ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

LOVE WA JUA KALI AONGELEA JINSI LAMATA ALIVYOONA KIPAJI CHAKE BAADA YA KUSEMWA KUHUSU UNENE WA MWILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2021

ความคิดเห็น • 306

  • @reginantora5
    @reginantora5 3 ปีที่แล้ว +16

    Huyu dada annajitambuwa sana piya anajikubali sana hongera dada love 💖💖

  • @rizikikasongo4388
    @rizikikasongo4388 3 ปีที่แล้ว +20

    She is beautiful, smart, confident and blessed. Those bullies have stupid minds and let them continue. This girl is a star!

  • @khadijahassan290
    @khadijahassan290 2 ปีที่แล้ว +2

    Love nampenda anajikubali sana mungu azid kukupa furaha ya milele dea

    • @nancychimama616
      @nancychimama616 2 ปีที่แล้ว

      Ni Mungu na sio Kama ulivyoandika....

  • @janekasigara5850
    @janekasigara5850 3 ปีที่แล้ว +8

    Hongera kpnz love endelea kujiamin ,hata nikiambiwa niumbe ukucha cwez KO cwez kukutolea kasoro dia,Mungu akulinde

  • @missindependent4726
    @missindependent4726 3 ปีที่แล้ว +8

    Big love from Kenya 🇰🇪

  • @olivabutoyi434
    @olivabutoyi434 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli wtz tuna tabia mbaya ya ku- judge watu wengine sana especially inspokuja kwenye physical appearance. Hii tabia ni ya kukemea kabisa maana inafanya watu wanakua na kuwa watu wazima wasiojikubali,kutokukiamini na kuwa na kukosa self confidence. You are beautiful 😍 Mungu ameumba kila mtu fearful and wonderful. We cannot be what people want. Yaani hii kitu ni ya kufundisha mashuleni kabisaa

  • @carofatma8110
    @carofatma8110 3 ปีที่แล้ว +17

    NYwele nzuri Mashallah ila huo Mwili ndugu yangu hapana fanya exercise mpenzi kuna watu walikua na mpaka 120kg bt walipunguza weight huo ni ugonjwa 🙈🙈🙈🙈🙈🙈

    • @mmarie1351
      @mmarie1351 3 ปีที่แล้ว

      🙈🤣🤣🤣🤣🤣

    • @laurenciamanoni2931
      @laurenciamanoni2931 3 ปีที่แล้ว

      Huo ni mwili wake dada,, kaumbwa hivo mbn mzuri tu❤

  • @queenofnoodles7504
    @queenofnoodles7504 3 ปีที่แล้ว +13

    Her energy is everything 👏👏

  • @rehemamsulwa5304
    @rehemamsulwa5304 3 ปีที่แล้ว +6

    Yaan uyu dada hajitambui coz anatakiwa kupungua kwa afya yake mwenyewe anategemea ayo mafuta yanaishaje na huo moyo ukiganda mafuta anategemea nn na kuzaa asidhani unene ni kitu kizuri for sure hatakiwi kupewa moyo unene si mzuri kiafya apunguze mafuta atapata tu uyo bado mdogo anaumwa......

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      mentality yake inamtuma hivyo kuwa unene deal .

    • @fsaad5116
      @fsaad5116 3 ปีที่แล้ว

      Dada kuna healthy lifestyle hiyo kiboko utakonda mia fil mia hiyo ita ku fix bila dawa healthy food huyo coach kiboko from UK utakonda na utaona raha na kwambia ww mzuri raha jipe mwenyewe ni inbox nikupe no ama nenda instagram healthy u lifestyle utaniambi

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      @@fsaad5116 huyo coacher wa UK anaishi africa? unamlipa?

    • @fsaad5116
      @fsaad5116 3 ปีที่แล้ว

      @@kiri5807 anaye mtu kenya waweza kulipa kwa kenya hela ndogo bt utapenda wako kwa instagram healthy u lifestyle

  • @mohamedhussein-qb5sg
    @mohamedhussein-qb5sg ปีที่แล้ว +1

    Very Nice .. Much love from Kenya ....asie weza kuumba kuumbua hawezi ... Hellen I Like ur confidence big up my sister.

