MAWIFI WAVURUGA KITCHENPARTY YA WIFI YAO KISA STATUS ZA WHATSAPP/ACHAMBWA KWA KIGOMA CHA URUGWAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Tukio hili lilitokea Kigogo jijini Dar es salaam ambapo mawifi waliamua kuharibu shughuli ya wifi yao yani Mke wa kaka yao kwa kuandaa shughuli yao ya kigoma cha urugwai na kumchamba wifi siku hiyohiyo ya Kitchenparty ya wifi yao.Sababu ya yote hayo inadaiwa wifi huyo aliwachamba wifi zake kupitia status za whatsapp.Lakini hilo pia halikuzuia wifoi huyo kufanya shughuli yake ya Kitchenparty.Tizama hapa kisa kizima
    #Hekaheka #Geahhabibu #GeahTv

ความคิดเห็น • 1.6K

  • @PetetIgnas
    @PetetIgnas 5 ปีที่แล้ว +450

    kama unasoma comments na kuangalia huu ujinga huku unacheka nipe like

  • @zamzamahmed5718
    @zamzamahmed5718 4 ปีที่แล้ว +43

    Any Kenyan here 😂😂😂😂🙊🙊🙊 eeh ndo maana waume zao waja Kuowa Kenya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @thetycoon8799
    @thetycoon8799 5 ปีที่แล้ว +13

    Kwamba uswahilini huwa hamna stress, yani nyie mnavuruga tu mtu akikuletea zogo mnavuruga tu 😂😂😂nimeipenda hiyo...😍

    • @neemaruttaiwa6202
      @neemaruttaiwa6202 5 ปีที่แล้ว

      Mmmmmmmh ndo maana ctaki kuwajua mawifi namjua mme tuu

  • @khadijanasoro6510
    @khadijanasoro6510 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwa hali hii ndio maana wanawake tuko wengi Motoni Allah atuongoze yarab

  • @malayamtamu6899
    @malayamtamu6899 5 ปีที่แล้ว

    kucheza kwa kujimanua ivo izo uchi safi msijekuwa waumiza watu pua na sura kama mmepaka udogo wa uchindile

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 5 ปีที่แล้ว +7

    Inalillah waina ilaihi rajiun

  • @platnumtanya2880
    @platnumtanya2880 5 ปีที่แล้ว

    uswahili kazi jamn kha ela siangefanyia maendeleo jmn

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 5 ปีที่แล้ว

    Duh wote matope.mana kwanza akili zao nadhani zimepungua. Yani wanamuonea wivu tu. Umeona walivyo wamepotea sana

  • @lovenesslyimo763
    @lovenesslyimo763 5 ปีที่แล้ว

    Trending 1 imeangaliwa balaaa

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 5 ปีที่แล้ว +1102

    Kama unaamini hao mawifi hawajaolewa kwahiyo huo ni wivu gonga laik twende sawa... kaulimbiu tokomeza wivu.

    • @mariahamis219
      @mariahamis219 5 ปีที่แล้ว +1

      Saaana my

    • @khneesajumaa2052
      @khneesajumaa2052 5 ปีที่แล้ว

      Nikweli kabisa hawajaolewa

    • @hadijahalidi1375
      @hadijahalidi1375 5 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

    • @sashababy1321
      @sashababy1321 5 ปีที่แล้ว +5

      Iyo ni laana ya mke mkubwa km umemfatiria geah uyo bwana harusi ana mke tayari .kilicho fanyika hapo aho mawifi walimkuwadia kakao uyo shoga Yao. Shoga alivyo mnasa kaka mtu ushoga kwa bi mdada ukapungua na kumzibiti kaka wifi roho juu 😂😂😂😂mke mkubwa anachekaje

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 5 ปีที่แล้ว +2

      Tokomeza wivu.

