TUMWEPUSHE RAIS SAMIA NA KUFURU HIZI ZA KIJINGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2022
  • Sifa za kijinga na utukufu wa Mungu visiwe sehemu ya mambo yanayotumiwa na wapambe, washauri na wasaidizi wa rais kumpamba. Mtangulizi wake, John Magufuli, alifananishwa na Yes, Mungu, na hata "zaidi ya Mungu" - ujinga ambao yeye aliufurahia na kuukubali. Tuyaepuke!
  • เพลง

ความคิดเห็น • 287

  • @yonabilshan6424
    @yonabilshan6424 ปีที่แล้ว +6

    You are very speculative indeed may God bless you petpetually

  • @delingowi
    @delingowi 2 ปีที่แล้ว +8

    Well said baba, God bless you, HAKUNA KAMA MUNGU NA MUNGU HADHIHAKIWI, TUNATAKIWA KUMUOGOPA MUNGU PEKE YAKE MWENYE UWEZO WA KUUWA MWILI NA ROHO. SIFA, UTUKUFU, MAMLAKA NI YA MUNGU PEKE YAKE, HAKUNA KAMA MUNGU. NIMEBARIKIWA SANA NA USHAURI WAKO NA COMMENT YAKO BABA

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 2 ปีที่แล้ว +10

    Mm niseme kaka kamtahadharisha mama samia asikubali kupewa sifa ambazo hazimstahikii yy na ss wasifiaji tuwacheni kusifia tumsifie allah ndie alie wapa hadhi hawo wanaosifia ukitaka kukusifia kitu msifu alie kitengeneza ndio itakuwa umetenda haki ahsanten

  • @ammarruwehy
    @ammarruwehy 2 ปีที่แล้ว +12

    Kiongozi wa Dini Sheikh Alhaad alianzia mbali sana, na alisema kua ukitaka upendwe basi utakua zaidi ya Mungu, maana hata Mungu hapendwi. Hapa Mkuu ulimkatishia maneno Sheikh Alhaad. Hakusema kua Magufuli ni Zaidi ya Mungu.

    • @hamzarijal5333
      @hamzarijal5333 2 ปีที่แล้ว +2

      Itafute Clip yake ili iwezekane kufahamika kinyume chake tutayaona Sheikh Alhadi ndivyo alivyosema.

    • @msafirimpendu7077
      @msafirimpendu7077 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli hiyo clip imekatwa hapo mwanzoni

    • @mohamedkibao7482
      @mohamedkibao7482 2 ปีที่แล้ว +1

      Asiye Jua maana haambiwi maana huyu jamaa amekata hio clip Kwa makusudi kukebehi Islam. Anajua anachokifanya. Stupidity, huu ni udini kutukuza dini yako na kukebehi dini nyengine, hopeless, watu kama Hawa baada ya kuwasikiliza ni kuwapuuza tu!

    • @tadeojohn9691
      @tadeojohn9691 2 ปีที่แล้ว

      @@mohamedkibao7482 umeelewa mada

    • @ammarruwehy
      @ammarruwehy 2 ปีที่แล้ว

      Full video hii hapa.
      Ingia TH-cam uujue ukweli. Tusiwe wajanja wajanja wa kuedit, Video zinahifadhika na tunazo.
      th-cam.com/video/SCFVfQSP1-s/w-d-xo.html

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +9

    Unafiki umetawala sana mungu ibariki Tanzania tunaomba amani

  • @husseinmillans3794
    @husseinmillans3794 2 ปีที่แล้ว +10

    Swadaktaaa big brother!What you say it's absolutely correct!Be blessed and may Allah protect you.

  • @nzeyyunus5990
    @nzeyyunus5990 2 ปีที่แล้ว +12

    Umenena vizuri Mtumishi. Ubarikiriwe Sana Kaka Ansbert

  • @WorldView24hrs
    @WorldView24hrs 2 ปีที่แล้ว +4

    mungu akubariki kaka ..