  • @agnesbagaluha6293
    @agnesbagaluha6293 3 ปีที่แล้ว +6

    Wow I’m proud of her ❣️❣️❣️😪

  • @reginamoment8766
    @reginamoment8766 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanamke kujiamini iyo ndio sifa yamwanamke.....Nakukubali sana dogo

  • @rafidhaally9857
    @rafidhaally9857 3 ปีที่แล้ว +6

    Kujiamin raha mm mwenyewe Nina mtindi huo naona aubu hata kutoka njee kutembea lkn nimejifinza kitu hapa maana aso chogo ana komo

  • @Kidotii
    @Kidotii 3 ปีที่แล้ว +3

    I love this girl!😘😘😘😘

  • @user-gc3ou7kj8l
    @user-gc3ou7kj8l 10 หลายเดือนก่อน

    Mnakelele mno aseeh mnamakele hamumpi anaehojiwa muda wa kuzungumza vizur

  • @augustinajoachimu3456
    @augustinajoachimu3456 3 ปีที่แล้ว +5

    Jmn nilikuwa naisubirii kwa hamu mnooo dada unachelewaa kutuwekeaa 👌👌👌👌👌

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 3 ปีที่แล้ว +4

    I like her energy 🔥🔥

  • @glorylema
    @glorylema 3 ปีที่แล้ว +8

    I'm a doctor and I'm chubby ....I live my life

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 3 ปีที่แล้ว

    Cute lady ever... Shz beutiful Love

  • @edithlameck8170
    @edithlameck8170 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyo dada yupo vizuri sana kwa jinsi anavyojiamini, kweli umbo la mtu si kitu, cha muhimu ni moyo wa mtu.

  • @DemozaSanga-oi2kc
    @DemozaSanga-oi2kc 4 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana love ni mtu anaye jikubari

  • @faumamakwaia5095
    @faumamakwaia5095 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu azidi kukusimamia nakupenda mwaya kazi ya mungu haina makosa nakupenda mwaya

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna cha kujiamini wala nini, mimi simbully and am satisfied antibully na nawapiga vita vya nuclear wote wanaombully Lakini ukweli usemwe kwamba anatakiwa kupungua, huyo anaemshauri hivyo ndio anampenda, siwezi kukuona unapotea then nijifanye kukupamba wakati your squarely in a wrong way

    • @Kidotii
      @Kidotii 3 ปีที่แล้ว

      Kuna better way ya kumshauri sio in public hivoo ikaonekana kama body shaming or bullying way sio sawa!

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว

      @@Kidotii I said am against all ways and shapes of bullying in any dimension form but to advising positively in a decent way

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 3 ปีที่แล้ว +11

    Jamani ushauri upo!!takwimu zinasema watu wenye mwili kama huo maradhi ya presha sukari inakuwa haipo mbali!

    • @naimaislam552
      @naimaislam552 3 ปีที่แล้ว +1

      M nikimuangalia hutu.unene huuu
      Ni ameubwa tuuu na munguu
      Kwasababu yupi vizur tuuuu

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      dada anakataa kuwa ana matatizo ya kiafya lakini wakati huo huo ana sukari kushuka ila haijawahi kupanda. hajui hii sukar kushuka pia ni tatizo? km ilivyo pressure iko yakupanda na kushuka na matatizo haya mawili yanafatana . yeye alikuwa ni wakati wake kujicontrol na akisema anasubiri aambiwe na Dr apunguze mwili atakuwa too late . sasa hivi umri wake bado mdogo lakini mara nyingi matatizo km haya yanaanza kujitokeza unapofika miaka 40 huko.

    • @benadethafrancis5223
      @benadethafrancis5223 3 ปีที่แล้ว

      @@naimaislam552 hamna lolote mm na 130 kg, na Sina tatizo lolote la kiafya

    • @sadaali2016
      @sadaali2016 3 ปีที่แล้ว

      @@kiri5807 ni kweli kbsa

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 3 ปีที่แล้ว

      @@benadethafrancis5223 ooh my dear! Daah nna 108 naogoa kumbe kuna walionizidi! Alhamdulillah

  • @rosestephano7657
    @rosestephano7657 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana love unajiamini mnooo mungu akupe nguvu zaidi

  • @edinamartni6977
    @edinamartni6977 3 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizuri Dd na unajiamini Sana kikukubwa fanya mazoezi upungue kidogo 😍😍

