GWAJIMA | "MIMI NIKIONGEA JAMBO NAWEZA KUBADILI UPEPO SASA HIVI" MOTO UMEWAKA SASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2023

ความคิดเห็น • 150

  • @user-gc8vb3gv8c
    @user-gc8vb3gv8c 10 วันที่ผ่านมา

    Ubarrikiwe mtumishi wa Mungu, huna tofauti na nabii Musa

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 6 หลายเดือนก่อน +1

    Gwajiboy Man of God

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ujumbe mzuri sana, jua cha kusema,unasema na nani? Na wakati gani wa kusema? Mahala pa kusema na usemaje,
    na unasema kwa kipi?
    Elimu kubwa sana hii. Asante sana mtumishi.

  • @AdamsonKyando-ns8jx
    @AdamsonKyando-ns8jx 9 หลายเดือนก่อน +2

    !!!!!!!!!Gwajima nampenda sana kwasabatu moja mhimu sana Haoni haya kulitaja jina LA YESU . Mambo ya udongo na mafuta sijawahi ona anavipigia debe na hii ndo inamfanya kuwa juu sana, wengi wanataka kulipoteza jina laYesu tulilo pewa kuokolewa kwalo na kuvitukuza vitu ,jambo ambambalo ni baya sana sana

  • @angenyalusischmidt2321
    @angenyalusischmidt2321 9 หลายเดือนก่อน +5

    HUYU NI MWANA FILOSOFI.. AMEONGEA KWA FUMBO KUBWA.. TULIOSOMA CUBA TUMEKUELEWA... ANAUMIA ILA HAJUI AFANYAJE.
    ."AKILI KUMKICHWA"" WEWE MSILIZAJI

  • @user-yd8sp1qj3w
    @user-yd8sp1qj3w 9 หลายเดือนก่อน +3

    You are teaching good,Gwajima.

  • @GraphixDesgner
    @GraphixDesgner 17 วันที่ผ่านมา

    Amen endelea ,nimekuelewa baba

  • @ferdinandntembagara2949
    @ferdinandntembagara2949 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kwakwel namuelwaga sana Dr. Gwajima

  • @ebiudmbugi2515
    @ebiudmbugi2515 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen good preaching

  • @user-xe3fo1bh5s
    @user-xe3fo1bh5s 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen man of God

  • @user-cm3fd2kx4g
    @user-cm3fd2kx4g 8 หลายเดือนก่อน +1

    NAMI nazidi kumjua mungu

  • @user-yd8sp1qj3w
    @user-yd8sp1qj3w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amazing,

  • @imcctv9478
    @imcctv9478 9 หลายเดือนก่อน +2

    Powerful words

  • @Oswardkadron
    @Oswardkadron 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongela mkuu

  • @georgemanyanda3022
    @georgemanyanda3022 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen sanaa

  • @MalaikaFurniture-qh9vd
    @MalaikaFurniture-qh9vd 9 หลายเดือนก่อน +2

    Baba mwana wa mungu jasusi LA mbinguni 💪💪💪💪💪

  • @rosekiwia4944
    @rosekiwia4944 8 หลายเดือนก่อน

    I always benefit from his teachings , wasiomuelewa ni vilaza

  • @user-iy8mq9ii8t
    @user-iy8mq9ii8t 9 หลายเดือนก่อน +3

    Simama na kweli ya Mungu

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa sana mtumishi wa Mungu

  • @kuryatvfilm1161
    @kuryatvfilm1161 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mbarikiwa ooooeeeee

  • @user-eg2wk4xx3h
    @user-eg2wk4xx3h 9 หลายเดือนก่อน +2

    Gwaji I oyeeee

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen.