  • @nasembakihara3024
    @nasembakihara3024 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu ni mwenye wivu Hana mfanano wowore ghazabu ya Mungu Mungu jamani

  • @orgeneslema9464
    @orgeneslema9464 2 ปีที่แล้ว +7

    Absolutely correct

  • @pauloalfayo1868
    @pauloalfayo1868 2 ปีที่แล้ว +4

    Mtumishi wa mungu Mimi nimeogopa mno.na utukufu wa mungu hauguzwi,tufunge na kuomba mzamaha.asante sana mungu akubariki

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 2 ปีที่แล้ว

      Atoe kwanza Boriti kwenye jicho lake ndipo ataona kibanzi Cha mfalme wetu magu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 ปีที่แล้ว +5

    HIYO SIYO KAULI YA WAISILAM WA DAR ESSA LAAM,
    HUYO KAKUFURU PEKE YAKE,AOMBE TOBA KABLA YA KUFA KWAKE,

  • @jamals.mbarak8638
    @jamals.mbarak8638 2 ปีที่แล้ว +4

    Umefikisha vizuri sana

  • @rashidmohammed4887
    @rashidmohammed4887 2 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo haikuwa kauli ya waislamu wa Daresalam ila ilikuwa kauli ya huyo Shehe Ahadi

  • @adamruhusa5771
    @adamruhusa5771 2 ปีที่แล้ว +6

    Ni dhambi kubwa na nikufuru kwa mwanadamu kufikwa jiji la Mungu kumbuka Mungu hafananishwi na kitu chochote na Mungu ni uwezo isio kifani tumuogope Mungu ni kweli

  • @gililwise
    @gililwise 2 ปีที่แล้ว +3

    mungu afananishwi na mwanadamu awaye yote ombeni Mungu awasamehe.

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sema ukweli dah tunaenda wapi jamani mungu afananishwi na kitu chochote % mungu ndo mueza wa kila kitu%

  • @daudicharles1711
    @daudicharles1711 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema

  • @allyhassan2973
    @allyhassan2973 2 ปีที่แล้ว +6

    Aisee japo hata wengine wamekosea sana Ila huyu SHEKHE duh sidhani kama atapona vinginevyo amuombe mungu msamaha sana, sana, sana, sana tena sana!!!. Na kw mfano nikiingia msikini nikakuta huyu jamaa ni imamu ntatoka

  • @majormajomjohn3775
    @majormajomjohn3775 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa kusema kweli

  • @yahayamwinyiwaziri3789
    @yahayamwinyiwaziri3789 2 ปีที่แล้ว +3

    Subuhannallah Allah aqbar jaman vyeo ivi inalilah wainaihirajiun

  • @salhaisrael8265
    @salhaisrael8265 2 ปีที่แล้ว +4

    Duh kweli twapotezwa na watu wasiojua dini Asante paster

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 2 ปีที่แล้ว

      Paster mnafiki Kama Yuda msariti kuwaongelea waliotangulia we ni Nani?!?!?! Eti msafi!!msafi Ni Baba yaani Aba.

    • @hamisihamisi1596
      @hamisihamisi1596 ปีที่แล้ว

      Mungu hatusamee,we ndugu uko making sana,mama Samia jitaid kuepuka jina la mungu

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 2 ปีที่แล้ว +8

    Isaya 42:8. Aliyetuumba hataki utani ndo maana alikufa.

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hiyo wote wanaokufa walimtania Mungu wetu.?!?!

    • @alfredinarwegasira4821
      @alfredinarwegasira4821 2 ปีที่แล้ว

      @@beatricehenry6776 Si ndio apo? Na ayo maneno aliyasema yeye? Jamani msimpangie Mungu yeye ndiye anajua maisha ya kila mtu.Kwa hiyo waliokufa wrote wana madhambi? Msikufuru jamani ila Chanda chema uvikwa pete.

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwanri alikosea tuu ktk uwakilkishaji sahihi wa maneno yake....mtumaini bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili mwenyewe, ktk njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako.......Nionavyo ni kweli pale unapomtumaini Mungu,,,Mungu hushusha baraka zake kwako,,,,,kuna namna tu Mwanri naona ulimi ulimteleza Kama ilivyo ulimi kiungo kdogo matatizo yake makubwa. Hata wewe unayezungumza hapo kuna mengi sana umemkosea Mungu na jua kuishi kwako labda ni vile tu Mungu anakupa wakati utubu na kumrudia....unapomnyooshea kidole mwezako kwanza hakiki usafi wa mikono yako

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 2 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo kubwa ni KITUMBUWA.
    Viongozi wengi huwa wako tayari kutoa kauli au kufanya kitendo ili kumfurahisha MKUU,Mradi Kitumbuwa kisiigie mchanga.

