Asante sana Ansbert Ngurumo nakupenda sana. Nachokuomba jaribu kuongea na Mbowe kaka anayotaka kifanya atatuumiza sana. Wawe na Umoja wao sisi tupo nyuma yao.
Hongera sana Mwenyekiti wa TEC Askofu Mkisa kama sikosei kwa niaba ya TEC. Hivyo ndio Watumishi WA KIROHO wanapaswa kuwa. Kusema UKWELI hata kama unawaumiza WAKUBWA. Sina shaka hata VIONGOZI wengine WA Kiimani WA DINI zingine wataungana na TAMKO HILO LA TEC TUMWOGOPE NA KUMUHISHIMU MWENYEEZI MUNGU SWT.
Hongera Sana TEC kwa kusimama kwa niaba ya Watanzania wote wapenda haki.Hongera kwa kus kusema ukweli .Tumeshuhudia baadhi ya viongozi wa dini hawana nguvu tena ya kukosoa. Wao kila Jambo ni kusifia hata kama Baya.HAWAAMINIKI TENA
Mmetimiza agizo la mungu,,,Waambieni watu ukweli.. ninachokijua mimi nikwamba aliyelaaniwa kalaaniwa kweli, kilichobaki tukimaliza uchafuzi huu wa selikali za mitaa tusikubali tena kuingia kwenye uchaguzi zingine bila katiba ya wananchi na tume huru ya uchaguzi,,. Shetani ni kumkataa kwa nguvu zote na sio kumbembeleza...amen..
Maasikofu na mashehe mmenifulahisha sana katka hili na atakaye nyanyasa watanzania anatakiwa amfuaata mwenda zake huwez mtu mmoja unanyanyasa watanzania 6.4
Ametamka hii dua,"اللهم ارنا الحق،حق وارزقنا اتباعه،وأرنا الباطل -باطلا وارزقنا إجتنابهEwe Mola tuonyeshe haki kuwa ni haki na utujaalie kuweza kuifuata, na utuonyeshe batili kuwa ni batili na utujaalie tuweze kuiepuka."
Nawapongeza maasikofu, kwa matamko hayo pia nawaomba muitishe maombi ya inchi nzima kwa waKristo wote kuomba kwaajili ya taifa na inchi kwa ujumla munayo dhamana, Amina
Hongerenii,,, japo ifike mahali maaskofuu kuwakabiliii moja kwa moja, kuwakemeaa na kuwaambiaa ukwer hawa wanaofanyaa uhuni huuu maana wengi wao ni washirikaa wenu humo humo,,maana kiukwer nyie ndo walezi wao na Mungu amewapa mamlakaa ya kuwakemeaaa na kuwaonyaa kama wakizinguaa,,,
Mi sio mkatoliki ila kazi mnayoifanya ni kubwa sana nashangaa sana kwani hamwogopi kutekwa na kuuwawa mungu awalinde sana make kati yenu wengine watanunuliwa
Asanteni sana baraza la maaskofu katoliki 😢TEC kwa ujumbe wenu kwa maana hata ktk maandiko takatifu kama xikosei ni ktk methali inasema kwamba mtu mwofu akiongoza watu hulalamika lakini mtu mwema akiongoza watu watu hufurahi😅
Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo uone jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa.
Endapo viongozi watapatikana kwa HAKI, wananchi hawana haja ya kukumbushwa kuwaombea viongozi wao.............. Ujumbe mzito sana huu. Asante sana VIONGOZI wetu wa kanisa kwa ujumbe maridhawa kwa wakati muafaka
Maaskofu tunawapenda sana mnasimamia haki kwerkwer tulilinde taifa letu sio watu wachache wanariharibu taifa letu kwaajiri yamaslai Yao binfsi mungu awajalie maaskofu wote kwakueneza matendo mema Kwa viongozi wetu
Hawako salama kivip, kwani wao ndo wenye Nchi?? Tanzania Ina watu zaidi milioni 65, hivyo mkizingua wengine tupo, na siku zote hamjawahi kupigia waislaam kura tunawajua. Mkiketa za kuleta tutawapigia kura sushi kwani nyie ndo dini pekee??