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ni siku za mwisho Mchungaji yeyote asiyekemea dhambi, kuambia watu ukweli kwamba kuzimu iko wazipobadili njia zao,waaje mapambo na nguo sizizo na heshima wavae km wana wa Mungu, hivo Roho wa Mungu hayumo ndani yake, Mbarikiwa anakataliwa na kuchukiwa na waabudu shetani kwa sababu anahubiri kweli,na kukemea maovu bila hofu yoyote ila ni Mungu mwenyewe atamtetea na atamfungua kutoka jela pekee yake,kwa wakati wake,na atatoka akiwa chombo cha moto sana, ndiyo atazidi kukemea na kukemea usiku na mchana bila kusinzia

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni

  • @naahbby-fk9vo
    @naahbby-fk9vo 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 9 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi kabisa mtumishi wa mungu,hii awamu ya sita mafisadi

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 9 หลายเดือนก่อน

    asante😢😢uelewa

  • @kuryatvfilm1161
    @kuryatvfilm1161 9 หลายเดือนก่อน

    Wala neno la Mungu halihusiani na elimu

  • @kuryatvfilm1161
    @kuryatvfilm1161 9 หลายเดือนก่อน

    Nazidi kumfahamu Mungu

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 9 หลายเดือนก่อน

    5:10 5:12 5:13 5:13 5:13

  • @user-du2gt8ff1r
    @user-du2gt8ff1r 9 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU Akubariki

  • @RaimundoZacariasJonas-jq1bg
    @RaimundoZacariasJonas-jq1bg 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mwana wa Mungu

  • @rebeccamsami4580
    @rebeccamsami4580 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa binadamu tuna mamlaka makubwa ktk ndimi zetu

  • @sethkivuyo3342
    @sethkivuyo3342 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ni Fundi wa kugezuza Maneno vile Upo kwenye sistim

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน +1

      Haiandikwi sistim ni SYSTEM

  • @kuryatvfilm1161
    @kuryatvfilm1161 9 หลายเดือนก่อน

    Si kweli Mungu ni Yule Yule na Mungu kama muda haujafika hapawezekani lazima uweke wazi Daniel tu alipozuiliwa kuomba alifungua madilisha hakuogopa. Kwa Mungu hakuna kuangalia upepo unaangalia Mungu anasema nini wewe hapo ulisha chemka mbarikiwa yupo sahihi maadamu kasimama na mungu

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hii mashine

  • @mage1799
    @mage1799 9 หลายเดือนก่อน

    hapa napo mmmmh tuyaache km yalivyo lkn 0

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 9 หลายเดือนก่อน

    Gwajima ni yule yule sukuma geng na anaikosoa serikali kwa elimu kubwa sio kuropoka ropoka

  • @MalaikaFurniture-qh9vd
    @MalaikaFurniture-qh9vd 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kama baba siku zote nakuelewa zyd ya jana

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona serikari inmates are watu na huwaonyi

  • @user-xe3fo1bh5s
    @user-xe3fo1bh5s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yes son of God

  • @estherwairimu8760
    @estherwairimu8760 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu aki elimu nahekima yadunia imewachanganya WENGI aki roho wamungu lazima itanena

  • @apostlejoshuadaniel2105
    @apostlejoshuadaniel2105 9 หลายเดือนก่อน

    Huduma ya mitume na manabii,ni zaidi ya kuona it is more than that

  • @user-yb3lu8dx3z
    @user-yb3lu8dx3z 9 หลายเดือนก่อน +1

    nikwamba sikuya samiana tulia hitafikatu sio hivyo mtoeni mtumishi wamungu gerezani mtabata tabusana sikuyenu

  • @laurianogerold5129
    @laurianogerold5129 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sijaona alipo ongelea hili au sijamuelewa

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza tena kuna mahali kaongea kwa mafumbo sana

  • @Peterkasanga-fp6hd
    @Peterkasanga-fp6hd 9 หลายเดือนก่อน

    Je, tuwe na elimu ngani ili tuweze kuhubili?

