NAY WAMITEGO awakataa DIAMOND na HARMONIZE/ Sio WASHKAJI ZANGU/ Awatosa kwenye KWENYE ALBUM YAKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
The true boy Mr Ney. Ila Jeshi ukifanya ngoma naye utatoka sehemu moja na utafika sehemu nyingine.
Huyo mwenyewe bado anajitafuta.JAy melody habari ya mjini.oooh nimelowa...oooh naubeba.Sikiliza Sugar na Nakupenda ndiyo utajua.
Ney nmkubwa kimzki kuliko uyo boya wako
Kwahiyo unataka kusema ney yupo chini ya huyo bwege
Nay Wa Mitego my favorite artist from Tanzania
Congratulations Mr Nay ❤️❤️💕
bab
Safi sana wewe kweli Raisi kitaa kwanza wenzako mashauzi mengi
Kitaa pia kinakutambuwa kama Raisi wao Baba yagaaaaaaaaaa big salute 👏 🙏 🙌 ❤ kwa sanaaaaaaaaaa
KONDE GANG FOR EVERYBODY EVERYBODY HE HE HEEEEEE 💪 NO1 IN 🇹🇿 TANZANIA
Nay power 💪💪💪💪 wanao mdiss nay wanafiki
Usichoke mwanagu nakuaminia sana
Raise wa kitaa yupo mtaan ongera Sana mzaz mwamba la masenze❤️💯🤫🤫
Weee noma mzee ney kweli ww ni rais wa kitaa
Nakubali mzee
Saf sana Rais wa kitaa kwa kutuletea Album nzur sana big up 👊👊
P
Wapi like zangu Bana 😎😂
Safi sana mwamba
Wote mnao msema vby na kukoment vby ney wa mitego raisi wa kitaaa Mfe Mapema
Unahanza wewe
Wapashe tena
Ameen
THE TRUE BOY 👿👿💿💨💣😅
“Pless” PRESS😂😂😂😂
Kijana moto🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Acha kumuonea wv
nakukubali sana kaka
Ney so poa anaweza👍 kwake
ok yes ❤
Uk sawa kwa ukweli
huyu jamaa nim rill sana
ney the dragon❤❤❤😂 254 nakutambua
Nay 💪💪💪💪💪
Nakubari mistari yako
👏🤝✌️
Sure rais wa kitaa fanya ngoma na jeshiiiiiiiiiiii bc
Sasa uyu nae acha ubabaifu
Siyo wepekeyako rahisi wakati nami
🎉🎉🎉🎉🎉
Wasanii 5 nyau sana wewe. Yani hata Top 10 haumo
Wwe pimbi wwe kaa kimyaa kojoa ulale Respect kwa President
@@ruthnjeri6522 president wa nini?
@@kassimrajabu7805 sio kila swali lina hitaji jibu broo usitoe fahamu kukuthirishia kwa faida yako cheki mziki mnene na tigo fiesta 2019 nay akieka rekodi Burundi show nae show zake
Ucha uwongo,,,Nay ni nyokooooo top5 yupo
Rais wa kitaa🤜🤛
Kwasababu gani
Nay nakukubari kinyamwa unapasuka mlemure
Acheni uxenge wa kuandika vingine
Hata sijui nacheka nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Thehemu thahihi 😂😂
Nakukubalii wewe n MUSA wa Tanzania tuvushe
Ongeza zingine tunakusikiya viruri
Unapenda sana kujisifia mwenyewe huoni aibu
Kenge ww
Kenge hasaa
Ok like Bob Marley fight for tanzanians
Kumbe nanyi mmeanza kuwa wssenge waongo ee kichwa cha habar mmeandika vingine mkiendelea iv tutawadharau kama wenzenu mnafel wap ad milad anawashinda
umefanya apo kwa Kua huna pesa kulipa ukumbi
Huyu sijui anajikutaga nani chefuuu
Hajui hata anachokifanya matambo ya bure tu kuimba unaimba nini wewe.
Uongoo unaimba mtusi kenge
Ney wa mitego ni rais wa kitaa kweli ila wewe unaemkosoa ndo kenge huwez kumsifia diamond kwa taifa hili kuhusu wananchi
Nime “LELEASE”😂😂😂 RELEASE😂😂😂
Release sio Realese
@@all-victorious2156 sasa hapo umekosoa nini??😂😂😂
@@kassimrajabu7805 We mshamba , unafikiri uki-edit comment haionekani?
Uliandika" Realese" sasa hivi ume-edit inaonekena "Release"
Soma hapo juu kwa taarifa yako comment imeandikwa "edited" kwenye mabano.
Na wewe unaona eti unajua kingereza ,shamba tu wewe
Simba mambo ya ubingwa basi tena mshakosa mwaka wa 3 mfululizo hadi nitoke madarakani chezea madaraka wewe
Daimondi ndio dalaja la mafanikio kwenye iyo bongo Flava Sasa ww endelea kuongea utumbo apo
Hujielewi wewe
Diamond ni kigeugeu mara chadema mara Ccm mara simba mara yanga
😂
Wewe uspoomba msaada kwa Diamond platnumz utabaki hivyohivyo na Siku zinaenda.Ukija zinduka kurapu huwezi tena.Jifunzeni kwa Barnaba,halafu jiulize kati ya wewe na Barnabas nani ana kipaji? Lakini alirudi kwa Diamond platnumz Huyo katoboa.Acheni kiburi maandazi nyie.Diamond Platnumz ana nguvu kubwa hapa bongo na Afrka mashariki yote.Nyie wasanii wote i hapa bongo hamuwezi kumfikia.Aamka wewe.
Nay wa mitego kashawahi kufanya ngoma mbili na Diamond Kama hilo hulijui wewe sio mfuatiliaji kwenye masuala ya mziki, pia Nay huwezi kumlinganisha na Barnaba maana Barnaba mfukoni yupo hoi lakini Nay ni boss mmiliki wa lebel ya Free Nation pia ana Nyumba kali, magari makali na ya bei kubwa pia ana studio kali hapo hana mafanikio?
Ney hana papara nduguyangu.
Umeongea uuupuuzi Sana sana
Acheniii kumuonea wiv
Mjinga wewe
Nakubali kaka usichoe
🔥🔥🔥🔥
👏🤝✌️
🔥🔥🔥🔥