@@mwamengelehe was the best wap wewe wakati alikuwa ni jambazi na mwizi mkubwa huyu na kinara wa utekaji....,.ndio maana alimtoa apo cag unconstitutional mshenzi sana huyu
Huyu baba CAG yupo vizuri sana. ..Sasa tungejuaje haya yote enh. ...haki ya mungu utaishi miaka bilion elfu kumi. ... good job mh rais. ...hichi ndicho tunahitaji watanzania. ..... 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Prof.Assad ameonesha ujasiri sana yeye mwenyewe kwa taaluma yake, ametufundisha kuwa na msimamo ktk mambo ya kweli na kujenga uzalendo wa kutetea ukweli. Kwa dunia ya sasa wengi huishi kwa maslahi kwa kutotosimama kwenye ukweli na kufanya kazi kwa hofu.
Magufuli wewe ni Rais Bora sana sana sana duniani. Piga kazi baba Mungu yuko pamoja nawe. Mashetani hawatakuweza. Nakufunika kwa damu ya Yesu kwa Jina LA Baba na LA Mwana na LA Roho Mtakatifu Mungu daima na milele. Amina.
Rais Magufuli an nia nzuri sana na Tanzania na watu wake lakini bado kuna wezi wachache kwenye serikali yake na ndiyo wanao zorotesha maendeleo ya nchi hii.
Kuna taaluma na wanasiasa,hapa ni ishu za taaluma na kuikomboa nchi....Ahsante mtaaluma mkuu mh.rais magufuli...CAG yuko sawa hapo afanyi udanganyifu wa kisiasa kama wanasiada wengi easivyowataalam.
Jamaa huyu kichwa sana, na kizuri zaidi anajiamini sana - kwa ma Profesa niliowahi kuwasikiliza kwa umakini, jamaa huyu zaidi na kizuri zaidi hana mambo ya kujipendekeza/kujikomba komba na nidhamu za woga au kutetea nini sijui. Nikiona baadhi ya Watanzania wenzetu wanapania kumkatisha tamaa CAG au kujaribu kutumia mbinu mbali mbali zenye lengo la kumfanya Rais amuone CAG hafai ie amfute kazi, basi ndio utaona kumbe wanadamu tumekuwa wired by our Maker tofauti kabisa! Sina uhakika kama kundi linalo mpiga vita CAG linatakia mema Taifa letu. Ndugu Rais usikubali watu wachache wakuvurugie wataalamu wachache wachapa kazi wanaofuata ethics za taaluma zao to the letter - sio kila kitu kichukuliwe kisiasa siasa, wanatumbukiza malumbano ambayo hayana tija kwa Taifa letu - are simply trying to build Mountain out of Mole hill - mtu unabaki unashangaa kwa nini kauli za CAG inakuwa highly inflated bila sababu za msingi mpaka mfikie hatua ya kutafuta ufafanuzi wa maana ya terms kutoka kwenye Encyclopedia TANZANICA mradi mpate mwanya wa kumu - corner CAG ili iweje eventually??
Ahsante Mh. Rais. Reaction ya speaker dhidi ya CAG inatutia aibu, kuwa na viongozi wanaoamini hawawezi kukosea huku wakiwafukuza wawakilishi wetu bungeni kwa makosa waliyoyaona juu yao!