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Wewe ushinde uovu nenda kawafundishe watu kuacha uovu

  • @MalaikaFurniture-qh9vd
    @MalaikaFurniture-qh9vd 9 หลายเดือนก่อน

    Baba kama baba jasusi LA mbinguni og

  • @PK_MEDIA_TZ
    @PK_MEDIA_TZ 9 หลายเดือนก่อน

    Nukweli

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 9 หลายเดือนก่อน

    Galatia 3:3

  • @user-uu6zw2ev3s
    @user-uu6zw2ev3s 9 หลายเดือนก่อน

    Safi xana mutumish wa bwana

  • @user-yb3lu8dx3z
    @user-yb3lu8dx3z 9 หลายเดือนก่อน +1

    baiden wanyime ccm watanzania msada

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu wa kweli anamsaidia MGONJWA siyo anasubiri mtu anakufa ndo anajitolea SANDA YA KUZIKIA UJUWE HUENDA YEYE NDO KATOA KAFARA😂😂😂😂😂 MBONA HUKUJITOLEA DAWA ILI MGONJWA APONE ULISEMA HUNA HELA YA DAWA SASA MGONJWA KAFA HELA YA SANDA UMEITOA WAPI? 🤔🤔🤔 SIYO UNAFIKI HUU?

    • @elimunimwangatv7029
      @elimunimwangatv7029 9 หลายเดือนก่อน

      Nimekuelewa vizuri sana rafiki

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Wewe unaakili chache kichwani nenda kalale uje usikilize tena

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Wore nyie akili chache

    • @pastorzakariatv1786
      @pastorzakariatv1786 9 หลายเดือนก่อน

      @@kikosikaziupdate hivi unajua hata chizi hua anajiona anaakili wakati MWENYE AKILI ANAMSHANGAA KICHAA JINSI ANAVYOKULA UCHAFU, VIPOLO VILIVYOOZA ETI KICHAA NAYE ANAMSHANGAA MWENYE AKILI JINSI ANAVYO PITA BILA KUVIONA VIPOLO VILE NA KUMUITA KIPOFU ETI ANGALIA HUYU NAE HAIONI VIPOLO VYOTE HIVI WE KIJANA WEWE NI SHABIKI WA KRISTO SIO MSHIRIKA WA KRISTO WASHIRIKA WA KRISTO HALIS HAWAKO KAMA WEWE WAO WAMEVAA CHAPA ZA KRISTO WANA NIDHAMU,HEKIMA,BUSARA,UPENDO,TENA WANAKIASI, WANAMIPAKA. SIYO KAMA WEWE HAKUNA KIUMBE KISICHO KUWA NA MIPAKA HATA BAHARI IMEWEKEWA MIPAKA UMEPATA BAHATI MBAYA YA KUPATA MALEZI MABOVU YALIYO KINYUME NA INJILI YA KRISTO BADALA YA KUWA MNYENYEKEVU KAMA KRISTO UMEKUWA MKAIDI KAMA SHETANI KINYWA CHAKO KIMEONDOLEWA RIJAMU KINABWATUKA LOLOTE WE UTAJIONA KAMA NDO UMEBARIKIWA KUMBE UNATEMBEA KWENYE LAANA ZUMARIDI ALIINUA KINYWA AKATUKANA YESU NA BIBLIA AKABWATUKA BWATUKA AKAWEKWA NDANI AKAKAA RUMANDE MWAKA MZIMA ALIVYOTOKA AKASEMA AMEFUNGWA KWAAJILI YA HAKI HAKI GANI KWA MACHOKO HAWA NYIE INJILI SIO MISISIMKO TU NA USAHIHI BIBLIA INASEMA WATU HAWA WANAJUHUDI NYINGI KATKA MUNGU LAKINI SI KATIKA MAARIFA na ukikosa MAARIFA unaangamia, nikwaambie tu we KIJANA iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu lakini mwisho wa njia hiyo ni MAUTI, TUMIENI AKILI KAMA IPASAVYO KWENYE HUKUMU YA MUNGU HATAANGALIA USO WA MTU NA KILA NENO ALINENALO MTU ATALITOLEA HESABU YAKE SIKU YA MWISHO USIWE UNABWTUKA ILIMLADI KUNA KUTOA HESABU YA MANENO PIA.