  • @abdoulmwadjuma2556
    @abdoulmwadjuma2556 2 ปีที่แล้ว

    Huyu dada anajikubali sana hongera sana sweat heart

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mungu akosei kuumba jaman munakosea sana

  • @edithalagwen8465
    @edithalagwen8465 3 ปีที่แล้ว +40

    Tunao sikiliza afu tupitia kwa comment tujuane

  • @user-wb7fh8bf4x
    @user-wb7fh8bf4x 4 หลายเดือนก่อน

    Mi nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jenniphermujuju8209
    @jenniphermujuju8209 3 ปีที่แล้ว +1

    I just love her energy, kila la kheri mdogoangu walimwengu wasamehe bure huwawezi hata kidogo, keep that energy for your wellbeing it matters alot, never get twisted

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 3 ปีที่แล้ว +2

    Love. Ni mtu muelewa. Anaongea vizuri.

  • @salmaiddy9627
    @salmaiddy9627 3 ปีที่แล้ว +5

    Napendaa hiyo shavu dodo mashaallah 😘😘

  • @emyclever6746
    @emyclever6746 3 ปีที่แล้ว

    Asante love kwa kujikubali na kujiamin wanao kuongelewa ww ujue wanachuki na ww

  • @vincentmhoro1952
    @vincentmhoro1952 6 หลายเดือนก่อน

    You are better than you think

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 3 ปีที่แล้ว +2

    Wafrica tunapenda kuwazungumza wtu vibaya na hii nitabia mbaya bsana

  • @fettyprecious3472
    @fettyprecious3472 3 ปีที่แล้ว +1

    uko vizuri sana

  • @sabratally7688
    @sabratally7688 2 วันที่ผ่านมา

    Mi mwaya nakuunga mkono Mimi pia nilijikubali na ufupi wangu naheshima napewa

  • @judykingori5825
    @judykingori5825 3 ปีที่แล้ว

    Perfectly confident girl Ur going far dea

  • @glorychalu
    @glorychalu ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana dada love unavyojikubali

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 ปีที่แล้ว +7

    Anajiamini sawa lakini anatakiwa kushauriwa ajizuie kidogo asinenepe sana

    • @juliarabie7024
      @juliarabie7024 3 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo la watu mnataka mtu awe mnavyotaka nyinyi and that is wrong.

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣

    • @aishaadam6552
      @aishaadam6552 3 ปีที่แล้ว +1

      Anza wew kujizuia kunya halafu yeye atajizuia kunenepa

  • @user-ji6kb4qj6n
    @user-ji6kb4qj6n 3 ปีที่แล้ว

    Ah mnono hata macho haya funguki.kisha mwanamke ni kujisitiri.ALLAH akuongoze

  • @swalehabdala7292
    @swalehabdala7292 3 ปีที่แล้ว +4

    nakupenda dada yangu love💕

    • @aminahassan4225
      @aminahassan4225 3 ปีที่แล้ว

      Unene sio majaliwa mwambie tujitengeneze na ma zoezi na kupunguza kula musimdanganye mwenzenu eti amejaaliwa

  • @fatmamattar820
    @fatmamattar820 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana.

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 3 ปีที่แล้ว +1

    Mdog wang punguz uwo mwili mwenzang maan mhuuu

  • @faumamakwaia5095
    @faumamakwaia5095 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Sofia punguza nyodo ujafa ujaumbika acha nyodo Sofia

  • @valliantobriendelafwenteee9783
    @valliantobriendelafwenteee9783 3 ปีที่แล้ว +2

    I like how she is confident big up helen

  • @aminachipembele2625
    @aminachipembele2625 3 ปีที่แล้ว

    Mnanifurahisha mnapotaniana ukweli mko vizuri binti nae Yuko vizuri ni mjanja na anajiamini

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 3 ปีที่แล้ว +4

    Watangazaji mna makelele si mucheni love aongee

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +11

    mimi nilikuwa najiona mnene nilifika 95kg nikawa nahisi kuchoka , goti 1 linauma . nikaanza mazoezi na kucontrol diet na watu wakinambia wewe unene wa jadi huo ( babaabgu alikuwa mnene ) nimeweka ratili.chooni najipima kila wiki mara 2 nashukuru sasa hivi kg zangu ziko hapo hapo 60 / 65 (nna kimo) haivuuki hapo mwaka wa 6 sasa najiona mwepesi siumwi goti navaa viatu virefu , sasa hivi najicontrol sana kwenye kula na mazoezi huwa nafanya fanya tu ila sio strictly.