Hofu ya Mungu itakuongoza kutenda yaliyo mema, kinyume chake ibilisi atachukua nafasi ya kukuongoza.yanayoendelea Mungu anayaona,tumtumainie yeye majibu ya wenye haki yatapayikana.
Hakika dini zote mkemee mambo haya ,na mkwa mnakemea pasipo kuchoka hakika nchi hii itakua sawa na itaendelea ,maana hapa tulipo tusiseme tunaendelea Bali tungekua tumeendelea kuliko hapa ,ila sema tu mambo kama haya ndio yanadumaza maendeleo ktk afrika na hata taifa letu
Mungu atusaidie Kwa sababu nchi inahitaji viongozi wenye baraka za Mungu na za wanadamu pia. Inasikitisha kuona mifumo yetu ya kiutawala ikiendeshwa kimaigizo na wenye mamlaka wakiwa ndo watumbuizaji. Ni kweli wenye mamlaka twaweza kuwa tumejipata kimaisha lakini msingi wa nyumba ukiujenga kwenye mchanga na wewe ukaaye ndani ya nyumba hiyo hauko salama ingawaje waweza jifariji kwa ulinzi lukuki.
Baba Askofu Mungu awabariki kwa Tamko Hilo dhidi ya matendo yasiyo ya haki katika nchi yetu juu ya chaguzi zetu. Ila tu unaposema kua wananchi tujitokeze kuchagua viongozi hiyo tar 27 Mimi sioni Kama ni sahihi.maana hiyo tar watanzania tunajua kua hatuendi kuchomwa na jua kuchagua viongozi tunaowataka Bali tunaenda kukamilisha mchakato wa wizi wa uchaguzi ambao tayari umekwisha kufanywa na serikali nchi nzima. Yaan kwa ufupi ni kua TUNAENDA KUBARIKI WIZI WA UCHAGUZI ili wezi wapate uhalali wa kujitangaza kwa kusema kua uchaguzi umekwisha kufanyika. Ila tu mbarikiwe maaskofu wetu kwa kia angalau imeonyesha kukemea Tabia chafu za wizi wa haki za wanachi kuchagua kiongozi wanaemtaka.
Umefafanua vizuri mheshimiwa rais wa TEC. Jamani ccm hivi hizi rai zote zinazotolewa mnaona hazina maana?? Au mnadhani wote hawawapendi wanawachukia?? Jamani kuweni na hofu ya Mungu mioyoni mwenu, maana hofu hiyo huongeza siku za kuishi.
Nawashukuru viongozi wetu wa dini kutolea miongozo hii mitakatifu japo sisi wenyewe waamini ndio tunahusika na uharibifu wa chaguzi zetu kwa kutekeleza maagizo maovu ya vyama vyetu vya siasa
Asanten mababa lkn nshauri tamko hili lishuke kwa kibali chenu mpaka chini yaan jumuiya ili kuwe na tija lkn ikiishia hapo itakua ni kazi bure maana madhehebu mengine walililaum kanisa katoriki chaguzi zilizopita kikubwa mababa msibadilike amina,
TYK. Habari Za Usiku Huu, Watanzania Wenzangu. Naomba Kuwauliza Watanzania Wote Popote Pale Mlipo, Hivi Hii Nchi Yetu Yenye Maziwa Na Asali, Ni Nchi Ya Viongozi Wa C.c.m. Na wanachama Wa C.c.m. Ambao Wengi Wao Waishia Kushangilia Wasiyoyaona? Nawaomba Watanzania Tujitambue Tuondokane Na Kuwa Mazuzu Tusiojitambua, Kwa Kubongwa Kofia, Kanga, Frank Fedha Nk. Tuamke Watanzania MWENYEZI MUNGU ATUBARIKI Sisi Sote Watanzania. Niwatakie Usiku Mwema.
Siku wananchi wanaoonewa waziwazi na dola watakapoamua kutafuta haki zao kwa nguvu, wa kulaumiwa ni serekali. Ingawa watazushiwa kwamba wanavunja amani,lakini tujue amani ni tunda la haki. Na maaskofu wa TEC na CCT wanajitokeza kama mashahidi wa uvunjifu wa HAKI.