  • @AntonyKawage
    @AntonyKawage 9 หลายเดือนก่อน +1

    Duh,Injili imekua ngumu sana,tunaodhani watakua wazi kukemea uovu unaoonekana wazi ,wanatumia history.Mungu inua watu watakao tetea wanyonge

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 9 หลายเดือนก่อน +1

      Umeona eee

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน +1

      Nenda katete wewe kama unamuona huyu atetei nani anakukataza

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 9 หลายเดือนก่อน

      nani kakuzuia

    • @KokoloLambinguni
      @KokoloLambinguni 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona unajpendelea sana siuache na wengine wachangie mada au auamini ujumbe wako kaa kimya

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki ni kichwa kimeenda shule mwanasiorojia huyu mnyakyusa wawatu anapinga erimu anatumia yakwake ambayo akili yake inasema hili lipo hivi hakuna wakumbadilisha

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 9 หลายเดือนก่อน

    NAHUBILI YAKO HUWAGA SIYAELEWI. LAKINI LEO UNAMTAJA YESU.

  • @lameckwilliam8311
    @lameckwilliam8311 9 หลายเดือนก่อน

    Binafsi nakukubali

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

    Gwajima hawezi kuliongelea la mbalikiwa jambo la mbalikiwa kwann ni nyingi kama mtu wa rohoni ni ngumu kusema tumuache yesu ametee mbalikiwa na mm namshauri gwajima asiingilie amuombee tu

    • @elibarikipeter
      @elibarikipeter 9 หลายเดือนก่อน

      Kapime akili

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

      @@elibarikipeter twende wote mnatamani watumishi wa Mungu wavurugane mmefeli yesu atasimama

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Nyie ndio mashetani mmelaaniwa biblia inasema wateteeni wanao onewa wewe unaenda kuwaombea.
      Biblia inasema mtu asiongeze wala kupunguza neno katika neno la Mungu wewe ilo la kuombea umelitoa wapi?

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mwehu tena chizi kabisa

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

      @@kikosikaziupdate mwehu wa wapi sitaki damu za watu.mkononi mwangu kila mchungaji Tanzania angehubili hivo kama kikosi kazi.injili isingekuwa.inaokoa.watu

  • @nelsonjasson7967m
    @nelsonjasson7967m 9 หลายเดือนก่อน

    Poa mwamba piga gombo

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 9 หลายเดือนก่อน +1

    JASUSI LA MBINGUNI.

  • @user-bz2nd3bm1w
    @user-bz2nd3bm1w 9 หลายเดือนก่อน

    Gwajima Bado haaminiki bendela fuata upepo

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Wewe akili ndogo kichwani

    • @thomasmallya2972
      @thomasmallya2972 9 หลายเดือนก่อน

      Usipo tuliza akili uuta mwelewa g

    • @GraphixDesgner
      @GraphixDesgner 17 วันที่ผ่านมา

      Ingia ndani itamwejewa gwajima ukibaki nie utabaki kutokumwelewa ni jasusi la mungu

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dr Gwajima ni kweli wananchi wans nguvu ya umma. Katiba hawezi badilisha rais bali nguvu ya umma. Bandari atalae badilisha ni wananchi waanze wenyewe kuuliza na kufanya maandamano ya amani.

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 9 หลายเดือนก่อน

      Huna hata kampuni Wala box unaloagiza nje unahangaika na bandari wanao pigania bandari wanamaslahi we we unanini huko tafakari usijiunge kwenye msafarawa mamba

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน +1

      Nyie ndio minyumbu yenyewe ya Tanzania

    • @essiesammy6505
      @essiesammy6505 9 หลายเดือนก่อน

      @@hamisijuma8124 kweli shule ni muhimu unashindwa hata kuelewa kitu kidg tu hichooo,asilimiaa 90%ya vitu tunavotumiaa vinaagizwa na kuletwa nchin kwa kupitiaa bandariii kwahiyo kila mtu bandari inamgusa moja kwa mojaa hiyo simu tu unayotumiaa imepita bandariniii
      fungua akili hiyo