ukweli tuseme mungu huwa anatujaalia viongozi wazuri sana hebu angalia hapo muunganiko wa Asad na Mzee magu. hawa viongozi ni waaina yake lakini huwa kunawatu wanafiki hupenda kutufitinishia sana viongozi wetu na kutoa ushauri wenye ukakasi sana. hebu tukumbuke pale ASAD alipowahi itwa na kuhojiwa na bunge kisha kuenguliwa ilihali kwa muunganiko huu ulikuwa ndio haswa tiba mjarabu wa nchi yetu mwisho wa siku leo mahakama inatoa hukumu kwenye ilefitna iliopikwa na wale ambao leo wamedhihirisha ni akina nani na kuwekwa pembeni kwenye muhimili wa kutunga sheria na hili nalo nimpongeze sana mama kwa kuupiga mwingi na kutambua hawa watu kuwa hawatufai. naumia sana kwa kweli kwa hawa wazalendo wawili. Mama tuondolee wote wasioitakia mema Tanzania yetu bila kuangalia sura kwani hao ndo wanakujaaribu mazuri mlioyafanya viongozi wetu na kuonekana kuwa mlienda kinyume na katiba ilhali hao wachumia tumbo hawatoi ushauri wa kulijenga taifa letu. Mungu akupe unachostahiki Magu wetu, Mungu akupe subra Mzee Asad najua we ni mjuzi na mwelewa sana tushirikiane kujenga nchi yetu na Pia Mungu akupe Nguvu mama yetu tuondolee wachonganishi wote tunataka Tanzania yenye matarajio mema hata kwa vizazi vijavyo Mungu ibariki Afria Mungu Ibariki Tanzania
Rais kwakeli Mungu akulinde azidi kukupa ujasili saidia Watanzania walio wengi hii Nchi ilikuwa imeoza wanao lalamika wengi wao ndio wamechangia pakubwa kuozesha Nchi hii
watanzania tubadilike kwa nini tuko na hii tabia? wabunge wa Upinzani wakigomea kitu kwa maslai ya nchi au kumsaidia mh.Maneno ya kuwapinga yanakuwa mengi, But mh. Rais akinyoosha maelezo kama wapinzani ndio mnapongeza sijaelewa nini maana yake? tena zaidi wabunge wa CCM nafikili wako na hii tabia sana ni wachache wanaomsaidia mh. lakini walio wengi sijui ndio wasaka tonge? Tena mh. Rais ni vyema sasa kuangalia wabunge wako ambao sio Msaada kwako maana ukikuta huko na mtu kila jambo hukimwambia anakwambia sawa au hilo ni jambo zuri hata likiwa baya lakini haonyeshi Kuwa na mashaka Au kupinga kimawazo au kwa hoja jua hapo huna mtu fikilia kwa kina zaidi huyo mtu ni msaada au yuko na person issues Ukipata Jibu unatoa maamuzi. Siombaya ku think twice. maana watu Kama hao maranyingi ni wanafiki. waeshimiwa wote wako na malengo mazuri Sana kuijenga nchi hila watu wa katikati nafikili ndio shida kidogo ndio wanao wakwamishaga waeshiwa mh. Rais Salute Sana hunaonyesha jinsi unavyo wapigania watanzani kuna husemi wako Mmoja hunasemaga (Tunafanya haya kwa Sababu ya Taifa letu kwa ajili ya watanzani) hakuna nchi inayo penda kuona Tanzania inasonga mbele" Godbless you mh. huyaone yote mema na kuyaendereza akuongoze kufanikisha malengo yote mazuri hulio panga kuyatekeleza kwa moyo wa dhati challenge it's source of Development.
sikuwahi kucomment youtube...hii ni comment yangu ya kwanza...na nimeiweka maana inanishangaza idadi ya watu wanaodhani hii video ni ya hivi karibuni...hii ni ya miaka miwili ilopita...mambo hayakuwa motomoto kipindi hicho
Muulizeni Spika Ndugai kama amemsikia Rais akitoa maagizo kuhusu CAG ? Yeye kama hataki bunge lake lifanye kazi na Prof Asad Raisi Magufuli anataka kufanya kazi na CAG Prof Asad NANI ANA NGUVU KUAMUA ? BW NDUGAI TUPE JIBU
Safi sana! Waliodhan Mh Rais alikosea kumteua Prof Asad wao ndo wajitathmini,, sasa Prof kapewa rungu azidi kuwalipua tena bila uoga; ili madudu yawekwe wazi, hata kama bungeni matumiz ni makubwa wapunguze!;
😂😂😂😂 Trump ajipange upya au afikilie mara2 hiyo misaada anayotaka kuiminya au kui katakata huku kwetu Africa Tanzania hatui pendi tena au kuitaka misaada ya kitanzi coz sooner Tanzania tuta anza kutoa misaada kwa ndugu zetu wote wa Africa JPM piga kazi pamoja na serikali yote ya awamu ya 5 #BulldozerVsTrump
Ndiyo maana huyu rais ataweza kutuvusha katika safari yenye dhoruba Kali Mara wabunge wanaompinga CAG. Lakini nawaomba wabunge wetu wakubali kukosolewa hizo hasira mi naona in kisingizio tu.Mi nahisi hii taarifa imewagusa ndo maana wanaikwepa kidizaini mbona rais amemkubali?