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 5 ปีที่แล้ว +13

    Kama una hamu ya kujua status zenyewe zilikua zimeandikwaje gonga like

  • @lulusimbeye5437
    @lulusimbeye5437 4 ปีที่แล้ว +25

    Niwivut kama unaamn mawifi waachisha ndoa zawat tujuane.🙏🙏🙏😂😂😂😂

  • @sylviajoseph4081
    @sylviajoseph4081 5 ปีที่แล้ว +53

    walewenzangu n Mimi wa kusoma comment gonga n like hp

  • @judesammy9643
    @judesammy9643 5 ปีที่แล้ว +633

    Hii yote huletwa na kutokumjua mungu na elimu pungufu ahsanteni

  • @abdulfatahjuma5355
    @abdulfatahjuma5355 5 ปีที่แล้ว +271

    kama umeamini pombe si chai gonga like

  • @FatmaMohamed-bz4cj
    @FatmaMohamed-bz4cj 5 ปีที่แล้ว +41

    May Allah forgive you all n show you the ryt path ameen

  • @salwasuleiman8943
    @salwasuleiman8943 5 ปีที่แล้ว +42

    Hawajamdhalilisha biharusi wamejidhalilisha wenyewe na upuuzi wao na hao ma mama watu wazima ovyoo hawana hawanani wakiulizwa hawaungani bora nikose Mali nipate akili duh ujinga mzigo ulimbukeni kazi

  • @vivianchawe7561
    @vivianchawe7561 5 ปีที่แล้ว +186

    Ni roho mbaya tuu alishindwa kumtafuta mpaka amuaribie.Wanawake tutafute pesa tuachane na ujinga

  • @winbenard5505
    @winbenard5505 5 ปีที่แล้ว +43

    Mm napita tu kusoma coment km tupo pamoja gonga like twende sawa

  • @حليمهال-غ1ظ
    @حليمهال-غ1ظ 5 ปีที่แล้ว +274

    Tusomeni dini nduguzangu. Hii Dunia tunapitia tu akhera ndiko makazi

    • @mariamuadam732
      @mariamuadam732 5 ปีที่แล้ว +1

      kabsa asee

    • @kautharsalat6449
      @kautharsalat6449 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa ndugu yangu, mwenye mungu akuongoze njia iliyo nyoka

    • @binthassancollection.6308
      @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว +2

      Allah awaongoze coz hawajui watendalo

    • @rozleeerasto5558
      @rozleeerasto5558 5 ปีที่แล้ว

      @@mariamuadam732 11qqq1100p1

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 5 ปีที่แล้ว +1

      @ZAWADI Dadzie hilo lilishasemwa kwenye hadithi wanawake ndiyo wa kwanza kwenda motoni

  • @mpendahaki_home_decor
    @mpendahaki_home_decor 5 ปีที่แล้ว +10

    "The only weapon that can destroy a world is Education"
    Ngoja niendelee kumsimamia mwanangu asome ili aondokane na huu ujinga kwa uwezo wa Muumba.

  • @annamkomba576
    @annamkomba576 5 ปีที่แล้ว +60

    Daah....wachafu..sura hazina haya..ndio matokea ya kukosa kazi za kufanya..hapo kesho hata mbuni ya kuanzia kesho hawana.

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +2

      We hujamsikia mmoja akisema muuza miguu ya kuku

    • @gloryavelin2583
      @gloryavelin2583 5 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @jasheparker8275
      @jasheparker8275 5 ปีที่แล้ว

      lol

    • @rashdhamdun
      @rashdhamdun 4 ปีที่แล้ว

      @@bjzee1981 ahahaha 😂😂😂

  • @obinalaurent6922
    @obinalaurent6922 5 ปีที่แล้ว +32

    Wenzangu #tokomeza wivu mko wapi jmn mgonge like zenu! Jaman tumkumbuke Mungu ndugu zangu haya yote ni mapito tuu

  • @magrethbbw7524
    @magrethbbw7524 5 ปีที่แล้ว +192

    huyo mwenye msauti kama sufuria inakwaruzwa angejiona angejichamba mwenyewe Kwanza,watu wenyewe mikorogo imedunda waswahili bwana wamekosa kazi

  • @judithtibandebage3227
    @judithtibandebage3227 5 ปีที่แล้ว +1

    Biharusi aliempamba mungu anamuona akingia MBINGUNI naandamana sio kwakumpaka unga mwenzie