  • @gataonyango9294
    @gataonyango9294 2 ปีที่แล้ว +3

    Ulikuwa upumbavu wa hali ya juu sana

  • @user-ni9zc3gx5t
    @user-ni9zc3gx5t ปีที่แล้ว

    Unachambua vzr sana hupendelei ila usije ukawa Kama mhuni kuzalilisha viongozi tutakupiga faini😊 nakutania mtani wangu

  • @elibarikimeela2761
    @elibarikimeela2761 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka Ngurumo,, you are a Tz grand analyst

  • @user-ro8bg9qv1f
    @user-ro8bg9qv1f 3 หลายเดือนก่อน

    Tusishangae njaa iliowafanya waone wakufulu mungu

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 ปีที่แล้ว +1

    Hao wote hawana dini

  • @magwaza8904
    @magwaza8904 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa vzr alitakiwa awakemee na kuwaambia Mungu ni Mungu tu. Mimi nibinadamu tu. Ila tatizo la Magufuri alikua hapendi kushauriwa na kusahihishwa.

  • @amraniramadhani4148
    @amraniramadhani4148 ปีที่แล้ว

    HONGERA kaka.unasema kweli

  • @frankfidelis8421
    @frankfidelis8421 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mungu anaipenda Tanzania mama waepuke washauri wa kukupa sifa za kimungu

  • @Lifeeofemmy
    @Lifeeofemmy 2 ปีที่แล้ว +2

    Binadamu yeyote anae mwita binadam mwenzake Mungu kwaajili ya cheo ,njaa au kuwania madaraka ni mpumbavu wakwanza katika Dunia hii

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 2 ปีที่แล้ว +4

    Endelea kukumbusha wanadamu....
    Tunajisahau hasa zaidi tunapokuwa tunapewa madaraka

  • @asacconlinemedia5343
    @asacconlinemedia5343 2 ปีที่แล้ว +3

    Ngurumo namfahamu ni mtu mwenye Afya njema ya Akili. Anapenda sana Ukweli.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu ibariki Tanzania tunaomba amani

  • @mosesfaustine8835
    @mosesfaustine8835 หลายเดือนก่อน

    Mungu ndiye ahukumuye. Kama walifanya makosa au la. Na anajua namna ya kuwahukum

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi NIMEKUELEWA..kosa kwa wanaomfananisha kiongozi na Mungu NI kufuru...inafungua mlango wa adui kumpiga aliyebebeshwa hizo kufuru...MH mama yakifikia hayo kataa hapo hapo.

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee Kabudi kamaliza yote.."Muheshimiwa Mungu"

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 ปีที่แล้ว +2

    Msemaji umesema kweli wa kujilaumu sisi sababu tunaogopa na kutishwa

  • @chalresmabubu7625
    @chalresmabubu7625 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli bro

  • @fransisoroni9903
    @fransisoroni9903 2 ปีที่แล้ว +5

    Mimi nimemfahamu Bwana ngurumo muda mrefu sana ,wakati wa vuguvugu la vijana wakatoliko kutaka kujua ufundi wa utunzi au uimbaji wa nita au muziki miaka hiyo ya 92hadi 98,wakati huo ,baadae yakutoka makoko seminary sijui kwa shida gani,alivuma sana nimtunzi mzuri sana wantimbo za Litrugia miaka hiyo ,nimwanamuziki mzuri sana wakikatoliki ,Huwa ana misimamo yake huwa anaamini like anachokijua yeye ,mara nyingi Huwa hakubaliani na mawazo hadi ya wengine,

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 ปีที่แล้ว +3

      Asante ndugu. Ni kweli nimekuwa mtunzi wa nyimbo za dini tangu 1985. Ni kweli nimeishi Musoma tangu 1991 hadi 97. Ni kweli nilisoma Seminari na nilikuwa frateri wa Musoma. Lakini sikuwahi kusomea Makoko. Ni kweli kwamba nina msimamo, lakini nikipata hoja nzito kuliko yangu, naifuata. Ninachokataa ni kulazimishwa au kulaghaiwa kirahisi rahisi tu. Ukitaka kunivuta upande wako, nishawishi kwa hoja. Usinitishe, usinidanganye. Sifuati mkumbo, nafuata hoja, nafuata mantiki. Napenda kuwajibika kwa maoni yangu ili nisisingizie wengine kwa makosa yangu mwenyewe.. Nilitaka kuweka hilo sawa tu.