@@moseskayan3705 wizi ndio hao hao tu wanajifanya tu. 3 yrs ni honeymoon tu new weeding mkesoweyana mambo yale yale mtoto wa nyoka nyoka. Dont trust mwanzo tu subiri baadae uwone 🤣😂
JPM baba hapo hatukutoi ndio umefika mimi kuanzia leo sitaki kusikia vitu kama sheria au katiba hivi vitu vilikuwepo lakini ndio kwanza nchi ilikua imeshikwa na MAFISADI yaani kama vile hakuna katiba au sheria sasa kuanzia leo JPM ndio sheri na katiba mwenye macho matatu kama mimi twende pamoja na wenye macho mawili au moja karibu na OMO yako ya kijinga hapa tupo kwenye kuikomboa Tanzania yetu full stop
Kwa hiyo badala ya kuipatia serikali faida kwa kuchimba dhahabu Tanzania, wao wanadai serikali iwalipe kwa kuingiza vyombo vyao vya kuchimbia madini. Kwa hiyo serikali haipati faida. Huo ni mchezo gani? Wazungu wengine wezi wanawafanya nyinyi wajinga.
Yaani wewe chizi kweli zaidi ya Nyerere kwa lip? Uhuru mngeupata kizungu cha shida? Ulaya hamkanyagi?? Nyerer alijenga hoja kwa wazungu tena akiwa kijana mdogo tukapata uhuru!!! Waogopa mijadala hawa!!!! Mungu akusamehe!!!
Daaaah kiukweli nimemmiss sana CAG wangu mpendwa PRO. Mussa Assad
Heko Mh Rais Jpm 👏🏼👏🏼👏🏼TUPO PAMOJA MH RAIS👏🏼mwenye kumkubali Mh Rais
👇🏽Wetu agonge LIKE
Khalid Balleth akuna kitu kama iko
Mwenye masikio na asikie. Timu3 za ukaguzi kwa wakati tofauti. Hongera Raisi wetu JPM kwa kazi nzuri. Makandokando yatakawa history. Hapa Kazi TUUU.
He was the best
@@mwamengelehe was the best wap wewe wakati alikuwa ni jambazi na mwizi mkubwa huyu na kinara wa utekaji....,.ndio maana alimtoa apo cag unconstitutional mshenzi sana huyu
Huyu baba CAG yupo vizuri sana. ..Sasa tungejuaje haya yote enh. ...haki ya mungu utaishi miaka bilion elfu kumi. ... good job mh rais. ...hichi ndicho tunahitaji watanzania. ..... 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
kweli elim ni elim tuuuu asadi kafanya kazi nzuri anaelezea walipopata hasara na nini kifanyike alafu mijitu mingine inasema haitafanya kazi nae
Big up
Prof.Assad ameonesha ujasiri sana yeye mwenyewe kwa taaluma yake, ametufundisha kuwa na msimamo ktk mambo ya kweli na kujenga uzalendo wa kutetea ukweli. Kwa dunia ya sasa wengi huishi kwa maslahi kwa kutotosimama kwenye ukweli na kufanya kazi kwa hofu.
Ndugai chizi kidogo
Allah Akbar Mwenyezi Mungu akuongoze President
I like your truth president for the benefit of our country... Mmh God protect you and bless you
CAG tunakupendaa tunaipenda Tanzania na tunamuunga mzeewetu katika kilahatuaaa mungu ibariki Tanzania mungu ibariki African
nakupongeza sana mh rais kwa kuonyesha matumain makubwa kwa CAG, wew kweli no kiongozi mwenye mtazamo wa mbali sana juu ya Taifa hil
Profesa Asad ni Mtetezi wa Wanyonge, siamini kama Mh. Rais Magufuli anafikilia kumwondoa kwa maslahi ya wachache akina ndugai.
Keshamuondoa ndugu yangu
Amini kwamba Prof. Assad hatupo nae kama ulivokua ukifikiri
Respice Seth 👍
Asante sana cag mzalendo wa kweli kwa kusema ukweli.
Raisi wangu kwa hili, bado ninakuamini sana sana. Mungu akulinde baba.
Magufuli wewe ni Rais Bora sana sana sana duniani. Piga kazi baba Mungu yuko pamoja nawe. Mashetani hawatakuweza. Nakufunika kwa damu ya Yesu kwa Jina LA Baba na LA Mwana na LA Roho Mtakatifu Mungu daima na milele. Amina.
CAG mzuri sana, wale jamaa ni dhaifu kweeli wanakula kodi bure
Mh:Raisi Hongera sana,umetutia imani watanzania kwa Spika wa bunge na Kamati yake walitutisha sana......WABEJA SAANA!!!!
