ASKOFU MWAMAKULA AKINUKISHA BALAA, AIVAA SERIKALI YA RAIS SAMIA BILA WOGA, AUNGANA NA TEC NA CCT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 63

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay หลายเดือนก่อน +2

    Askofu msemakweli ! Wewe Baba askofu Mwamakula, Padre Charles Kitima na askofu Bagonza Mungu awabariki sana ! Siyo wale wengine wanafiki na wafanyabiashara wa maji, mafuta na udongo!

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA หลายเดือนก่อน +5

    Assnte kwa ubusara wako barikiriwa sana mtumishi wetu mungu wetu ni mwaminifu juu yako . Nimefurahi kwa msaada wa kuelimisha jamii inakuzunguka .❤❤

  • @pastorbarakangata606
    @pastorbarakangata606 หลายเดือนก่อน +4

    ubarikiwe kwa jina la yesu

  • @leocadianjau7410
    @leocadianjau7410 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana baba Mungu akubariki kwa kusimamia haki na kukemea uovu maana nchi hii imekuwa nchi ya udhalimu na wanajiona wako tu sawa...Mungu wetu akaingilie kati nasi tukapate HAKI KATIKA TAIFA LETU

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali Sana Bishop Mwamakula MUNGU Azidi Kukutunza, Hakika Wewe Umethibitisha Na Unazidi Kuthibitisha Uzalendo Kwenye Taifa Lako.

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka หลายเดือนก่อน +1

    Askofu mamakula ni mtumishi wa Mungu anayejua vyema wajiibu wake

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 หลายเดือนก่อน +3

    Asante msema kweli nyi ndo viongozi wadini wa kweli mpo upande wa wananchi kupigania haki katika serikali ccm ambayo ilishakufa siku nyingi wamebaki namapolice

    • @rehema971
      @rehema971 หลายเดือนก่อน

      Nikweli

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo หลายเดือนก่อน +1

    Samahani askofu uchaguzi ni wa ccm waache waendeleye mungu yupo atalekibisha mungu simwanadamu atajibu sasaivi

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania kilichobaki ni kuungana na kuachana na vyama

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka หลายเดือนก่อน +2

    Tumekupata mtumishiii❤

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa mtachezewa sana ,nyinyi ndio wenye watu

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc หลายเดือนก่อน

    Hongera Askofu Mwamakula

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu หลายเดือนก่อน

    Mungu,mungu aihurumie Tazania atuondole hiki chama cha ccm dharimu ambacho kimeshindwa kuongoza Taifa lete

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 หลายเดือนก่อน

      Ipo kizazi Cha watu wenye hakiri timamu kikiwepo haya hutayaona.

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga หลายเดือนก่อน

    ❤❤ameen

  • @mwitamahende4394
    @mwitamahende4394 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa vijana wengi wanakimbilia siasa kwa sababu ya ukosefu wa AJIRA .

  • @JordanKilongozi
    @JordanKilongozi หลายเดือนก่อน

    7:39

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu หลายเดือนก่อน +1

    Tume huru ndio itamaliza upumbavu wa ccm

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO หลายเดือนก่อน

    Wewe Chama Chako Nikipi Kama ni Mwanaume Taja Chama Chako!

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 หลายเดือนก่อน

    Asnt

  • @ClementMercelli
    @ClementMercelli หลายเดือนก่อน

    Askofu umenena ukweli tunakoelekea sivyo, Sasa hivi hakuna wenyebusara watakao nusuru nchi walioko no walafi tu wa Mali za wananchi

  • @christopherkichai7799
    @christopherkichai7799 หลายเดือนก่อน

    Ungeshughulika na mambo ya kikanisa ningekuelewa.
    Unataka kanisa liwe linaongoze nchi.
    Tii sheria na uheshimu utawala uliopo.

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo lipo kwenye uziwi wa watawala wetu. Kwao maonyo na maono yanakosa nguvu. Hiki ni kiburi na madhara yake si mazuri kwa nchi

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi หลายเดือนก่อน

    Wakati wa makufuli ulikuwa wapi

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay หลายเดือนก่อน

    nchi ime washinda uchaguzi ulionyooka wanajua yatakayo tokea😂😂

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 หลายเดือนก่อน

    Yule sheikh Mnafiki atakuja kupinga hizo hoja.

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 หลายเดือนก่อน

    Mzee wangu hawawezi kukwelewa mpaka litokee

  • @enziseme4712
    @enziseme4712 หลายเดือนก่อน

    Amani, utulivu wa nchi, mshikamano na watz kujua maana ya ustaarabu ndio maana ya wabongo, mzee wangu Mwamakula anatumia fursa kujitanzanisha ikiwa ni matokeo ubora na weledi wa serikali yetu!!!

