WAISLAM SHUHUDIENI MTIHANI HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH charitable associassion.
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal
    Alfatah tv online
    kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490

ความคิดเห็น • 278

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 6 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah alhamdullillah nimewapenda sana waumini wa hapa wanajitahidi sana kwenye ibada Allah awaongize kwenye kher na awazidishie imani nasi atupe subra na afya na rizik na moyo ya kutoa kwa ajili ya Allah

  • @zamamuuhamisi6654
    @zamamuuhamisi6654 5 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainnailaih rajuu mungu wanguu waislamu tuko WAP jamanii

  • @bintiiomary9500
    @bintiiomary9500 5 ปีที่แล้ว +11

    Jamani Al Fatah nataka kuchangia n mm nko mbali 🇶🇦🇶🇦Qatar ntaka kututoa kwa ajili y Allah

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

      Bintii Omary nmba yao ipo hapo

    • @abdulrahmaniddy3648
      @abdulrahmaniddy3648 5 ปีที่แล้ว

      asalam aleikum

    • @aminaelisha8183
      @aminaelisha8183 5 ปีที่แล้ว

      Bintii Omary unafanya nn huko kayari kuna kz nami huko zandani

    • @alfatahtvonline3374
      @alfatahtvonline3374  5 ปีที่แล้ว

      Bintii Omary naomba yako ya whatsapp

    • @alfatahtvonline3374
      @alfatahtvonline3374  5 ปีที่แล้ว

      Binti Omary je ulifanikiwa kutoa sadaka yako? kama bado naomba tuwasiliane kwa namba hii +255657437007

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 5 ปีที่แล้ว +49

    Ya allah nipe katika neema zako niweze kufanya kheri kama hizi.

    • @sashaamir0019
      @sashaamir0019 5 ปีที่แล้ว +1

      Basloom Walid kwasote insha Allah

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaa,,,,,,neema za mungu mtihani!!!

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 ปีที่แล้ว +2

    Subhan Allah 😭😭😭🤦‍♀️ mwenye zimungu Ghaz'wajallah ajalye duwa za waja wke ziwe makbur sina laguchangia kifedha lakini nimependa nalau ningelikuwa karibu ningesaidia Hata kwanguvu zangu na hivi yote sijajalwa Alhamdulillah ln shaa Allah Allah Ghaz'wajallah anijalye nisisahau kukumbuka kuombea duwa ndugu Hao ambao wa nahitaji na Mola ndiye mkwasi kwa kila kitu🤲🤲🙏

  • @MpateIsmail
    @MpateIsmail 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa uwezo wa allah msikiti utajengwa tu

  • @kyayangirehamdan5633
    @kyayangirehamdan5633 5 ปีที่แล้ว +3

    Habari ya kukaa kusubiri misaada wakati MNA nguvu nayo so nzuri anzeni kufyatu tofari kwa nguvu zenu muombe msaada wa bati na saruji.mwenyezimungu hataki watu wavivu.

  • @ibraringi8072
    @ibraringi8072 5 ปีที่แล้ว +8

    Kweli tutakapo nusuru dini ya Allah na Allah atatunusuru ss na Allah atie wepesi nyoyo zetu ziwe na wepes wakutoa

  • @nikitamarley3933
    @nikitamarley3933 5 ปีที่แล้ว +7

    Uko sehemu ngani Inshaallah🙏🙏

  • @jamyrarashidy4078
    @jamyrarashidy4078 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah ataleta kherii ishaallah

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa Allah mashaa Allah nimepapenda hiyo sehemu.

  • @mcoastcoast2033
    @mcoastcoast2033 5 ปีที่แล้ว +4

    Subhana Allah. Niwapi huko?

  • @nassorhamad8556
    @nassorhamad8556 5 ปีที่แล้ว +5

    Yaa RABBI tupe nasie waja wako riski za halali tupate kutoa nasie aaamiin

  • @zaitunijumanne6618
    @zaitunijumanne6618 5 ปีที่แล้ว

    Inalilah wa innalilah rajiuna,waislamu tuipende dini yetu kwa wenye uwezo tuchangie walau tufanye jambo.inshaallah.

    • @Wastara001
      @Wastara001 5 ปีที่แล้ว

      Hizo sauti zinazosikika ni muziki au nini? Kwani hamuwezi kutoa matangazo bila hizo kelele

  • @waziribakari6543
    @waziribakari6543 5 ปีที่แล้ว +8

    Unajielewa sana ndugu yangu mwandishi, Allah akulipe kher pamoja na taasisi yako na azid kukuongoza katika kher.