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu Ni mshamba tuuu .SS hatuangalii sifa za watu wa hovyo wenye mihemuko tunaangalia kazi alizozifanya Magu.kama weweni kipofu Kama Batholomeo tutakuombea

    • @asacconlinemedia5343
      @asacconlinemedia5343 2 ปีที่แล้ว

      Kuna Jambo umesahau kuandika.Mimi pia namfahamu vizuri sana Ansbert Ngurumo ni Mpenda Ukweli,hapendi ujanja ujanja.Ni mtu mwenye Afya njema ya Akili,Huwa hapendi kuongozwa Na tumbo, Anapenda sana kutumia zaidi akili kupambanua Mambo. Huwa hakurupuki katika maamuzi.

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 2 ปีที่แล้ว +2

      @@beatricehenry6776
      Kazi alizofanya ni kubwa na ni nzuri, lakini hazikumgeuza awe Mungu.

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 ปีที่แล้ว +1

      @@beatricehenry6776 alifanya mazuri lakini alikuwa na mapungufu pia huenda yalikuwa mengi ambayo wewe hukuyagundua katika ufahamu wako

  • @babumnyagane8091
    @babumnyagane8091 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama yetu samia nakuomba rudisha heshima ya viongozi wa juu, mfano henzi
    Ya magufuli mtu kama mbunge kukamatwa kama mwizi wa kuku badala ya kuitwa kistaharabu sio vizuri,

  • @kitojowetengere9641
    @kitojowetengere9641 ปีที่แล้ว +1

    Hili ni tatizo kubwa kwa nchi zetu za afrika. Na ni tatizo la pande mbili...viongozi wanapenda sana kusifiwa na wanaomzunguka wanapenda kumsifu kwa kujipendemsifu kwa hiyo ni aina fulani ya win-win situation. Hali hii haiwezi kukoma hakujipendekeza.

  • @zubedasoud9204
    @zubedasoud9204 ปีที่แล้ว

    Heeeee Tobaaaaa shekh anasema ivo SUBHANALLAH

  • @EliasKasomajr
    @EliasKasomajr 2 ปีที่แล้ว +5

    Its real annoying and shameful sana kuwa na viongozi wa namna hii....what worries zaidi ni viongozi hawa kukubali hizi sifa za kipumbavu sana.

  • @cydehashim9410
    @cydehashim9410 2 ปีที่แล้ว +1

    real talks.

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว +1

    Ile awamu tulikuwa na majitu mapumbavu sana.. Walikufuru sana sana..

  • @thomasmseli3046
    @thomasmseli3046 2 ปีที่แล้ว +3

    Unaongea injili iliyo hai. Hawa walafi wa madaraka wana kiburi kupitiliza hawatakusikiliza watakushambulia. Hawtaki kujifunza kwa mfalme Herodi alifananishwa na Mungu akafurahi akauwawa na chango palepa. Hawa wa sasa ni kansa itawala na aibu tele wapokeyaji na watoaji wa sifa za Mungu kwa binadamu

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 ปีที่แล้ว

    Proffesa mavi.

  • @allyjumakukulo4972
    @allyjumakukulo4972 2 ปีที่แล้ว

    Bro ahsante sana kikubwa zaidi huye shekh wa dar ndo alitumaliza kbs

  • @onesmokamili2968
    @onesmokamili2968 2 ปีที่แล้ว +5

    Hapo ndipo MUNGU alipochukia na akakasirika

  • @othmanmapunda2310
    @othmanmapunda2310 ปีที่แล้ว

    Iko vizuri sana

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuu uyo sio shekheeee uyo ni ibilisiii

  • @kamwenemnogage3791
    @kamwenemnogage3791 2 ปีที่แล้ว +4

    Samia yeye ni zaidi ya hao yeye anajisemea wenyewe eti rais hakosei. Hii haina tofauti na kujifananisha na Mungu, alaaniwe

    • @yussuffadhil1396
      @yussuffadhil1396 2 ปีที่แล้ว

      Acha ngongo ww...samia hawezi kujifananisha na Mungu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      ULIMSIKIA SAMIA MWENYEWE AKISEMA HIVYO??? WACHA UWONGO USIJE UKALANIKA KAMA MAGUFULI.

