SOYENZI | SIMULIZI TAMU YENYE MAPENZI, MAISHA, CHUKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Soyenzi taratibu alilaza kichwa chake kwenye kifua cha mama yake ili kuangalia kama ni mzima au laa.
    Macho yalimtoka binti baada ya kukaa hapo juu ya kifua kwa dakika nzima bila ya kusikia chochote, kwa maana hiyo mama soyenzi hakuwa hai tena.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 109

  • @Ndayizigafildausi-j6t
    @Ndayizigafildausi-j6t หลายเดือนก่อน +10

    Jmn nime miss simulizi mpaka basi tu😘😘😘😘Lucas lumbasi on top💯

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu หลายเดือนก่อน +3

    Yunaendereyq kumusikiriza mupendwa Ĺukas🎉🎉🎉🎉🎉🎉lakini mupenzi tumarizie Edin basi unasamehe nisiwe nimeingiriya kaziyako naomba kama shabik wako🇧🇮💪🏽💪🏽💪🏽tupeyapiri dutowe uvivu shukran🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 หลายเดือนก่อน +6

    Habari zenu wapenzi wapendwa wa Lucas Lumbas ni matumaini yangu mmeamka Salama kabisa... Asante sana Lucas Lumbas Kwa simulizi nzuri ubarikiwe. Kama nawe ndiyo Kwanza unaangalia huku ukisoma comment tujuane Kwa like ili tuende sawa ✅✔️🇹🇿🇶🇦

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu หลายเดือนก่อน +1

      Kabsaaa 2ko pa 1 mbona LUCAS LUMBAS anajua kutufuraisha jamani ebu apewe 🥀🥀🥀

    • @qaltumsaid3095
      @qaltumsaid3095 หลายเดือนก่อน

      Sana tu abarikiwa hususani tuliyoko galf 😂😂tuna enjoy🇹🇿🇶🇦​@@rizmwMwriz-mf2cu

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 25 วันที่ผ่านมา

      Mi kusoma comment ndio kazi yangu 🤣🤣

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 หลายเดือนก่อน +7

    Niko ndaniiiii😂❤❤❤❤

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 หลายเดือนก่อน +4

    Nipo ndani ya soyenzi shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja หลายเดือนก่อน +7

    Watu wange mwacha soyenzi amuuwe huyo mjaa raana analia km mwema mnafik, ila wachawii hiyo siku ote wataishia🔥🔥

  • @user-pr1uy3sh3o
    @user-pr1uy3sh3o หลายเดือนก่อน +7

    Wow nice anco lucas ❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja หลายเดือนก่อน +8

    ❤❤❤ asante kaka lucas maua kwa familia 🌹🌹🪑🎧🙌

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i หลายเดือนก่อน +7

    Nko ndani ya soyenzi🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Rehemaa-uz8rj
    @Rehemaa-uz8rj หลายเดือนก่อน +4

    Story nzur hadi laha❤❤❤❤

  • @queencleaningservice
    @queencleaningservice หลายเดือนก่อน +5

    Soyenzi nzuri sana ,

  • @user-ie4bv1sy6t
    @user-ie4bv1sy6t หลายเดือนก่อน +6

    Mliowahi 🎉🎉🎉 Wacha me nikaye

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn หลายเดือนก่อน +7

    Sijachelewa sana 🎉🎉😂❤❤❤❤

  • @user-it5ej8eq6m
    @user-it5ej8eq6m หลายเดือนก่อน +10

    Kesho narud Qatar inshallah naomba dua zenu Jordan sijapata rafik

    • @هايلينل
      @هايلينل หลายเดือนก่อน

      Sis mashabiki ni marafiki wako, ninakuomba safe journey

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg หลายเดือนก่อน

      Journey mercies dear...mbona marafiki tumejaa hapa

  • @user-pr8gq5mo3w
    @user-pr8gq5mo3w หลายเดือนก่อน +8

    Haya kaka tuko pamoja🎉🎉🎉🎉🎉

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 หลายเดือนก่อน +6

    am missing Edna already 🤗🤗

  • @BimukubuwaMusa-hd9np
    @BimukubuwaMusa-hd9np หลายเดือนก่อน +4

    Simulizi Nzr Sana

  • @rahimaomarybabu1808
    @rahimaomarybabu1808 หลายเดือนก่อน +10

    Kweli kabisa kaka lucas unafanya sio vizuri kabisa

  • @Joycetatu
    @Joycetatu หลายเดือนก่อน +6

    Yaonyesha nikali hii😂❤

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l หลายเดือนก่อน +7

    Asante Lucas Bora utupoze machungu ya msiba wa brandina sijui tutaenda kuzika katika kisiwa Cha wafu, mashabiki tupeane taarifa jamani