Kazi yao ni ndioooooooo.posho zinaingia wadhaifu kweli hukukosea
Mzee Assad nakukubali nilikuwa sijawahi kukufatilia leo nimejua na nimegundua kitu ulisema ukweli kuhusu Tanesco
Tusaidie tu mh hii nchi ilikuwa imeoza kbs mungu akujarie utimize ndoto zako kwetu
Hauendi mbinguni....HV hiyo nyimbo aliimba nani!?
Mh. Rais anaonyesha kua na IMANI na CAG
safiii sanaaa raisi ukiwa na mtu kama huyooo atakulindaa
Safi sana mkuu wa nchi, hawataki kufanya kazi na cag kwa sababu kaongea ukweli,tunataka kodi zetu zitumike vizuri, wanao kula hayo matilion wajiuzuru,
Nakupenda sana raisi wangu.... Mungu aendelee kutetea na kukubariki ili tuijenge Tanzania yenye maendeleo na si tegemezi
Prof. Assad anatisha,,,,,,,,,!!!!!
safiii saana mh upo vzr pga kzii bba
Rais Magufuli an nia nzuri sana na Tanzania na watu wake lakini bado kuna wezi wachache kwenye serikali yake na ndiyo wanao zorotesha maendeleo ya nchi hii.
5:39 due diligence at its best
Magufuli is the best President in Africa hakuna mjadala hapo.
kiukweli rais wewe ndio unae faa ila ss wenyewe nio kina ziro usikate tamaa na maneno ya waja cc hatuna shukran kabisa mungu akusimamie ameen
😞😢 I miss you already Magu
CAG uko vizur na mh magu nampongeza kwa kumsikiliza
piga kazi rais wangu nakupenda xana
Mussa Baraka unajua hii ya lini?
Hiyo nimeipenda. Moja ya sifa za kiongozi ni kuweka mgawanyo mzuri wa majukumu na madaraka.
Daniel Ezekiel kisomi tunaita Delegation of power and authority
Hiyo ni lugha ya Mkoloni wa Kingereza. Kwani kuweka kwa kiswahili siyo KISOMI? Kimbia hiyo ITIKADI ya kukaririshwa Jiamini na Lugha yako ya KISWAHILI
@@nyawawawanyawawa935 naaminia baba
@New Song Celebration ndio baba
@@hamammoko3013 iyo lugha tu je yule aliozaliwa uingereza anaanza kuongea kingereza ndio kwanza anaanza kusimama naye tumwite msomi ni lugha tu iyo
Kuna taaluma na wanasiasa,hapa ni ishu za taaluma na kuikomboa nchi....Ahsante mtaaluma mkuu mh.rais magufuli...CAG yuko sawa hapo afanyi udanganyifu wa kisiasa kama wanasiada wengi easivyowataalam.
ndugai maku tu simpendi Yule mse...anajifanya Mungu mtu ebu magu umtumbue Yule ndugai akae benchi anamihemko yakimaku afai kuwa Kiongiz ndugai
Wakat anamtuma yy
Umeona eeehe
angekuwa mungu asingekatwa midoleee laana huyooo ndugai
Jamaa huyu kichwa sana, na kizuri zaidi anajiamini sana - kwa ma Profesa niliowahi kuwasikiliza kwa umakini, jamaa huyu zaidi na kizuri zaidi hana mambo ya kujipendekeza/kujikomba komba na nidhamu za woga au kutetea nini sijui.
Nikiona baadhi ya Watanzania wenzetu wanapania kumkatisha tamaa CAG au kujaribu kutumia mbinu mbali mbali zenye lengo la kumfanya Rais amuone CAG hafai ie amfute kazi, basi ndio utaona kumbe wanadamu tumekuwa wired by our Maker tofauti kabisa!
Sina uhakika kama kundi linalo mpiga vita CAG linatakia mema Taifa letu.
Ndugu Rais usikubali watu wachache wakuvurugie wataalamu wachache wachapa kazi wanaofuata ethics za taaluma zao to the letter - sio kila kitu kichukuliwe kisiasa siasa, wanatumbukiza malumbano ambayo hayana tija kwa Taifa letu - are simply trying to build Mountain out of Mole hill - mtu unabaki unashangaa kwa nini kauli za CAG inakuwa highly inflated bila sababu za msingi mpaka mfikie hatua ya kutafuta ufafanuzi wa maana ya terms kutoka kwenye Encyclopedia TANZANICA mradi mpate mwanya wa kumu - corner CAG ili iweje eventually??