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 2 ปีที่แล้ว

      @@salimmalaka256 Fungua link hii umsikie wewe mwenyewe rais Samia akisema kuwa "rais hakosei".
      th-cam.com/video/KDnY6BZsyx4/w-d-xo.html

    • @deusrobart8181
      @deusrobart8181 2 ปีที่แล้ว

      @@yussuffadhil1396 kwani magufuli aliji fanasha na Mungu lini

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 2 ปีที่แล้ว

      @@deusrobart8181 Wapambe wake walimfananisha na Mungu mbele yake na yeye hajakemea bali alifurahia hilo na wegine kuwapandisha vyeo kwa sababu ya kumpa sifa za kiungu. Sikiliza baadhi yao katika link hii:
      th-cam.com/video/SpCfLyeK7DY/w-d-xo.html

  • @minjagas1343
    @minjagas1343 ปีที่แล้ว

    Tuache ubishi jamani lipo lakujifunza.kukiri makosa hakutuondolei heshima yoyote.tunakushukuru kutukumbusha. Mungu uliye hai uliye popote tusamehe.tukutukuze wewe peke yako.mpe kiongozi wetu hekima na maisha marefu.Asante Mungu wetu kwa kuwa kiongozi huyu ametoka kwako.tuomba toba na rehema kwa taifa letu.

  • @maalimkhamis4600
    @maalimkhamis4600 2 ปีที่แล้ว

    Very good you are good man

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana.Sauti inatosha

  • @saidal-rawahi4564
    @saidal-rawahi4564 2 ปีที่แล้ว

    Brother upo sahihi kabisa.

  • @adamsibora1208
    @adamsibora1208 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bro sema ucwe chawa ivyo unafeli ivi unazan magu anastaili kufananishwa na rais Samia ?

  • @machibyajeremia9650
    @machibyajeremia9650 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh hatari

  • @minjagas1343
    @minjagas1343 ปีที่แล้ว

    Mungu atusamehe.

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala5042 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mwongo anatumia maandiko vibaya. Biblia yenyewe inasema tiini wenye mamlaka kama kumtii Kristo. Tena inaongeza anayestahili heshima mpe heshima, mana viongozi wa Serikali ni watumishi wa Mungu ikiwa wanatenda haki. Tena inasema mkipigwa makofi kwasababu ya kutokutii iliyohaki mkipigwa hampati sawabu lakini mkipigwa Kwa kutenda haki mna sawabu. Hakunaga kumsema anayestahili kuogopwa ni Mungu tu, Mungu unayemtaja ambaye haonekani yupo Kila mahali, Serikalini Mungu anawakilishwa na viongozi watenda haki, kwenye familia wazazi, hata mke anapaswa kumtii Mine kama anamtii Mungu. Kusema mbona mume ni mtu tu hicho hi kiburi na ukipigwa usifikiri Mungu atakuhurumia, kwakuwa Mungu anafanya kazi ndani ya wanadamu. Hujui chochote Acha kudanganya watu. Kwa Mungu hakunaga usawa. Kuna mamlaka na unapaswa uzitii. Yaani wewe unasema haki Sawa huo ni ushetani na ndicho alichokifanya Lusifa kutaka kuwa Sawa na Mungu. Mugufuli hakujifanaya Mungu, Ila alinunyenyekea Kwa Mungu, mara ngapi aliita viongozi wa dini wamwombee? Ni raisi gani unayemjua wewe aliyewahi kumtukuza Mungu hadharani hata wakati Mungu anaonekana si kitu Kwa wenye akili za dunia hii kama Magufuli. Hakuona aibu kusema Jambo hili tumuombe Mungu, kuna watu wameingia madarakani tu wamejifanya sayansi sayansi, wakati yeye akisisitiza taifa kumwomba Mungu na tukashinda vitavingi hata ya korona. Acha kuwahadaa watu wasio na ufahamu7

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 2 ปีที่แล้ว

    Hatari sana

  • @sagoaking2904
    @sagoaking2904 2 ปีที่แล้ว

    Kwasababu Mungu alikuwa ndani yake

  • @Worldunite
    @Worldunite ปีที่แล้ว

    Ni kweli lkn baadhi ya viongozi wa kiserikali na dini huwa wanajipendekeza kwa maraisi

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 2 ปีที่แล้ว +1

    Watawala wamaccm niwanafiki wanapenda kupambamapambio kwaunafiki tu kwasabbu yakujipendekeza ili apewe/apandishwe cheo!!!

