LEMA AWACHANA POLISI JUKWAANI, ATAJA MISHAHARA YAO - "MLIKUWA MNANIKAMATA KAMA MAMBA, LEO MMECHOKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • LEMA AWACHANA POLISI JUKWAANI, ATAJA MISHAHARA YAO - "MLIKUWA MNANIKAMATA KAMA MAMBA, LEO MMECHOKA"
    CHAMA cha Upinzani cha Chadema kimeendelea na mkutano wake wa kisiasa Mererani Mkoani Arusha amabapo viongozi mbalimbali wa chama wamezugumaza akiwemo Lema, Heche na Msigwa....
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 51

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +2

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuerewa sanaaa🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 ปีที่แล้ว +1

    ASIYE MUELEWA NA KUMKUBALI MH. GOD BLESS LEMA BASI ANATATIZO LA AKILI

    • @jacobsamwel
      @jacobsamwel ปีที่แล้ว

      Bro jamaa anayo ongea sio tena siasa ni udharirishaji

  • @Veni584
    @Veni584 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ndio siasa

  • @yohanamashauri-vk7cz
    @yohanamashauri-vk7cz ปีที่แล้ว +2

    agatha maganda

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 ปีที่แล้ว

    Ni kiongozi gani wa aina hii?

  • @jitulakaleboymastr6477
    @jitulakaleboymastr6477 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana lema ninoma sana

  • @adamyassini8306
    @adamyassini8306 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli unauma bro keep do it.

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 ปีที่แล้ว

    Jamaa jasiri sana aseh

  • @sophiamvungi1425
    @sophiamvungi1425 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndiò shukran ya kufutiwa Kesi hakika unachotafuta utakipata

    • @jacobsamwel
      @jacobsamwel ปีที่แล้ว

      Ndomana magu aliwakimbiza huyu mbwa

    • @jofreymsigwa85
      @jofreymsigwa85 ปีที่แล้ว

      Mwanakulitafuta mwanakulipata

  • @upendomapile1234
    @upendomapile1234 ปีที่แล้ว +4

    Unaponda mishahara ya watu huku nao wapo kaaa

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania ni kati ya nchi maskini duniani Saba by ni nyingi zikiwemo ubinafsi ufisadi wizi Wa Mali za uma uhujumu uchumi kukosa uzalendo na uchungu Wa nchi zetu. Kwenye nchi maskini mambo ya kimaskini hayakwepeki.kua nchi tajiri si lele mama na porojo

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 ปีที่แล้ว +4

    Chadema hawana jipya zaidi ya kupiga majungu tuuu

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว

    Usiwaponde hao wanaheshimika usiwaongeree mishahala yao mbere ya watu unawaabisha

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว

    Kibaraka

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว

    Je ukiwa Rais utawapa kazi gani dereva bodaboda je ulipokua mbunge miaka 10 bodaboda walikua hawapo huhawai watukana

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 ปีที่แล้ว +5

    Wewe unatafuta ugomvi sasa, halafu uje kulalamika wanakuonea! Acha kudhalilisha watu wewe na kazi zao!!! We ukiwa raisi utafanya nini?

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 ปีที่แล้ว

    Pumbavu sana hili

  • @mollelmelita8106
    @mollelmelita8106 ปีที่แล้ว +3

    Hapo ndio chadema mnakosea hamna sera hata kidogo

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว +2

      Tupe sera yako sio kupinga usichokijua

    • @obeidmpombwe9951
      @obeidmpombwe9951 ปีที่แล้ว +1

      Lema umechana ukweli huo

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว +1

      @@obeidmpombwe9951 niwakati wa kuambiana ukweli mchungu amna kumumunya

    • @adamfundikila
      @adamfundikila ปีที่แล้ว +2

      ​@@kisangageorgethomasi2830 lema anaongea ukweli juzi juzi tu police wanawake walikuwa wanalalamika masilahi yao

    • @kinondoni4668
      @kinondoni4668 ปีที่แล้ว

      @@kisangageorgethomasi2830 lema hamumunyi ukweli

  • @aprow2059
    @aprow2059 ปีที่แล้ว

    Wape magari waendeshe acha uhuni wa kisiasa

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 ปีที่แล้ว

    Sasa lema hii ndo siasa unayoitaka jmn

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 ปีที่แล้ว +1

    Huyu na Tundu Lissu hawana jipya, majungu tuu hakuna solutions za kuwasaidia hao watu unaowadhiaki!!!