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 9 หลายเดือนก่อน

      @@kikosikaziupdate we ambaye ni mjanja umefanya Nini umekalia kusifia mijitu iyokomba sadaka za walalahoi mbwa wewe Akuoe sasa

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna kitu hapo

  • @paull8659
    @paull8659 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu si alifanya unyang'anyi wa kura? pumbafff

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna jambo kalizungumzia apo la maana sanaaa

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 9 หลายเดือนก่อน +2

    Gwajima huaga namkubali lkn tangu ashinde Kwa kura zawizi simkubali tena

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน +1

      Uliona anavyo iba kwanini usimkataze asiibe na wewe ulishiriki wizi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 9 หลายเดือนก่อน

      Siwalipitishana Kwa nguvu na lile liuaji

    • @user-lq7ik4jn3f
      @user-lq7ik4jn3f 9 หลายเดือนก่อน

      ​pole unajuaj au mlishilkiana kuiba

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 9 หลายเดือนก่อน

      @@user-lq7ik4jn3f kwani ccm wanashindaga kihalali

    • @elibarikipeter
      @elibarikipeter 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kapime akili

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ubunge wa mchongo unafundisha michongo ...

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni chawa bila shaka umetumwa

    • @tarithalusola4458
      @tarithalusola4458 8 วันที่ผ่านมา

      Haswaa huyu anayeropoka ovyo juu ya masihi wa bwana NI rusifa

  • @ezekielslyver-sk4yx
    @ezekielslyver-sk4yx 8 หลายเดือนก่อน

    Unajichanganya padogo sana na unajiporomosha bila kujuwa,leo unamuongelea Mwamposa sadaka ya kujimaliza,kwa hiyo unataka wawepo mapasitor tu ila mitume hapana na manabii wasiwepo au unamanisha Nini,nilishajifunza mengi kwako ila siku hizi umekosa uturivu kaka yangu jiperereze

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza iyo maiki inafanana nafulana yako

  • @HijasSaidy-ke2tm
    @HijasSaidy-ke2tm 9 หลายเดือนก่อน +1

    ASKOFU ALIEPITA NA KURA ZA MWENDAZAKE

    • @user-lq7ik4jn3f
      @user-lq7ik4jn3f 9 หลายเดือนก่อน

      Kwan kunashda tatzo wapinzan uelewa mdogo mtaishia kusema hvohvo

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hapa ndipo unagundua kuwa Gwajima ni mchungaji aliesoma shule, tofauti na mbarikiwa na wengine, unatakiwa kukemea maovu ya serikali lakini kwa hekima na pia uangalie unaongea na Nani na wapi unaongea😂😂

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hayo niyako

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna hekima kwenye kubagua watu! Wawepo wa kukemewa wazi wazi na wengine wakemewe kwa kupambapamba!

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kuongea kwa mafumbo namna hii hakusaidii sana, majoka wana wa majoka wanakuwa comfortable tu, wanajifariji kwamba hawakutajwa wanajizima data wanaendelea na maisha na mipango yao miovu kama kawaida. Elisha hakushusha bei ya vyakula kwa mafumbo, alishusha waziwazi bila uoga kwa mamlaka ya Mungu iliyokuwa ndani yake na ikawa hivyo. Kwahiyo hekima mnayosema ya lipi la kusema, wapi pa kusema, lini pa kusema, namna ya kusema tutachelewa sana, huo ni uoga tu😂

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 9 หลายเดือนก่อน

      Dini bila elimu dunia ni uchawi tu na uropokaji kwasababu Kuna mda inatakiwa uwe na elimu kichwani ndo utoe mahubiri yenye hekima

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 9 หลายเดือนก่อน

      Du etji NA nyinyi nimungu duniani!!! Sasa mbona zumaridi alijiita Mungu wakasema anakufuru

  • @sethkivuyo3342
    @sethkivuyo3342 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa.. Kumbe Ukiwa mbunge wa ccm inakua sio muda sahihi wa kusema na kukemea maovu husani kusemea bandari yetu.. nimeamini maslai yako ni muimu kuliko kusimamia kweli..