    • @allymayani4436
      @allymayani4436 5 ปีที่แล้ว +1

      Waziri Bakari inalilah wa inailah rajuun

  • @wanusuleiman169
    @wanusuleiman169 ปีที่แล้ว

    Allaahu akbar jamani tujitoleeeni ktk kuipigania dini ya aAllaah S. W na Allaah s. w atatusaidia ktk hil

  • @ناديهترتوب
    @ناديهترتوب 5 ปีที่แล้ว +5

    Subhanallah...jamani viongozi tembeeni mpaka vijijini msiishie mijini😢😢😢😢😢😢Allah ataleta kheri in shaa Allah

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 5 ปีที่แล้ว

      Wanasema MASHEKH hawakai vijijini?

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 5 ปีที่แล้ว

    Mungu atuwezeshe inshaallah tuweze kuchangia. Allahu Akbar.

  • @rowenamabulay4452
    @rowenamabulay4452 5 ปีที่แล้ว +2

    Subhaan Allah,Islnsha Allah kila jmbo litanyooka

  • @shamsahassan2586
    @shamsahassan2586 5 ปีที่แล้ว +1

    subhanallah,,mungu awazidishie watakaosaidia kujenga miskiti

  • @jumaaidi3024
    @jumaaidi3024 ปีที่แล้ว

    allah awjalie mpate msikiti mkubwa inshallah

  • @omarjoombi8802
    @omarjoombi8802 5 ปีที่แล้ว +11

    😥😥Allah atakulipen ALFATAH TV

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 5 ปีที่แล้ว +4

    Subhanna ALLAH.

  • @zulihanani7355
    @zulihanani7355 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah much love from uganda

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 ปีที่แล้ว +14

    Ningekuwa nauwezo ningesadiya jamani wenyeueezo sadiyeni😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 5 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallah.. Allah afanye wepesi inshaallah

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 5 ปีที่แล้ว +3

    Inshallah

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 5 ปีที่แล้ว +2

    😲😲Subbuhana Allah 😭😭jmn

  • @mithasari3030
    @mithasari3030 5 ปีที่แล้ว

    Subuanallah siyo adi mutu atoe pesa ata nguvu zenu mujitaidi mujenge nyie wababa na wamama nanyie musombe maji nshallah allah awatiliye wepesi inshallah

  • @babailu2133
    @babailu2133 5 ปีที่แล้ว

    Subhannallah EE Mola nipe uwezo ili niupeleke mbele Uislam wetu

  • @aishamohamed4727
    @aishamohamed4727 5 ปีที่แล้ว +5

    subhanaallaah, ....,

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubalik sana mtangazaji nakupenda sana ila kwann huwa unachagua waisram tuu kwann usiwe unachagua dini walazeebu manaa shida km izo wanazo wengi na wanaitaji msaada naona km yule flora wa nitetei abagui dini wala zehebu kila mwenye shida huwa anachangisha awe mhisram au mkilisto

  • @mamyrahima6913
    @mamyrahima6913 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ataleta kherii ishaallah. ❤️

  • @tawakalwamakaru8605
    @tawakalwamakaru8605 4 ปีที่แล้ว

    Subhan Allah maeneo gani uko uliko huwo mskiti tufahamisheni

  • @mwanakombojabiri6263
    @mwanakombojabiri6263 5 ปีที่แล้ว +5

    Allah atajalia wepesi..mbona amukueka namba ya muhusika

  • @kickermerakakaman7437
    @kickermerakakaman7437 5 ปีที่แล้ว

    subhanaallah inshaallah weny uwez watasaidia

  • @sumaiyaibrahim429
    @sumaiyaibrahim429 5 ปีที่แล้ว +1

    Inshallah tutatoa tunachojaaliwa ila mji huo Uko wapi? Na pesa tutatuma kwa njia gani? Allah Akbar

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 5 ปีที่แล้ว +1

    Allaah azidikuwap nguvu namaishamarefu amiin

  • @lailapandu1169
    @lailapandu1169 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah karimu

  • @chuseruna5344
    @chuseruna5344 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyenzi mungu awawezeshe ishaallah

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 ปีที่แล้ว +10

    Matajir wa kiislam pesazao kwenye mpira na kuwaita wanaoenda uchi kuja zanzibar et kutalii km hicho alichokitoa angeliwapa maskini 😭😭😭😭jamani dunia hadaa ulimwengu una mwisho yaallah tupe rzk za halali yarabii