    • @dadasalma2596
      @dadasalma2596 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 tunasafirisha

    • @user-jk8qn4zi5t
      @user-jk8qn4zi5t หลายเดือนก่อน

      😭😭watu tunauchungu na kufiwa na mama mkwe Yan Toka Jana ninahuzuni😅😅

    • @dadasalma2596
      @dadasalma2596 หลายเดือนก่อน

      @@user-jk8qn4zi5t pole sana jiandae tukazike

    • @MishiMshihiri
      @MishiMshihiri หลายเดือนก่อน

      Aki tena​@@user-jk8qn4zi5t

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 หลายเดือนก่อน +6

    Wow nice story🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 หลายเดือนก่อน +6

    Ayiiii tumeamia kwa waflme sasa ila dk jaman lukas🎉🎉

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne หลายเดือนก่อน +7

    Mamb ni moto hatupoi 😂😂

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa หลายเดือนก่อน +5

    Lucas misijapenda kbs usiku muzima sikulala kisa ulipo ishishia mama roma kufumuliwa kifuwa khaa yani unazani ni movie nimeona kila nikifumba macho tuu naona ilo tukio kiukweli hujatenda haki nibora ingeshiya kwenzi mkupumzisha brandine nasio tukio la kuwawa afu ukasema tukatanane sehem ifatayo mmmh misapenda

    • @MishiMshihiri
      @MishiMshihiri หลายเดือนก่อน

      Ww n kama mm hata nikiifikiria nakosa hata nguvu wallah😂

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 หลายเดือนก่อน +6

    Nmechelewa ila sio sanaaaa

  • @Eshaomar-ge2nf
    @Eshaomar-ge2nf หลายเดือนก่อน +8

    I like it 😊

  • @user-hz5bo3mn9t
    @user-hz5bo3mn9t หลายเดือนก่อน +11

    Waooo 🎉🎉🎉

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl หลายเดือนก่อน +6

    Woww🎉🎉🎉

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja หลายเดือนก่อน +9

    Dah bi chungu mjaa raana, miaka yote hyo bado unawivu namapenzi ya kaka😮

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 หลายเดือนก่อน +1

      ukichagua maisha ya ushetani toka mwanzo utaishi hayo,na hivyo kalaaniwa na babake ndiyo hivyo😅😅

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm หลายเดือนก่อน +11

    Enheee leo umetuletea nini huko kwa himaya ya Mfalme

  • @RedmiA3-g8w
    @RedmiA3-g8w หลายเดือนก่อน +7

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉 me cjapata like

  • @roothaa3843
    @roothaa3843 หลายเดือนก่อน +11

    Lakini kaka Lukasi si ulituhaidi adi Edna ikwixhe ndio ulete simulizi ingine

  • @Rehema-co4xi
    @Rehema-co4xi หลายเดือนก่อน +9

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi หลายเดือนก่อน +8

    Na hii naona wamejimbondoa embu nizikise

  • @EstherMlai
    @EstherMlai หลายเดือนก่อน +6

    😢😢 jmn Soyenzi ... Inakaa kusikitisha na tamu kumpoteza mama ni uchungu xn😢 ila tutege sikio tujue yaliyo jiri humu ndani

  • @user-fu6ew1jb6e
    @user-fu6ew1jb6e หลายเดือนก่อน +9

    Sas we chungu hunaa akili mamb ufnye ww laana zikufikie ww halaf uchukie wenzko mjinga sna ww

  • @user-jk8qn4zi5t
    @user-jk8qn4zi5t หลายเดือนก่อน +4

    🤣🤣shikaraa😅😅

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d หลายเดือนก่อน +7

    ❤❤❤

  • @user-fu6ew1jb6e
    @user-fu6ew1jb6e หลายเดือนก่อน +5

    Soyenzi unavita kubwa mbele yko man shangaz anakuwinda na kweny mapnz unavita na bizai pmoja na Atu kaz ipo kwel huna baya mtunz

