KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA | ASKOFU GWAJIMA | 05.09.2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • LIVE

ความคิดเห็น • 471

  • @anociathafidel2239
    @anociathafidel2239 3 ปีที่แล้ว +131

    Kama wewe jpili huwa unaandaa mb kwa ajili ya kumfuatilia Askofu Gwajima Gonga like tuendelee mbele

  • @mohamedmkubagwa3874
    @mohamedmkubagwa3874 3 ปีที่แล้ว +67

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Askofu Josephat Gwajima, Eeee Mungu tunamuombee afya njema na kwenda kinyume na wote wasiomtakia mema Mtumishi wako

  • @wanjiruwathuo3643
    @wanjiruwathuo3643 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyewe Mkenya sijawai Tembea Tz lakini Mawaka Kesho Majaliwa ya Mwenyezi Mungu naja huko....Mna baraka Sana kubarikiwa na Watumishi wa Mungu wa Kweli na Wenye Hofu ya Mungu.Ibarikiwe Tanzania Milele.

    • @daviesmwema4831
      @daviesmwema4831 3 ปีที่แล้ว

      karibu tena utafikia kwangu bure

    • @wanjiruwathuo3643
      @wanjiruwathuo3643 3 ปีที่แล้ว +1

      Asante Sana nitatembea Mwaka Kesho kwa Neema ya Mungu.

  • @herybwanga507
    @herybwanga507 3 ปีที่แล้ว +14

    Npo Dodoma Tanzania ila kila jumapili nilazima niandae bando kwa ajili ya kuungana na wewe Baba yangu wa kiroho. Asante kwa neno la leo 🙏🙏🙏🙏

  • @jonesotachi9931
    @jonesotachi9931 3 ปีที่แล้ว +12

    Watching from Nairobi Kenya

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 3 ปีที่แล้ว +6

    Gwajima anajielewa sana! Wachawi hawaja wahi kulishinda JINA LA YESU, tunawahesabia siku tu wanasiasa wanao pingana na NENO LA MUNGU! Corona sio ugonjwa ni njia ya wahalifu kuiba mali za watanzania!! Walaaniwe kwa Jina la YESU. Ameni

  • @davivancee9991
    @davivancee9991 3 ปีที่แล้ว +6

    Rais wng 2025 hakika unafaa Sana ,, Asante kwa somo hili hakika nimejifunza nisiyoyajua .

  • @morriskazungukarisa9781
    @morriskazungukarisa9781 3 ปีที่แล้ว +8

    Mimi in pastor morris (kenya)nilieonyeshwa na mungu mambo yaliyokupata nilicoment kabla,Ila Bwana alikuficha kama alivyo nionyesha,glory to God.

    • @paschalnjombo5588
      @paschalnjombo5588 3 ปีที่แล้ว

      mungu wako sie Mungu wa gwajima, ndio maana hata kwa maandishi umethibitisha hivyo, (mungu) wa Gwajima Ni (Mungu)

  • @mariammwamaso3984
    @mariammwamaso3984 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimekubali kumfata Yesu. Sitarud nyuma. Amina mtumishi.

  • @bibilaginanani8259
    @bibilaginanani8259 3 ปีที่แล้ว +7

    Mwenyezi mungu akulinde askofu gwajima kwa uwepo wako magufuri bado anaishi

  • @Baro007
    @Baro007 3 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jamaa n genius hawawez kumhoji wakamshinda kivyovyote vile

  • @barakamangunda3471
    @barakamangunda3471 3 ปีที่แล้ว +1

    Bishop gwajima nakukubari sana MUNGU wa mbinguni azidi kukulinda

  • @neemashookyaruzi809
    @neemashookyaruzi809 3 ปีที่แล้ว +21

    Kelele za shangwe zitatokea juu ya kilele cha mlima KILIMANJARO, Tumepokea Unabii Huu Bishop Gwajima 💪💪

    • @mariamnimbo8394
      @mariamnimbo8394 3 ปีที่แล้ว +1

      Hallelujah!!!

    • @Da_Gee
      @Da_Gee 3 ปีที่แล้ว +1

      I just knew this in my heart some years back, I had a clear and strong msg about it, thank you Holy Spirit for this confirmation, Amen.