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 5 ปีที่แล้ว +4

      sio kila kitu tajiri ndio afanye , siamini kwamba watu hao kila mmoja hana uwezo wa kuchangia matofali kumi msikiti ukanyanyuka, ni uvivu wa kufikiri na kukosa imani

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 5 ปีที่แล้ว +1

      Jamani hata kujitolea kwa kushirikiana hawawezi,waangeanza nna imani wangekuwa wamefikia hatua fulani ili wanaochangia waendeleze

    • @michaelboniphace3685
      @michaelboniphace3685 5 ปีที่แล้ว

      Ww umetoa nn kwenye hicho kidogo ulichonacho ?? Unalaumu matajiri wachangie kana kwamba uliwasaidia kuzitafuta

    • @fatmaaly9686
      @fatmaaly9686 5 ปีที่แล้ว

      @@michaelboniphace3685 mimi sikumsaidia kutafuta ila nikauli ya allah kila mwenye uwezo amsaidi fakir mimi sijatoa na unatakanikitoa nije nikwambie fala wewe njinga mwitu

    • @zahara.mtingita5740
      @zahara.mtingita5740 5 ปีที่แล้ว

      Hizi. Ndizo. Dalili. .ndogo. ndogo. Alizo. Zitaja. Mtume

  • @zainabusaid2222
    @zainabusaid2222 5 ปีที่แล้ว +9

    yaalah nipe rizi ya halali nitowe japo nitakachojaaliwa nimechukua namba za cm sijui ndie ya kuchangia au tunomba mongozo AMINA yarabilala

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 ปีที่แล้ว

    Subhanallah inasikitisha Allah atalipa al fatah kwa juhudi zenu

  • @abedamohamed2336
    @abedamohamed2336 5 ปีที่แล้ว +8

    Ishauwa mungu ataleta heri amina ya rabi🤔

  • @alibadi6323
    @alibadi6323 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah Allah atafanyawepesi ishaallah

  • @lutfiamattar5302
    @lutfiamattar5302 5 ปีที่แล้ว +4

    Yaallah wajalie waja wako wapate wafadhl tukiwemo ss

  • @joakimcyprian5198
    @joakimcyprian5198 5 ปีที่แล้ว +1

    Inshaallah Allah atanusuru

  • @awadhially1384
    @awadhially1384 5 ปีที่แล้ว +5

    Huu msikiti upon wapi na tunachangia vipi?

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 5 ปีที่แล้ว

      Angalia hapo kushoto kuna Namba zinapita Ndio za Kuchangia

  • @aminamfaume4244
    @aminamfaume4244 5 ปีที่แล้ว

    Haya ndio mambo ya kutuonyesha .Ahsant sna

  • @asadjuma3497
    @asadjuma3497 5 ปีที่แล้ว +1

    Uko wapi huo msikiti ndugu mtangazaji

  • @athumanipalamba3003
    @athumanipalamba3003 5 ปีที่แล้ว +2

    Nilisho kigundua kwa sisi wsslam niwagumu sana kutoa nakuji tilea tubadilikeni jamani

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 5 ปีที่แล้ว

    ALLAH AKBAR

  • @yahyafakih5190
    @yahyafakih5190 5 ปีที่แล้ว +6

    Uyu mtangazaji hata sehemu ulipo huu msikiti hataji sehemu

  • @msfatma946
    @msfatma946 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah ataleta kher yake in shaallah 🤲

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 ปีที่แล้ว

    Ishallah mta pata nawaombeya duwa mpate

  • @khamisame4732
    @khamisame4732 5 ปีที่แล้ว +9

    Mm sin uwezo wa kuchangia hela km itawezekana ukiazwa kujengwa mm nitakuwa kibarua namba moja na siku ya kuaza kujengwa tuambien mapema tuje tuyowe nguvu zetu kwa ajili ya Allah

  • @ftoomamh7873
    @ftoomamh7873 5 ปีที่แล้ว

    Allwaa karimu ishaallwaa

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว +5

    Subhannah msiki ni mdogo na watu wanasali leo sehemu nyingine misiki mikubwa na watu wanaona tabu kwenda kufanya Ibada.

