Baada ya tetesi za kutekwa, Prof Assad asimulia kilichotokea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2019
  • Baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa aliyekuwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof Mussa Assad ametekwa Azam News imezungumza na Prof Assad nyumbani kwake na ameeleza kilichotokea!
    #AzamNews #AzamTVUpdates #UTV

ความคิดเห็น • 44

  • @emmanuelsovellah5521
    @emmanuelsovellah5521 4 ปีที่แล้ว +2

    safi profesa

  • @abubakarsalim2424
    @abubakarsalim2424 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah!!!

  • @sultanishabani7966
    @sultanishabani7966 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 4 ปีที่แล้ว +2

    Zitto na swala la utekaji nchini Serikali anzeni naye

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 4 ปีที่แล้ว +4

    Zito hana tofauti na Kinyesi

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Kinyesi kimewaganda ccm mmezoweya kuteka mbwa nyie

    • @kalufunyangenyakinyungu5087
      @kalufunyangenyakinyungu5087 4 ปีที่แล้ว

      @@ukhtyalpha1344 kwan aliyezusha ni ccm au ni Zito,au ndo unajichetua kujifanya unakinga ya kujibu kati huna hoja

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 4 ปีที่แล้ว +2

    Zitto hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 4 ปีที่แล้ว +2

    "Watu wanajua kuna mambo hayajakaa sawa sawa lakini hawasemi, sio kazi yangu Mimi kulinda katiba "

    • @geoffreymtenzi395
      @geoffreymtenzi395 4 ปีที่แล้ว

      Hapo tu kamaliza kesi wenye akili tumejua

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza kudhani unamchafua MTU kumbe unajifaua wew jaman watu wameishiwa swaga huu mziki ni kiboko ya madoa

  • @kiatu
    @kiatu 4 ปีที่แล้ว +1

    Kujihami kwa umakini kunapimwa kwa kujibu maswali kiasi kwamba hata ambaye hakwenda shule anaelewa unachokisema

  • @magrethjohn8576
    @magrethjohn8576 4 ปีที่แล้ว +1

    Zito visunzua vinamsumbua aondolewe akili itakaa sawa!

  • @niholausbarnaba3314
    @niholausbarnaba3314 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli zito akumbuke ana familia ya watu wengi katika chama chake na pia role model wa wengi huu ni ujinga wa mtu mzima

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 4 ปีที่แล้ว +3

    Zitto zuberi Mwianjwa mara zote umekuwa mwepesi was kurukia bus usilojua linakoenda mwisho wa safari utafika usikotarajia. Jifunze kunyamaza, siasa si kuangalia au kusubiri matukio ili upate la kujimwambafai.

    • @niholausbarnaba3314
      @niholausbarnaba3314 4 ปีที่แล้ว

      Brother alafu unakuta watu nao wanamtukuza na wanamtegea pina zao za masikio , huyu jamaa hata co mfano wa kuigwa na watu

  • @dr.mickymasanja8452
    @dr.mickymasanja8452 4 ปีที่แล้ว

    Wameumbuka kina Zitto na wenzake kwa kukurupuka na kurukia mambo bila kufikiria

  • @stanslausangelus8714
    @stanslausangelus8714 4 ปีที่แล้ว +1

    Zittio uwe making In Aibu hiyo

  • @shabanimndeme4984
    @shabanimndeme4984 2 ปีที่แล้ว

    P

  • @ramadhanimwanyumba2955
    @ramadhanimwanyumba2955 4 ปีที่แล้ว +2

    Prof. Anasema kuna mambo hayazungumzwi!!!!! 1:33

    • @erickmsilu6308
      @erickmsilu6308 4 ปีที่แล้ว

      umeelewa nini utuambie

    • @yahpinfo16
      @yahpinfo16 4 ปีที่แล้ว +2

      Muulize niyepi hayo kama ni suala la yeye kuondolewa kazini sisi tunaona ni sawa ila kama sivyo aende mahakamani katiba ni zao la kisheria na mahakama ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria unapo tuambia sisi tupaze sauti zipi? Unasema huwezi kulinda katiba si kazi yako wewe unatakiwa kufuata katiba ukiona umeonewa nenda kwenye vyombo husika kama wewe huwezi unatutaka sisi tukupigie kelele wewe kelele zetu zinaweza kukurudisha kazini!? Kweli kazi nzuri

    • @geofbeka1669
      @geofbeka1669 4 ปีที่แล้ว

      Neno zitto sana, na pia kasema sio wajibu wake kulinda katiba

    • @Almisbahy9551
      @Almisbahy9551 4 ปีที่แล้ว +1

      @@yahpinfo16 Wew Hujamuelew Hta Robo... Kasema Kama Kuna Jambo Mnahis Halijafanyw Sawa Bac Mseme Na Sio Kukaa Na Dhana Maana Yke Mctangulize Dhana Mkawafikria Watu Vibaya Kama Kuna Kosa Semen Kama Hakuna Ondoen Dhana