  • @lamecktv4269
    @lamecktv4269 3 ปีที่แล้ว

    Askofu anasema...wakasema jitetee...NIKASEMA SWEZ KUJITETEA..
    Saf sana HUU UJASIRI N BAB KUBWA.
    kukupenda sjakosea.
    Ilove u so much Askofu Dr Josephat Gwajima

  • @kelvinwambura8083
    @kelvinwambura8083 3 ปีที่แล้ว +36

    Mr Gwajima your the best even TD Jakes is waiting i have been listening to him in the past ten year but you have me in the past 5 month your amazing

  • @glorytoGod639
    @glorytoGod639 3 ปีที่แล้ว +26

    Baba napenda imani yako thabiti, may God keep you safe for long

  • @marrymbwiga3590
    @marrymbwiga3590 3 ปีที่แล้ว +25

    Nakupenda sana wewe nakufananisha na Kipenzi chetu rahis wawanyonge JPMagufuli Mungu akulinde kila leo utufungue fahamu zetu na akili zetu .....Mungu akinde wewe na familia zetu

  • @ludovickshilunga8638
    @ludovickshilunga8638 3 ปีที่แล้ว +42

    Nampendaga Sana huyu mwamba, ✊ Askofu Gwajima

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanapingana huyu si gwajima wanashindana na Mungu,wataaaibika vibaya

  • @omarmihulu7979
    @omarmihulu7979 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante mchungajiwangu kwamsimamo wako tunashangaa hata sisi kuondoka tu mwenda zake korona imepata nguvu too zimerudi.

  • @milkakamau8709
    @milkakamau8709 3 ปีที่แล้ว +12

    Oh! Uliye mwagiwa mafuta na upako wa Mungu kwa mzimu huu! Father in heaven I pray for your servant🙏Baba mviche kwenye mbawa zako! Ongeza moto wa Roho wako, Bishop Umetengwa for this season!! 🙏Nakupeda Milka from Kenya

    • @RamRam-rk9lr
      @RamRam-rk9lr 3 ปีที่แล้ว +1

      Askifu gwajima ni ni raisi wa tanzania baada ya samia
      Si upige kelele haleluyaa

  • @johnpaulin4511
    @johnpaulin4511 3 ปีที่แล้ว +8

    Baba tunakupenda
    You're the icon of Tanzania

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika sina chakusema zaidi ya kuku ombea baba wa imani ubarikiwe sana hakika ulipo tupo na Mungu hawezi kutuacha kamwe wabaya wako ote wata teketea katika jina la Yesu alie hai.

  • @eliasamsonofficialtz6600
    @eliasamsonofficialtz6600 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Sana bishop Mungu
    Aendelee kukupa nguvu na ushindi maana wewe ni shujaa NB tuna omba Mungu
    Akupe maona ya kugombea urais 2025 kwa ajil ya kulikomboa taifa letu

  • @rosepallangyo1352
    @rosepallangyo1352 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni mtu wa Mungu gwajima nakupenda endelea mbele

  • @lucygodwin7590
    @lucygodwin7590 3 ปีที่แล้ว +4

    Wabunge wanasikiliza kumkosoa ila wanagundua Mungu ndio amemtia nguvu. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

    • @kasallemgogo6143
      @kasallemgogo6143 3 ปีที่แล้ว +1

      sanaa hawawezi shindana na gwaji boy😂😂

  • @manrasiel8054
    @manrasiel8054 3 ปีที่แล้ว +13

    Nimekuelewa kwa mafundisho yako mazuri, ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.

  • @mariajoseph5347
    @mariajoseph5347 3 ปีที่แล้ว +6

    Watanzania tunakupenda Baba 🥰
    Unatema madini sanaaa 👏

  • @deborahcharles6507
    @deborahcharles6507 3 ปีที่แล้ว +9

    Ubarikiwe Baba,,umepanda mbegu njema kwenye mioyo yetu

  • @raulianraphael6853
    @raulianraphael6853 3 ปีที่แล้ว +33

    Hakika This is the Glorius and Soulful Sunday service Ever
    May Almighty God Our heavenly father Shield and bless U Bishop

    • @emanuelonesmo4660
      @emanuelonesmo4660 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akupe afya na nguv mm nipo pamoj na ww mtumish wa mungu jasusi LA mbingun