Hivi huyu alie sema hawezi fanya kazi na cag siatakuja sema hafanyi kazi na I kulu?
Raisi wetu uyu CAG ni waukweli tusimtupe
Afanye naee kazii tuu asiendekezee huyoo spika
Kashatembea
Keshamtoa tayari 😁😁
@@zuleyvendor6577 hatari..
@@zuleyvendor6577 una edit videos or??
Huyu ndiye rais wa kweli
Hakuna binadamu asiye na mapungufu, lkn Raisi unafanya vyema sana
nice president in africa
Ahsante Mh. Rais. Reaction ya speaker dhidi ya CAG inatutia aibu, kuwa na viongozi wanaoamini hawawezi kukosea huku wakiwafukuza wawakilishi wetu bungeni kwa makosa waliyoyaona juu yao!
huyu ndio Raisi kwakweli Mungu katuona safari hii nasie ahsante Mungu
said athman hujielewi wewe
Raisi wetu ni mkweli sana Hongera sana JPM 2020 nakupa kura allah akinifikisha
asante jpm
Why nobody is happy everyone is looking on another .
Due to behavior,
ukweli tuseme mungu huwa anatujaalia viongozi wazuri sana hebu angalia hapo muunganiko wa Asad na Mzee magu. hawa viongozi ni waaina yake lakini huwa kunawatu wanafiki hupenda kutufitinishia sana viongozi wetu na kutoa ushauri wenye ukakasi sana. hebu tukumbuke pale ASAD alipowahi itwa na kuhojiwa na bunge kisha kuenguliwa ilihali kwa muunganiko huu ulikuwa ndio haswa tiba mjarabu wa nchi yetu mwisho wa siku leo mahakama inatoa hukumu kwenye ilefitna iliopikwa na wale ambao leo wamedhihirisha ni akina nani na kuwekwa pembeni kwenye muhimili wa kutunga sheria na hili nalo nimpongeze sana mama kwa kuupiga mwingi na kutambua hawa watu kuwa hawatufai. naumia sana kwa kweli kwa hawa wazalendo wawili. Mama tuondolee wote wasioitakia mema Tanzania yetu bila kuangalia sura kwani hao ndo wanakujaaribu mazuri mlioyafanya viongozi wetu na kuonekana kuwa mlienda kinyume na katiba ilhali hao wachumia tumbo hawatoi ushauri wa kulijenga taifa letu. Mungu akupe unachostahiki Magu wetu, Mungu akupe subra Mzee Asad najua we ni mjuzi na mwelewa sana tushirikiane kujenga nchi yetu na Pia Mungu akupe Nguvu mama yetu tuondolee wachonganishi wote tunataka Tanzania yenye matarajio mema hata kwa vizazi vijavyo Mungu ibariki Afria Mungu Ibariki Tanzania
NOTE: 4:38 - 5:03
Ukawaeleze bila woga, maana yake uwaambie MADHAIFU ikibidi!!!!
Nime angalia hii baada ya miaka minne, kurelate maamuzi ya raisi baada ya report na report raisi wa sasa maamuzi aliyo chukua its sad rip magufuri
Rais wangu ninakupenda sana watanzania wataelewa pale watakapoona matunda yako
CAG NIMEKUPENDA SANA UNA NIA NZURI JUU YA TAIFA
bunge muhimili dhahifu ktk body ya Tanzania mbk noma
Rais kwakeli Mungu akulinde azidi kukupa ujasili saidia Watanzania walio wengi hii Nchi ilikuwa imeoza wanao lalamika wengi wao ndio wamechangia pakubwa kuozesha Nchi hii
safi sana baba
watanzania tubadilike kwa nini tuko na hii tabia?
wabunge wa Upinzani wakigomea kitu kwa maslai ya nchi au kumsaidia mh.Maneno ya kuwapinga yanakuwa mengi, But
mh. Rais akinyoosha maelezo kama wapinzani ndio mnapongeza sijaelewa nini maana yake?
tena zaidi wabunge wa CCM nafikili wako na hii tabia sana
ni wachache wanaomsaidia mh.
lakini walio wengi sijui ndio wasaka tonge?
