UKWELI NA MATESO ANAYOPITIA BAMBUCHA ASIMULIA 'KUKATWA MGUU, UIGIZAJI'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 454

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 2 ปีที่แล้ว +34

    Hakuna mtihani unaozeoeleka Imani ndio ngunzo ya maisha kumwamini Allah na kumtegemea yeye ndo funguo ya maisha...
    usijutie kuzaliwa bali jivunie kuzaliwa no matter how your , sema Asante Mungu kwa kila jambo .

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว

      Daaah Mr dunia hii kwa hakika tumche mungu

  • @halimaamani8837
    @halimaamani8837 2 ปีที่แล้ว +16

    Jamani irene uwoya muoneni msanii mwenzenu anateseka sana kwa nn mnaenda kutupa pesa kwny starehe sizizo na faida mwenzenu anateseka msaidieni jamani mungu atawalipia na dhawabu mtazipata Kesho akhera kuliko starehe zisizo na faida

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 2 ปีที่แล้ว +64

    Siku ukipata matatizo ndiyo utajua rafiki wa kweli!!! Marafiki wengi tulionao ni Feki!!!mtu anakupenda pale unapokuwa na msaada kwake!!!

    • @sharonenson
      @sharonenson 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa 💔

    • @casto_iq9632
      @casto_iq9632 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa....urafiki wa kinafiki

    • @dalalivyumbatz
      @dalalivyumbatz 2 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @aminaally8475
      @aminaally8475 2 ปีที่แล้ว

      🤝chukua hyo

    • @eliaspeter4017
      @eliaspeter4017 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kwl aisee, huwezi amini mpaka yakukute

  • @severinakigura5828
    @severinakigura5828 2 ปีที่แล้ว +10

    Pole sana baba yangu mungu yupo atakuponya, nanukuu msemo wa hayati Reginald mengi alisema hivi Kama umepoteza kiungo kimoja Cha mwili usililie like kilichopotea Bali jiulize hiki kilichobaki nitakifanyia Nini,? . hivyo Anza kufikirja namna ya kufanya kazi na huo mguu mmoja ulicbaki.mungu ni mwaninifu sana atakusaidia.

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 2 ปีที่แล้ว +24

    Pole sana baba Mungu akutie nguvu

  • @g.karathaofficial666
    @g.karathaofficial666 2 ปีที่แล้ว +9

    Hii ndio kazi ya media hongereni sana Wana wa Ayo kwamajukumu haya kuyafikisha kwa wananchi.

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 2 ปีที่แล้ว +36

    Oooh what sad ☹️ kweli Yesu pekee ndo njia ya haki na Kweli pole sana 😭😭😭

  • @salmashabani5386
    @salmashabani5386 2 ปีที่แล้ว +10

    Pole Mzee wangu,,Mwenyezi Mungu akutie nguvu

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 ปีที่แล้ว +12

    Pole sana BABA ujafa ujaumbika mshkuru MUNGU kwa kila jambo. Atakufanyia upenyo mwingine

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu yupo nawe. Napenda sana mtu anayepata matatizo akasema hana wa kumlaumu. Kuliko mtu anaanza kurusha lawama kwa kila mtu..Maisha yetu ni wajibu wetu nimependa sana ulivopokea matokeo bila kurusha lawama kwa ndugu ama marafiki😍

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 ปีที่แล้ว +10

    Daaahhh😭😭 Inaumiza Sanaa..
    Inaumiza... Alhamdulillah😔

  • @jeniphermahuma2423
    @jeniphermahuma2423 2 ปีที่แล้ว +13

    Usijali Baba Mungu wetu ni mwaminifu sana....utakuwa sawa tu...Endelea kumtumainia Mungu...Yeye ndiye msaada tele wakati wa Mateso 🥰...Akupe Amani ya Moyo...umtumainie yeye pekeake....Itia Damu ya Yesu ikasafishe mfumo wako wa damu na kuua vimelea vyote vinavyochochea Kisukari