  • @emarrgeorge8536
    @emarrgeorge8536 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂Nimefurah saaana% Yeye Akazid kupaza Saut Ee Yesu mwana Wa Daud Unirehemu.. Be BlesseDaddy

  • @frenkpastory8512
    @frenkpastory8512 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana askofu gwajima napanda sana unavyo fungua nafsi yang niko na ww njia moja

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 ปีที่แล้ว +12

    I love people who stand with truth without fearing people but fearing our beutiful Jesus,,ubarikiwe san na Mungu unayemtumikia akutumie zaidi na zaidi mwisho wako ukawe heri zaidi ya yote Bwana akukaribishe katika makao yake aliyoenda kuandaa kwaajili ya wateule,

  • @yusuphkiyoya806
    @yusuphkiyoya806 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mch. anafundisha na anaeleweka kabisa , God bless you

  • @psychologicalRealities9
    @psychologicalRealities9 3 ปีที่แล้ว +25

    Askofu you are blessed. How I wish we had more ministers of God like you. Who are bold and ready to stand with what God says. And tell God's people the truth, Amen

  • @rashidmukengabaruani4497
    @rashidmukengabaruani4497 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana Baba sijuwe nisemeje uwanabarikiwa sana nikikusikia

  • @protasalbinus2955
    @protasalbinus2955 3 ปีที่แล้ว +10

    Mungu husimama na waliosimama.
    Endelea kusimama mtumishi wa Bwana.

  • @emmanuelmadoshi1352
    @emmanuelmadoshi1352 3 ปีที่แล้ว +18

    Amen! Bishop mungu akutetee tunakuelewa

    • @omanabcd9249
      @omanabcd9249 3 ปีที่แล้ว

      Ahadi za YESU nikweli

  • @marclazaro4540
    @marclazaro4540 3 ปีที่แล้ว +12

    Huyu Baba Bishop Gwajima Siku hizi nakuendelea Namkubali.
    Mungu tusimamie twende na Msimamo wa Mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

    • @deokessy6596
      @deokessy6596 3 ปีที่แล้ว +1

      Mama akuachie 2025 unafaaa

    • @deokessy6596
      @deokessy6596 3 ปีที่แล้ว +1

      Naona President 2025

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 3 ปีที่แล้ว +38

    *Miaka ya 2013 kuelekea uchaguzi mkuu wapo waliomuona Magufuli kama ni mtu tu wa kawaida, kuna waliosema siongei na mbwa naongea na mfuga mbwa! Mwisho wa siku walimpigia magoti, ni wenye akili ya Roho mt pekee ndo waliomtambua JPM kama ni mtu mkubwa sana badae, kama huamini ingia fb kwa jina la Ephraim E. Ndelwa, utaona nilichokitabiri juu ya Magufuli 2015, natabiri kwa Bshp Gwajima, Humphray polepole na Ole-Sabaya hawa ni viongozi wakubwa hapo badae! Na Mungu akabariki maono haya...*

  • @salomemlay8309
    @salomemlay8309 3 ปีที่แล้ว +3

    Wafyekwe haoo.
    Mungu azidi kukulinda kweli ujasiri wako unanatufanya nasi kuwa Mshujaa kabisa.Tupo pamoja na ninakuombea & big support.

  • @sulebundala4688
    @sulebundala4688 3 ปีที่แล้ว +10

    Baba Josephat G, Hakika wew ni Mlima sayuni!!!

    • @Ramadhanimsingwa
      @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว

      Hakika kila kitu na wakati Mungu hutenda atavyo

  • @eliyajeremia1447
    @eliyajeremia1447 3 ปีที่แล้ว +11

    Nayale mazombi yabungeni yamekuja kusikiliza Mutumish wa Mungu anavo hubiri iliyapate neno lakumushitaki washidwe kwajina la Yesu

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu gwajima ni magufuli ajae .huyo demu Bado katuwekea tozo kubwa natuma upepo wa kisuri kisuri upitie aka fie kuzimu Kwa jina la YESU 💪🔥

  • @benjaminn.mohamed.2503
    @benjaminn.mohamed.2503 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks for your wonderful spiritual service. May our LORD JESUS CHRIST bless you abundantly.