  • @khayratmuhamed6730
    @khayratmuhamed6730 5 ปีที่แล้ว +65

    Lol! Mungu aniepushie mawifi km hawa

  • @miriam5735
    @miriam5735 5 ปีที่แล้ว +7

    Kama unaamini wifi anataka kutombwa na kaka yake gonga like hapa tujuane

  • @latypherngombo1022
    @latypherngombo1022 5 ปีที่แล้ว +122

    Mawifi wameumbuka ni wivu tu unawasumbua 🤣🤣🤣🤣 walijua mwenzao hatopata watu, hatopata vitu sherehe haitofana kumpiga chura teke ni sawa na kumuongezea mwendo usikute mwenzao alijiandikia tu wao wakajishtukia mazero brain 😂😂

    • @leilatmfaume6163
      @leilatmfaume6163 5 ปีที่แล้ว +3

      Mawifi km hawa wakija kwangu nawapikia chakula na pilipili tele

    • @venosaphamphili5898
      @venosaphamphili5898 5 ปีที่แล้ว +1

      Tabia mbaya watu wazima hata haya hamna

    • @ezeredamwenda7254
      @ezeredamwenda7254 5 ปีที่แล้ว

      wanaongea hao

    • @vennymaxmillian9505
      @vennymaxmillian9505 5 ปีที่แล้ว

      Hawa mawifi nyumbu wa manyala , wanautindio wa ubongo,wanawaz kupga felf tu

    • @HlwomanOman
      @HlwomanOman 5 ปีที่แล้ว

      AlAfu bora awakwenda wange aribu shuguli kulikua na watu na heshima zao

  • @zenamalela8077
    @zenamalela8077 5 ปีที่แล้ว +51

    Makeup ya bi harusii hta bure c pakiii nikalalia🤣🤣🤣 mawifii nao mikorogo imedundaaa jmniii 😂😂😂😂 tafraniii tuu

    • @RioIpo
      @RioIpo 5 ปีที่แล้ว

      Zena malela Hahaha nimecheka full mikorogo

    • @joycemwakamisa5116
      @joycemwakamisa5116 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sasbinjuma518
      @sasbinjuma518 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli mwenzangu

    • @saramss7262
      @saramss7262 3 ปีที่แล้ว

      Judy sammy ubarikiwwwe hahaa

  • @mammyyassie7322
    @mammyyassie7322 5 ปีที่แล้ว +273

    Bora serikali ilihamia Dodoma
    Dar wamemwaachia Wazaramu wenye mji wao 😅😅😅😅

  • @elidamessio621
    @elidamessio621 4 ปีที่แล้ว +5

    Kheri ugeuze akili yako kua kamusi ya muongozo wa maisha yako...Mungu tetea kaka zangu wapate wake wema na sio kama hao

  • @babyggg1509
    @babyggg1509 5 ปีที่แล้ว +64

    Mkorogo pia umewachanganya akili😂

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 3 ปีที่แล้ว +6

    Hawa kweli wanajua Mungu na siku ya mwisho
    Inna lillah wainailayhi rajion 😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪

  • @ameenaalebri2952
    @ameenaalebri2952 5 ปีที่แล้ว +48

    Mungu Wang nisamehe ila hawa wamama n wachafu kila kitu tabia sura zao hao n wamama wa bar mwezie kaolewa shida nn

  • @nonoplatnum6951
    @nonoplatnum6951 5 ปีที่แล้ว +29

    Doh jamani wivu mbaya!! Ila makeup ya bi harusi hapana kwakweli

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 5 ปีที่แล้ว +5

    Kweli Dar nimeamini ni ya Wazaramo! Wanaume wa Dar kwa wanawake hawa hakika wanapata tabu sana.