    • @sophiarubambimpala5482
      @sophiarubambimpala5482 2 ปีที่แล้ว

      Mwezi wa pili jaman tulikuwa na safari tukashuka Geita kula sehemu tulokwenda kula kwa nje mlangoni alikaa huyu baba na vijana wawili, dada angu akasema oneni baba yao Banana Zoro tukasema sio mwenyewe ila kama huyu mtu sio mgeni tulikaa pale mda mrefu mana gari lilikuwa limeharibika pia kwahyo tukawa tumesubiri badae nikashangaa kuona anavuka barabara na kijana mmja huku anamguu mmoja tulisikitika ila hatukuwa na namna et leo ndo najua alikuwa ni Bambucha jamani Eeh Mwenyezi Mungu msaidie aweze pata msaada na umponye awe na matumaini tena, tusihukumu hatuijui kesho yetu, Nmeumia sana hasa nnapoona comment za watu, hamuwezi jua ni namna gani amepambana had kufika hapo kutokuwa na mke ya ngoswe mwachie ngoswe hujafa hujaumbika.

  • @rogersiddy8975
    @rogersiddy8975 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mzee wangu Mungu akusimamie na kukupigania mzee wangu🙏🤲

  • @user-id1me9ve1o
    @user-id1me9ve1o 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kaka Mungu akutie nguvu kaka Mungu nimuaminifu kila Jambo lina kusudiwa na mwenyezi Mungu 🙏🏼🙏🏼😓

  • @knowledgetv5594
    @knowledgetv5594 2 ปีที่แล้ว +42

    Kama unaangalia hii video na bado hujamkiri Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako basi jifunze kupitia haya kwa Mr Bambucha, na ukimbilie sehemu salama kwa Kristo Yesu. Pia uweze kupokea ulinzi zaidi.
    Ni rahisi na niandikie chini hapo ili nikuongoze sala ya toba!

  • @raiszongo1580
    @raiszongo1580 2 ปีที่แล้ว +13

    Pole saan mzee wangu 😥😥 Eh MUNGU tunaomba utunusuru sisi waja wako na majaribu ya hii dunia .... anaitaji msaada bambucha

  • @mdl6463
    @mdl6463 2 ปีที่แล้ว +6

    Daaah pole Sana
    Uzuri moyo uko salama hakuna shida utaendelea kuishi tu

  • @RamadhanLugwe
    @RamadhanLugwe 21 วันที่ผ่านมา

    Pole mungu akupe wepes

  • @mussambwilo2536
    @mussambwilo2536 2 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana mzee bambucha mungu akusaidie na usiache kusali😥

  • @beyayomakoja6565
    @beyayomakoja6565 2 ปีที่แล้ว +12

    Mungu amsaidiee kwayote yaliyotokea amen

  • @sknapoleonshoo3145
    @sknapoleonshoo3145 2 ปีที่แล้ว +3

    Duh Mwenyenzi Mungu akufanyie uwepesi na akulinde kwenye maisha yako .

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 ปีที่แล้ว +5

    Daaaaaaah 😭😭😭😭 Alhamdulilah moyo umekosa nguvu ya kuvumilia mwenyezi mungu atakuafu alafu nachukia sana selikali ivi wanafanya nn jamani nachoka sana aseee

    • @rikekikonyo2265
      @rikekikonyo2265 2 ปีที่แล้ว +1

      Serikali ina husika nini Sasa? Serikali inakujengea miundombinu ili huduma zipatikane kirahisi, Serikali imeleta bima ili kupunguza gharama pale mtu anapougua!! Ukilaumu Serikali kila kitu hata ukiwa na njaa utalaumu Serikali

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 ปีที่แล้ว

      @@rikekikonyo2265 ivi unajua maana ya msani ni nini

  • @selemanikisalo5060
    @selemanikisalo5060 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @kishaishengoma6724
    @kishaishengoma6724 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Bambucha.Mwenyezi Mungu Akawe Mtetezi Wako.AMINA.