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว

      Doze imekuingia nini?

    • @mamaloveness4733
      @mamaloveness4733 ปีที่แล้ว

      Wala sio mwanasiasa ni mchochezi wa ugomvi.kawalete watoto wako watangulie kudai haki barabarani.sio wananchi waarusha tena ya soweto imetosha mnafki mkubwa sana lema

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 ปีที่แล้ว

    Porojo jingi sana, nguvu nyingi, kufikiri na kutenda ni kudogo sana, hii inchi mnavyotaka iwe haiwi hata siku moja, ni ndoto ambazo hazitatimia tukiwa bado tuko hai.

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 ปีที่แล้ว

    Kusomesha mtoto nnje ni jukumu lako wewe mwenyewe

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว

    Mwenye macho haambiwi tizama na mwenye masikio na Asikie, mwenye ujinga na akae nao, Maneno ya kweli haya kuyafata ni uwamuzi wako.😅😅

  • @fadhilahassan2455
    @fadhilahassan2455 ปีที่แล้ว

    stop insulting people like this , kutaja mishahara ya watu tena askari yupo kulinda amani hapo sio vzr , haikubaliki
    kuwa na busara hata kwa mbali basi.!!!

    • @jacobsamwel
      @jacobsamwel ปีที่แล้ว

      Sure kabis

    • @frankvianey2438
      @frankvianey2438 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa ni mpumbavu sana,huwa hata sielew Arusha walikuwa wanampa vip kura huyu jamaa

  • @suleimanjuma1872
    @suleimanjuma1872 ปีที่แล้ว +1

    Alafu unawatukana bodaboda wanaoingiza mkwanja mrefu

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 ปีที่แล้ว

      Tusi gani katukana?

    • @omarymnuru8746
      @omarymnuru8746 ปีที่แล้ว

      Kuingiza mkwanja mrefu sio excuse ya kuona bodaboda ni kazi salama Kwa Afya na Usalama

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Anazalilisha Jeshi Sasa Asikari Aishi Kama Malaika Asikari Ni Kujitoa Nasio Unavotaka Wewe Hata Akilala Kwenye Poli Ndio Kamanda Wewe Unasaka Sifa Ambazo Azipo Kibinadamu Wako Na Wake Familia Zao Wacha Zalau Zako

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว +1

      Wewe Acha hizo ,,nenda Dubai,au Qatari kaangalie polisi wanavyo Kula bata

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว

      @@salumjumaruhaga2513 Tatizo exposure watu hatujatembea ndo maana ni vigumu kuelewa