  • @fatmakiyaka9590
    @fatmakiyaka9590 5 ปีที่แล้ว +16

    Loooh wanamidomo mirefu kama mikundu ya kuku msiyuuuuu....wanawake sie tunaroho mbaya sana ni wivu tuuu

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kalssambaboo9705
      @kalssambaboo9705 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @omartaty1930
    @omartaty1930 5 ปีที่แล้ว +87

    Aliye mpodoa bi harusi mbinguni atapaskiya kwangu😁😁😁😁😁

  • @michaelkabeta7974
    @michaelkabeta7974 5 ปีที่แล้ว +4

    Uswahilin hakuna wife material kwakwel wote mbona Ni Kama Malaya tu

  • @juliusmwinga4051
    @juliusmwinga4051 4 ปีที่แล้ว +4

    Subhanah Allkah
    Watu wazima hovyo.Yote sababu ya kutomuhofu Mungu na kukosa la kufanya.
    #Ni hovyo

  • @ladysalimkabora9952
    @ladysalimkabora9952 5 ปีที่แล้ว +45

    Mambo YA kiswazi hayo. Ndugu wa mume ni wa kuishi nao kwa hekima sana Infact hapaswi kufanywa marafiki

    • @roseedger2778
      @roseedger2778 4 ปีที่แล้ว

      Hakika ndg wamme hawana urafiki

    • @directorbony185
      @directorbony185 4 ปีที่แล้ว

      Mi kweli kabisa huna undugu na sisi unajali tu wakwenu

    • @عباسعباس-ش9ه4ت
      @عباسعباس-ش9ه4ت 4 ปีที่แล้ว

      Misungo hao atavitabu hawajui kusomba

    • @tgati_45
      @tgati_45 4 ปีที่แล้ว

      Ndugu wa mume wanafikiri ulikotoka ni shida zilikutoa sijui hawa mbwa wapoje

  • @zuhuramwalimushabani8836
    @zuhuramwalimushabani8836 5 ปีที่แล้ว +101

    Kikubwa ninachojiuliza pesa zinatoka wapi za kufanya haya yote na wanalalamika maisha magum? Mungu wafungue macho waja wako

    • @husnajohn7466
      @husnajohn7466 5 ปีที่แล้ว +4

      Zuhura Mwalimu Shabani wanaangamia kwa kukosa maarifa

    • @rozeeroz2515
      @rozeeroz2515 5 ปีที่แล้ว

      @@husnajohn7466 kweli

    • @aminasaid7456
      @aminasaid7456 5 ปีที่แล้ว +2

      Zuhura Mwalimu Shabani jnapajua uswazi vizur weye au wapasikia...? Mtu yupo radhi alale njaa kwake lakin akapate kijora cha shughuli!

    • @صخرهثابته
      @صخرهثابته 5 ปีที่แล้ว +1

      Mi mwenyewe najiulizaga sana

    • @salomenachunga3590
      @salomenachunga3590 5 ปีที่แล้ว

      Wamefungwa ufahamu hhh

  • @rozleeerasto5558
    @rozleeerasto5558 5 ปีที่แล้ว +2

    Geah nakupenda... Dada

  • @costanciapeter8578
    @costanciapeter8578 5 ปีที่แล้ว +71

    mmmhhh!!! mbona ASHURA kazi anayo!!
    😂😂😂

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 5 ปีที่แล้ว +1

      Costancia Peter Ashura maji ataita mma , kachokoza wakali wa hizi kazi , wamekodi kigoma kumchamba Ashura tu , uswahilini hakuna stress .

    • @mathaadam2608
      @mathaadam2608 5 ปีที่แล้ว +1

      Chuma kobeko kaishiwa maneno uwiiiii dunia si mbaya

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 5 ปีที่แล้ว +1

      mambo hayooo

    • @salamajalina7789
      @salamajalina7789 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaan kama Wanalipwa upumbav m2pu

    • @faithdaniel5652
      @faithdaniel5652 5 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣

  • @sarahmsusisarahmsusi388
    @sarahmsusisarahmsusi388 5 ปีที่แล้ว +14

    Mmmh nilikuwa nasikiaga tuu kumbe hayo mambo yapo aiseee kosa vyote ila sio akili

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 5 ปีที่แล้ว +20

    Vidume wenzangu Kuoa uswahilini ni hatari kwa afya yako.

  •  5 ปีที่แล้ว +1

    Vijembe vimezua balaa!

