For sure Mungu nakungojea have been through alot😢 home dad alituacha akaenda kuishi Tanzania na akaoa uko pia,mam hakuenda kwao alivumilia kwa iyo Boma hakuna hustle hatujai piga,makaa,kuni,kufua majina ya shda tukabandkwa,nyumba hatukuwa nayo ancle akasaidia mam na nyumba tuishi but akasema mbwa yake isitolewe kwa iyo nyumba ikae apo na sisi😢😢😢..I thank God,Mungu haachi MTU wake,sai tulijengea mam nyumba smart🥹,life imechange kwa hakika Mungu usikubali turudi uko,my dad uwa haamini kama ni sisi tumefika apo ,akona shda sai but haezi rudi home😢😢😢God kumbuka watu wako❤❤
Mungu nisaidie nimepitia mengi , nami pia nataka unikumbuke nimeweka tumaini kwa watu bt imekuwa tu bure ...nataka hii wimbo ikuwe ushuhuda kwangu Mungu wangu
YESU KRISTO karibu kuja wapendwa tujiandae kumlaki Bwana Yesu,,tukeshe kwa maombi na nyimbo nzuri kama hii, tuombe Mungu atuepushe mbali na maovu ya dunia hii
Huu wimbo umenikumbusha mbali hadi sasa siwezi simulia mungu asiniwache 😢maisha NI safari mungu nisaidie yale niliopitia yaliniumiza moyo huu wimbo nimeupenda be blessed
Ukweli kapisa yale niliobitia yaliumisa moyo wangu wimbo huu umenibariki sana barikiwa sana mtu wa mungu ni pastor Patrick makokha from Nairobi mathare
After kuusikiza hakika nimelia,nimechutia Dhambi zangu,nikaomba msamaha wenye tulikua tumekosana na naomba baba mwenyezi mungu anionekanie maana nimrpaki mnyonge
@apostlenzuki363 God bless you more. Nina Imani mungu wako ndie ataweka mamangu huru.nitamleta kanisani .naigiaga live Yako TikTok.ata huwa naota ukikomboa mboma yetu
Thanks God's,,,lord,,,for the blessings,,,,,bestowed on your life..good vibes,,,,siku ya majaliwa ya Mungu........Upon..jesus christ.....angels coming to ur

Yanaumiza moyo lakini BWANA anatutia nguvu na kutupa kushinda mwishowe....❤...wapi likes za Prophet Emmanuel
Ubarikiwe sana
@@ireneresh7508 Amina
Amen 🙏🙏
Wewe likes za nyumbani ziko wapi na December imefika❤❤
Kabisa
Wangapi tunaskia wimbo huu after sijui ya kiama❤❤❤likes jameni
Amen
I listened to this one song like 10 times continuously
Mungu2 ndo ujibu ❤❤❤
May God reach you and provide the desires of your heart as you watch this great song, I love you all
@@apostlenzuki363 have watched it through in Jesus name
@mbuvmtu wa Mungu barikiwa sana areuben86
🎉🎉🎉what a ministration to my heart
Amen@@elijahmutinda312
Amen Amen 🙏
❤❤❤ninapo sikiza huu wimbo kweli jamani may God bless you pastor have mercy to your heart naombeni likes jamani nakumbuka nilikotoka😢😢😢
Amen sana ubarikiwe
❤
Wow...what a blessing song 🙏
I played this song today till my neighbour came to ask me what's up Peter, it played on repeat mode like 20 times
Nakuombea sana
Thank you lord for this far🙏🙏
Huu wimbo nimeungoja sana, ... bwana jibu maombi yetu🙏
Bwana usinisahau😢
Amen, Mungu akupe haja ya moyo wako
Nilikuwa nausubiria huu wimbo jamani barikiwa sana kaka
Wale tuna fake smile and in our bedrooms it's only the pillows can testify the tear hands up 🤚🤚
Amen
Help me Jesus I want to serve fully despite the challenges I have come across
Amen
Can't stop crying when i remember my past
This song reminds me of year 2021,where i lost my beloved mum. Asante bwana kwa kunishika mkono🙏