  • @user-fu6ew1jb6e
    @user-fu6ew1jb6e หลายเดือนก่อน +13

    Lkn kaka lucas unatuonea edina unatucheleweshea lkn simuliz nyngne unaleta mapma cyo fear😢😢😢

    • @Fathum763
      @Fathum763 หลายเดือนก่อน +4

      Kwel ata mm nlkuwa ntka kusema ivyo lkn umntangulia😢 afnyi poa

    • @user-it5ej8eq6m
      @user-it5ej8eq6m หลายเดือนก่อน +2

      😊😊😊

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 หลายเดือนก่อน +1

      ᴷʷᵉˡⁱ ᵃᵏⁱ 😮😮

    • @maryaabimyk6360
      @maryaabimyk6360 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

    • @هايلينل
      @هايلينل หลายเดือนก่อน +1

      My dear friend inadepend, BT shukuru mungu simulizi iko kila siku kuliko kukosa ijapowa ni muda 2 lakini kila kitu kitakuwa sawa

  • @user-rr9np2yi9n
    @user-rr9np2yi9n หลายเดือนก่อน +5

    Part two tunaipata Lin mbona kimya jaman

  • @RedmiA3-g8w
    @RedmiA3-g8w หลายเดือนก่อน +6

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 หลายเดือนก่อน +9

    Wa Tisa (9) leo

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u หลายเดือนก่อน +3

    Daah masikini huyu bikichungu. sio mtumzuli jmn😢😢❤🇴🇲🇴🇲

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc หลายเดือนก่อน +6

    Jamani leo ni meamuwa kuwapa like kila mmoja na kumsikilza Soyenzi anayapi mapya ili akimaliza kunisimulia ili nijue lakusema

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂😂🎉

  • @هايلينل
    @هايلينل หลายเดือนก่อน +7

    Eee hii nayo may be ni kali kama pili pili, wacha tukaenjoy mosi moshi na maji baridi

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg หลายเดือนก่อน +23

    Nani hajapat like 👍 yangu...aseme

    • @Ladyzeal-y4m
      @Ladyzeal-y4m หลายเดือนก่อน +1

      Mimi😢

  • @MwanakomboMangwe
    @MwanakomboMangwe หลายเดือนก่อน +6

    Tuletee Naya kaka Lucas

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c หลายเดือนก่อน +6

    Mashaal asant 20❤❤🎉🎉🎉🎉😢😂

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Khadija-le2fq
    @Khadija-le2fq หลายเดือนก่อน +9

    Jamani Mimi mdau mpya

    • @user-fu6ew1jb6e
      @user-fu6ew1jb6e หลายเดือนก่อน +1

      Karbu milango ipo wazi❤❤❤

    • @user-pr1uy3sh3o
      @user-pr1uy3sh3o หลายเดือนก่อน +1

      Karibu

    • @هايلينل
      @هايلينل หลายเดือนก่อน +1

      Karibuni, tumekukaribisha na mikono miwii, feel at home

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg หลายเดือนก่อน +1

      Umefika dear karibu sana katika familia yenye amani.ila kuna Roma Ramoni chunga usiingie kwenye list yake juu ananyandua kama hana akili timamu

    • @MishiMshihiri
      @MishiMshihiri หลายเดือนก่อน

      ​@Mwanat😂😂umuJumaa-rj4fg

  • @fadhaluhembwe
    @fadhaluhembwe หลายเดือนก่อน +7

    Tunataka EDNA unatuchelewesha

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg หลายเดือนก่อน

      Ushapata tshirt ya msibani😂

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  หลายเดือนก่อน

      ​@MwanatumuJumaa-rj4fg 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-jk8qn4zi5t
      @user-jk8qn4zi5t หลายเดือนก่อน

      ​@@MwanatumuJumaa-rj4fg😢😢mm Bado sijapata

  • @user-ip6hb1nq2u
    @user-ip6hb1nq2u หลายเดือนก่อน +3

    Lucas part 2 hii tamu sana jamani usichelewe

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi หลายเดือนก่อน +7

    Kwani sin haikuji

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg หลายเดือนก่อน +1

      Sin nenda Anko jay simulizi huku ni lucas lumbas simulizi...jamani tuwache kuchanganya ma file