  • @diondonis1775
    @diondonis1775 3 ปีที่แล้ว +30

    May Lord Jesus protect you Bishop,We will never be shaken

  • @jovithajovinary9305
    @jovithajovinary9305 3 ปีที่แล้ว +5

    Tumejengwa juu ya mwamba na mwamba uwo ni kristo, asante Yesu kwa neno ili,

  • @edwardater9247
    @edwardater9247 3 ปีที่แล้ว +9

    I really appreciate, this is the man of Good, Human being will come and go
    But the word of God will stand forever 🙏

  • @MoN_KaDO
    @MoN_KaDO 3 ปีที่แล้ว +4

    The man of Almighty God in our country, Gwajima is a one of themselves

  • @daniels.mutinda
    @daniels.mutinda ปีที่แล้ว

    To God be the Glory and honour. I love this and its what we need in our time. The truth in Boldness and Courage of God catapulted by the Holy Spirit, i love you Servant of God... Tanzanian and Africa in general is blessed to have such Voices of heaven

  • @sleviakabuguzi5396
    @sleviakabuguzi5396 3 ปีที่แล้ว +13

    Asante baba yetu kwa kutulisha chakula cha uzima WA milele

  • @christianngao5608
    @christianngao5608 3 ปีที่แล้ว +8

    Jembe Sana hili Gwajima Mungu yupo na wewe Baba

  • @barakapuyonyagawa881
    @barakapuyonyagawa881 3 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbingu na nchi tembea na mtumishi wako aspatwe na lolote kwa jina la yesu

  • @upendomfikwa2013
    @upendomfikwa2013 3 ปีที่แล้ว +19

    Hakika, Yesu nakuamini kwakuwa AHADI ZAKO NI KWELI🙏

  • @jilugalamarco9308
    @jilugalamarco9308 ปีที่แล้ว

    Siku hiyo nilikufuatilia nikabarikiwa Sana, nimelikumbuka Tena hili Somo limenibariki sanasana Tena, hakika Mungu anatenda kazi ndani Yako.

  • @evankonde3140
    @evankonde3140 3 ปีที่แล้ว +20

    It's only the spirit of God who can do this, this is a great service

  • @glorymsuya1601
    @glorymsuya1601 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutunze mpendwa umekua mtetezi kwa taifa umefanyika baraka kwa kanisa umenipa ujasiri Mungu wa Mbinguni akutunze .

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 3 ปีที่แล้ว +1

    Ww ndie mtumishi niliekua namkusudia tangu nikiwa mdogo Mungu akubariki na akuinue zaidi na akulinde daily bishop gwagima. 🙏🙏🙏🙏

  • @betramkamatali8508
    @betramkamatali8508 3 ปีที่แล้ว +14

    Amen amen I receive in the name of Jesus

  • @Coleman_artgalery
    @Coleman_artgalery 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana mtumishi , wewe NDIYE mtu saa hii, rungu la bwana, songa mbele tuko nyuma yako tunakuombea Sana , tutashinda na zaidi ya kushinda kwa jina la yesu

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 ปีที่แล้ว +4

    Neno hili limetoka kwa Mwenyezi Mungu... Nani wa kuweza kulizuia... Walijaribu akina herode...kaisari... Pilato... Hawakuweza... Eti Ndugai anajipima nae kuzimisha sauti ya Mwenyezi Mungu... Anapiga mshale mteke .. ataumia Mwenyewe...Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 3 ปีที่แล้ว +7

    Amen Amen Amen
    UZIDI KUTUOMBEYA BABA TUNGEPATA WA CHUNGAJI KUMI KAMAWEWE INCHIZOTE ZINGEPONA HILIJANGA LA CORONA LINGEZIMIKA
    HIYI NI UWONGO MTUPU LIMETUNGWA DUNIANZIMA
    MUNGU AWAONE HAWA WATU WALILOLITUNGA HILIJANGA
    UBARIKIWE ASKOFO KWA KUTUPIGANIA
    BLESSINGS

  • @emmanuellemalali3034
    @emmanuellemalali3034 3 ปีที่แล้ว +4

    Brilliant work!
    There is always a way to do the work of GOD!
    ..... May a Grace of God be with you Bishop!!!