I too over here irealy 👍 your songs 🎵
Barikiwa sanaaa mtumishi wimbo umenigusa sanaaa
God bless my journey of salvation it's not easy
Asante mungu wale tuliotokea TikTok hadi huku tujuane
Mungu akubariki sana. Mutomishi wa Mungu wimbo huu umenibariki sana
Enyewe Yale ninayopitia ni mungu anajua,eeeh Baba nipe nguvu niyashinde majaribu
Barikiwa sana❤
Mungu akutie nguvu dungu yangu
Mungu nisaidie nimepitia mengi , nami pia nataka unikumbuke nimeweka tumaini kwa watu bt imekuwa tu bure ...nataka hii wimbo ikuwe ushuhuda kwangu Mungu wangu
Amen
Like me over here almost 20 time's
Barikiwa sana mtumishi
Nilingoja huu wimbo sana. May Almighty GOD bless you abundantly
Amen
Kwa yote nasema ahsante mungu maana yale niliyo pitia yanaumiza moyo wangu kwakweli ❤❤❤ barikiwa mtumishi
Wimborne mzuri sana, niliyoyapitia yaliumiza moyo wangu 😢😢😢😢,mtumishi wa mungu , barikiwa sana,
Amen
My situation right now God I really need you
nikisikiliza hu wimbo nakumbuka mengi niriyo pitia mengi magumu namshukuru mngu kwa yote Amina my bleess
May God bless you hiyo song imenibariki Sana nakumbuka nimetoka mbali Ni mungu tu
Amen nice song tunapambana tuu kwa neema
Yale niliyonipitia yaliumiza moyo wangu, yaliniacha na majeraha😭😭😭😭
Amen
Ni ukweli nilibaki na mungu kwa maisha yangu.i really love salvation of Jesus christ.
Amen
Barikiwa sana hatatuaca babawatu 🧎🧎
Your songs blesses me so much
😭😭😭😭 hii inanitia nguvu coz Hali napitia ak inauza moyo wangu ak mungu nisaidie
Yes may God bless you 🙏
Nyota yangu ya kazi itang'ara katika Jina la yesu,be blessed alot
Niliopita yaliumiza moyo wangu lakini sikukata tamaa maana najua Mungu yupo kwa ajili yangu na wote wanaomwihitaji❤❤
Amen
Ninayo pitia Sasa yaniumiza moyo wangu , kuzika mpezi ni kibarua ya moyo
Yale niliyoyapitia kwa maisha yangu yaliniumiza moyo wangu usingekuwa wewe Mungu wangu nisingekuwa leo , Asante kwa kuwa pamoja NAMI 🙏🙏🙏
Amen
What am going through right now is too hard for me,, please God i want to see you in this,, please turn your ears and eyes to me Dad 🙏🙏🙏
YESU KRISTO karibu kuja wapendwa tujiandae kumlaki Bwana Yesu,,tukeshe kwa maombi na nyimbo nzuri kama hii, tuombe Mungu atuepushe mbali na maovu ya dunia hii
Amen
Mimi nilikua nautegea Sana Huu wimbo 🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤mungu nisaidie
Amen
God bless you so much,yale ambe nimepitia huu mwaka kama siyo mungu 😭😭
Huu wimbo umenikumbusha mbali hadi sasa siwezi simulia mungu asiniwache 😢maisha NI safari mungu nisaidie yale niliopitia yaliniumiza moyo huu wimbo nimeupenda be blessed
Amen
Finally the song imefika TH-cam ❤❤yaliumiza moyo wangu ila niliyashinda katika jina la yesu
Amen
Ukweli kapisa yale niliobitia yaliumisa moyo wangu wimbo huu umenibariki sana barikiwa sana mtu wa mungu ni pastor Patrick makokha from Nairobi mathare
Wau brother mungu akutie nguvu👏👏👏
Mungu akutie nguvu katika hii safari ya wokovu🎉🎉 wimbo mzuri
Amen
After kuusikiza hakika nimelia,nimechutia Dhambi zangu,nikaomba msamaha wenye tulikua tumekosana na naomba baba mwenyezi mungu anionekanie maana nimrpaki mnyonge
This is a mighty mighty man of God.nyimbo zake si za kuunda,,,si za mwili,,,ni za kutoka rohoni.thankyou jesus for this man of yours...