  • @safikapufi422
    @safikapufi422 5 ปีที่แล้ว +15

    izi pesa wangepeleka watoto shule

  • @alfarsiali2779
    @alfarsiali2779 5 ปีที่แล้ว +15

    Dah wanawake wa Tanzania tujitahin kutulia bas ili tupate heshima ktk mataifa mbalmbal jamn ndyo maana Tanzania hatuendle I hv nyiee huwo mda mngeutumia kufanya kaz kuleta uchumi wa Nchi tungelalamika kwel maisha magumu hlf ooh hamna wanaume wa kuoaa mambo yenyew hvyo mhhh Allah tusitir ss wanawake na wasichana wa Tanzania roho inauma Sana dah

  • @mariamvicent7312
    @mariamvicent7312 5 ปีที่แล้ว +1

    INNA LILLAHI WAINA ILAYHI RAJIUNI NDO SABABU TUNAAMBIWA WANAWAKE WANGI TUTAINGIA MOTONI NA HAKIKA KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI NA HAKITOMFAA MTU SIO WATOTO WALA MALI ZAKE WALA SI NYINYI MARAFIKI ZAKE ISPOKUWA LITALO MFAA YEYE NI AMALI ZAKE NJEMA HAKIKA FANYA UFANYA NA TENDA UTENDALO HAKIKA UTALIPWA KUTOKAKA NA MATENDO YAKO YAA ALLAH TUJAALIE MWSHO MWEMA NA UTUEPUSHE NA ADHABU YA KABUNI

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 ปีที่แล้ว +18

    Status tyu yote hayo yametokea, huo mji anakwenda kuishije hapa Sasa naanza kuamini kua yesu kweli anarud Kisha Anza safar

  • @lindambilinyi8579
    @lindambilinyi8579 2 ปีที่แล้ว +1

    Najiulizaga hv hawa wanawake waswahil hv wanaume zao wakoje jmn,maana me navyomuona mume Wang alivyo hapendi uswahil nadhan hapo meno ya sebulen nisingekuwa nayo looh uswahilin shida

  • @tanzaniangirl1980
    @tanzaniangirl1980 5 ปีที่แล้ว +8

    Jaman tubaki huku mikoan kwetu😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @sokyagalllus4026
      @sokyagalllus4026 5 ปีที่แล้ว

      ha ha ha,sisi mbona tunaishi nao kitaa,lakn tunaangalia tu yaliyo tuleteta mjini

  • @kamalissabig8649
    @kamalissabig8649 5 ปีที่แล้ว +1

    Geah cha Umbea mamina mmh Dada hapitwi huyo duuh Kaz unayo japo unatupa raha mwenyewe nikiwa cna Kaz nakuja kwenye channel yako nione kuna jipya gan LA mtaa

  • @gracechiledi7612
    @gracechiledi7612 5 ปีที่แล้ว +8

    siye tusiye kuwa na vibanda vya urithi tunacoment wap

  • @florachrist9602
    @florachrist9602 4 ปีที่แล้ว +1

    Punguz sauti jmn we dada

  • @safikapufi422
    @safikapufi422 5 ปีที่แล้ว +40

    mungu ninusuru muda huu bora nikafanye ibada kwa nini wamama tusibadilike

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 5 ปีที่แล้ว

      Mtihani

    • @safikapufi422
      @safikapufi422 5 ปีที่แล้ว

      @@salmaalimusa547 kabisa salma

    • @aishamrsmkunga2143
      @aishamrsmkunga2143 5 ปีที่แล้ว +1

      Allah atunusuru kwakweli sheitwani mbaya.

    • @safikapufi422
      @safikapufi422 5 ปีที่แล้ว

      @@aishamrsmkunga2143 yani we acha tu ndugu watu tunasubili kiama wakati matendo yetu ndo kiama

    • @mwajumakoshuma5417
      @mwajumakoshuma5417 5 ปีที่แล้ว

      Tuombe toba M/Mungu atunusuri

  • @vinaah3437
    @vinaah3437 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumlekebisha mtu nikumchamba, jaman yan mimama mikubwa af ishazeeka jaman Kaz kunywa mapombea kucheza uchi aiseee akuna watu hpo

  • @keshik5330
    @keshik5330 5 ปีที่แล้ว +6

    Waah am Kenyan but this Swahili is too deep for me.