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 ปีที่แล้ว +1

    Askofu haakika mungu typo nawe mtu wa mungu ni kusema kwelii

  • @morriskazungukarisa9781
    @morriskazungukarisa9781 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akulinde,usigope,hadui zako sasa wanapanga kukuteka na kukupoteza kabisa,Ila hawatasmama,wewe ni mboni ya jicho la Mungu.PST Morris (Kenya).

  • @honoviushonorath3093
    @honoviushonorath3093 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima yupo very smart kchwan napat waswas wasio muelewa wana mttzo gan na ubongo wao

  • @ephrahimukangalawe441
    @ephrahimukangalawe441 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kwa jina Bwana wetu Yesu kristo mtumishi Gwajima

  • @nancyaroko4572
    @nancyaroko4572 3 ปีที่แล้ว

    AMEEN tunakushukuru sana Mchungaji Mungu akubariki

  • @pstemmanuelofficial1323
    @pstemmanuelofficial1323 3 ปีที่แล้ว +6

    More respect we really love you and I believe very soon we will meat together bcz your big heart that I wanna take from you

  • @emmanuelytunduma8127
    @emmanuelytunduma8127 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mlinde gwajima Bishop mungu tulinde watanzania

  • @daviskatunzi7424
    @daviskatunzi7424 3 ปีที่แล้ว +10

    Stay blessed Bishop J.Gwajuma

  • @richwaleolundenga8519
    @richwaleolundenga8519 3 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima tunakuamini sana baba wewe ndio mwamba wetu ulio baki awo wengine hatuna imani nae mungu ibariki tz pamoja na Africa kwa ujumla

  • @ishimaelyiman3240
    @ishimaelyiman3240 3 ปีที่แล้ว +2

    Prase The highest of high our living God. May Lord Jesus strengthen you Pastor.

  • @obedisaitoti3678
    @obedisaitoti3678 3 ปีที่แล้ว +7

    Hakika baba ubarikiwe Sana Askofu J. M. Gwajima the Mbunge

    • @winnyleonardkapere661
      @winnyleonardkapere661 3 ปีที่แล้ว

      Kweli.
      Hiyo shule ya uongozi itamtangaza zaidi Kama hatazuiliwa.

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 3 ปีที่แล้ว +2

    Ee Bwana Yesu mwana wa Dawudi unilehemu. Amen Askofu go ahead

  • @happinesszabron7635
    @happinesszabron7635 3 ปีที่แล้ว +8

    Kuna jambo gani lililo gumu la kumshinda bwana??

  • @princemercury5824
    @princemercury5824 3 ปีที่แล้ว +11

    Gwajima boy for life

  • @frenkmwilu4378
    @frenkmwilu4378 3 ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe mtumishi 2025 chukua fomu ya urais kura tunakupa

  • @kalingajofrey8829
    @kalingajofrey8829 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante ascofu Leo nimekuswa moja kwa moja na neno la mungu kwamba yeye atawaponda watesi wetu

  • @lilianpeter9886
    @lilianpeter9886 3 ปีที่แล้ว +2

    Najivunia kua na mtu kama ww Tanzania kwel Mungu hakutuacha wenyewe ametuinulia mtu mwingine ahsante Mungu kwa mtumishi wako huyu

    • @Da_Gee
      @Da_Gee 3 ปีที่แล้ว

      Hakika. Ametupa faraja ya mioyo yetu baada ya kudhulumiwa Raisi wetu kipenzi, Dr Magufuli rest easy Baba!

  • @lamecklainson5989
    @lamecklainson5989 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndugai hatoboi mwakahu 🗣️👣🌩️

    • @jamesmwamboma430
      @jamesmwamboma430 3 ปีที่แล้ว +1

      Naiwe ivyo

    • @valeriamtenga3384
      @valeriamtenga3384 3 ปีที่แล้ว +1

      Tumwache Mungu ahukumu mwenyewe! Kwan hata wabaya wamewekwa kwa siku ya ubaya!
      Yuda aliwekwa ili atimize kumsaliti Yesu!

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV 3 ปีที่แล้ว +1

      @@valeriamtenga3384
      Sisi tunahukumu pamoja na Mungu. Kwani Yuda mweyewe si alikufa kabla ya Yesu?????