    • @Almisbahy9551
      @Almisbahy9551 4 ปีที่แล้ว

      @@geofbeka1669 Nawew Usichukue Kipande Cha Maneno Alaf Ukamjaj Mtu Malizia Hadi Mwisho... Kasema..SIO KAZI YNGU KULINDA KATIBA BALI NI KAZI YETU SOTE.... Maana Yke Sio Kazi Yke Peke Yke Kulinda Katiba Bali Ni Kazi Yetu Sote

  • @hassanjomaa2313
    @hassanjomaa2313 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo kwa aibu anatembeya mitaani kawapanga waha weziye waogee ujinga pumbu zako zito

  • @alfredlimu308
    @alfredlimu308 4 ปีที่แล้ว +1

    2020 hiooo tumkose kwanza bungeni ndio tuone kama ataendelea na uongo wake huo,kiongozi mzima unaeomba kuongoza nchi kubwa kama Tanzania unakuwa na akili chini kiasi hiki kweli ni aibu

  • @user-mo5mi6bt6v
    @user-mo5mi6bt6v 4 ปีที่แล้ว +1

    mufti

  • @shedadiabdul6585
    @shedadiabdul6585 4 ปีที่แล้ว

    Zitto Sasa uone ulivo muongo.Kwahiyo Watanzania tumekujua ww na wenzio mlivowaongo na malengo yenu tushajua mmetumwa

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

    Kwasababu hao wanaotekwa wote huwaanza hivyo wananchi wakipiga kelele kuwahi ndi vijisababu kama ulikuwa hujatekwa ndio Alhamdulilah tunashukuru maana kina Azory Gwanda Ben Saanane na wengine wamewahi kukumbia pia mmezuwa mtindo ccm mnajitia mtindo wa kuteka watu yule Sheikh wa mwanza yuko wapi

  • @salumothman7548
    @salumothman7548 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona jamani tumatumia mitandso vibaya

  • @demetiriasirles6877
    @demetiriasirles6877 4 ปีที่แล้ว +2

    HAO WAKIna zitto ndiyo watu wa kupewa nchi?? MATAHIRA NDIYO WATAWAPA NCHI!! CURSED ZITTO!!

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 4 ปีที่แล้ว +2

    Zitto atawaeleza min watz uyu baba ni muongooo haijapata tokea ww Mara magu kafa Mara Assad katekwa Yan serikali mnamuogopaga Sana uyu mzee mtien ndan kwa kudanganya uma

  • @sss3s867
    @sss3s867 4 ปีที่แล้ว

    Mlitatajia MTU aseme ukweli muutakao ninyi. Bora Yuko salama tusemeni alhamdulilah. Loop Jambo halijakaa Sawa.

  • @salaamclinicoftraditionalm3641
    @salaamclinicoftraditionalm3641 4 ปีที่แล้ว

    Kwa maradhi sugu,uzazi na uungaji mifupa karibu kituoni kwetu Chanika kwa Dadi jijini DSM.
    0716651640/0685074983

  • @khassankhalife568
    @khassankhalife568 4 ปีที่แล้ว

    Naludia tena Kuna wajinga kama zite wameenda shule na wameacha shule shuleni.

  • @karakairasa2161
    @karakairasa2161 4 ปีที่แล้ว

    Mtu mzima kama wewe, mtu muhimu kama wewe, mtu adimu kama wewe. Utandaje safari ndefu peke yako?
    Utakaaje masaa yote hayo bila ya kutoa taarifa kwako unaendeleaje huko ulipo?
    Au kuwauliza wao nyumbani kwako wanaendeleaje?
    Halafu unasema network ilikuwa hamna... sawa! Basi ulipopata network hukupiga home kuwauliza wala hukujali masimu yote unayopigiwa!
    Mbona character yako inaonekana imebadilika? Umekuwa ghafla mtu irresponsible, careless!

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 4 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo unataka aseme alitekwa ili roho yako ifurahi? Kwanini watu tunapenda mabaya yawakute watu wengine ili upate kiki ya kisiasa? Yaani yeye kutotekwa roho inakuuma? Ni hatari sana kuamini na kuupa nafasi uongo, kuna siku hata wewe watasema umetekwa na wakati uko kwenye daladala, sasa sijui utakubali ili kuridhisha matakwa ya kiasi ya mtu?

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni akili yako inataka aseme unavyotaka wewe

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 4 ปีที่แล้ว

      @@bigjizee4130 kuna watu wanataka mtu aseme wanachotaka wao

    • @karakairasa2161
      @karakairasa2161 4 ปีที่แล้ว

      @@malickmakatta6089 that is called logic.