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 หลายเดือนก่อน

      Ni Kitu Cha Hisani Kwani?

    • @julianamwamgogwa
      @julianamwamgogwa หลายเดือนก่อน

      Enziseme muelewe vizuli selukali hainauzuli wowo juu ya hekima yamwamakula haina usihadae watu

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe baba tukamoja kama hawataludishwa hatutajiteza kupiga

  • @boscojohn6834
    @boscojohn6834 หลายเดือนก่อน

    Hiv TAG wako wapi? Au wamekuwa moja ya matawi CCM katika nyanja ya dini? Mimi ni dhehebu langu, lakini wanatia aibu Kwa kweli!

  • @EliasBamanyisa-uu7og
    @EliasBamanyisa-uu7og หลายเดือนก่อน

    anglau hawamu hii uhuru wa kulalamika dhidi ya ubadhilifu wa uandikishwaji sauti za utetezi zimesikika kuliko wakati wa hayati magufuri,

  • @ClementMercelli
    @ClementMercelli หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa dini chukueni nafasi yenu kuinusuru nchi

  • @kassimkitta6118
    @kassimkitta6118 หลายเดือนก่อน

    Hao wanaowasumbua wapinzani wanapata maelekezo kutoka juu. Na juu unafkiri anaetoa hayo maelekezo ni nani? Tukiongea sana mnatuteka. Tukitaka kuwapigia kura tunaowataka, mnaiba tena waziwazi ila hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho. Hata muibe vip kuna siku the table will turn alaf mtaionja joto ya jiwe. Hongereni kwa uhuni professional ulioenda shule. Na hata mkiniteka sawa, ndo kawaida yenu. Badilikeni. Mpaka mlalamikiwe na watu wangap ndo mtaelewa you guys are wrong. Haya

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ni askofu njaa anatafuta jinsi ya kuishi tu, anadhani ana majority ananpuuzwa tu huyu hata hao anaowasemea sidhani kama wamemtuma apuuzwe hajui asemalo anatafuta kiki.

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 หลายเดือนก่อน

      Nenda mirembe we mpuuzi

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 หลายเดือนก่อน

      Acha uchawa wewe.

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 หลายเดือนก่อน

      Du! CCM inadhulumu sana uchaguzi.

    • @ipyanamwasampeta653
      @ipyanamwasampeta653 หลายเดือนก่อน

      You are just another zombie. You are useful idiot. You are empty. Kama huna la kuongea kaa kimya, kwa sababu umeisha jitambulisha kuwa wewe ni zombie.

    • @patrickkalimoja5478
      @patrickkalimoja5478 หลายเดือนก่อน

      Tunamuelewa sana, wewe unaogopa haki hiyo ni sifa ya machawa wote.

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 หลายเดือนก่อน

    ASKOFU MWAMAKULA WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI HAKI HUINUA TAIFA BALI DHAMBI NI AIBU YA WATU WOWOTE WANAO UWA WATU MUNGU ATAWAHUKUMU..

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO หลายเดือนก่อน

    Wewe Mjinga Huna Hoja Mpuuzi Sura yako Mbaya

  • @mbagalacharambe114
    @mbagalacharambe114 หลายเดือนก่อน +3

    Nchi hii NI ya ajabu Sana kila MTu akitaka kuropoka basi anaita waandishi na kuropoka Tu...

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 หลายเดือนก่อน

      Sasa huyo anaropoka au
      anaongea facts? Kwani mambo anayozungumza huyo askofu huoni ndo yanayofanyika Tanzania kipindi hiki.

    • @mbagalacharambe114
      @mbagalacharambe114 หลายเดือนก่อน

      @lukomanomaliki5442 fact iko wapi hapo NDUGU ...

    • @ipyanamwasampeta653
      @ipyanamwasampeta653 หลายเดือนก่อน

      Kwani kuna watu wamepangiwa kuita waandishi wa habari? Mbona unajitangaza kuwa wewe ni zombie. Please wakeup, tingisha akili yako.

    • @mbagalacharambe114
      @mbagalacharambe114 หลายเดือนก่อน

      @ipyanamwasampeta653 itisha hata wewe ...

    • @ipyanamwasampeta653
      @ipyanamwasampeta653 หลายเดือนก่อน

      @mbagalacharambe114 zombie.

  • @laurianmodest7372
    @laurianmodest7372 หลายเดือนก่อน

    Anzisha chama cha siasa utapata wafuasi wengi lkn uasikofu hamna kitu.

    • @kassimkitta6118
      @kassimkitta6118 หลายเดือนก่อน

      Ndo hawa ma hater.

    • @kassimkitta6118
      @kassimkitta6118 หลายเดือนก่อน

      Kakukosea nn. Wakat anaongea point haswaa