KWA MARA MWISHO DULLAH PLANET AKITANGAZA PLANET BONGO, AAGWA KWA MICHANO YA BOSHOO, MAARIFA NA WERE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Were mura were mura vibe muda wote kaka nakubal 🔥
Sema Bunaya mbaya sana 🙌🏿🙌🏿🔥
Mtu chuma mwana mbeya ni waya mazeee🔥🔥🔥🔥
Bunaya amepiga panch nyingi na kalii kuliko wote...japo wamefanya vizuri wote...💯
Mbeya boy chumaaaaaaaaaaa
bunayaa,,mbeya boy chuma na were mulaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbeya boy & chantibizzzzzzzzz👊
>>>Hahaha Chuma Kamdiss Maarifa HapoHapo 😀🔥🔥
Big up DJ Dea umechapa biti vzr sana alafu zina vibe kwakila rapper akichana 👊👊💥💥🙌🙌
Pure raw talents. Tuseme tu ukweli KENYA hatuonani 😅
Hawa rappers waliofik kumuaga dullaplanet kwa umoja wao wangefanya kitu kikaenda hewani aseee
True
Dullah Planet niseme Asante 🙏 kwa muda wako uliikonga nyoyo yangu kwenye upande wa hip hop hususani mlipokuja na wazo 🧠🧠 la dakika kumi za maangamizi ulituletea Radha mpya kutoka mtaani unastahili pongezi 🎉🎉🎉 your legend bro 👑👑
Siyo legend,,,, kipindi cha planet bongo kilitafutaga msichana wa kuziba pengo la Salama Jabir alivypkuwa anaacha kukitangaza kipindi cha planet bongo akakosekana ndo Dula planet akashinda Kw kura za mashabiki
@@raskise7493 Waoooooh Asante sikuijua hiyo kabla
yaan chozi limenitoka
Mbeya boy na chat🔥🔥🔥🔥
Kusema laukweli wote wamefanya vizuri Ila bunaya ni untouchable ❤ nakukubali sana umetisha sana mm sipendi mziki Ila umenifanya nipende sana ata wife home katulia ila changamoto mm😅
Bunaya ana kiti chake kwenye ufalme wa hip-hop
Mbeya,boy chumaa💀
Big show
Bunayooo
Mbeya boy chuma 🇹🇿🇹🇿
Dullah Planet Nomà saana Wap Tena Kaka Njoo Usafiniiii 🔥💥💯💪😊
Boshooooo ninja🔥🔥
❤❤❤nakubali harakati za bro kadumu Sana kizazi ila Naimani alipo Kuna watu kahama nao
Bunaya umetishaa sana😂
Were muraaaa were muraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbeya boy ni fire 🙌🙌🙌🙌
Booom naya
Dulla na Dj Mafuvu kwenye PB ilikuwa ni 🔥 hatari.
Bunayoooo and chuma daaamn
Bunaya 🔥🔥🔥
Mbeya boy ##chumaa 🔥
Ao utao waacha watatupiga pesa wauni saaana dah mbona gafra blo dula😓🤭
unaenda wp mr.dulla...
Boshoo ni rapa mzuri mithili ya Albert mangwea
wewe acha mambo yako
Mmetisha wanangu michano kikari
Bunaya,, maarifa mmetisha sana
Asee dula popote utakapoenda tuambie nakuelewa sana
Oya hatar lait ningepata nafasi hapo 🤔🤔
Mbeya boy 🔥🔥
Dulla Planet tuna deni na wewe kubwa sana,,,,,,,,,Umetuacha na Majonzi
Were mura pata love kutoka 254 Nairobi 🔥🔥🔥
Hiyo changamoto why kaishia njiani 😅😅😅
Una maarifa gan maarifa toka tiptop 😂
Maarifa ni jini kwenye hp hp namjua
Mbeya hata dakika 10 aliua
Chanti apewe dakika 10 za maangamizi
Daaah cyo kweli jua we ndo main dula ila safi tupeane nafas
Mbeya boy chuma tukupe mauwa yako mapema kaka
Mtoto wa babaaa Boshooo Bunaya were mulla daa rap tamu
🔥🔥🔥 ingewaka zaid wangkuj na kina kadonondo, toxic, jako jeezy (odong odwaa)
Sema Mbeya boi kumamake ndo real definition of Hip Hop.
Maarifa,mbeya boy,bunaya ,bishoo,wera mura wote wameua
Were muya with the hype! 🔥 🔥 🔥
Welcome #WasafiMedia bro😎🏌️♂️
I enjoyed evey single second of this video 😅
Ila Kuna Kikubwa Sana kitapungua Kwny Dkk10 za maangamizi
Dadeq imenikuta ofisini nipo nacheka pekee yangu🤣🤣🤣🤣
Hapo alikosa jr junior
Maarifa ana chuki n mtuu sanaa
Weremuraa mwamba namuelewa since dei wani yan
Chant'z b sikukuzaniaaaaaaaaaaaa kaka
Dulla planet umesapoti sana hiphop tz hususani kwenye dakika10 za maangamizi
Bunaya mumuache 🔥
Wife anaweza kutulia Ila changamoto Mimi umeua kinyama
ASE mbeya boy apewe nafasi tena Kwa marake nyingine
Mbeya boy ni Nikki mbishi m2pu
Chumaaaaaaaaa
maarifa +boshoo ni shida
Dahh dula unaenda wap
Hip hop stand up 📌📌📌📌📌📌📌🙌🙌🙌
Dula.unaenda.wapi.tena
😅😅😅uyu bunaya Ana balaaa...ata wife katulia home changamoto mimi
Hatari sana aisee🔥🔥🔥
Daaaa Dulla planet bongo ntakukumbuka sana
Ooooooh kwanini tenaaah wapi iyooo kaka jamani much respect to you broooh umefanya mengi sanaaah haswa kwenye vipaji
Mtoto wa bibi nurse boshooooo
Mnanikubalisha sana 😂
"Moja ni mimi, Niki wa Pili, tisa Belle" Legendary line right this one
Kali sana
Mbeya boy Chuma
Daaaaaaaaah akika dulla ameagwa kibabe🤝👊👊🤝🤝🤝🤝🤝
Boshoo Mkali...
Daah dura una kwenda wapi bratha hapa ndio sehem yako mbona una tukosea sana
Legend big broo....
Huyu noma alikuwa sababu kuu kwangu kuskiza PB kwenye dakika kumi za maangamizi
Sema Kama nenga
Apo bado poison tyu kaka
Fire
Maarifa 🔥🔥💪
Weremura weremura
Inakwama wapi kaka kufanya kazi
Bunaya🔥🔥
Wuuh planetmnanifurahsha san
Hawa vijana wote ni motooo full talented .
Ila dah Dulla unaenda wapi blood???
Were Mulaàaaaah nimekulewa sanaa Nigga 🔥
Boshoo ninja ❤❤
Dullah hakika aliweka misingi thabiti!!Kila la kheri Kaka
Korongwe finest 🔥🔥
home boy
Changamoto 😂😂 i like it🤣🤣
Maarifa bunaya na kinasa 🔥🔥🔥🔥
Boshooo we mwanangu kitambo saaaaanaaaaa
were mura get a dope flow
Dulla anakwenda wapi?