Boshoo Kaz nzur sana umefanya kitu poa sana kumshirikisha one six ameifanya nyimbo imekuwa on fire jamaa kwenye kitikio yupo vizur sana na saut yake Big up Boshoo Big up One six
Nimeongeza play list japo kunamchongo nausikilizia nipo nawe toka saa hiliopoteza majira mpaka now nipo na mchongo. Y.O.U.N.G.... Killer na D.kadigo ehe Nashi mc unachakachua mpaka pepa ya fasihi kisha nakosa maks moja ya A napata B n kitambo sana kaka we endelea kuwakazia
Ahsanteni kwa Kuendelea Kunisapoti,Naomba Comment,Like na Unisaidie Kushare kwa Jamaa
Ninja hii ya moto
🔥🔥🔥Mjukuu wa Bibi Nesi
Umetishaa kinoma
Boshoo Ngoma hii n ya tuzo ungetoa mapema 💪💪😁😁😁🙌🙌 🔥🔥🔥
Una akili nying mung akubariki mzee
Nimetoka tiktok mpka huku
We unaongelea nyoso benchi kuna masela/
Uku kuna juma mpogo na mdogo jack simela.
Unyamaa sanaa👊👊👊👊👊
Unyama mkali
Babylon cars muuza Magar kwa bei nafuu💥
Mnyama kabisa bench lina mjombaangu jeyb msumali
Akili kubwa ndio inaweza fikiri hivyo respect sanaaa
Twendeni ngoma iende duniani wanangu
Mashabiki wanalia JPM arudi ndani ila sheria ukiitwa benchi haurudi tena uwanjan🙏🙏🙏Maana halisi ya kipaji uwezo Mkubwa👊👊
Oya uyu mtu kamaliza umy
Akili kubwa sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyo one6 ni noma jamaa....daaah
Unamwongelea nyoso benchi kuna masela
Huku kuna juma mpogo na mdogo jack simela
Korogwe finest 🎉🎉🎉
Boshooo unajua ma unaandika sana yaaa unastairi tuzo za tiem a,pia one six kwenye colas ajaway boa anamenlody ya pekeee .tanga ft dodoma👊👊👊
Benchi linawatu kaka I'm so sad.. Respect Korogwe FineSt mjukuu wa Bibi Nesi hii ngoma inaubunifu mkubwa👏
Akili nyingi Sana BOSHOO Ninja kilaka🙏
Ninja mechi iludiwe tunamtaka Jpm na Ngwair Kuna maboya wanazngua sana kwenye game na siasa
Ngoma ya kibabe kabisaaaaaa
Ubunifu mkubwa sanaaa mjukuu wa bibi nesiiii
Benchi ni noma😮😮😢
Unajua sana boshoo
Korogwe mabegani✊
Imeeenda🔥🔥🔥🔥
Unaweza sana mwenetu toka enzi za Primary mdundo tunagonga dawati na benchi
Bonge la Kende!!! Mamamaeeee
Ngoma KALI sana daah iko siku na mm nitakaa bech
This is what we call,"CRITICAL THINKING"❤❤💥💥
Hili ni shipa haswa 🙌
🔥🔥🔥
sikupingi kaka
Kaka na kukubali sana hii nyimbo unatukumbusha meng sana
Safi Sana Manigger🫡
Kazi umetumia akili nyingi sana mjukuu wa bibi nesi
Mjukuu wa Bibi nesi 🔥🔥🔥
Kuna watu wanajua kuumiza kichwa kaka big up aseee umenyooka mzee
Home boy🔥
Niko nawe mpaka ununue rolls Royce ❤❤❤❤
Noma sana mwanangu wa faida
msanii bora wa hip hop mda wote ni boshoo ninja
Korogwe finest 🎉🎉🎉 hii kubwa Sanaa Kaka boshoo
aidia yako kali sana broooo
Boshoo ninja 🍁
Umenisihi kitu kikubwa sana asubuhi ya leo kwa ngoma kali mistari heavy na mwanangu wa kuitikia @onesix Dom city