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @isackmhala1373
    @isackmhala1373 5 ปีที่แล้ว +1

    ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE

  • @yunnewangechi4023
    @yunnewangechi4023 5 ปีที่แล้ว +3

    makubwa uswahilin kam unasoma koment kam mm gonga like😁😂

  • @glorytarimo9730
    @glorytarimo9730 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake 😭

  • @geonycoutinho2943
    @geonycoutinho2943 5 ปีที่แล้ว +4

    Ashura Maharage 😃😃😃 utapata tabu sana.

  • @asyadezz1939
    @asyadezz1939 5 ปีที่แล้ว +5

    Allah amstir Ashura inshaAllah,nawote waskilizane tuwe na mwisho mwema💕

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 5 ปีที่แล้ว +24

    Mawifi mnashida yani mbona tusiweke statas yakufurahisha roho

    • @wandomligite7889
      @wandomligite7889 5 ปีที่แล้ว +1

      Sadia Abed mawifi yaan watapata tabu sana

    • @wandomligite7889
      @wandomligite7889 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaan hao wadada hawana hata aibu sura zimewakomaa kama dafu la 200 wadada hatupendani hata kidg wivu umetujaa mbona wakaka hawako hivyo

    • @wandomligite7889
      @wandomligite7889 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaan hao wadada hawana hata aibu sura zimewakomaa kama dafu la 200 wadada hatupendani hata kidg wivu umetujaa mbona wakaka hawako hivyo

    • @malaikamushi6032
      @malaikamushi6032 5 ปีที่แล้ว +1

      Mikorogo kama yoteeee

    • @zulfashaksi6211
      @zulfashaksi6211 5 ปีที่แล้ว

      Mungu niepushie mawifi kama hawa Inshallah

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 ปีที่แล้ว +11

    HIYO NI MEKP?AU BLUUBAND?

  • @zaharamsafiri825
    @zaharamsafiri825 5 ปีที่แล้ว +32

    jaman embu tumuogope mungu, sasa mwez mtukufu mambo hayo ya nn embu tusomeni dini

    • @tibekabaka8127
      @tibekabaka8127 5 ปีที่แล้ว +1

      Siku zote yatupasa tutende yaliyo mema mbele za Mwenyezi Mungu na si kusubiri mwezi mtukufu tu peke yake.

    • @hamastien5439
      @hamastien5439 5 ปีที่แล้ว

      @@tibekabaka8127 swadakt

    • @vhiedkc859
      @vhiedkc859 5 ปีที่แล้ว

      ZAHARA MSAFIRI kila mwezi mtukufu

  • @نجاةالعبري
    @نجاةالعبري 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ivi pesa zao znakua azina kaz jmn kaaah

  • @salhatkarimu5434
    @salhatkarimu5434 5 ปีที่แล้ว +55

    Me mbona mzaramo na mndengeleko lkn mbona sipo ivyo jmn khaa 🤔🤔

    • @zulfatdidas369
      @zulfatdidas369 5 ปีที่แล้ว +2

      Salhat Karimu hawajitambui Hawa tuwaache

    • @aisyanamaro9658
      @aisyanamaro9658 5 ปีที่แล้ว

      Salhat Karimu acheni bangi

    • @majidymohamedy8903
      @majidymohamedy8903 5 ปีที่แล้ว

      Salhat Karimu

    • @RioIpo
      @RioIpo 5 ปีที่แล้ว

      Ata mama zangu ni wazaramu na wandengereko lakini mbona hawapo ivo

    • @waltacarlos9084
      @waltacarlos9084 5 ปีที่แล้ว +3

      Na ukichunguza kimakini utakuta ao sio wazaramu ni wahamiaji tu wa Dar watu tuna uzaramu lakini hata kigodoro hatujawai cheza na shule tumeenda na maendeleo tumefanya mengi hatuendekezi ngoma

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 5 ปีที่แล้ว +5

    Bi harusi kama chid benz jaman au macho yangu yanaona vibaya 😂😂

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 ปีที่แล้ว +2

    Namkubar gwajima tyu maana yeye hapendagi ujinga huo

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 5 ปีที่แล้ว +7

    Wee Ashura maharage 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hopemuchi8689
    @hopemuchi8689 5 ปีที่แล้ว

    Illiteracy is a disease ...masomo ni muhimu..

