TUMWEPUSHE RAIS SAMIA NA "UMAMA WA TAIFA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 171

  • @ChristerShao
    @ChristerShao ปีที่แล้ว +7

    Mama Samia,ni muelewa wa mambo.Anajua kuwa askofu ni mihemuko kwani mama yetu wa Taifa ni Mama Maria Nyerere,halina ubishi.

  • @dennisrwelamira1259
    @dennisrwelamira1259 ปีที่แล้ว +5

    Acheni kupotosha taifa. Tunajua mama wa taifa ni mama Maria Nyerere. Huyu unasema Mama wa taifa gani? Labda la kanda ya kati. Taifa kalikuta. Bora awe dada wa taifa msipotoshe watoto.

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 ปีที่แล้ว +7

    Hana tofauti na Mwiguru huyu. Anachoongea hakieleweki.

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli kabisa duniani kunawatu wabinafusi kupita kiwango, Watu wainahii wakotayali kuuza kumiza kubambika makesi hata kuua mtu yoyote akionekana anamawazo tofauti eemungu tusaidiye utuepushe napepo wabaya wanchihii

  • @ChristerShao
    @ChristerShao ปีที่แล้ว +5

    Kumbe inakuwa hivyo,nadhani tayari tunaye mama yetu Mama Maria Nyerere,du kiongozi wetu umepotosha.

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 ปีที่แล้ว +1

    Mwasisi wa Taifa ndiye...
    Hapo umemaliza kila kitu! Mengine haya ni mihemko tu!

  • @petermugurubi7837
    @petermugurubi7837 ปีที่แล้ว +8

    Hii nchi ina vituko, mpaka kiongozi wa din anapangwa, Mwigur shikamoo

  • @johnsiulapwa8685
    @johnsiulapwa8685 ปีที่แล้ว +5

    Msiwagombanishe viongozi wenu na Mungu! Mungu anawivu. Akiona hamumtukuzi Yeye, mnatukuza watu, Tabia ya Mungu ni kumrudisha nyumbani mapema sana...!

  • @malinzirutta3391
    @malinzirutta3391 ปีที่แล้ว +4

    These self proclaimed Bishops are not Bishops, they are just wajasilia dini

  • @sarahjames2287
    @sarahjames2287 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Askofu muuza chumvi mjinga tena akapimwe mirembe😂😂😂😂

  • @HENRYMUNDI
    @HENRYMUNDI ปีที่แล้ว +5

    Mama Maria si ndio mama waa Taifa au

  • @heripaulo1008
    @heripaulo1008 ปีที่แล้ว +1

    Yaani

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 ปีที่แล้ว +4

    Zama zile Mungu aliazibu masanamu yaliyotengenzwa na kuabudiwa, zama hizi Mungu huazibu wale wanaotukuzwa Hadi kufananishwa na Mungu.

  • @OrastoMgaya-rg2ck
    @OrastoMgaya-rg2ck ปีที่แล้ว +1

    Daaah, huyu kiongozi lipumbavu

  • @BahatiMatailizi-o9g
    @BahatiMatailizi-o9g ปีที่แล้ว +2

    HawA ndio wachungaji wamishahara Tena safari yakuzimu MUNGU msaidie askofu maana hajitambuwi askofu huyu anitafute

  • @emilysanga7662
    @emilysanga7662 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana unavokua straight line

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 ปีที่แล้ว

    Waeshimiwa Mungu

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว +7

    Mungu atusaidie sana wananchi wa Tanzania kama watumishi wa Mungu wamekua na rangi nyingi kama kinyonga, huyu anasema hivi,na mwingine anasema tofauti mradi tu wanawalisha waumini neno lake la kweli ndiyo yetu na iwe ndiyo,na siyo iwe siyo kwa wote ili kumuwakilisha kwa kunia mamoja, Mungu mtakatifu aliye hai, asiyelinganishwa na mawazo yao tofauti!