Akili kubwa sana HipHop for lifeee🫡Boshoo Ninjaa x Six kazi kubwaaa sanaa🎉🎉🎉🎉🎉
Huu uwanja tambalale mbele shimo
big up mwamba 👏
Hip-hop in safe hands weusi kujifunza waje tu wasione aibu real bars Kila punch line
Hii ndio kazi sasa ebu komasava ikae benchi
Ngoma zlizo beba jumbe nzul na zakussmua na hii imo naomba tuu ifike mbal wapendwa ✋✋✋🎤🎧🎤
Goma kali benchi ✅️
Big up sana mwanaa🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ngoma kali sana ila fupiiiiiiiii😢😢 piga rmx mzee tia dizasta,kinya mistari alaf turudi kuleeeeee
Oya hujawahi kukosea na upo na mwanangu one six mamaaa weeeeh mmeuaaaaa🎉🎉🎉
ngoma nouma sana mtoto wa bibi nesi🔥🔥🔥
Idea Kali,,
inatukumbusha wapendwa wetu 😢
Benchi linatisha sanaaa😢😢😢😢😢
Hya ninja,, aminia,, mwanzo mwsho baba,, KANYAGA TWENDE, tutafika tu
Nimekuskiya @Crown media nimekufata mpaka uku
Akili nying
Huu ndo mzk xxa
Tuliorudia hii nyimbo mara 2 like hapa jamaa anajua sana
Huu ndouandishi naoupenda ngomakali wazo lakipekee hongera
Kaz kubwa fam🦁🦁🦁🦁🦁
Kazi nzruri Tanga Master
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ndugu yang Ngoma Kali sana
Mjukuu wa bibi nesi haualibu salute ✊✊
Nyimbo kali sana
Boshoo Kaz nzur sana umefanya kitu poa sana kumshirikisha one six ameifanya nyimbo imekuwa on fire jamaa kwenye kitikio yupo vizur sana na saut yake Big up Boshoo Big up One six
Kazi nzur sana njanj
Noma mzee🔥🔥
Wakwanza like nying zidondoke apa
Kaka benchi siyo poa
Kikosi cha ushindi kabisa, aupati namba
Boshoo wee ni Ninja na we ni Professional Kazi matata sana hii
Tulio tokea TikTok tujuane hapa song ni 🔥🔥🔥
Unaweza.
ILa muonekano ni wa centroZone
Kaka nimepita mzigo ni noumer
#korogwe finest 🙌
Boshoo the genius
Umetisha sana
Nomaa sana 👏👏👏
Huyu Onesix aisee🙌🏾🙌🏾
Mwanetu ninjaah korogwe finesttttt, whoufff 💨
Nyimbo kali idea balaa
korogwe finest, mjukuu wa bibi nesi
Akili kubwa imetumika humu BIG UP boshoo TANGA BOY
Masterpiece 🏆 lyf is lyka football 🗽
Wapi likes za one6🎉
BENCHI Likiwa Tayari Utaitwa Hata kama we ni Messi 🙌🙌🙌🙌
Kenya mombasa goma nalitembeza kitaa
Noma san
Yaaani media nikitu kizuri sana nimekuona leo crown media ndo nimekuja hapa Aiseee Unajuwa saana Brother 😊
Bonge ya ngoma😢😢😢😢
Boshoo umefanya kitu kikubwa sana cheers
Nimeongeza play list japo kunamchongo nausikilizia nipo nawe toka saa hiliopoteza majira mpaka now nipo na mchongo. Y.O.U.N.G.... Killer na D.kadigo ehe Nashi mc unachakachua mpaka pepa ya fasihi kisha nakosa maks moja ya A napata B n kitambo sana kaka we endelea kuwakazia
mtu hatar 🔥🙌
Hatariii sanaaaa
Braza sijawahi kucomment but hii nimeikubali kakangu❤😢
Kazi nzuri
Boshoo umeumiza sana humu
Noma sana❤🎉🎉