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 5 ปีที่แล้ว +9

    Uliyempaka Bi harusi make-up mungu anakuona 🙂

  • @janekennedy747
    @janekennedy747 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante Yesu kwa kuzaliwa Moshi....woi Ngachokaaaa.....

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +13

    Watakatika viuono kwa hasira . Kina mange kimambi ni wengi 😂😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 วันที่ผ่านมา

    Moto unawasubir nyie wajinga san pumzi hizo ndo mnaringia subkhan llah

  • @husseinahmed5216
    @husseinahmed5216 5 ปีที่แล้ว +4

    Moto unawasubiri kesho jehannamu nyie punda

    • @catherineshirima3906
      @catherineshirima3906 5 ปีที่แล้ว

      Kuliko ukutane na mawifi kama hawa kaaa kwenu tu

    • @husseinahmed5216
      @husseinahmed5216 5 ปีที่แล้ว

      @@catherineshirima3906 😁😁😁kabisaaaa

  • @gottacheckintorehab7697
    @gottacheckintorehab7697 5 ปีที่แล้ว +11

    Kigogo Mburahati moja hyoooo 👌👌👌👌👌👌......
    Ashuraaa eeee.... Huna pambe bibieeee 🤣🤣🤣...

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 5 ปีที่แล้ว +19

    Mm mzaramo lkn kwa ujinga huu wala sisapoti, pumbavu zao, ujinga mtupu

    • @brayborahamisi9571
      @brayborahamisi9571 5 ปีที่แล้ว

      Roho mbaya tu hamjaolewa ndo maana mnapayuka

    • @naimasaid7763
      @naimasaid7763 5 ปีที่แล้ว

      @@brayborahamisi9571 koma, ovyoo, ndo nyie mnaoendekeza dunia kuliko matendo ya mungu, sasa hapo kulikua na aja gani ya kuyaweka mtandaoni na kumdhihaki mwenzi wao, ww ndo unaepayuka usiejielewa

  • @al-bsaidykhalef6897
    @al-bsaidykhalef6897 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Ashura munamuonea wivu tu. Mwenzenu kaolewa nyie mnacheza ngoma na kunywa mabia fyuuuu

  • @missdee7488
    @missdee7488 5 ปีที่แล้ว +20

    Huyu biharus konki fireee Sio Kwa makeup Hyo 😂😂😂😂

    • @sashababy1321
      @sashababy1321 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂uswahilini kuna mambo

    • @missdee7488
      @missdee7488 5 ปีที่แล้ว

      Acha tu 😂😂😂😂😂

    • @oliviamboma1347
      @oliviamboma1347 5 ปีที่แล้ว +1

      Dia Matunu hahahahahahahah

    • @marymasanyiwa3529
      @marymasanyiwa3529 5 ปีที่แล้ว +3

      Yani sura mbaya dawa yake makeup ila hii imegoma kupambika

    • @tatumahamoud305
      @tatumahamoud305 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

  • @felisterapornary2612
    @felisterapornary2612 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama wanaona Kaka Yao anafaidi basi waolewe wao😋😋😋😋😋

  • @elizamsilikasi1952
    @elizamsilikasi1952 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimeuza miguuu ya kuku ninunue sare!!! Khaaaaaaaa ufwalaaaaaaaa huo, kicheza uchiuchi

  • @fuggazzy
    @fuggazzy 5 ปีที่แล้ว

    Diamond Platnumz kamtaja mrithi wa Rich Mavoco WCB,Huyu hapa gusa link th-cam.com/video/ydmw6b3R-p8/w-d-xo.html

  • @cwttnana128
    @cwttnana128 5 ปีที่แล้ว +50

    Wauswazi oyeeee Ashura maharage pole mwaya😂😂😂😂😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 วันที่ผ่านมา

    Bora hizo pesa zakulipa watuy angepelekea watt yatim mungu wangu dunia imeisha sai mda wakujenga akhera yetu watuy wengine wana khagaika na dun8a mungu tusamehe wallah