  • @matswelomphela972
    @matswelomphela972 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole dear pole sana

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana mungu ukusaidie

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana.

  • @edinaclement7714
    @edinaclement7714 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mzee, mtumainie Bwana Yesu ndiye mfariji.

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mzee wetu,kabla hatujafa,,hatujaumbika.
    MUNGU yupo pamoja nasi kila mahali na Lila kukicha

  • @johnnonyarungwa255
    @johnnonyarungwa255 2 ปีที่แล้ว +36

    SASA TUMEAMUA ILE PESA TULIKUWA TUMCHANGIE DADA WEMA ANUNUE GARI
    TUIELEKEZE KWA BABUCHA.

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 2 ปีที่แล้ว

      Ewaaaaaa

    • @aishaabdullah4172
      @aishaabdullah4172 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli wabongo mlichangia ile ili mtu apate gari tu 😢😭🤣 Allaah anisamehe lkn watu wenye matatizo kama hivi ndio wa kuwasaidia starehe ni baadae sana

  • @sharontulliy9332
    @sharontulliy9332 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mpendwa

  • @gadielpaulo8925
    @gadielpaulo8925 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana mzee kwa umri huo inabidi upate msaidizi wa kukupa uangalizi wa karibu

  • @lucymkongwa4238
    @lucymkongwa4238 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akutunze baba, inauma Sana ila jipe moyo mkuu.

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 2 ปีที่แล้ว +1

    Inaskitisha 😭 Allah akufanyie wepesi bambucha, kila apangalo Mungu hakuna binadamu anaeweza kulipangua, mitihani tuliumbiwa sisi binadamu cha muhimu ni kushkuru Mungu, asante milarda ayo kwa kutuletea habari hii bambucha 🇩🇴🇩🇴

  • @Gachibravo3974
    @Gachibravo3974 2 ปีที่แล้ว

    Pole sanaa

  • @ibrahimaussy3690
    @ibrahimaussy3690 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana uncle sema Mungu ni mwema na mm nakuombea kwake akufanyie wepesi katika huo mtihan uliokupata ndugu yang

  • @abelharry_tz
    @abelharry_tz 2 ปีที่แล้ว +18

    Kuna namba yake ya MPESA inapita hapo chini. Ya video
    Ukiguswa Tenda Kwa wema nawe Mungu atakubariki

  • @babudeemapete6680
    @babudeemapete6680 2 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU ndio Mueza WA yote Na nakuombea nikiwa Kenya Mombasa akupe njia na uwezo zaidi na maisha marefu na kila kitu kirudi Sawa amina

  • @yohananyabu5556
    @yohananyabu5556 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana 🙏

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 2 ปีที่แล้ว +4

    Dah so sad Mungu wetu ni mwaminifu utapona baba polee sanaaaaa

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 ปีที่แล้ว +6

    Anahitaji saikolojist kwmba haupo peke yako na lazma maisha yasonge mbele baba polee sana badilisha mfumo wa kula kula vyakula ambavyo vitakujenga mwili poa

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 2 ปีที่แล้ว +12

    Hakika hujafa hujaumbika hii ni safar yetu sote hapa dunian

  • @nyotaasende9225
    @nyotaasende9225 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana baba

  • @asanteh5269
    @asanteh5269 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akutie nguvu mzee wetu

  • @jimmypaschal9291
    @jimmypaschal9291 2 ปีที่แล้ว +10

    Neema ni kitu cha thamani sana. Binadamu tupunguze kulalamika kwa Mungu, watu wana mitihani mikubwa sana.