Tena mh. Rais ni vyema sasa kuangalia wabunge wako ambao sio Msaada kwako
maana ukikuta huko na mtu kila jambo hukimwambia anakwambia sawa au hilo ni jambo zuri hata likiwa baya lakini haonyeshi Kuwa na mashaka Au kupinga kimawazo au kwa hoja jua hapo huna mtu fikilia kwa kina zaidi huyo mtu ni msaada au yuko na person issues
Ukipata Jibu unatoa maamuzi. Siombaya ku think twice.
maana watu Kama hao maranyingi ni wanafiki.
waeshimiwa wote wako na malengo mazuri Sana kuijenga nchi hila watu wa katikati nafikili ndio shida kidogo ndio wanao wakwamishaga waeshiwa
mh. Rais Salute Sana hunaonyesha jinsi unavyo wapigania watanzani
kuna husemi wako Mmoja hunasemaga
(Tunafanya haya kwa Sababu ya Taifa letu kwa ajili ya watanzani)
hakuna nchi inayo penda kuona Tanzania inasonga mbele"
Godbless you mh. huyaone yote mema na kuyaendereza
akuongoze kufanikisha malengo yote mazuri hulio panga kuyatekeleza kwa moyo wa dhati
challenge it's source of Development.
Wewe wapinzani nini wewe usilete ushabiki kwenye maisha ya watu upinzani upinzani kuna upinzani Africa?
Kumbe magu alimuruhusu CAG kutoeleza report bila woga
Dugai anajaa upepo kwa nn
Yap!!! Watanzani ndivyo tunavyotaka. Uwazi na ukweli.
The president is concurring with the report by CAG report
Mambo ya elimu zaidi kanzi njema Taifa letu
kweli Jpm kazi Tu, majungu peleka Ukawa
Millard acha kupotosha. Hii ilikuwa mwaka jana. Sio ripoti ya mwaka huu.
tatizo hujaangalia published date..
usicomment bla kufkria kwanza
Halafu darasa la saba fulani anasema hana imani na CAG
Huyu Rais engekuwa sio ccm huyu twengekuwa tuko mbali sana Yani Kama ulaya vile lakini tatizo wanamuangusha wachini yake sio waaminifu
hii ripoti ya mwaka 2017 sio ya mwaka huu!!
Ubalikiwe raisi wangu piga kazi tupo pamoja na ww
Hapa Kazi Tu
CAG nakukubari baba
Huyu jamaa hivi ni mtanzania kweli, miaka yote alitupwa wapi?
Hiyo Tim nyingine isiyo julikana ya nn CAG INATOSHA
huyu jamaa ni msomi sana na ameitendea haki elimu yake katika kipindi chake cha miaka mitano katika ukaguzi wa hesabu za serikari
Mmmh ukijiamini kama CAG hata simba atakuogopa😂😂😂
sikuwahi kucomment youtube...hii ni comment yangu ya kwanza...na nimeiweka maana inanishangaza idadi ya watu wanaodhani hii video ni ya hivi karibuni...hii ni ya miaka miwili ilopita...mambo hayakuwa motomoto kipindi hicho
Aye Aye Presda!
good luck
Muulizeni Spika Ndugai kama amemsikia Rais akitoa maagizo kuhusu CAG ? Yeye kama hataki bunge lake lifanye kazi na Prof Asad Raisi Magufuli anataka kufanya kazi na CAG Prof Asad NANI ANA NGUVU KUAMUA ? BW NDUGAI TUPE JIBU
Babu kichwa sana
nakukubali xana mh raisi ila kna mambo naomba uyaxahau we ni mchapa kazi kinouma kma binadamu ningependa wa shauri wako wawe wanagusa kila angle
Safi sana! Waliodhan Mh Rais alikosea kumteua Prof Asad wao ndo wajitathmini,, sasa Prof kapewa rungu azidi kuwalipua tena bila uoga; ili madudu yawekwe wazi, hata kama bungeni matumiz ni makubwa wapunguze!;
Bunge brought me here
😂😂😂😂 Trump ajipange upya au afikilie mara2 hiyo misaada anayotaka kuiminya au kui katakata huku kwetu Africa Tanzania hatui pendi tena au kuitaka misaada ya kitanzi coz sooner Tanzania tuta anza kutoa misaada kwa ndugu zetu wote wa Africa JPM piga kazi pamoja na serikali yote ya awamu ya 5 #BulldozerVsTrump
kweli kabisaa
Prof. Assad ni moja kati ya wasomi wenye sifa ya kuwa kiongozi na ako na transparency ilowazi
vizuri mh rais
Rest In Peace JPM
Ndiyo maana huyu rais ataweza kutuvusha katika safari yenye dhoruba Kali Mara wabunge wanaompinga CAG. Lakini nawaomba wabunge wetu wakubali kukosolewa hizo hasira mi naona in kisingizio tu.Mi nahisi hii taarifa imewagusa ndo maana wanaikwepa kidizaini mbona rais amemkubali?