Baba Askofu Tumepokea maelekezo yenu ya kuchagua VIONGOZI bora Na Pia tutaepuka Uchawa unaotumiwa siku hizi kuwabeba VIONGOZI wasio na Sifa Pia hatutabanwa na Itikadi kupitia Vyama vyetu bali tutamulika Kiongozi bora mwenye sifa na sio bora Kiongozi
Nimesikiliza kwa makini haya Matamko 2 ya CCT na TEC. Maaskofu wote hawajatoa solution ya on going problem. Hawajaiambia serikali ni nini cha kufanya baada ya serikali kuambiwa kwamba walivyofanya SIYO SAWA. Yapo mambo mawili ninayoafikiri yafanywe. Tarehe za Uchanguzi zisogezwe mbele au mchakato wa uchaguzi UANZWE UPYA. Hatujisikii vema kuongozwa na watu wasio chaguo la watu.
Nasikitishwa sana na matumizi makubwa ya kodi za wananchi katika chaguzi zetu yanayofanywa na serekali ya ccm huku wakiwa hawama kabisa uhiari wa kisiasa( political will) wa kuleta mabadiliko halisi ya demokrasia ya vyama vingi. Wanamfurahisha au kumdanganya nani kwa mchakato huu wa udanganyifu?
KAZI za kitume ndio hizo maana yesu kristo amesema mchungaji wa kondo huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo 1 akipote lkn mchungaji wa mshahara kukaa kimya
Sehemu nyingi orodha ya waliojiandikisha imefutika, kwa 7bu ya kutumia vifaa hafifu/visivyo kidhi haja. Wataruhusiwa kupuga kura ilhali majina yao hayasomeki, na hawana utambilisho wa kijiandikisha?
Chuki tu ndio inayokutafuna na ndivyo itakayokuumiza na si ajabu hata wazazi wako unawachukia ,sasa dawa ni hii jiepushe tu na hayo maradhi ya chuki utapata angalau maendeleo
Mbarikiwe sana maaskofu wetu. Huu ni utume uliotukuka. Mmetendea haki wajibu wenu wa kinabii, kifalme, na kikuhani! Mungu awabariki!
Asante sana Ansbert Ngurumo nakupenda sana. Nachokuomba jaribu kuongea na Mbowe kaka anayotaka kifanya atatuumiza sana. Wawe na Umoja wao sisi tupo nyuma yao.
Hongera sana Mwenyekiti wa TEC Askofu Mkisa kama sikosei kwa niaba ya TEC. Hivyo ndio Watumishi WA KIROHO wanapaswa kuwa. Kusema UKWELI hata kama unawaumiza WAKUBWA. Sina shaka hata VIONGOZI wengine WA Kiimani WA DINI zingine wataungana na TAMKO HILO LA TEC TUMWOGOPE NA KUMUHISHIMU MWENYEEZI MUNGU SWT.
Hongera Sana TEC kwa kusimama kwa niaba ya Watanzania wote wapenda haki.Hongera kwa kus kusema ukweli .Tumeshuhudia baadhi ya viongozi wa dini hawana nguvu tena ya kukosoa. Wao kila Jambo ni kusifia hata kama Baya.HAWAAMINIKI TENA
Mmetimiza agizo la mungu,,,Waambieni watu ukweli.. ninachokijua mimi nikwamba aliyelaaniwa kalaaniwa kweli, kilichobaki tukimaliza uchafuzi huu wa selikali za mitaa tusikubali tena kuingia kwenye uchaguzi zingine bila katiba ya wananchi na tume huru ya uchaguzi,,. Shetani ni kumkataa kwa nguvu zote na sio kumbembeleza...amen..
huu ujumbe usomwe makanisani pote j2 hii,Mungu wabariki Maaskofu Katoliki
Maasikofu na mashehe mmenifulahisha sana katka hili na atakaye nyanyasa watanzania anatakiwa amfuaata mwenda zake huwez mtu mmoja unanyanyasa watanzania 6.4
Amina Eeh mwenyezi Mungu tusaidie tupate viongozi Bora tuachane na ufuasi wa chama tawala Amina.