    • @awadhrajabu1403
      @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

      @@salumjumaruhaga2513 Apo Ndipo Tunapokosea Kupenda Kutolea Mifano Nchi Za Wengine Wakati Hata Awa Ni Sehemu Ya Serikali Pia Pesa Walizotumia Bungeni Nipesa Zako Pia Wewe Apo Ushangai Wakileta Utata Wanakimbia Tena Wakiwa Na Watoto Wao Lakini Kwenye Kuleta Mfalakano Wanaongozwa Watu Wasiojua Kama Nao Awa Ni Sehemu Ya Serikali Pia Wanapigwa Mabomu Asubuhi Utasikia Kiongozi Fulani Yuko Kenya Au Swideni Wanajenga Taifa Kwa Maneno Lakini Vitendo Akuna Umepata Ubunge Jenga Jimbo Lako Liwe Lamfano Akuna Umekua Mbunge Angeanzisha Kampuni Ya Tax Iwe Ya Mfano Akuna Isipokuwa Unaona Auko Bungeni Sasa Unalazimisha Chuki Kuchukiwa Walio Bungeni Ukiona Mataifa Ya Mbele Yako Juu Ujue Wameweka Mikakati Sahihi Na Awakuluusu Mataifa Mengine Yaingilie Mikakati Yao Walifanikiwa Kwasababu Waliungana Na Vibalaka Walipewa Maonyo Mfano Hata Tz Alianza Ayati JPM Alijalibu Kuanzisha Miladi Mikubwa Wengi Walipiga Kelele Wakisaidiwa Na Vibalaka Wao Lakini Mzee Alijua Tanzania Kwanza Kelele Badae Mladi Wa Umeme Unajengwa Mkubwa Wa Kimkakati Unazani Akuzongwa Alizongwa Sana Lakini Alijua Bila Kuziba Masikio Atoweza Fanikiwa Uwezi Kuileta Dubai Tanzania Bila Mikakati Na Mikakati Sio Wewe Mpaka Uongoze Taifa Isipokuwa Ukiona Upo Sehemu Ya Matumizi Ya Pesa Za Serikali Basi Wewe Unatakiwa Uwe Mbele Kupeleka Mikakati Bungeni Nasio Usubili Kampeni Uhame Chama Ulete Fujo Ukidanganya Watu Wewe Ni Bola Akuna Ivo Mwingine Familia Yake Anaificha Aogopi Kusema Chochote Anajua Kikinuka Atakimbia Yeye2

    • @awadhrajabu1403
      @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

      @@salumjumaruhaga2513 Apo Ndipo Tunapokosea Kupenda Kutolea Mifano Nchi Za Wengine Wakati Hata Awa Ni Sehemu Ya Serikali Pia Pesa Walizotumia Bungeni Nipesa Zako Pia Wewe Apo Ushangai Wakileta Utata Wanakimbia Tena Wakiwa Na Watoto Wao Lakini Kwenye Kuleta Mfalakano Wanaongozwa Watu Wasiojua Kama Nao Awa Ni Sehemu Ya Serikali Pia Wanapigwa Mabomu Asubuhi Utasikia Kiongozi Fulani Yuko Kenya Au Swideni Wanajenga Taifa Kwa Maneno Lakini Vitendo Akuna Umepata Ubunge Jenga Jimbo Lako Liwe Lamfano Akuna Umekua Mbunge Angeanzisha Kampuni Ya Tax Iwe Ya Mfano Akuna Isipokuwa Unaona Auko Bungeni Sasa Unalazimisha Chuki Kuchukiwa Walio Bungeni Ukiona Mataifa Ya Mbele Yako Juu Ujue Wameweka Mikakati Sahihi Na Awakuluusu Mataifa Mengine Yaingilie Mikakati Yao Walifanikiwa Kwasababu Waliungana Na Vibalaka Walipewa Maonyo Mfano Hata Tz Alianza Ayati JPM Alijalibu Kuanzisha Miladi Mikubwa Wengi Walipiga Kelele Wakisaidiwa Na Vibalaka Wao Lakini Mzee Alijua Tanzania Kwanza Kelele Badae Mladi Wa Umeme Unajengwa Mkubwa Wa Kimkakati Unazani Akuzongwa Alizongwa Sana Lakini Alijua Bila Kuziba Masikio Atoweza Fanikiwa Uwezi Kuileta Dubai Tanzania Bila Mikakati Na Mikakati Sio Wewe Mpaka Uongoze Taifa Isipokuwa Ukiona Upo Sehemu Ya Matumizi Ya Pesa Za Serikali Basi Wewe Unatakiwa Uwe Mbele Kupeleka Mikakati Bungeni Nasio Usubili Kampeni Uhame Chama Ulete Fujo Ukidanganya Watu Wewe Ni Bola Akuna Ivo Mwingine Familia Yake Anaificha Aogopi Kusema Chochote Anajua Kikinuka Atakimbia Yeye2