    • @henriettenkuba7078
      @henriettenkuba7078 3 ปีที่แล้ว

      Whouh yani 5years uko 60na 65?

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 3 ปีที่แล้ว

      Nakutamaniaa

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +1

      @@henriettenkuba7078 yaani toka nipungue huu ni mwaka wa 5 niko hapo hapo kg zangu zinarun 60 / 65 hazijarudi zile 90 kwa sababu najicontrol sana sipendi niwe mnene naufungia gate na mbwa wa police . 😂😂😂

    • @khaulaismail9403
      @khaulaismail9403 3 ปีที่แล้ว

      @@kiri5807 big up

    • @butturachel8139
      @butturachel8139 3 ปีที่แล้ว

      Kweli ulifanyaje dear

  • @cesirobert4595
    @cesirobert4595 3 ปีที่แล้ว

    Love mm nakukubari cha kwanza, poli, hao wanaokupost watafuta biashara wapate kula waende chooni, acha watafute riziki.

  • @dionisiasoka2187
    @dionisiasoka2187 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajiamin mno nakupenda

  • @joleenwakahiu1081
    @joleenwakahiu1081 3 ปีที่แล้ว +2

    This hosts or presenters are talking too much as if they in a competition, you should give the guest her time to speak coz most of us are here because of her

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว +3

    Maskini yote ni changamoto . Mbaya ameumbwa na mungu namzuri pia ameumbwa na mungu

  • @mehrychambula585
    @mehrychambula585 3 ปีที่แล้ว

    Namshukulu mungu kwayote

  • @einotsolomon9945
    @einotsolomon9945 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda bureeeeee

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 3 ปีที่แล้ว +1

    Doh!! Haya mambo ni Hapa bongo tu nadhani

  • @khadijamatanoali69
    @khadijamatanoali69 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh,uso mama punguza kula upungue love watishaaaa

  • @fatmamattar820
    @fatmamattar820 ปีที่แล้ว

    Zinamkaa vizuri

  • @jacintamuindi
    @jacintamuindi 3 ปีที่แล้ว

    Kelele nyingi sana wooii

  • @colethawilson9033
    @colethawilson9033 3 ปีที่แล้ว +2

    Love wee

  • @jeniphermamat1784
    @jeniphermamat1784 3 ปีที่แล้ว

    Endelea kujikubali mummy God is in control,

  • @nemnem7431
    @nemnem7431 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Love but do something for your health...

  • @alihu3752
    @alihu3752 3 ปีที่แล้ว +3

    Fanya mazoezi banaa kuwa na uzito ni msjanga utifanye unafiki tuwe wakweli moyo upo matatini subili miaka kumi.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanga hoyeeeeeee 😂😂😂😂😂💃💃

  • @theopistaemanuel338
    @theopistaemanuel338 3 ปีที่แล้ว +2

    Tz hamna sheria ni legevu yan nchi zingine unapost picha ya mtu unaanza2 kumjadili bila ridhaa yake yani hatobaki salama

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว +2

    Anaongea pointi Sana mungu akusaidie love . Anaekusema vibaya wewe mshukulu mungu tu

  • @aminahobidike1071
    @aminahobidike1071 3 ปีที่แล้ว

    I love this gal she is real

  • @priscamichael2013
    @priscamichael2013 3 ปีที่แล้ว

    Nachopenda kW love Anajiamini Ila Pungua kidgo mamy

  • @sharifamakaja8803
    @sharifamakaja8803 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamani nashukuru ww ni smart but huo ubonge mpk mashavu mwaaaa hapana bana Kuna kipindi inakulazimi kusema unajikubali kwa kuwa umeona huna jinsi Lkn mwili mkubwa ni mtihani tusijipe moyo

  • @henriettenkuba7078
    @henriettenkuba7078 3 ปีที่แล้ว +5

    Lakini ingekuwa vizuri huyu dada jamani apewe ushahuri na msaada wa mazowezi na chakula kizuri kwani hiyo siyo afya .please ndio ubinadamu huo sio interviews za hapa na pale Bila kumshauri kuhusu afya yake.kuna leo na kesho

    • @laccy.6436
      @laccy.6436 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 3 ปีที่แล้ว +4

    Macho yake mazuri sana.

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว

      Chinese and romantic eyes

  • @justermutayoba2521
    @justermutayoba2521 3 ปีที่แล้ว

    Nampenda anavyoigiza

  • @fat-hiyaali4723
    @fat-hiyaali4723 3 ปีที่แล้ว

    love number d point 5😘

  • @serahkibunja6221
    @serahkibunja6221 3 ปีที่แล้ว

    Mashahlaaaa show tamu

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +1

    Love unajiamini

  • @selphame6857
    @selphame6857 3 ปีที่แล้ว +4

    Why are you not giving her time to explain herself.
    Poor show.

  • @bernadethadouglasmbala2392
    @bernadethadouglasmbala2392 3 ปีที่แล้ว

    Love nakupenda mno

  • @ramlajuma1598
    @ramlajuma1598 3 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥

  • @nemnem7431
    @nemnem7431 3 ปีที่แล้ว +1

    Hilo libaba linakera.....

  • @nelsonkileo3098
    @nelsonkileo3098 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo sofia amekaa kama anaona kinyaaa zio vzr na hasa ukiwa ww ndiyo mtangazaji sijapenda jirekebisha wacha dharau

  • @kisakiempire9242
    @kisakiempire9242 3 ปีที่แล้ว

    Baghdad

  • @revinastephen3365
    @revinastephen3365 3 ปีที่แล้ว +3

    Wengine wanaofsnya hivyo ni watu wa karibu kama ndugu ndo maana wanakaa kimya ,lakini mtoto anazidi kuathirika

  • @gloriatoo22
    @gloriatoo22 3 ปีที่แล้ว

    Huyo dada yuko vizuri tu kama alizaliwa hivyo

  • @carolinefinna4033
    @carolinefinna4033 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna wimbo unaoimbwa"Chukua vyote,Chukua"hebu dah tunong'onezee wavipakuaje na huo mwili hivi🤔

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว

    Jikubal Dada weeeeeell asieumba haumbui

  • @MwariwaMukurino
    @MwariwaMukurino 3 ปีที่แล้ว +1

    Kutoka leo nitaaza kujikumbali, nimeacha kujidharau juu ya ukonde wangu

  • @mohamedmpogo4408
    @mohamedmpogo4408 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda dada Dina na timu inzima ya uhondo

  • @merryeduward3028
    @merryeduward3028 3 ปีที่แล้ว

    Mm nampenda love pale akiwa na stivu yani

  • @susanw8926
    @susanw8926 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa watangazaji 🤨nao,si mpunguze maneno yule mwingine aongee,vihelehele

  • @irenemsumba6776
    @irenemsumba6776 3 ปีที่แล้ว

    I love so Murch

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 3 ปีที่แล้ว +1

    Her energy is everything 🔥🔥✌️

  • @Siasia209
    @Siasia209 3 ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa Allah 😘😘

  • @mohamedmpogo4408
    @mohamedmpogo4408 3 ปีที่แล้ว

    Amenifundisha kujiamin love nakupnda

  • @abdunewton6376
    @abdunewton6376 3 ปีที่แล้ว

    Ww Dada Fanya mzoez

  • @silvesamweli7697
    @silvesamweli7697 3 ปีที่แล้ว +2

    Fanya kupungua had sula

  • @patriciousjadon7089
    @patriciousjadon7089 3 ปีที่แล้ว

    Kwani unene wako kosa ndo usiigize mwambie ajiheshimu umepndz san Love nakupnd dada

  • @nuruabdullah7814
    @nuruabdullah7814 3 ปีที่แล้ว +1

    msichana hebu fanya zoezi bado wewe mdogo umzuri Ila uki loose utakuwa mzuri zaidi mwili mkubwa marazi

  • @sadaali2016
    @sadaali2016 3 ปีที่แล้ว +2

    Ht mm dada n kibonge mwenzio ila jithidi dada mwili utkuj kukuzidi waone watalamu w kiafy mazoez piy yanasaidiy pmoj n vykulaa ht mm nina unene wa kurithi lkin hapanaaaaaa mwili mkubwa kupindukiy unakua ni shidaaa unawez ht kujikut watu wankuchukiy bil sabbu maradhi unkua mnyonge even if kweny nyuso za watu utaonesha furaha ila ktik moyo oversize inaumiza sana inchom moyoni