  • @kiwalevaleriani6917
    @kiwalevaleriani6917 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah sure your the real man of God may the Lord be with you Bishop msukuma

  • @jacksonmkuye7739
    @jacksonmkuye7739 3 ปีที่แล้ว +2

    Hata tukiambiwa madhara ya chanjo ya mda mfupi wa kat na mda mref hatuchanjwi ng'ooo kw kuwa tunayo chanjo IMARA SANA

  • @seifkassim5872
    @seifkassim5872 3 ปีที่แล้ว +6

    Yani asaivi mbaka nimejiwekea bateti ya kununua kifulushi kikubwa kila j.pili kwasababu ya ngwajima.yani mafundisho yake nimeyaelewa ile mbaya akuna kama ngwajima jamani huo ndo ukweli anaebisha amejaa chuki

    • @Da_Gee
      @Da_Gee 3 ปีที่แล้ว +1

      Safiiii sana.

  • @carenjustin
    @carenjustin ปีที่แล้ว +1

    Mungu anavyombo vyake na kila chombo kinabeba sehemu yake chombo hiki kinafaa kubeba makontena yote yaliyoshindikana , wewe hapo bungeni ni mpango kamili wa mungu,

  • @Zamb90
    @Zamb90 3 ปีที่แล้ว +3

    My next president

  • @aminasittusaid3830
    @aminasittusaid3830 3 ปีที่แล้ว +4

    KUNA WATU HAWASHUKAGI AISEEE👌👍🏼💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @anettekandole8335
    @anettekandole8335 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen Bishop

  • @catherine...9196
    @catherine...9196 3 ปีที่แล้ว

    Amina. Yote yawezekana katika bwana🙌🏾

  • @rosemeryjohn8791
    @rosemeryjohn8791 2 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu asifiwe mm nahitaji kitabu cha maombi ya kushindana

  • @eliassingongo205
    @eliassingongo205 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu alipingwa akiwa kwenye njia sahihi kwahio mm sishangai na hii governement ya tz

  • @denismwalukunga8686
    @denismwalukunga8686 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi lazima tusimamie tunacho kiamini tuko pamoja mpakwa mafuta wa Jehovah@bishopgwajima🙏🙏💪💪

  • @paulinepius3614
    @paulinepius3614 2 ปีที่แล้ว

    Yesu nimekuona dhabiti...ahadi zako kweli

  • @kasallemgogo6143
    @kasallemgogo6143 3 ปีที่แล้ว +16

    wabunge wemejaza mabandoo leoooo wanangalia wanavokaaangwa😁😁😁😁

    • @marumbamgeni4796
      @marumbamgeni4796 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaan kama nawaona vile

    • @jacksonsenghana6935
      @jacksonsenghana6935 3 ปีที่แล้ว

      Mungu ajuongoze tu

    • @kasallemgogo6143
      @kasallemgogo6143 3 ปีที่แล้ว

      @@marumbamgeni4796 kaziwanayoo

    • @doricejoel6185
      @doricejoel6185 3 ปีที่แล้ว +4

      Tumejengwa kwenye mwamba imara,,watakuelewa tu wewe Songa mbele,,ASKOFU MUNGU WETU NIMWAMINIFU.Amen

    • @mirriamkivungo3773
      @mirriamkivungo3773 3 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁

  • @sagumosospeter9963
    @sagumosospeter9963 3 ปีที่แล้ว

    Tupo nae kimafundisho bila kujal dini zetu. Hakika ukimwamin Mungu ndani yako kuna ushindi

  • @clementkhan7674
    @clementkhan7674 3 ปีที่แล้ว +3

    Nilikuwa sijapata kukusikiliza vzr. Sasa ninakuelewa.

  • @evankonde3140
    @evankonde3140 3 ปีที่แล้ว +11

    Walio upande wako ni wengi kuliko walio kinyume chako

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani ngwajima sku hizi ww ndo unae kura mb zangu yani kra nikikuona nakua najihisi kuiona pepo barikiwa saana mtumishi 🙏🙏🙏 ngwajiboy oyeeeeee raisi wa 2025

  • @keteally7581
    @keteally7581 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks a lot servant of Jesus were together with u.

  • @alphonceelias2551
    @alphonceelias2551 3 ปีที่แล้ว +3

    Achanjwi mtu hapa,hao wote waloleta chanjo zao,wanaoipigia kampeni ,washindwe na kulegea kwa jina la Yesu,napitisha Moto kwa jina la Yesu.