  • @andrewkissavah8272
    @andrewkissavah8272 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kama mama wataifa ambaye angekuwa anapenda ujiko na misifa angekuwa maria nyerere siyo huyu ,hebu viongozi wa dini acheni uchawa na kujiaibisha ,raisi samia mumwache yeye anaki kwenye fadhira hii aliyo ipata kimbuka hakuwa raisi bali nafasi aliyo ipata ni kupitia mauti ya magufuli hivyo msimpe sifa zisizo msitahili hakika hii ni aibu kubwa kwako asikofu

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry ปีที่แล้ว +1

    Nimshauri Raisi avatar musical asyostahili, anakubalije kumpora mama maria nyerere na mama Fatima karume umama wa Taifa la Tanzania na Zanzibar? Umetoka Butiama siku si nyingi kumuona mama wa Taifa na Leo huyo mnyaturu anakuchomea kwa mungu nawe unakubali?? Shauri yako jua mungu yupo kazini wakati wote

  • @jeremiahmsangi8215
    @jeremiahmsangi8215 ปีที่แล้ว +1

    Haya ndiyo Yale mapandikizi ambayo tulionywa kwamba chukizo la uharibifu litakaposimama patakatifu tujue kumekucha,tutawatambua Kwa Matendo yao

  • @lucasalexandery
    @lucasalexandery ปีที่แล้ว +2

    Huyu kiongozi wa dini,,,,atakuwa anawapotosha hata waumini wake

  • @lucasalexandery
    @lucasalexandery ปีที่แล้ว +3

    Asikofu mjinga sana,,,jamaani nimechukia sana

  • @LucasSalla-e6c
    @LucasSalla-e6c ปีที่แล้ว +1

    Huyo kiongozi wa kanisa hajui anaongea nini!!!! Samia hawezi kuwa mama wa Taifa.. huyu kiongozi wa kanisa ameshindwa kufikiri vizuri... aliyetafuta uhuru wa nchi hii siyo samia. Nchi inapata uhuru Samia alikuwa na mwaka mmoja kuzaliwa
    Ataitwaje mama wa Taifa?

  • @fadhilimwaitete3692
    @fadhilimwaitete3692 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hivi huyuu askofu au askeri Mimi namshangaa Sana jitu kubwa akili Alina alina

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 ปีที่แล้ว +1

    Kkkt inatia aibu.

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimekuelewa

  • @mkingajuliuas9673
    @mkingajuliuas9673 ปีที่แล้ว +2

    Ama kweli Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na viongozi wa jinga hasa huyu asikofu sijui ni wa dini gani anashindwa hata kuchanganua ili uitwe baba wa taifa au mama wa taifa inatakiwa uwe na sifa gani hao ndio tunakaa tunawaita wasomi wa nchi hii.

  • @EvaristoSanga-ry7by
    @EvaristoSanga-ry7by ปีที่แล้ว +3

    Kazi kweli kweli

  • @michaelmacha2659
    @michaelmacha2659 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomba jina la hili bumunda.

  • @seifalzakwan5663
    @seifalzakwan5663 ปีที่แล้ว +1

    Background music ina interrupt sauti punguza boss hatuskii

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +2

    Daah! Huyo mchungaji huyo.......😢

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 ปีที่แล้ว +3

    Askofu Wa CCM?

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni rais wetu sasa kama na wewe wamuita mama kwa umri huo ni hatari.Tumpe heshima yake kama rais siyo kila mtu mama mama mama basi inchi hii tuna mama na siyo rais😂😂😂 ukweli unauma ila jikazeni huo ndiyo ukweli

  • @eunicemligo5290
    @eunicemligo5290 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂🥲🥲😭😭😭😭🏃‍♀️🙌🏽 Askofu mpendwa; Siasa waachie wenyewe! Kafanye siasa kwenye Biblia!! Suleimani aliomba sana kuwa na Hekima kuliko kitu kingine chochote!! HAPO Umepwaya Mtumishi wa Mungu! Hutoshi Kwenye Siasa,Ni Huruma!! Rudi endelea na Utumishi wako;Unajipaka Matope mchana kweupe!! HEKIMA HEKIMA HEKIMA!!

  • @CHRISTOPHERKIMWAGA
    @CHRISTOPHERKIMWAGA ปีที่แล้ว +1

    Yesu ngani huyo hivi wewe kweli ni mtumishi wa mungu kweli wewe hausitaili kabisa kusimama madhabauni ni njaa tu hizo

  • @justinekubilungokolo5703
    @justinekubilungokolo5703 ปีที่แล้ว +5

    Huyu kiongozi wa dini ana maanisha watu wake ni wanaccm😢

  • @johnmakubi190
    @johnmakubi190 ปีที่แล้ว

    kwa mfumo wasiasa za tanzania,ukimsifu kiongozi yeyote utapewa ulaji,sifu ili ule

  • @elijamchongwe8482
    @elijamchongwe8482 ปีที่แล้ว +1

    Tumusame hakuwa na la kusema mbele la Rais na kubaliana na onyo lako

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 ปีที่แล้ว

    Uchawa sasa linaanza kuwa tatizo la kidini. Hata viongozi wa dini wanajua moja tuu- kusifia. Wamesahau kuwa jukumu Lao kuu ni kuonya na kukemea. Taifa lina bahati mbaya.