Ametamka hii dua,"اللهم ارنا الحق،حق وارزقنا اتباعه،وأرنا الباطل -باطلا وارزقنا إجتنابهEwe Mola tuonyeshe haki kuwa ni haki na utujaalie kuweza kuifuata, na utuonyeshe batili kuwa ni batili na utujaalie tuweze kuiepuka."
Sauti ya watu nisauti ya Mungu, Asanteni sana mababa zetu.
Maaskofu wetu katoliki tunawashukru sana kwa ujumbe wenu mungu awabariki sana tunasema ujumbe umedelifari kwa mwenye masikio na asikie asanteni sana❤
Mungu awabariki sana na Mungu akaisimamie haki
Hongereni sana TEC kwa kuwa wakweli
Mungu ibariki Tanzania,wabariki viongozi wote,dumisha uhuru na amani.Mungu awabariki sana TEC.
Hongera sana maaskofu katoriki mm sio mkatoriki ktk hili huwa nawapenda sana❤️❤️❤️🙏
Asante sana baba Askofu Mungu akubariki sana
Nawapongeza maasikofu, kwa matamko hayo pia nawaomba muitishe maombi ya inchi nzima kwa waKristo wote kuomba kwaajili ya taifa na inchi kwa ujumla munayo dhamana, Amina
Hongerenii,,, japo ifike mahali maaskofuu kuwakabiliii moja kwa moja, kuwakemeaa na kuwaambiaa ukwer hawa wanaofanyaa uhuni huuu maana wengi wao ni washirikaa wenu humo humo,,maana kiukwer nyie ndo walezi wao na Mungu amewapa mamlakaa ya kuwakemeaaa na kuwaonyaa kama wakizinguaa,,,
Mungu awabariki maaskofu kwa tamko lao zuri
Mbarikiwe sana Maaskofu wetu kwa kuendelea kusimamia haki.
❤❤❤🙏🙏🙏
MISIYO MKATOLIKI,LAKINI NASEMA HAWA NDO SAUTI YA UMA KWA UMA USIYO NA SAUTI!!
MUNGU AWABARIKI SANAA!!
Emungu baba siku moja tunaomba tulale tukiamka ccm wote wawe wamekufa amina
Mi sio mkatoliki ila kazi mnayoifanya ni kubwa sana nashangaa sana kwani hamwogopi kutekwa na kuuwawa mungu awalinde sana make kati yenu wengine watanunuliwa
Roma hawataki waumini wao kuteseka
SUBUTU!! UKITAKA UIJUWE VATICAN KAMA WAISRAEL TEKA MTU WAO UONE MUZIKI WAO UNAVO SOUND!! 😀
Asante baba askofu kwa kupaza sauti ya haki na kweli
Naahauri haya Manteno mazuri ya maaakofu yasemwe pia na maparoko wa parokia zote kwa wakristo wote nchini.hongeren sana
Asanteni sana baraza la maaskofu katoliki 😢TEC kwa ujumbe wenu kwa maana hata ktk maandiko takatifu kama xikosei ni ktk methali inasema kwamba mtu mwofu akiongoza watu hulalamika lakini mtu mwema akiongoza watu watu hufurahi😅
Tunamshukuru sana maaskofu wetu.
Ni vema ujumbe usomwe makanisa yote.
Asante mababa kwa waraka huu lazima haki na demokrasia itendeke katika kuchagua viongozi wa nchi yetu
Mungu akubariki baba kwa kusema ukweli
Asanteni sana Mababa, wengi wetu tulisubiri kauli kama hizi mwenye masikio na asikie.
Mungu bariki maoni haya ya viongozi wetu wa dini Mungu ibariki Tanzania Mungu awape viongozi wetu maisha marefu amina
Nimewapenda sana maaskofu wa katoriki mda wote wanasimamia ukweli❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
God bless you all, asanteni sana kwa ujumbe huu, tuko pamoja
Mmbalikiwe maaskofu kwa utume huu
Ubarikiwe mtumishi
Mungu awatie nguvu kuwa sauti ya wasio na sauti,kuwa na macho kwa wasio na macho,tusimame kwa pamoja uovu usitawale.
