukumiwa. Amevuka kutoka kwenye mauti, na kuingia katika uzima.
WAISLAMU MMEDANGANYWA M'MKANE MWANA...MNAINGIA KWA MAUTI ....YAANI JEHANAM!!
Ww endelea kumuombea Mtume wako Muhammad makaburini kwa maana anajua peponi hatoboi ndo mana anaomba dua zenu.
Sheikh wew uko vzuri
Habari ya Neno la Mungu ni la KIROHO ukiongea kama umelewa hakuna lolote unatafuta tu njaa male
Acheni makumbano ambayo kati yenu hakuna mtu yeyote mwenye jibu
iv kwanini yesu hamumwelewi kwaspichi zenu tu jmn eti mungu ajawah kutoa saut nakuongea nawatu we sheeumepotea sokdg