  • @alexanderjey257
    @alexanderjey257 ปีที่แล้ว +4

    asikofu hajitambui kalewa sifaa,

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว

    Maccm niwezi tangumiakayote SASA wanachokifanya nikununua.maasikofu.ili.wawasifiye leo tumeshuhudia huyuhapa

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 ปีที่แล้ว +2

    kumbe ata Maaskofu kuna mazuzu .

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 ปีที่แล้ว

    Samia Mwigulu anakupaka changa la macho.Huwezi kuwa mama wa TAIFA hata siku moja.

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 ปีที่แล้ว +1

    Kweli yasipite bila kupingwa😂😂😂🙋🙋🙋maana kupita bila kupingwa kunatugharimu muda huuuu

  • @elijahmagoti9624
    @elijahmagoti9624 ปีที่แล้ว +2

    viongozi wengi wa dini ni machawa wa wanasiasa,hii imefanya wamewekwa mifukon na viongoz,hali inayopelekea wanashindwa hata kukemea madudu ya wanasiasa..

  • @DonatusNyamizi
    @DonatusNyamizi ปีที่แล้ว

    Nyerere kuitwa baba wa ni kuwa rais wa kwanza au ni mchango wake kwa taifa

  • @ShabaniHusseni-m8l
    @ShabaniHusseni-m8l ปีที่แล้ว +1

    Wewe acha upumbavu na mke wa Nyerere tumwite nani?

  • @InnocentLuvanda
    @InnocentLuvanda ปีที่แล้ว +1

    Sijawai kuona mtu anayejiita askofu wa aina hii,huyu wa mwisho kati ya wa,Aaa!!! hebu malizieni watanzania.

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mchungaji Ni mpumbavu tu.

  • @songeramashauri7312
    @songeramashauri7312 ปีที่แล้ว +1

    Huyo askofu hajui asemalo hana mamlaka yakutusemea watanzania

  • @charlesshitobelo6870
    @charlesshitobelo6870 ปีที่แล้ว

    KKKT mvueni uaskofu huyo hafai kuwa kiongozi wa dini tena dhehebu kubwa kama hilo.
    Huyu anawafaa CCM kwa mipasho.
    Ndugu zangu Wanyiramba mnapotea sana.

  • @Veni584
    @Veni584 ปีที่แล้ว +2

    Ndio maana wanafunga kanisa sababu ya kutukuzwa kwingi

  • @domycossan1395
    @domycossan1395 ปีที่แล้ว +3

    Hapo anapopongezwa kwa sifa za kijinga hawasemi 'wanachanganya dini na siasa'

  • @jeffkisimbo1178
    @jeffkisimbo1178 ปีที่แล้ว

    Mawazo ya kicheche mtu mwenye mawazo finyu.
    Sasa hapa sijui tutasikia kauli za kuchanganya dini na siasa

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 ปีที่แล้ว

    Angal8a ni askofu wa dhehebu gani mnafiki huyo.OVYOOO.

  • @AugustinoKinunda-tf5tp
    @AugustinoKinunda-tf5tp ปีที่แล้ว

    Huyu bado hajakemewa kwa kuchanganya dini na siasa? Kama Bado ana sifa zote za kukemewa.

  • @hulukasefu
    @hulukasefu ปีที่แล้ว +1

    huyu mchungaji nakumbuka turikuwa wote mirembe hosptari wakati turikuwa tunaumwa kichaa mm niripona ira mwenzangu naona bado hajapona analopokalopoka hovyo?

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd ปีที่แล้ว +1

    NINAMASHAKA SANA NA ASKOFU HUYU EITHA NI NJAA KALI INAMSUMBUA SASA ANAJIKOMBA APATE MAKOMBO YA UFISADI WA CCM!!!!!

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri ปีที่แล้ว +1

    Taifa letu limepoteza dira ya kupenda ukweli na haki.

  • @LucasSalla-e6c
    @LucasSalla-e6c ปีที่แล้ว +1

    Ni askofu wa mchongo kabisa. Limwigulu nalo lisivyo na akili hata tone linashangilia. Hivi limesoma nini hili? Linajiita dr wa kusomea!!!! Kujimwambafai bure tu.. Na mama naye anapandisha mabega kupewa sifa isiyomhusu??? Angemtumia askofu mchongo aache kabisa hayo maneno ya kumtukuza, maana hastahili hata chembe,kutukuzwa.

  • @myself4128
    @myself4128 ปีที่แล้ว +1

    HAFAI HATA KUWA SHANGAZI WA TAIFA...SAMIA NI MAMA WA KAMBO TU! HANA UWEZO WA KUONGOZA HATA KIJIJI ...KESHAUZA MBUGA ZA WAMYAMA KWA WAARABU SIJUI ANAMPANGO WA KUOLEWA HUKO HATUJUI!

  • @DonatusNyamizi
    @DonatusNyamizi ปีที่แล้ว

    Kkkt sijawahi kuwaamini injili yao. Wanacho fundisha

  • @abdallavuai497
    @abdallavuai497 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaa ngurumo kuna mambo unakua huyapend yanakuumiza hata kama humpend samia ila tayar ashaitwa mama wataifa

  • @NellyMadeni-yv6fd
    @NellyMadeni-yv6fd ปีที่แล้ว

    Huyu askofu aliyetoa cheo cha umama ni hovyo njaa itamfikisha pabaya

  • @PascalinaMushi-je9jn
    @PascalinaMushi-je9jn ปีที่แล้ว

    Sijui askofu kama huyu anapewa na nani hicho.kiti. kiazi i kabisa

  • @Veni584
    @Veni584 ปีที่แล้ว +1

    Chawa

  • @filbertkumburu8015
    @filbertkumburu8015 ปีที่แล้ว +1

    Imani ovyoooo.

  • @dinalema732
    @dinalema732 ปีที่แล้ว +1

    Ko hadi viongozi wa dini wamegeuka kuwa chawa?

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur ปีที่แล้ว

    Hayo manjaa yenu IPO siku yatawaponza kuweni wakweli kwa Mhe, Rais kwani watanzania wanataka Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

  • @ephraimkalanje7105
    @ephraimkalanje7105 ปีที่แล้ว

    HUU NI UCHAWA ULIOPITILIZA!
    KUCHAMBA KWINGI............?
    ASKOFU HUYU AMECHAMBA MNO!
    HONGERA ANSELM NGURUMO KWA UCHAMBUZI MZURI!

  • @EmanuelPallangyo-n4q
    @EmanuelPallangyo-n4q ปีที่แล้ว

    Hawa ndo wanaojipenekeza na hawasemi ukweli Kwa serikali,mama kapokea nchi sukari ikiwa elfu mbili na mia Tano sahib ni elfu 3,mfumko wa bei unatishia maskini wa nchi hii tozo,gharama za matibabu nazo mtu anapamba ujinga kweli.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 ปีที่แล้ว

    Huyo asikofu hana akili anajipendekeza kwa watoto wake wapewe uteuzi
    .

  • @matiredms917
    @matiredms917 ปีที่แล้ว

    Unafiki umetamalaki ktk mioyo ya Wanaojiita watumishi wa kanisa

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 ปีที่แล้ว

    Huyu mnaetaka aitwe mama wa taifa letu ni shetan kwahiyo ni vigum sana kumwitwa mama wa taifa shetan

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 ปีที่แล้ว

    Acheni tabia za kipagani, hivii mliishaona wapi wapi hata kwenye maandiko kuwa na mama wa taifa?

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 ปีที่แล้ว +1

    Nionavyo mm labda Mungu ameshaondoka Tanzania jamani... yaani kweli hata kiongozi wa dini anatafuta kiki kuwa chawa...lo

  • @killiankingDr
    @killiankingDr ปีที่แล้ว

    Kwami shida iko wapi akiitwa kwa jina la mwanaye wa kiume au wa kike?

  • @haroldgabriel8767
    @haroldgabriel8767 ปีที่แล้ว

    Huyo askofu ni chawa walewale. Hovyo kabisa. Anajipendekeza. Na pembeni yake yupo mkuu wa machawa amevaa t-shirt ya bendera.