SAWASAWA ASKOFU
Hakika usimkàtie mtu tamaa TEC hongereni
Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo uone jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa.
Hotuba nzuri sana ubarikiwe mtumishi
Endapo viongozi watapatikana kwa HAKI, wananchi hawana haja ya kukumbushwa kuwaombea viongozi wao..............
Ujumbe mzito sana huu. Asante sana VIONGOZI wetu wa kanisa kwa ujumbe maridhawa kwa wakati muafaka
Asante umekuwa mkweli
Maaskofu tunawapenda sana mnasimamia haki kwerkwer tulilinde taifa letu sio watu wachache wanariharibu taifa letu kwaajiri yamaslai Yao binfsi mungu awajalie maaskofu wote kwakueneza matendo mema Kwa viongozi wetu
Ukweli na haki vikatamalaki, uhuni ktk chaguzi unakera sana
Mimi..ni..muislam..ila..awa..wanacho..kifanya..wapo..sawa..ila..kwetu..mashekhe..wamekuwa..machawa..wapo..kimya..awasimami..kwenye..haki..wala..awaongeli..haki..wanashindana..kwenye..umbea..tuuu..hamonaiz..kwenda..kanisani..safi..sana..askofu
Ccm kueni waangalifu, hapa mlipofikia viongozi kama hawa kuanza kutamka hivi, CCM mjue hamko salama. Hamtaweza kuendeleza mambo mliyo zoea. Badilikeni!!??
Wanamasikio hawasikii,wana macho lakini hawaoni,aonywaye mara nyingi na kushupaza shingo yake itavunjika na asipate dawa ya kumponya.
Kweli kabisa usemavyo
Bwana leo sikio la kufa halisikii dawa ndo kwanza wanaongeza dharau unapowashari
Mmenena yaliyo tukuka, shida ni kwamba, aliye laaniwa kalaaniwa Tu... Ccm hata haibu hawana.
Hawako salama kivip, kwani wao ndo wenye Nchi?? Tanzania Ina watu zaidi milioni 65, hivyo mkizingua wengine tupo, na siku zote hamjawahi kupigia waislaam kura tunawajua. Mkiketa za kuleta tutawapigia kura sushi kwani nyie ndo dini pekee??
Mungu ni Mwema palipo na haki Mungu Yupo,Kwa Neema yake atujalie njia iliyo sahihi
Tumsifu Yesu Kristo!
Milele Amina ❤❤❤❤❤
kanisa katoriki 100 mungu wa haki
Hofu ya Mungu itakuongoza kutenda yaliyo mema, kinyume chake ibilisi atachukua nafasi ya kukuongoza.yanayoendelea Mungu anayaona,tumtumainie yeye majibu ya wenye haki yatapayikana.
Asanten sana sana
Huu ndio msingi wa amani ya TANZANIA ,kumcha Mungu ndio uimara wa kimaadili na ujengefu wa uhuru na umoja wa Taifa letu
Nashukuru Maaskofuu
Hongera sana
NDIO MAANA KANISA KATOLIKI NDIO KANISA PEKEE LINALOTANGAZA WATAKATIFU NA WENYE HERI.
HAKI HUINUA TAIFA.
ASANTE BABA ASKOFU
Safi sana,asanteni maaskofu.❤❤
Hakika dini zote mkemee mambo haya ,na mkwa mnakemea pasipo kuchoka hakika nchi hii itakua sawa na itaendelea ,maana hapa tulipo tusiseme tunaendelea Bali tungekua tumeendelea kuliko hapa ,ila sema tu mambo kama haya ndio yanadumaza maendeleo ktk afrika na hata taifa letu
Mungu atusaidie Kwa sababu nchi inahitaji viongozi wenye baraka za Mungu na za wanadamu pia. Inasikitisha kuona mifumo yetu ya kiutawala ikiendeshwa kimaigizo na wenye mamlaka wakiwa ndo watumbuizaji. Ni kweli wenye mamlaka twaweza kuwa tumejipata kimaisha lakini msingi wa nyumba ukiujenga kwenye mchanga na wewe ukaaye ndani ya nyumba hiyo hauko salama ingawaje waweza jifariji kwa ulinzi lukuki.