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 2 ปีที่แล้ว +10

    Utapona baba Allah akusaidie🤲🤲😭

  • @noorissa6036
    @noorissa6036 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana Allah akufanyie wepesi

  • @mwakahassan7685
    @mwakahassan7685 2 ปีที่แล้ว

    Pole sanaa umenikumbusha marehem baba angu alikatwa mkono wote Allah amrehem ila wasanii mkiwa na hela mnakula bata sanaa mpk kujisahau Allah atupe mwisho mwema sina maana mbaya Allah atakusaidia

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kakaanguu

  • @zawadiwambura9188
    @zawadiwambura9188 7 หลายเดือนก่อน

    Pole kakangu

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana father

  • @alexmuhando8153
    @alexmuhando8153 2 ปีที่แล้ว

    Poleee sanaaa

  • @doricemwakasengo9222
    @doricemwakasengo9222 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akutie nguvu bambucha

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +11

    Bingo move wamemchangia wema gari wanancha wenye matatizo

    • @mrssalum6057
      @mrssalum6057 2 ปีที่แล้ว +2

      Mtihn kwakwl

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

      Wema kapewa gari kumbe

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +1

      @@faudhiasalum7279 keshapewa my

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

      @@fetychina3273 www acha hbn duh ata cjui my wangu duh kweli wema kipenz za taif

  • @omaryayoub2838
    @omaryayoub2838 2 ปีที่แล้ว +16

    Hao Bongo Movie ndiyo wamekugeuka, maana hata kama unamguu mmoja, unaweza kuwepo kwenye filamu yoyote ile. Maana vipengele ni vingi sana kwenye filamu.

  • @jovinathobias7163
    @jovinathobias7163 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 ปีที่แล้ว +1

    duuh aisee pole sana

  • @masaludutta453
    @masaludutta453 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki baba

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 2 ปีที่แล้ว +1

    Polee sana baba

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole kazi ya mungu haina makosa pole sana

  • @mohammedkaisar83
    @mohammedkaisar83 2 ปีที่แล้ว

    Pole saana saana Mzee wetu Munqu aendee kukupa subra Munqu akupe nquvu Mzee wetu Amiini yarabi

  • @dayanamatola2557
    @dayanamatola2557 2 ปีที่แล้ว

    Pole San Bab,, mungu yu mwema yupo upande wako

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu,wangu.tutetee.tusamehe.nakuombea Mungu akuponye,akutie nguvu na akufariji

  • @marrymaganga8585
    @marrymaganga8585 2 ปีที่แล้ว +23

    Mungu wetu muaminifu azidi kukuimarisha baba yetu

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana mzee wngu.. Mwenyezimungu azid kukupa uvumilivu juu ya maumiv unayopitia..

  • @evodiadominicpaul5006
    @evodiadominicpaul5006 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa taarifa kemkem

  • @munababy1385
    @munababy1385 2 ปีที่แล้ว +3

    Sema AIhamdulillah baba 🙏🙏

  • @ginahsamwel2308
    @ginahsamwel2308 2 ปีที่แล้ว

    Poleee saaana Mwenyenzi Mungu akupe ustahimilivu

  • @AwadhiAlfani-bd5pj
    @AwadhiAlfani-bd5pj 4 หลายเดือนก่อน +1

    polesana mzeee wetu

  • @khalisalim8370
    @khalisalim8370 2 ปีที่แล้ว +10

    Nakumbusha tu: ukiwa na Afya basi tekeleza zilizoamrisha Allah Mwenyezi nakujitahidi kuyaepuka alizokataza Ili ufaulu. Nas alullaaha salaama.

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 2 ปีที่แล้ว

      Naam hakika nduguyangu maneno yako sadakta binadamu hasa hawa wasanii wanajisahau

  • @venanciavenant2891
    @venanciavenant2891 2 ปีที่แล้ว

    Na huyo Mganga mkuu wa Nyasho amefariki juzi heri we uko hai,,pole sana

  • @getrudathomas535
    @getrudathomas535 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mwenyezi Mungu atakuinulia watu wakukusaidia duh inauma sana

  • @fadhilmohamoud
    @fadhilmohamoud 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana jaman

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 2 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe Charles Magari hayupo tena nchin? Kumbe Yuko America! Laaa pole sana Mzee wng Mungu akupe nafuu