  • @mkingajuliuas9673
    @mkingajuliuas9673 ปีที่แล้ว

    Huyu kiongozi wa dini ama amelewa au hana akili timamu Samia sio mama wa taifa ila ni mwamke wa kwanza kua rais Tanzania.

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 ปีที่แล้ว

    Eneo alilotokea ujumbe wake kama ni madhabahuni kakosea! Hiyo ni kauli na maoni yake siyo ya wakristo wa Singida bali familia yake binafsi

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw ปีที่แล้ว

    Una shida mama wa Taifa mmemwacha ambaye alipata shida ya kutoa mawazo yake kumpa baba wa Taifa J,K Nyerere kipenzi chetu huyo aache dharau Mama Maria tunampenda sana

  • @evansmtalo9406
    @evansmtalo9406 ปีที่แล้ว

    Elimu ni muhimu sana.Katoliki hawakurupuki nadhani ni kwa ajili ya Elimu waliyonayo.mambo yao niya kisomi sana.

  • @andreasadi445
    @andreasadi445 ปีที่แล้ว +1

    Kapewa bahasha huyo

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 ปีที่แล้ว

    Mpigigyeni simu asome wanaume wanavyo mchamba kuwa yeye ni hana elimu ya kutosha ni masikofu njaa hata nyinyi waumini mtoke huko mliko hamna asikofu mnaibiwa sadaka zenu mnazolima alizeti.

  • @alfredmtundu9558
    @alfredmtundu9558 ปีที่แล้ว +1

    Askofu kalewa nafasi aliopewa kuongea

  • @mkingajuliuas9673
    @mkingajuliuas9673 ปีที่แล้ว

    Kama hao viongozi wengine hawana maneno ya kuongea wawe wananyamaza tu ili kujilindia heshima sio kuongea pumba tu ili umufurahishe rais

  • @AndrewMalalika
    @AndrewMalalika ปีที่แล้ว +1

    Wewe mi fala mbona wakisema ya mawazo yako husemi akisapotiwa mnaongea ninyi mnawalazimisha kuamini ya kwenu tu? Anaitwa mama kwa sababu ni mama wa kwanza kia lair we ni hekima imekupungua omba mungu akipe hekima

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 ปีที่แล้ว

      Akili ya Ukoo wa palestina akili huwa ziko msikitn

  • @ZacksonMakundi
    @ZacksonMakundi ปีที่แล้ว

    Tuliochizika naye hatukatazwi kumuita Mama wa taifa

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kabudi alikosea matamsh kibinadam na wewe unalijua hilo

  • @abdallavuai497
    @abdallavuai497 ปีที่แล้ว

    Alipotubagua mbowe na wenzie hatukukuckia kusema kitu

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 ปีที่แล้ว

    😂😂 makafir wenzako watakupinga tu

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 ปีที่แล้ว

    Thamani, heshima na maana ya Askofu na dhamana ya uaskofu inadhalilishwa na maaskofu waganga njaa!

  • @andrewkissavah8272
    @andrewkissavah8272 ปีที่แล้ว +2

    Mwigulu unajua propaganda umezichanga karata mpaka umempanga na asikofu wako wewe kiboko

  • @DeboraBubele
    @DeboraBubele ปีที่แล้ว +1

    Huyo askofu amesoma kweli

  • @KidijeiNuru
    @KidijeiNuru ปีที่แล้ว +1

    Je angekua mama yako ungekataa? Na urudie kusikiliza alichokua anaongea shkh alhadi uwelewa wako ni mbovu sana

  • @corporatethugsent7380
    @corporatethugsent7380 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaa😂😂😂 dah huyu askofu mavi mavi kinyama yani

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 ปีที่แล้ว

    Askofu umeabisha kabisa kada yako hufai ,hufai kabisa chawa mkubwa huna maana.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 ปีที่แล้ว

    Hivi ni dhehebu gani aliko huyo shetani. Na vipofu wenzake wanashangiliya watanzania pesa mnazol.letewa ni mikopo na mtalipa.nyinyi wenyewa ukiona jitu. Kama hilo ni asikofu bandiya hana elimu. Ukija kwetu tulizomee hilo liasikofu mchongo

  • @mkingajuliuas9673
    @mkingajuliuas9673 ปีที่แล้ว

    Huyu asikofu asitulee mambo ya ovyo sisi watanzani tuna baba wa taifa mmoja tu kulingana na sifa zake anatosha