RC Chalamila awacharukia wamachinga, ataka waache mihemko, "Sijaja hapa kuchekeana"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekerwa na mgomo na maandamano yaliyofanywa na wafanyabishara wadogo wa Soko la Simu2000 Julai 8, akisema kitendo hicho ni uhaini.
Amewataka kuacha migomo na mihemko ya kisiasa wanapotafuta maslahi yao.
Mzizi wa kauli yake hiyo ni mizozo iliyoibuliwa na wafanyabiashara hao, wakipinga uamuzi wa Manispaa ya Ubungo kukabidhi eneo la soko hilo kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart).
Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumamosi Julai 13, 2024 alipozungumza na wafanyabiashara hao katika soko la Simu2000.
Sambamba na hilo, Chalamila amekemea hatua iliyofikiwa na wafanyabiashara hao ya kumfukuza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko siku ya maandamano hayo.
Amesisitiza iwapo wafanyabiashara hao wataleta mihemko, itakuwa vigumu kwao kubaki sokoni hapo.
Msema kweli Mpenzi wa Mungu, tunapenda nidhamu , Pole saana Mhe Mkuu wa Mkoa, ila kuwa na Subra kwa Wananchi wako tumetofautiana shule, uelewa , kipato , hekma na busara, Ukiwa Mkuu waeza tamka lolote ila kazi unawapa wenzako kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama
Chalamila ogea kwa busara haya ni maisha tu mkuu
Safi sana mkuu
Watu wa dar bila kupaza saut awasikii Pole sana mh.kuongoza wa2 wazima kaz kubwa sana
Acha kutisha watu wewr
Kutishiatishia t watu we mungu bhna..vinamwisho
Acha kutisha Watu,cheo ni dhamana,muda wowote hiko cheo kinaondoka,si vyema kwa kuwa ni mkuu wa mkoa utishe Watu,kama mkuu wako wa wilaya akidhi au ameenda tofaut asiambiwe?
Chadema Peoples power😅😅😅😅 ondoka na hawo vijanaaaa😂😂
Kutisha watu tena
Sidhani kama vitisho ni sehemi ya kutatuwa matatizo watu wanataka kujuwa mitaji walito weka hapo sokoni kwa kuhakikishiwa hilo ni eneo la soko lakini leo vitisho hivi nini manake
kama kweli walimgomea mkuu wa wilaya kuzungumza nao wamekosea
SAF SANA HII DAR UKILEGEA WABONGO WANAWEZA KUKUSHIKA JICHON SOMETIME NA WE UNESHA UKALI WAKO ILI MAMBO YAENDE LA SIVYO YANAWEZA KUTOKEA KAMA YALE YA KENYA
Ivi uyu jamaa iko sawa kweli
mkuu acha watu waongee,acha kuwatisha wape maiki waseme,kuna siku hata hayo magereza na hao polisi havita weza kukusaidia,mioyo ya wtu inamajonzi,waelimishe taratibu,hata ww ukisikia kuna mtu anataka kuharibu kazi yako utaumia,watu hapo wanafamilia,madeni benk na kazi ndio hiyo,acha hasira wape elimu
Tatua matatizo ya watu,..acha kuwatishia watu!..hata we ni mwanadam ipo siku utaachia huo uongoz wako,..usitishie watu na povu lako
Usisem t toa ushauri afanye nini
Lazm mud mwngn ukiw kiongz uwe dictator au ww unatk aman ivunjik but sheria ishasem Ardh yote n ya serekali na pia serekali inawezo kuchukua ardhi yeyot ikiwa ardhi inatakiwa kwa maslahi ya Umma kama vile ujenzi wa barabara, hospital n.k
Hahahaha 😅😅😅😅 hapana sio kwa vitisho hivi
Nahitaji frem ya duka hapo kariako.fukuza kabisa nipate frem
Mh.acha kuongea kwa kuwatisha wananchi, wanahaki ya kuzungumza pia kuwakilisha hoja zao.Hivyo vitisho si vizuri kwa wananchi ,na kweli leo umukuja na mihemko.Public ni nani?
Ndio hao mlio wapa elimi mkawafundisha Moja ongez Moja na wakaenda chuo wameludi mtaani hamujawapa kazi ni watoto wawakulima wamekuwa Kwa nguvu ya mungu alafu mtu unaongea utumbo ukiludi apo unaandikia ulikuwa na ziala unapewa posho na ela ya mafuta hadi lini mtawanyanyasa
Huyu jamaa akili hana
Unazani hapo kuna haki za watanzania,Dc yeye nani mbele ya watanzania wote,hitimisha hamna shida.
Siasa ni uchumi
Kuna kauli zinanichanganya,unaposema "muwe na adabu,mnaniletea mambo ya kisiasa hapa"anamaana hajui nini maana ya siasa au amesahau kuwa yeye pia ni Kiongozi mwenye cheo kinachotokana na Siasa siyo mwajiriwa kwa taaluma aliyosomea yeye ni mteuliwa na aliyemteua ni Kiongozi Mwanasiasa aliyechaguliwa kuwa Rais kupitia chama cha Siasa tena ni M/kiti wa Taifa wa Chama husika.Nafikiri kunaulazima wa kuwapa semina Viongozi wateuliwa waelewe kuwa hawawezi kujitoa kwenye Siasa.Kama tafsiri ya Siasa ni utapeli,unafiki au ni ulaghai wao pia wamo wasijitoe.
sema hili jambo litaleta ukakas kutpkana na kuwafokea watu
Ndio wew zuzu
Usizarahu watualiyekupa cheo wew amempa machinga hao watu Hawa saminiwi kila mtu anawafanya daraja ungekuwa wew machinga sijui ungekuwa nahaligani watu kama nyie kwa magagufuri mlikuwa na hari ngumu saivi
Nao watanzania kimia eti mnamwogopa yeye mbona anamiemko na siasa.
Wanyooshe hao.. Another Ze Jembe at work.🏋️♀️
Hii sasa ndio inavyotakiwa kwa wasiojua mipaka yao
😢😢😢😢
Aibu ndio viongozi wetu
Hivi Tanzania machinga anachukuliwaje, kwa nn wasikae wakajadiriana kuliko kutishana na kufokea watu
Shida nini tena CHALAMILA WANGU.
Shangingi unalotembelea nikodi zetu alafu unatutukana katiba mpya ije hawa watu wakuteuliwa hapana tunaitaji watu wakuchaguliwa sio hawa
ulio wachagua wamekusaidia nini ?
Wamalize mda wao wafunge virago
Mbona kama anatumia ubabe uyu Rc😂
Daaaaa😂😂😂😂
Acha maneno mengi,..kwanini hujawataarfu mapema
tumetulizwa 😅
RC mkiwachekea hao ipo siku watawapanda kichwani,kaza mhe.
Mazingira hufundisha zaidi.
Kuna nn tena?
Huyu mwehu atakuja kimbia hizo mic muacheni ajing'ang'afue tu
😅😅😅
Acha kufanya mambo kibabe,..shrikisha wafanya biashara wanaohusika
Tumia busara kenge wewe … this guy is drunk … when your mouth doesn’t coordinate with your brain …..