Amen haki, asante
@apostlenzuki363 God bless you more. Nina Imani mungu wako ndie ataweka mamangu huru.nitamleta kanisani .naigiaga live Yako TikTok.ata huwa naota ukikomboa mboma yetu
Nikisikiza wimbo o Nina kubuka maisha enye nimepitia adi waleo
I love the song,,,be blessed man of God
Thanks God's,,,lord,,,for the blessings,,,,,bestowed on your life..good vibes,,,,siku ya majaliwa ya Mungu........Upon..jesus christ.....angels coming to ur
Nyota angu n familia yangu ing'ae kabisaaa.Dear God rewrite our story🧎♀️🧎♀️
May God bless you man of God 🙏🙏 I really like this song
❤❤ 😢😢 Ee Mungu nisaidie yatosha niliyopitia
Amazing 🙏🙏..mungu atatupigania 🙏🙏
Who is hearing this music from Rwanda 🇷🇼
God bless you
Ukweli mutumisi wamungu niwengii tuna pitia mungu wangu suka ndunia hiiii mungu wangu
Thank you Lord
May GOD here me so that I can fully fill my promises through this song I have passed a lot in my life 😢😢
Amen
Wao hio song inanitia nguvu barikiwa sana
From tiktok to here 🥲🥹so touching 🙏more Grace sir🎉may God keep en hide you for Generations to come 🔥🔥👏👏
Amen
I love this song ❤
So touching. ❤❤❤
Powerful song
Nimengoja Sana huu wimbo congratulations Man of God 🙏🙏🙏🙏
Amen
❤❤❤❤❤❤ I love 💕 ur songs
Ubarikiwe sana mtumishi keep it up 🇰🇪
Amen
Kweli Yale ninayopitia yanaumiza moyo wangu, mungu naomba unikumbuke😢
My sister she has gone alot😢😢😭😭😭mwathani ndungata yaku ìnaruo maa
Nikiuskiza huu wimbo hunikumbusha mbali na lazima nitokwe na machozi
Mwimbaji abarikiwe na mungu asinisahau
Praying for me 😢,am in gulf county,but not easy , some of us we are going through allot 😢😢#nothingbutprayers#powerfulprayers🙏🙇
May God see you through
Hi
May God see the desire of your heart in the mighty name of Jesus, amen 🙏
Ninapo skiza wimbo huu nakumbuka back 2011 wakati bwanangu alipokichukua kisu anindunge pamoja na mtoto wangu nikatoroka usiku bila niendako
Mungu nimwaminivu kweli
amina
God is in control
Amina nikweli yanaumiza moyo huu wimbo unakumbusha
God is with you my friend 🙏 ❤️ ♥️
My prayer too 🙏🙏🙏
Asante kwa wimbo mzuri umenibariki..hata nawewe ubarikiwe na yesu..
Amen
Great work man of God
Amen
Yale yalioniuminza mumgu unisaidie 😢😢😢
Amen
God bless you servant of God I'm blessed to this song Mungu akufikishe mbali Kwa huduma yako ❤
Amen
Nilipitia mengi xna mpaka wènye wakaribu nami ,lakini mungu amekuwa faithful to me,
Nabarikiwa na nyimbo zako mtumishi
Amen
Nikweli Yale niliyo pitia yanaumiza moyo wangu
Naupenda huu wimbo sana,kiukweli napitia magumu,niombee sana pastor
I waited for this song thank you God
Amen
Enyewe siezi eleza venye nilishinda,mungu ndie anajia
Amen May God elevate you servant of God
God has done something good in my life today
Yale nilipita mpaka saii ninapitia na mungu maombi yangu imefika kwako kwa imani
Amen
God hear my prayers, whenever I listen to this song I can't control my tears ., I have come through alot 😭😭😭
Yale niliyopitia yaliuvunja na kuukwaraza moyo wagu ..Mungu tenda 😢
Amen
Wow great work man of God
Amen
Amen barikiwa,nakungonjea Yesu msaada wangu
Amen
😊Nimependa sana huu wimboo❤ tuendelee ku-push ...Let's take this song to 1M viewa
Amen sana sir, thank you for your support
Yale nilipiya ukweli yaliumiza motor wangu
Wimbo wa kukupa nguvu za maombi. God bless prophet 🙏
Amen
Hii wimbo inaniguzanga Moyo wangu Sana ❤❤
❤Amen
@apostlenzuki363 🙏🙏
Yale niliyopitia yaliumiza moyo.wang ubarikiwe mtumishi kazi nzuri
Amen