NYUMBANI KWA NYERERE: UKITAKA KUINGIA NYUMBANI KWAKE UTARATIBU HUU UNAZINGATIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2020
  • Afisa Tarafa wa Kata ya Makongoro wilayani Butiama katika Mkoa wa Mara Frank Nkya ameeleza utaratibu unaotumika kwa mtu anayetaka kuingia eneo la Mwitongo ilipo nyumba ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa siku za kumbukizi na kutalii

ความคิดเห็น • 96

  • @emmanuelbuganga7325
    @emmanuelbuganga7325 3 ปีที่แล้ว +7

    Hongera milad Ayo, unatupa abari muhimu mungu akuongezee afya njema.

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu amlaze mahali pema peponi muasisi wa Taifa langu la Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere.

  • @dallydominick4356
    @dallydominick4356 3 ปีที่แล้ว

    Verry nice

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu ปีที่แล้ว

    Ikumbukwe Nelson Mandela Ndiye Alitoa Fedha Binafsi Kujengea Kaburi La Mwalimu Nyerere

  • @fadhilimanoni8574
    @fadhilimanoni8574 3 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @johnsonmahenge3908
    @johnsonmahenge3908 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest easy grandpa

  • @jurobright7751
    @jurobright7751 3 ปีที่แล้ว +2

    vizury

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 3 ปีที่แล้ว

    👏👏

  • @dicksondickson6101
    @dicksondickson6101 3 ปีที่แล้ว +1

    shujaa mwalimu julias kambarake Nyerere bado tukukumbuka kama kawa

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว +10

    Butiama napakumbuka sana niliingia mwaka jana tour mzee amepumzika Mungu amsaidie ampunguzie adhabu ya kaburi nakumbuka sana vitu vingi nilivyoviona na pale pa kuwashia mwenge juu ya mawe namepaona

    • @rmaryp6269
      @rmaryp6269 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna kupunguziwa adhabu! Baada ya kifo ni hukumu, km ulikufa bila kutubu dhambi ni jehanam direct na km ulitubu ni Paradiso direct! Hakuna cha sala ya kumwombea marehemu; huko ni kujidanganya, haibadili utaratibu wa MUNGU.

  • @jpintrospection1315
    @jpintrospection1315 3 ปีที่แล้ว

    Exactly

  • @samsonezekiel5239
    @samsonezekiel5239 3 ปีที่แล้ว

    Respect

  • @vainesraiburaibu661
    @vainesraiburaibu661 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeamini kweli maisha nisafara ndefu

  • @naomijohn6759
    @naomijohn6759 3 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda nchi yangu nakupenda mwl k nyerere japo ulikufa nikiwa mdogo lkn nayaona matendo yako pumzi baba lala kuna siku tutaonana mbinguni kwa baba tunalo tumaini baada yakufa kunamaisha

  • @suleimanmohamed4367
    @suleimanmohamed4367 3 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @malimikaniki6318
    @malimikaniki6318 3 ปีที่แล้ว

    .habali mpya zaleo

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 ปีที่แล้ว +3

    Apumzike kwa amani

  • @neemakassan6538
    @neemakassan6538 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mbona mnatosa pesa ni vibaya mno jamani daah

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 ปีที่แล้ว

    Mirad ayo naomba ata kwa jpm uende uoji Kama ulivyo oji kwa mwalimu nako tujue utaratibu ukoje kwenda kwenye kaburi lake.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว +1

    OK

  • @gospelextramusic6734
    @gospelextramusic6734 2 ปีที่แล้ว

    Sawa hii ni sehem ya kihistoria

  • @mimimoop2617
    @mimimoop2617 3 ปีที่แล้ว +5

    FatumA umejitahidi kufika mm sijui mwaka gani

  • @mbwanasamatta9594
    @mbwanasamatta9594 3 ปีที่แล้ว

    Mambo vu

  • @mimwaninelitha6666
    @mimwaninelitha6666 3 ปีที่แล้ว +6

    MUNGU akupumzishe Kwa amani baba Wa taifa

  • @emmanuelnaitakiaamerekiush1607
    @emmanuelnaitakiaamerekiush1607 3 ปีที่แล้ว +1

    Natan na mm kufaam kwa baba jaman

  • @mwendanashon4013
    @mwendanashon4013 3 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mwenda jackison

  • @edgarmganyizi7752
    @edgarmganyizi7752 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo fee mbona haitajwi??

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 3 ปีที่แล้ว +4

    Marehemu ashakuwa Biashara kwenda kuona hadi utoe ushuru 😷

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 ปีที่แล้ว +3

      I think pesa ni kwa kutunza hapo mazingira,,na sio ajabu, sehemu nyingi wanafanya hivi

    • @vivianmakala6249
      @vivianmakala6249 3 ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @jacklinethomas110
    @jacklinethomas110 3 ปีที่แล้ว +5

    Naenda msikitini, nimechoka namiujiza .

  • @yassiniferuzi2867
    @yassiniferuzi2867 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmetuboa sana kumlaza yule Shoga hapo N

    • @markomalimi840
      @markomalimi840 3 ปีที่แล้ว +2

      Hatukuelewi unamaanisha nini?

    • @mwendanashon4013
      @mwendanashon4013 3 ปีที่แล้ว

      Mahubiri ya nchungahi mwenda jackison

  • @omanmuttrah4132
    @omanmuttrah4132 3 ปีที่แล้ว

    Mimi

  • @caritasmushi5801
    @caritasmushi5801 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba wa taifa tunakukumbuka sana sana.

