Askofu Hilinti alivyomwagia sifa Rais Samia, ataka aitwe Mama wa Taifa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 ปีที่แล้ว +2

    Na mimi naunga mkono, Nakuita mama wa taifa. Mama Allah akuhifadhi
    Samia oyeeeeee,

  • @abi-onlinetv4181
    @abi-onlinetv4181 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kweli Kabisa. Nimeipenda sana hii.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 ปีที่แล้ว +1

    Nakubariana na wewe . Huyu ni mama wa Taifa .

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 ปีที่แล้ว

    Baba askofu umenena huyu ni MAMA WA TAIFA . Asante baba askofu

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g ปีที่แล้ว

    Hakuna cha ajabu kkkt hata Askofu mkuu mstahafu alirudiswa kuwa Askofu mkuu tena kanakwamba hakuna anae faa pamoja na huyo,hakuna mahali kura ilitenda haki,kwani hata mavazi ya yesu waliyapigia kura..Yesu alisema mafarisayo wamefanana na makaburi nnje yamepambwa kwa marumaru lakini ndani ni mifupa mitupu na uvundo, kwahiyo msishangae tutaelewana tu.

  • @FrolenceRogath-fv6ku
    @FrolenceRogath-fv6ku ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe

  • @OmarKombe-o7p
    @OmarKombe-o7p ปีที่แล้ว

    Omary kombe Kweli Mama wa Taifa

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d ปีที่แล้ว

    Askofu limepita mama wa taifa oyee

  • @Clement-px8eg
    @Clement-px8eg ปีที่แล้ว

    Kwa lipi

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k ปีที่แล้ว

    Jakaya Kikwete nasubiri kauli yako, Askofu anachanganya dini na siasa 😂😂😂😂😂