  • @deodatusmagagura6793
    @deodatusmagagura6793 2 ปีที่แล้ว

    YESU KRISTO TUREHEMU

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 ปีที่แล้ว +1

    Sababu kubwa ya magufuri kufa alifika mahara kumukufuru mungu.aliwaita viongozi wa dini zote akawadanganya akisema uchaguzi huu utakuwa wa haki ombeni mfuge nawo viongozi wadini wasijuwe mudanganyifu mungu hakusita kumchukuwa mimi nawaeleza watu anatumikia kifungo cha moto watu waliuwa wakafa katika uchaguzi wake enzi ya mkapa tulikuwa tunataniana na chadema tukiwaejeri vyama vyenu ni vyamusimu mnaonekana wakati wauchaguzi.baba aliweza kuwa ccm mama chadema mpaka umoja wa mataifa wakawa wanatushangaa amani yetu.leo magufuri ameacha viliyo huyo mungu ni mungu gani makufuri ande mbiguni kamwe.

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    "Wewe unayeishi utambue ukuu na uweza wa Mwenyezi Mungu"

  • @geofreymongi5403
    @geofreymongi5403 ปีที่แล้ว +1

    Ni hekima njema Mungu anaipenda Tanzania na huyu muungwana hana makuu amezungumza kama nabii ingekuwa wale manabii kanjanja nisingeshangaa kusikia wakimtaka Raisi na watanzania wapeleke sadaka ya ukombozi kwake

  • @c.r.mtechnology2322
    @c.r.mtechnology2322 6 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar, 3

  • @yussufpandu1852
    @yussufpandu1852 2 ปีที่แล้ว +1

    ALHADI MUSSA LAZIMA UTUBU KWA KAULI ULIYOITOWA

  • @edwinimezza2471
    @edwinimezza2471 2 ปีที่แล้ว +6

    Wote wana matatizo,,Anaye sifiwa anamatatizo na, wanao msifu pia wana Matatizo.

  • @user-zh8wg3lc4i
    @user-zh8wg3lc4i 9 หลายเดือนก่อน

    Wagonjwa wote hao.

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 ปีที่แล้ว

    🤔

  • @abdalakombo1595
    @abdalakombo1595 2 ปีที่แล้ว +1

    Kufuru ingezidi angekuwa hai

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      TANZANIA INGE ANGAMIA BORA KAFA FIRAUNI WA TANZANIA YULE

  • @emmanuelmasalu5465
    @emmanuelmasalu5465 2 ปีที่แล้ว +2

    hata hivyo mzee, elewa tu kuwa hata wewe hapo una lako si bule. kila kitu ni IMANI kwa kila wakati wa inalokujia kwa wakati ulio nao. maana mapokeo wa wa hayo unayoongea leo unajua kwanini uongee leo na sio kipindi kile. japo RAIS wa sasa mmemzalau wengi wenu kwa kujifichia eti anademokrasia. wale mgando wakuone jiniazi.

    • @herculesthepower1544
      @herculesthepower1544 2 ปีที่แล้ว

      Hii comment yako haieleweki kabisa sijui labda kwa kiswahili uchokitumia. Na labda humjui huyu mtoa hii mada. Kiufupi, tusijaribu kumlinganisha binadamu na Mungu hata awe na uzuri wa kila kitu. Mungu ni Mungu pekee yake hakuna mfano wake na hakuna alie juu yake.