✓✓✓✓✓✓✓. Mbarikiwe wakuu kwa waraka huu uliotukuka!
Mungu awabariki Maaskofu wetu!! ukweli huo tuuzingawie Tume yo Uchaguzi na Chama Tawaala ! msijitengenezee laana!!
Najivunia kuwa mkatoliki
Safi saaana ninataman kuona vyama vyote vinashiriki uchaguzi na watu washinde kwa haki hii ndio inathibitisha kwamba kuna vyama vingi
Nzuri
Asanteni kwa kutusemea tulionyaza
Amina
Baba Askofu Mungu awabariki kwa Tamko Hilo dhidi ya matendo yasiyo ya haki katika nchi yetu juu ya chaguzi zetu.
Ila tu unaposema kua wananchi tujitokeze kuchagua viongozi hiyo tar 27 Mimi sioni Kama ni sahihi.maana hiyo tar watanzania tunajua kua hatuendi kuchomwa na jua kuchagua viongozi tunaowataka Bali tunaenda kukamilisha mchakato wa wizi wa uchaguzi ambao tayari umekwisha kufanywa na serikali nchi nzima.
Yaan kwa ufupi ni kua TUNAENDA KUBARIKI WIZI WA UCHAGUZI ili wezi wapate uhalali wa kujitangaza kwa kusema kua uchaguzi umekwisha kufanyika.
Ila tu mbarikiwe maaskofu wetu kwa kia angalau imeonyesha kukemea Tabia chafu za wizi wa haki za wanachi kuchagua kiongozi wanaemtaka.
Kukosekana kwa vitambulisho vya kujiandisha kupiga kura, litaleta ukiukwaji wa utaratibu wa upigaji kura. Hata ambao hawakujiandikisha watapiga kura.
Umefafanua vizuri mheshimiwa rais wa TEC. Jamani ccm hivi hizi rai zote zinazotolewa mnaona hazina maana?? Au mnadhani wote hawawapendi wanawachukia?? Jamani kuweni na hofu ya Mungu mioyoni mwenu, maana hofu hiyo huongeza siku za kuishi.
Umenena vyema sana..shukrani
Kumbukeni maneno ya Nape
Maaskofu wetu nawapongeza Kwa kuunga mkono haki
Viongozi wa dini ni watu muhimu sana
Mungu awabaliki
Bora nyie wakristo nawakubaligi mnaongea ukweli, waislamu bakwata wanafiki tuu wao ni SAWA KILA KITU
Nawashukuru viongozi wetu wa dini kutolea miongozo hii mitakatifu japo sisi wenyewe waamini ndio tunahusika na uharibifu wa chaguzi zetu kwa kutekeleza maagizo maovu ya vyama vyetu vya siasa
Amina,amina,amina
Asanten mababa lkn nshauri tamko hili lishuke kwa kibali chenu mpaka chini yaan jumuiya ili kuwe na tija lkn ikiishia hapo itakua ni kazi bure maana madhehebu mengine walililaum kanisa katoriki chaguzi zilizopita kikubwa mababa msibadilike amina,
God bless you T.E.C
Serekali ya Tanzania haisiki baba hii nchi kunasiku wataujuwa nguvu ya uma bakwata kimya vibaraka
Asante baba
TYK. Habari Za Usiku Huu, Watanzania Wenzangu. Naomba Kuwauliza Watanzania Wote Popote Pale Mlipo, Hivi Hii Nchi Yetu Yenye Maziwa Na Asali, Ni Nchi Ya Viongozi Wa C.c.m. Na wanachama Wa C.c.m. Ambao Wengi Wao Waishia Kushangilia Wasiyoyaona? Nawaomba Watanzania Tujitambue Tuondokane Na Kuwa Mazuzu Tusiojitambua, Kwa Kubongwa Kofia, Kanga, Frank Fedha Nk. Tuamke Watanzania MWENYEZI MUNGU ATUBARIKI Sisi Sote Watanzania. Niwatakie Usiku Mwema.