    • @danielmulesi4025
      @danielmulesi4025 9 หลายเดือนก่อน

      Una tatizo la tafsiri. Na usitake kupitishia agenda zako hapa. Hata kama kuna kukosoa, hekima ni kukosoa kwa wakati sahihi na namna sahihi. Aliyekuambia kuwa Askofu huyu hajatoa maoni yake chamani ni nani???

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      Wewe umeisimamia wapi bandari mbona hatujakuona

    • @thomasmallya2972
      @thomasmallya2972 9 หลายเดือนก่อน

      Tuache unafk mnao lilia bandari mbona amlilii Almas dhaabu au mwiingereza na mmarekani ana haki ya kuiba ila mwaarabu aruusiwi

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate  9 หลายเดือนก่อน

      @@thomasmallya2972 wewe shetani so unataka waibe kila sehemu, sisi tunapigania mali tunayo iona inapotea kwa macho mbele yetu

    • @thomasmallya2972
      @thomasmallya2972 9 หลายเดือนก่อน

      @@kikosikaziupdate shetani ua anamjua shetani mwenzie niambie shetan mwenzangu

  • @qurantajwid9749
    @qurantajwid9749 9 หลายเดือนก่อน

    Muongo wewe

  • @user-iy8mq9ii8t
    @user-iy8mq9ii8t 9 หลายเดือนก่อน +1

    Simama na kweli ya Mungu

    • @muhammedsaid3659
      @muhammedsaid3659 9 หลายเดือนก่อน

      Kla ktu kiko waz msi ruwe birue mamb
      o,huku mchungaji na huku mwana Siasa,ww ni mnafki unanyuso mbili kwa mujibu ya maandiko ya Biblia.
      Yesu amesema cha Kaisari mpe Kaisari na cha Mungu mpe Mungu kwa
      Mujubu wa Biblia hv vtu viwil huwezi kuvchanganya tatizo wachungaji wengi
      Huizia kwenye shetan(mali) na hyo ndio waliyoikumbatia, wanamajumba na mahotel na magari ya kifahari wao ni matajiri kuliko waumini wao yaani ata mlo wao wa sku unawapiga chenga.
      Yesu peke yake ndie mchungaji mwema kwa wana wa Israel,Yeye kipando chake ni mwana Punda na kwa wakat ule kipando cha kifahari ni Magari ya Faras lkn hakupandapo hata km alikua anauwezo nao.
      Pia Bwana Yesu mwafunz moja alitaka kuwa pamoja nae alimjibu akamwambia Uza kla klicho chako na unifuate.
      Na imeandikwa ni Rahis kwa Ngamia kupita ktk Tundu la Shindano
      Kuliko Tajiri kuingia ktk Ufalme wa Mbinguni.
      Sasa kwa Utajri waliokua nao Wachu
      ngaji ni kweli watakua pamoja na Yesu
      huko Mbinguni?ikiwa Mchungaji haingii
      Mbingun ww Kondoo inakuaje.
      Njo upate Nusra kwa Mwenyez Mungu Mtakatifu,kuingia bure wala hulazmishw kutoa Sadaka km huna
      huko ni kumcha M.Mungu tu.
      Uislam ndio Dini ya Unyoofu na Unyenyekevu km Yesu alivyosema na Uzima wa milele ndio huu Wakujue Wewe Mungu waPekee na Wakweli na
      Yesu Uliyemtuma.Skiza Israel Bwana Mungu Wetu ni Mungu Mmoja,Mpende Bwana Mungu Wako kwa Nguvu na Moyo wote na Mpende Jiran yako kama Nafsi yako hakuna andiko Kuu kuliko hili basi Lifuate