  • @magdalenabenard4208
    @magdalenabenard4208 2 ปีที่แล้ว

    Utukufu ni wa mungu peke take tatizo la viongozi ama baadhi wanapenda kutukuzwa sijajua hata nemo mheshimiwa mtukufu kama kwa mungu lina kibari aielewi ila ni hatari sana kumcheZea mungu maana eye ni mungu anaetisha hazihakiwi atakomrsha viburi

  • @jifahamuyouthtalentssports3091
    @jifahamuyouthtalentssports3091 2 ปีที่แล้ว

    It's different

  • @vradmirlenin8290
    @vradmirlenin8290 2 ปีที่แล้ว

    Roho mbaya tu

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi nilielewa Mungu anaipenda Tanzania maana yake ametambua maumivu ya watanzania amewaponya kwa hili

  • @johnwangare2230
    @johnwangare2230 2 ปีที่แล้ว

    Mh makubwa

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 ปีที่แล้ว

    Duuh Apo sio poa wale waliokuwa wakimsifia ila kwakweli Mugufuli mwenyewe hakuwahi jisifiya ivyo nakwanza aliimiza watu wamtangulize Mungu mbele... to cut long story short Magufuli alikuwa mtu mzuri saana asa kwa watu wa hali yachini na huo ndio ukweli sema kuna viongozi tu waliokuwa wanajipendekeza

  • @marcomuhoja5981
    @marcomuhoja5981 2 ปีที่แล้ว

    Najitolea lakin tano kama msaada wa kukupeleka milembe

  • @palaghapalagha7336
    @palaghapalagha7336 2 ปีที่แล้ว +1

    Ungeuda grupu la hao watu watakusiliza

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 2 ปีที่แล้ว

    Akili kubwa saana

  • @farouqsilvester9918
    @farouqsilvester9918 ปีที่แล้ว

    Dah astaghfillulah huyu sheikh mkuu wa mkoa wa dar inabidi amuombe mwenyeezimungu msamaha dah astaghfillulah yaani magufuli ni zaidi ya mungu dah 😭😭😭😭

  • @goodluckshayo2593
    @goodluckshayo2593 ปีที่แล้ว

    Pongezi nyingi sana mwanahabari nguli Ngurumo. Hukuanza leo, wewe ni mkongwe.

  • @LathamCap
    @LathamCap 11 หลายเดือนก่อน

    Nawewe upo wapi?

  • @johnmwapili137
    @johnmwapili137 ปีที่แล้ว +1

    Kataa wanafiki mama !

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 7 หลายเดือนก่อน

      Mimi naona kuna vitu wanakubaliana watakuwa wanavisema come rain, come sunshine. 😅😅😅

  • @MBATINOFILMS
    @MBATINOFILMS 2 ปีที่แล้ว

    Ndio

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 2 ปีที่แล้ว

    Pengine ilikuwa ni khofu ya kutumbuliwa.

  • @jwilliamngeleja6548
    @jwilliamngeleja6548 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee mda ukifka utakufa tu kwahyo hata maguufuli haktaka kusifiwa ivo Kama kweli unacho kisema mbona kunawachungaji wanajisfu tena wao wenyewe na hawafi

    • @deusrobart8181
      @deusrobart8181 2 ปีที่แล้ว

      Mimi apo sijaelewa kosa la magufuli apo nilipi sasa

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 2 ปีที่แล้ว

      Ngereja Asante kwa kumuelimisha maana Hawa watumishi ndo wanajionaga Bora ila nyuma ya pazia wameoza

  • @lawrencebukuku8754
    @lawrencebukuku8754 2 ปีที่แล้ว

    Msikome tuelemisheni

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 2 ปีที่แล้ว

    Huyo sheikh alisha kufuru muda mrefu sana

  • @mumuomar5541
    @mumuomar5541 2 หลายเดือนก่อน

    Zaidi ya Mungu,wakati Mungu hafanabishwi,huyu kweli ni shekh?

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 ปีที่แล้ว

    Subhanaallah tunaambiwa kwenye dini zetu kuwa tusiweke chukii mbele ila tunaambiwa tuweke imani na undugu mbele ili tupate kheri yake mwenyezi mungu lakini binadamu ufitina na chuki binafsi sio Vizuri watazania hakuna mjinga ila tutakase roho zetu tu bro

  • @isacklameck1748
    @isacklameck1748 ปีที่แล้ว

    magufuli alimuheshimu mungu sana, walio ropoka Hao niwatu tu usimzodoe magu