  • @dickmlwilo3020
    @dickmlwilo3020 5 ปีที่แล้ว

    InshaAllah atukumbushe kwa hilo

  • @halimamlili7427
    @halimamlili7427 5 ปีที่แล้ว

    Allah nifanyie wepesi kama ulivo wafanyia wepesi wanaohitaji nani niwez kunyoosha mkoni

  • @musabiram1525
    @musabiram1525 5 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah!!

  • @halimahussein4752
    @halimahussein4752 5 ปีที่แล้ว

    Ni wapi ulipo

  • @musabiram1525
    @musabiram1525 5 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha sana

  • @firdausrashid3069
    @firdausrashid3069 5 ปีที่แล้ว +13

    Allah atupe wepesi. Mbona haikuelezwa huu msikti uko wapi? Shukran

    • @aymanabdallah9225
      @aymanabdallah9225 5 ปีที่แล้ว +2

      Asalam alyqum warahmatullah wabaraqatuh ,ndugu yangu nomber zipo hapo zinapita chukua no upige au kutoa mchango wako kwaajili ya swaddaqatuljaria

  • @aminambaruku9453
    @aminambaruku9453 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @aboumaburaramadhan4188
    @aboumaburaramadhan4188 5 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallha

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 5 ปีที่แล้ว

    Lailah Ila LLAH

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 ปีที่แล้ว +1

    سبحان الله يا ربي جعلني رزق وسع

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 7 หลายเดือนก่อน

      Tunajizalilisha sana waislamu hivi kwa akili ya kawaida zanzibar ni sehemu ya kushndwa kujenga msikiti mpaka matangazo ya namna hiyo msikiti huo kama ukijengwa hata milioni miambili haufiki zanzibar waislamu chungu mzima kazio nini

  • @omarsuleiman6039
    @omarsuleiman6039 2 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah .

  • @suraiyasaidy2849
    @suraiyasaidy2849 5 ปีที่แล้ว

    Msikiti huu upo wapi jamani

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 5 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah,,,in shaallah bi ithnillah Naomba Number ya m pesa

    • @halinishmachache2515
      @halinishmachache2515 5 ปีที่แล้ว +1

      SubhanaAllah naomba namba y m.pesa hiki kidogo changu nina imani kitasaidia inshaAllah

  • @mwanalimateusi888
    @mwanalimateusi888 5 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua tutatoaje mchango nam nichangie.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuna kheri nyingi ktk msikiti huo, moja ya kheri hiyo ni kuwa Hakuna kugombea sadaka hapo,,,,, !!!

  • @maryamashmrei9999
    @maryamashmrei9999 5 ปีที่แล้ว

    Bakhresa upo wapi

  • @rashidbeleiko153
    @rashidbeleiko153 5 ปีที่แล้ว

    ewee Allah ñaombaa unipeee neemaa niwezee kufanya kheri zinazoendanaaaa na hiziiu

  • @dannkoyzakoyza8521
    @dannkoyzakoyza8521 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwani mungu hakusiki mpaka uswali ndani ya msikiti.

  • @daudirajabu450
    @daudirajabu450 5 ปีที่แล้ว

    Upo wapi uwo msikiti

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 5 ปีที่แล้ว +1

    Subhaana Allah

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 5 ปีที่แล้ว

    يا ألله

  • @allyderossi9742
    @allyderossi9742 5 ปีที่แล้ว

    Nimesha SUBSCRUBE kwa kazi hii mnayoifanya hii kweli ndo channel ya kuipa MB,,.. ALLAH AWAZIDISHIE.

  • @shadyaomary7189
    @shadyaomary7189 5 ปีที่แล้ว

    Subihana llah jaman allah anajaalia kheri kweny msikiti huo

  • @saadaalmamary8397
    @saadaalmamary8397 5 ปีที่แล้ว

    Wapi hapa subhanallah

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 5 ปีที่แล้ว

    Innalilahi waina ilaihi rajighuun waislam wenzangu tushikamane kuinua dini yetu hadi machozi yananitoka mlio nahali toeni

  • @halkhaji4288
    @halkhaji4288 5 ปีที่แล้ว +1

    bi iznii allah

  • @frankmandaya4141
    @frankmandaya4141 5 ปีที่แล้ว

    Mchango ni muhimu kwao lakini hao waimini wa msikiti huo no wavivu sanaaa hata kuujenga vizuri wameshindwa kweli hii sio sawa wangejiyolea kuujenga hats kwa hiyohiyo miti, hata kuchimba choo nacho hadi alah awawezeshe kweli jamaniii, waache uvivu