    • @SylviaBoisabi
      @SylviaBoisabi หลายเดือนก่อน +1

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg p 😂😂😂💕😂💕🙏

    • @user-pr1uy3sh3o
      @user-pr1uy3sh3o หลายเดือนก่อน +1

      Anko j n mgonjwa tumuombee Allah ampe nafuu haraka.. inshaAllah

    • @SylviaBoisabi
      @SylviaBoisabi หลายเดือนก่อน

      @@user-pr1uy3sh3o inshallah

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja หลายเดือนก่อน +3

      😂😂 anaumwa ila upande wapili anatoa simulizi, Tena mbilmbil ko tukitulizen tutaletewa sin Kawa neema ya mungu

  • @user-lm7hw3zn9j
    @user-lm7hw3zn9j หลายเดือนก่อน +4

    Ngoma tam ila

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc หลายเดือนก่อน +3

    Ila wachawi wanafaa kujuwa kuwa imani haijawahi kushindwa na kama mtu anaitengemea miungu na imani yake imejengeka huko miungu itamwezesha kushinda changamoto zake na kama imani nikumtegemea MUNGU wa miungu yote na mtawala wa miungu yote yaani MUNGU MWENYEZI nae atamshindania anae mtegemea na kuwanyamazisha sauti zao wanao shindana na wanao mtegemea MUNGU. ila pia hapa naona Soyenzi ndoa yake ni kwa muba kwani alipo iomba miungu ilimpa mtihani nakumjibu kuwa nilazima aolewe na muba ila shangazi mtu kayatimba vikweli na kuyapuyanga sasa na ajipange ajue kuwa Familia ya kakaake sio yakawaida haichezewi hovyo.

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 หลายเดือนก่อน +10

    🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @RebecaJoseph-t9j
    @RebecaJoseph-t9j หลายเดือนก่อน +4

    Jamani miezi minne haija Isha Edna aolewe na roma

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 หลายเดือนก่อน +5

    SOYENZI atakuja kuolewa na huyo mtoto wa mufalme alie changua dada yake Lorenzo, na Soyenzi atalindwa na yule bibi alio mupeleka pangoni😂😂😂😂.

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 หลายเดือนก่อน

      Na iwe hivyo jamani katendewa mbaya na shangazi yake mchawi huyo

  • @FatmahHgfy
    @FatmahHgfy หลายเดือนก่อน +4

    Wekaka unajuakulia mpakabas. Hadi unaniliza nikimkumbuka mamangukipenzi tafadhali Lia kidogotu

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 29 วันที่ผ่านมา

    Asia anajua sana lakin nasubiri siku atayovunja record yake mwenywe ya ant Zena
    Jamn ❤❤❤❤❤🎉

  • @user-ml5rl2ev5x
    @user-ml5rl2ev5x หลายเดือนก่อน +3

    Kama imetokea kipenda gonga laike

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂wanaotumia net yawarabu kama mm mikono mjuu yani net inakata kama umeme watoken aisee Jana nimeshinda mjonjwaa mpaka Leo ndonaonekana Edina naifuataa huko huko kiporo nilazima.... huyu baba aliachia mmoja laana ndomana hakuna chakuolewaa wala kutongonzwaa laana imebaki kwao dada na kaka wapenzishana 😂😂😂😂😂😂hii noma..huyu wakulinda malikia imekula kwake kwann hakufikira mara mbili yy amepeana kitumbua na kijana anamuazaa bint mwingine hii noma.kuna mtu kujinyonga hapo

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 หลายเดือนก่อน

    Daa,huyo Gumbo jamani anadharau gani,kumwita mkewe kiburidisho miaka yote 25 ya ndoa 😢😢

  • @Wakiomiss.78
    @Wakiomiss.78 4 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 หลายเดือนก่อน

    Muba ana tabia za uzinzi huyu mwana wa mfalme chaa 😢

  • @CandyMagoiga-ul6qq
    @CandyMagoiga-ul6qq หลายเดือนก่อน +2

    🪑🎧

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 หลายเดือนก่อน

    😅😅🤔

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 หลายเดือนก่อน +8

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @omanmajan9438
    @omanmajan9438 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤

  • @ibrahimugama9635
    @ibrahimugama9635 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