NYUMBA Ya NYERERE Aliyoiuza, AKARUDISHIWA Kimtindo, AKAIGAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2019
  • NYUMBA Ya NYERERE Aliyoiuza, AKARUDISHIWA Kimtindo, AKAIGAWA
    Magomeni Mikumi jijini Dar es salaam unayoiona sasa, enzi za mkoloni ilikuwa ni kama Oysterbay kwa Waswahili wa Tanganyika.
    Tunaambiwa enzi hizo baba wa Taifa Mwl.Jullius Nyerere alimwomba rafiki yake Mustapha Songambele amtafutie kiwanja katika maeneo hayo naye akampatia akajenga nyumba ambayo sasa ni Makumbusho.
    #miaka20yakifochaNyerere
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ---------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY: th-cam.com/users/playlist?list...
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    GLOBAL RADIO TV:
    th-cam.com/users/playlist?list...

ความคิดเห็น • 19

  • @evelynkigosi7913
    @evelynkigosi7913 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mtangazaji,KAZI nzuri, asante Kwa historia nzuri ya Nyerere 🙏🏿

  • @21899
    @21899 4 ปีที่แล้ว +1

    Good mimi niishi karibu na nyumba hiyo namba 115 magomeni ifunda ilikarabatiwa mwaka 2007 na sasa ni kumbukizi ni kiwanja chenye ukubwa wa hatua 15 kwa 20

  • @nusulaally6379
    @nusulaally6379 4 ปีที่แล้ว +2

    Unasimulia sn vizur kk hongera sn👏👏🙏

  • @rehmadamian8020
    @rehmadamian8020 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah tupo pamoja sanaaaaaa

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 4 ปีที่แล้ว

    Edigar huwa napenda sana mpangilio wa habari zako na sauti inayovutia msikilizaji.

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +2

    P1 sana

  • @amissislywachako1772
    @amissislywachako1772 4 ปีที่แล้ว +1

    Naam

  • @justingeofrey599
    @justingeofrey599 4 ปีที่แล้ว +2

    Wew IDRISA NNACHO km hujui hii history kaa kmya cc wengne tunajua kinachoendelea au km hujui njoo nkupeleke hadi hapo kwenye nyumba alaf nkakupe full story tukiwa hapo,msimuliaji huko vzur,pumzka kwa aman baba etu wa TAIFA

    • @peterrainer3870
      @peterrainer3870 4 ปีที่แล้ว

      Unda chaneli yako ndio utoe stor

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 4 ปีที่แล้ว +2

    ..kweli long time!!

  • @cavoo4get649
    @cavoo4get649 4 ปีที่แล้ว +2

    Lo!

  • @selemanivanmkungu4637
    @selemanivanmkungu4637 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa 3 kabla ya matangazo

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 4 ปีที่แล้ว

    Hii si ile nyumba ya magomeni ama?

  • @jamesmliba2514
    @jamesmliba2514 4 ปีที่แล้ว

    maelezo hayaedani na picha eti.

  • @idrisannacho3955
    @idrisannacho3955 4 ปีที่แล้ว +1

    Historia hiyo inamashaka haina ukweli ipo kwenye kitabu gani

    • @elitegeneration1613
      @elitegeneration1613 4 ปีที่แล้ว

      acha kukariri mzee ww umesoma vitabu vngap mpk ss hv? na vimeandika kil kit unachokisikia?

    • @khalidmwingiro4738
      @khalidmwingiro4738 4 ปีที่แล้ว

      Acha kuongopa