hiyo ya lini na rais yuko ktk ziara
Sanatuu
"usifanye kosa 2020 still life is hard instead of bringing investors unawabana watu bado mzee kubali ushauri
ww uolewe basi unataka dezo sana
Andrew they @Unaongea out of topic nani kaongelea mambo ya Ndoa Hapo ww ndo bashitee kabisa
Rais hana starehe kabisa hapa kazi tu
Uhuru na kazi sio kazi tu uhuru hamna dunia tabu ahera tabu raha iko wapi jamani. Amkeni uhuru ni bora kuliko kazi maoni yangu tu
jam Hassan Nakubaliana nawe pia kwa hilo amani bora kuliko Mali ila tumeibiwa sana ase
@@moseskayan3705 wizi ndio hao hao tu wanajifanya tu. 3 yrs ni honeymoon tu new weeding mkesoweyana mambo yale yale mtoto wa nyoka nyoka. Dont trust mwanzo tu subiri baadae uwone 🤣😂
mini maana yake kutangaza kuwa utakuwa na magrowp ya tume, hadi unaweka wazi kuwa itakuwepo na ya siri?
obed masaki ur security understand has gone below the line
jembe sema ukweli mzee
Safi san CAG unafaa kuigwa
Mungu ibariki Tanzania,Rais wetu mungu akutunze akupe heri ya maisha,
Sasa hiyo lipoti mtapeleka wapi ndungai sihafanyi kazi na cag
Way foward?
What is next?
So what?
Ino tugita mdawuli...
Magu ana majibu.
JPM baba hapo hatukutoi ndio umefika mimi kuanzia leo sitaki kusikia vitu kama sheria au katiba hivi vitu vilikuwepo lakini ndio kwanza nchi ilikua imeshikwa na MAFISADI yaani kama vile hakuna katiba au sheria sasa kuanzia leo JPM ndio sheri na katiba mwenye macho matatu kama mimi twende pamoja na wenye macho mawili au moja karibu na OMO yako ya kijinga hapa tupo kwenye kuikomboa Tanzania yetu full stop
Daah nishida kwaiyo ziro ziro adi kwenye mchanga wamidin au mzee wa maziro anahusika jaman
49
Ya zamani hiyo
Kwa hiyo badala ya kuipatia serikali faida kwa kuchimba dhahabu Tanzania, wao wanadai serikali iwalipe kwa kuingiza vyombo vyao vya kuchimbia madini. Kwa hiyo serikali haipati faida. Huo ni mchezo gani? Wazungu wengine wezi wanawafanya nyinyi wajinga.
t1910j , Tatizo siyo wazungu ni viongozi mafisadi,
Kweli, ni wazungu na hao viongozi wafisadi wanaowezeshana kuiba mali ya Watanzania.
huyu raisi nouma kawaweka bbc kitaeleweka tu
Spika anaajali maslahi yake
wabunge wanakwenda tofauti na CAG na Raisi
Hiyo ni mwaka jana siyo mwaka huu
Nivizuli sanaaaa Nimpizani wacha ila sio ww kwa mda mwingine wazili wako mkuu kangi lugola na C A G mko fit
I love your efforts my president John pombe magufuli, you are the one we were waiting for you
Uyu jamaa ni zaidi ya Nyerere wazee...
Yaani wewe chizi kweli zaidi ya Nyerere kwa lip? Uhuru mngeupata kizungu cha shida? Ulaya hamkanyagi?? Nyerer alijenga hoja kwa wazungu tena akiwa kijana mdogo tukapata uhuru!!! Waogopa mijadala hawa!!!! Mungu akusamehe!!!
Roho yangu Kwatu km umeongea nawe kuliko ukimya ule
Umeonaeeee sasa spika unahitaji nini
hii ni ripoti ya mwaka 2017
Aibu kwa spika wa bunge
hii ni ya mwaka gani??
i min usiyasahau
safisana ila awemakini wasije wakamweka kwenemtego