  • @aminirashid2833
    @aminirashid2833 ปีที่แล้ว

    Abebwae hujikaza basi hata huo wanashindwa kuukarabati na kuuweka vizuri wanaume wazima hao

  • @zainabuomary3957
    @zainabuomary3957 5 ปีที่แล้ว

    Subkhaana llaah

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 5 ปีที่แล้ว

    Salallahu alaihi wasalam

  • @hamzarajabomari5408
    @hamzarajabomari5408 5 ปีที่แล้ว +1

    nimeguswa roho

  • @aishaaaa6987
    @aishaaaa6987 5 ปีที่แล้ว +10

    Sasa jamani mmi naomba tu niwaulize! Hivi kwawanaume wote hao wenye nguvu na afya njema wanashindwa hata kukata miti yenye nguvu na kujenga na kuutanua huo msikiti na vyoo jamani kweli?

    • @chakubutakamangila2274
      @chakubutakamangila2274 5 ปีที่แล้ว +2

      AISHA Aaa kwakweli watu kama hote wanashindwa kujanga japokuwa iwe ngumu sasa wana baki kuomba tu kuomba sio mbaya ila wange kutaniwa hata nyumba nzuri kuliko iyo Africa shida kweli

    • @mzulwa2006
      @mzulwa2006 5 ปีที่แล้ว +1

      AISHA Aaa hilo ndio tatizo letu kila kitu msaada

    • @jasminhisham5979
      @jasminhisham5979 5 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli kabisa usemavo.Lakini kwa mawazo yangu ni wamestahamili miaka mingi kwenye hii hali sasa ni wakati wao wa kila mwenye uwezo awasaidie wapate pahali pazuri pakuswali.Na ni mapenzi yake Allah sw kupenda nasisi tujue ili tuwachangishie tuwe kwenye fungu la wenye kupata kheri na baraka zake.

    • @dianeb4258
      @dianeb4258 5 ปีที่แล้ว

      A

    • @omysuhir4673
      @omysuhir4673 5 ปีที่แล้ว +2

      Wao ndio washafanya juhudi kuutunza wewe je ulie pata hii habari utafanya juhudi gani autakiwi kuongelea hayo tuinusuru dini ya Allah sio kuanza kutoa lawama hapa Allah atukubari wote inshaallah

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 ปีที่แล้ว

    Aallahwbkar subhanalllha

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 5 ปีที่แล้ว

    Mbona hamtaji sehemu gani

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว +1

    Subuhanallah

  • @thuriyabarwani5111
    @thuriyabarwani5111 ปีที่แล้ว

    Huu msikiti uko Zbar lakini katika shamba gani,?Imam wake anaitwa nani ?

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 5 ปีที่แล้ว +1

    SUBHANA ALLAH.

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 ปีที่แล้ว

    Inshaa Llah tutafanya hivyo.

  • @najmakombo3765
    @najmakombo3765 5 ปีที่แล้ว +1

    inshaalah mwenyez mung ata jaalia🙏

    • @zubydazad7646
      @zubydazad7646 5 ปีที่แล้ว

      Mungu ataleta heri yake 🙏

    • @najmakombo3765
      @najmakombo3765 5 ปีที่แล้ว

      @@zubydazad7646 🙏🙏

  • @saramueller7423
    @saramueller7423 5 ปีที่แล้ว

    Assalam Aleikum ndugu yangu. Ni Vipi naweza kuwa mwanachama wa Al fatah na nikaweza kujumuisha ndugu zangu waislamu nchini Switzerland. JazakAllah Kheir

    • @alfatahtvonline3374
      @alfatahtvonline3374  5 ปีที่แล้ว

      Aleykum salaam Ukhti, ndio unaweza naomba tuwasilianae kwa e-mail hii alfatahchatity@yahoo.com

    • @alfatahtvonline3374
      @alfatahtvonline3374  5 ปีที่แล้ว

      Naam Ukti unaweza tupe namba yako ya whatsapp tuwasiliane

  • @salimmaalim7540
    @salimmaalim7540 5 ปีที่แล้ว +2

    uko wapi huu mskt?

    • @allyderossi9742
      @allyderossi9742 5 ปีที่แล้ว

      Salim Maalim;;Upenja unguja na namba zao za kuchangia ndo hizo kwenye clips hapo.

  • @aminaomary3947
    @aminaomary3947 5 ปีที่แล้ว

    Yarab tujalie tufanye mema tarab