Safi sana wamesikia japo wanaumia sana haki na ukweli nchi yetu
10:14 Ukitumia Nguvu na kutweza utu kumpata kiongozi kiongozi atawaongoza kwa nguvu na kuweza utu aan haki
Hawawezi kusikia sauti yako wamelewa madaraka ombeni mungu.
Maaskofu wa makanisa ya Kipendekoste wako kimya hawasikii wala hawaoni hii ni shida sana
Kwa kweli huwa wakisema tuombee Viongoz wa nchi huwa Nashindwa Bora niombee watumishi wa Mungu
Kumeanza kuchangamka
Siku wananchi wanaoonewa waziwazi na dola watakapoamua kutafuta haki zao kwa nguvu, wa kulaumiwa ni serekali. Ingawa watazushiwa kwamba wanavunja amani,lakini tujue amani ni tunda la haki. Na maaskofu wa TEC na CCT wanajitokeza kama mashahidi wa uvunjifu wa HAKI.
Asanteni sana
Milele Amina Mababa Askofu, Asante kwa tamko hili, kuwa UTU WA MTU HULINDWA NA KUHESHIMIWA,
Baba Askofu Tumepokea maelekezo yenu ya kuchagua VIONGOZI bora Na Pia tutaepuka Uchawa unaotumiwa siku hizi kuwabeba VIONGOZI wasio na Sifa Pia hatutabanwa na Itikadi kupitia Vyama vyetu bali tutamulika Kiongozi bora mwenye sifa na sio bora Kiongozi
Ongezezeni sauti hiyo zaidi ujumbe huo usomwe makanisani na kwenye hadhara muiokoe nchi
Nimesikiliza kwa makini haya Matamko 2 ya CCT na TEC. Maaskofu wote hawajatoa solution ya on going problem. Hawajaiambia serikali ni nini cha kufanya baada ya serikali kuambiwa kwamba walivyofanya SIYO SAWA.
Yapo mambo mawili ninayoafikiri yafanywe. Tarehe za Uchanguzi zisogezwe mbele au mchakato wa uchaguzi UANZWE UPYA. Hatujisikii vema kuongozwa na watu wasio chaguo la watu.
MAASKOFU WA KATOLIC MUNGU AWA BARIKI SANA! SANA!!!! KWAKUTO KUWA WANAFIKI NA,ILANA JIULIZA HIVI MCHI HII INA MAKANISA YA CATHOLIC PEKE YAKE????🤔🤔
Nasikitishwa sana na matumizi makubwa ya kodi za wananchi katika chaguzi zetu yanayofanywa na serekali ya ccm huku wakiwa hawama kabisa uhiari wa kisiasa( political will) wa kuleta mabadiliko halisi ya demokrasia ya vyama vingi. Wanamfurahisha au kumdanganya nani kwa mchakato huu wa udanganyifu?
KAZI za kitume ndio hizo maana yesu kristo amesema mchungaji wa kondo huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo 1 akipote lkn mchungaji wa mshahara kukaa kimya
Umoja wa makanisa ya KIPENTECOTAL mbona ninyi hamsikiki? Au ninyi niwazee wakuombea nchi tu?
Sehemu nyingi orodha ya waliojiandikisha imefutika, kwa 7bu ya kutumia vifaa hafifu/visivyo kidhi haja. Wataruhusiwa kupuga kura ilhali majina yao hayasomeki, na hawana utambilisho wa kijiandikisha?
Tunamtaka Rais anayeongea co kukaa kimya kama huyu huyu mama hatufai kbs
Chuki tu ndio inayokutafuna na ndivyo itakayokuumiza na si ajabu hata wazazi wako unawachukia ,sasa dawa ni hii jiepushe tu na hayo maradhi ya chuki utapata angalau maendeleo
Balikiwe Baba Askofu
Madhehebu yangu hayasikii uovu hayaoni uovu yapo kutusomea tu nyaraka za E G White
Sauti ya wengi ni SAUTI YA MUNGU,! HONGERA VIONGOZI WA DINI, SIKIO LA KUFA..........
Nisahii kuwakumbusha yalio haki na mema.
14:17 amina