Kazi njema sana kwa uhai,miongozo, taratibu na maelekezo ya Kazi Takatifu za Kanisa Katoliki kulindwa na kutetewa kwa mujibu wa umoja na utetezi kanuni wa wanasheria kulinda utakatifu wa Kanisa Katoliki na Waamini wake kimsimamo wa Sheria za Kanisa.Hongera mlioandaa kazi na kukamilisha Katiba hii zinduzi.Mungu awajalie kila kilicho chema atakavyo.Amina!
Mbarikiwe baba zetu. Mwenyezi Mungu azidi kuwatumia na kuwatunza ili mtuhudumie vyema.
Asante Mungu wabaliki na kuwalinda daima na Mungu awazidishie anya njema mzidi kutusadia.
Kazi njema sana kwa uhai,miongozo, taratibu na maelekezo ya Kazi Takatifu za Kanisa Katoliki kulindwa na kutetewa kwa mujibu wa umoja na utetezi kanuni wa wanasheria kulinda utakatifu wa Kanisa Katoliki na Waamini wake kimsimamo wa Sheria za Kanisa.Hongera mlioandaa kazi na kukamilisha Katiba hii zinduzi.Mungu awajalie kila kilicho chema atakavyo.Amina!
Be blessed
Mungu awabariki maaskofu wetu kwa kusimamia haki za kanisa
Safi kabisa Kanisa Katoliki Tanzania
Kazi nzuri za kanisa
Hongera dkt.Sr.
Muhimu sana kwa uhai wa Kanisa na..
That's great
Sheria ni za Kanisa. Kanisa ni Waamini. Kwa hiyo ni Sheria za kila mmoja wetu.
Jinunulie Kitabu hiki. Ukisome. Ujue. Upate Mwongozo.
Ni muhimu kuzijua kwn wapo walei wengi wanazisoma ktk Seminary Kuu na wengine ni waalimu wa sheria hizo za Kanisa.
Ushauri wangu ziwekwe kwenye soft copy ili tuzipate pia
Katiba hii ni kwajili ya wakatolik wote au ni viongoz tu
Natamani kuzijua hizo Sheria za kanisa, walei tunaruhusiwa kuisoma hiyo katiba/ Sheria?
The Tanzania Episcopal Conference (TEC) translated the Code of Canon Law into Kiswahili so that the lay faithful could better understand Church law
th-cam.com/video/q5l6yBdk2v4/w-d-xo.html