  • @masanjayamakili1618
    @masanjayamakili1618 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwann ulipe fees?? Tz bhana

    • @macknonkibona2401
      @macknonkibona2401 3 ปีที่แล้ว +1

      kupunguza hadha ya watu kuenda ovyo maana pia hadhi yake na eneo kwa ujumla itapungua mbali na kadhia nying zitakazo jitokeaza

    • @naomijohn6759
      @naomijohn6759 3 ปีที่แล้ว

      Kwaajili ya pato la tz

  • @servantkombo8225
    @servantkombo8225 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kumuombea MTU aliyekufa/alishazikwaga huu utaratibu umeruhusiwa na andiko gani kwa wale wakristo wenzangu.?

    • @andreamajjar8256
      @andreamajjar8256 3 ปีที่แล้ว +1

      Kutoka

    • @yasintawaritu3017
      @yasintawaritu3017 3 ปีที่แล้ว +1

      Bakia naubishi kama muha

    • @mathayopapiasi8872
      @mathayopapiasi8872 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimekuelewa dada yangu hakunaga maadiko yakuwaombea wafu isipokuwa baada yakifo ni hukumu (Ebrani9::27)heli ya mtu yule afiae katika Bwana (Ufunuo 14:13 ninajuwa wanaopinga swali lako niwengi lakini nikutie moyo usiogope (Mathayo 10:28) maneno yao ,Bwana yesu atakulipa usipo zimia moyo (Mhubil 7:8)

    • @peresiawanzagi2618
      @peresiawanzagi2618 3 ปีที่แล้ว

      HakunA

  • @omanmuttrah4132
    @omanmuttrah4132 3 ปีที่แล้ว

    L

  • @nusurashaban955
    @nusurashaban955 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuh kazi hipo kweli Alhamdullih kuzaliwa mwislamu

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว

      Kwann kz ipo kuzaliwa muislam. Nusura

    • @nusurashaban955
      @nusurashaban955 3 ปีที่แล้ว

      @@nasraabdallah850 nashukuru Allah kuzaliwa mwislam

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว

      Hapo nimekuelewa sema uliyaunganisha mameno ikaniwia vigum kukuelewa. Nikwe Alhamdulillah

    • @nusurashaban955
      @nusurashaban955 3 ปีที่แล้ว

      @@nasraabdallah850 sawa shukuran kwa kuelewa

    • @dannyelias382
      @dannyelias382 3 ปีที่แล้ว

      Kivip mi sjaelewa🤔🤔🤔🙄🙄🙄

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 ปีที่แล้ว +1

    Haki ianze ndipo Amani.

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 3 ปีที่แล้ว

    Sema hizo ibada ndo zinazopotosha

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 3 ปีที่แล้ว

    Hivi Chadema wanamtambua mwal Nyerere Kama baba wa Taifa ?
    Hiyo mnijibu kwa sababu Kuna mmoja wao ambaye aliwahi kusema kuwa ingekuwa Nyerere Ni wa chama Chao wangemuenzi

    • @suleabdullah2247
      @suleabdullah2247 ปีที่แล้ว

      Wajinga hawaishagi duniani,Kama huyo anayesema angekuwa wa Chama Chao ni wazi ni taahira hajui historia na wala hajui kwamba walichokipigania wazee hao ndicho kilichopelekea yeye na hicho Chama chake wapatikane.
      Inashangaza sana nahawa vijana hawana wanachoelewa au historia.

  • @HasanallyHasanAllyMkangwa
    @HasanallyHasanAllyMkangwa 3 ปีที่แล้ว

    Wadau kwema

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 3 ปีที่แล้ว +3

    Nyerere aliondoka na ccm yake

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 3 ปีที่แล้ว +2

    Inamaana apo hakuna anaeishi ni mahali walipomzika tu

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 3 ปีที่แล้ว +2

      Hapo anaishi mwanae madaraka nyerere ndo ukienda hapo unamkuta pia kuna wakat unaweza kumkuta mama maria nyerere yaani mke wake

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ricksonlyimo5594 sawasawa

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 3 ปีที่แล้ว +3

    DINI NI ULEVI MBAYA SANA, ANAOMBEWA ILI APONE?? AU NINI KITOKEE NA MWISHO WA HAYO MAOMBI NI LINI??? DINI LA! HATA USOME VIPI ITAKULEVYA TU

    • @ndogoroedson9438
      @ndogoroedson9438 3 ปีที่แล้ว

      Hakika umezingirwa na shetani Mungu akusamehe tu.

  • @princeragy7700
    @princeragy7700 3 ปีที่แล้ว +3

    Millado ayo nawewe ni viazi tuh huna habari unayo leta. Hujui nini kinaendelea kwa lisu kwa biteko yuh guys sio wazalendo kabisa

    • @johngodwin8281
      @johngodwin8281 3 ปีที่แล้ว +1

      🧐🧐🧐😳😳hiiii!!!! We jamaa n mzima kwel!!! Amakwel watz wengi n wajinga 😏

    • @johngodwin8281
      @johngodwin8281 3 ปีที่แล้ว +1

      Neno moja kwa huyu jamaa🤭😮

    • @mussaelias6286
      @mussaelias6286 3 ปีที่แล้ว

      @@johngodwin8281 anamatatizo

    • @maleojoseph5272
      @maleojoseph5272 3 ปีที่แล้ว

      Basi wewe tupe hizo Habari ... Hatuishi Kwa Mkate tuu boss.. Kwako wewe lisu ndo habari ? Kua mpooooole

    • @allyabdulrahman1793
      @allyabdulrahman1793 3 ปีที่แล้ว

      Dah akili ndog kbs yan huyo

  • @firibetiekisavel2152
    @firibetiekisavel2152 3 ปีที่แล้ว

    XML