  • @hamisirashidi2895
    @hamisirashidi2895 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaah pole sana mzee wetu

  • @shaniaibrahim8570
    @shaniaibrahim8570 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana. Mungu ata kusaidia kwa kila Jambo

  • @rahilsaleh246
    @rahilsaleh246 2 ปีที่แล้ว +21

    Pole bambucha na ukae uswali kma kuna mambo ulikuwa unayafanya ambayo Allah hayapendi na ww ni muislamu uyaache umuombe Allah akufanyie wepes kwa kila jmbo

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

      Amyn

    • @mussamsabah5163
      @mussamsabah5163 2 ปีที่แล้ว

      Nina mengi sana ya kusema kuhusiana na Mr Omar Babu (Bambucha) dhidi ya makosa yake kwani mungu anamuhukumu tena amuombe sana Mungu amsamehe, Omar Bambucha (BABU) unamkumbuka marehemu Nassir?
      Nikutakie siku njema na iwe pole kwako but muelekee mungu sana na ufanye istighfara.

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

      @@mussamsabah5163 subuhanallah

    • @Zuwomar353
      @Zuwomar353 2 ปีที่แล้ว

      Amin thumma Amin

  • @davythomas4089
    @davythomas4089 2 ปีที่แล้ว

    Pole saana msanii

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว

    Daaaahhh aiseee Pole xana Baba Allah azidi kukutia nguvu 🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @adnanqareem4024
    @adnanqareem4024 2 ปีที่แล้ว

    Pole mzee Wangu mungu atakusaidia

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +2

    Uswari Sasa umuombe Mola wako kwakilajambo saana kuomba mwishomwema kilammoja wetu. Inshallah Allah atusamee kwayoote

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 ปีที่แล้ว

    Pole san

  • @neemianaemanuel7547
    @neemianaemanuel7547 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka Mungu azidi kukutunza zaidi katika kipindi hiki kigumu kwako

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie baba pole sana

  • @fatumakimaro4328
    @fatumakimaro4328 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana bambucha

  • @viva3317
    @viva3317 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sn Bab mung yupo nae

  • @jasminemalekela2784
    @jasminemalekela2784 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie, Mungu ni mwema atakupigania ,tunakuombea sana

  • @aishaimam1442
    @aishaimam1442 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaah maskin pole sana ..huruma

  • @salhaomary2040
    @salhaomary2040 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mzee wetu allah Akupe shufaa

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 2 ปีที่แล้ว

    Daa inauma sana

  • @dariuskasitu5594
    @dariuskasitu5594 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana bambucha hadi nimejikuta nalia mimi

  • @danrevelian
    @danrevelian 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu mzee wangu...!!

  • @floramanyilizu4223
    @floramanyilizu4223 2 ปีที่แล้ว

    Pole baba Mungu akuinue

  • @sadratsaid676
    @sadratsaid676 2 ปีที่แล้ว +2

    pole lkn kwny movie 300 hpo duuh hilo chaka sasa

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 ปีที่แล้ว

    Mungu atakuretea wa kukunyanyua babaangu

  • @salummakenzi4846
    @salummakenzi4846 3 หลายเดือนก่อน

    Pole baba mungu akutie nguvu

  • @yasintajohn1189
    @yasintajohn1189 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole saana jipe.moyo

  • @twahangamba3082
    @twahangamba3082 2 ปีที่แล้ว

    Pole sn

  • @merrymassawe4329
    @merrymassawe4329 2 ปีที่แล้ว +6

    Wasani jamani kueni na roho ya utu msaidieni mfungulieni ata duka kubwa awezi kujikimu na vitu vidogovidogo

  • @abuuqatadah6903
    @abuuqatadah6903 2 ปีที่แล้ว +3

    Nawausia ndg zng tumche Allah ... Allah anamajeshi mengi muda wwt hali yk inaweza ikabadilika ukaikumbuka fursa uloichezea ilhali umeshachelewa.