  • @faridamkesso97
    @faridamkesso97 5 ปีที่แล้ว +67

    Duh vituko uswahilini , mjini sikutaki kamwe wacha tu niendelee kulima huku kwetu kijijini

    • @shamilahasan7344
      @shamilahasan7344 5 ปีที่แล้ว +1

      Farida Mkesso

    • @serbash4212
      @serbash4212 5 ปีที่แล้ว +3

      Mimi nimeona ajabu kuyaona haya binadamu wanakoseyana na wanasehemeyana hiyo ndiyo dini na ndiyo ni tabiya nzuri kusameheyana na urafiki unazidi kuwa mzuri sisi ni binadamu ni kawaida kukoseya na kusameheyana kuna watu wanakufa na njaa na nyinyi munachezeya pesa kwa kumfurahisha shetani mungu awaongoze UAE

    • @faridamkesso97
      @faridamkesso97 5 ปีที่แล้ว

      @@serbash4212 kweli kabisa usemayo binadamu tunajisahau sana , Mwenyezi Mungu atuepushe na kila balaa atujaalie mioyo ya upendo

    • @gloryavelin2583
      @gloryavelin2583 5 ปีที่แล้ว +1

      Nilikuja mgeni na sasa nimeshazoea maisha ya uswahilini naitwa mama mangi jamani from Kilimanjaro

    • @faridamkesso97
      @faridamkesso97 5 ปีที่แล้ว +1

      @@gloryavelin2583 Mama Mangi nikija mjini kushangaa nitakutafuta maana mie pia ni wa Arusha , ila kwa sasa niko Brussels Belgium

  • @juniorabdul2467
    @juniorabdul2467 5 ปีที่แล้ว +4

    Inasikitisha sana kuona ss tunaoangalia huu upuuzi ,mbaka ikifika 2090 tutakua tumeshakufa ,

  • @zuhuramwawimo997
    @zuhuramwawimo997 4 ปีที่แล้ว +1

    mawifi uko na mabifu 😅😅😅😅😅😅 natakufa buree na bifu😈😈😈 wakenya ebu nipeni like zenu✋✋✋✋✋✋

  • @janethbernady8406
    @janethbernady8406 5 ปีที่แล้ว +13

    Helimu duni ,na kutokumjuwa Mungu du hongereni. Uyo anaejifanya ndio waongeaji wakubwa sura zimewaparama kwa krimu .ni wivu tu umewajaa mwenzenu kupata hifathi

  • @zuumuhando8606
    @zuumuhando8606 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatariii

  • @abdulfrance1548
    @abdulfrance1548 5 ปีที่แล้ว +4

    Misura ya mikorogo imekomaaaa

  • @galteo5211
    @galteo5211 5 ปีที่แล้ว +1

    Vituko

  • @anithaflorian1157
    @anithaflorian1157 5 ปีที่แล้ว +23

    Wanawake tunakwama wp??? Kwan mlishindwa kumfata mkakaa nae mkamkanya kuliko ayo mnayofanya so vizuri badiliken bhana status mbona watu wanaweka tu daaaah badilika bhana

  • @priscarpatrick515
    @priscarpatrick515 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikiwa na stress napenda kuicheki hii clip

  • @luundamoonhajjluunda8764
    @luundamoonhajjluunda8764 5 ปีที่แล้ว +3

    Napenda mauno tu mengine nawaachia wenyewe. All the way from Kenya, MSA.

    • @azizamuhali5531
      @azizamuhali5531 5 ปีที่แล้ว

      Luunda Moonhajj Luunda hahahahaha

  • @saidasao9897
    @saidasao9897 3 ปีที่แล้ว

    😲😲Mume mtarajiwa popote ulipo nambie Dada ako mswahili😆😆😆😆😆hii hapana aseee

  • @lilakhhassan6896
    @lilakhhassan6896 5 ปีที่แล้ว +3

    C dhani Kama kuna mtu Ana malinda, hapo kwenye hilo kundi

  • @gladyaman7252
    @gladyaman7252 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahhahahhahahahahhahahaha