REGY PART 2 | RAFIKI AKIRI KUMPENDA MPENZI WA RAFKI YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 151

  • @MerryLucas-cx2qq
    @MerryLucas-cx2qq 5 วันที่ผ่านมา +11

    Jmn wakumi na nane naomben ata like tano jmn😢

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 5 วันที่ผ่านมา +10

    Plz Regy ucje ukawa killer bora uvumilie upate mwanaume sahh 😢😢😢

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 5 วันที่ผ่านมา +10

    Regy tulia uone baraka za mungu kupitia pilsca utapata vingi na mme mwema atakae kupenda

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  5 วันที่ผ่านมา +3

      Anaelewa basi😂😂

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 5 วันที่ผ่านมา +4

      ​@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIYaan hata mimi naogopa japo cjamalza kucklza acwe kama Alice alyeishia kunyongwa 😢

    • @GULAINEHelena
      @GULAINEHelena 5 วันที่ผ่านมา +1

      Regy muombe Mungu akuondolea pepo ya wivu iyo nipepo inataka kuvurunga urafiki wenu .pia ukubali utapatawako kwa wakati wako. Unapenda kama mujinga nawewe

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 วันที่ผ่านมา +1

      @@GULAINEHelena Regy urafiki wake niwakinafiki angekuwa rafiki mwema angefulahia mafanikio ya prisca ila yeye anataka kila kitu kizuli kiwe chake.

  • @CandyMagoiga-ul6qq
    @CandyMagoiga-ul6qq 5 วันที่ผ่านมา +7

    Wa kumi na mojaaaa😂😂😂for the first time naomben like zangu jamaniii🎉😂

  • @AnnaLuhanjala
    @AnnaLuhanjala 5 วันที่ผ่านมา +6

    Nmewahi jamani sasa tuone regy na rafiki yake polly ety au nmekosea jaman ila mapenzi shikamoo🎉🎉

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 5 วันที่ผ่านมา +4

    Nimechelewa 🎉🎉🎉 simulizi zuri

  • @nuwairamohammed-e5q
    @nuwairamohammed-e5q 4 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana kaka lukac kwa simulizi nzuri

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 5 วันที่ผ่านมา +13

    ❤❤waooou asant regy mapepe. lucas tuko pamoja, nimewah kwa kiasi like zenu wadau 🪑🎧🙏🏃

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 5 วันที่ผ่านมา +6

    Tamaaa na chuki ni kitu kibaya sana

    • @YasintaHongela
      @YasintaHongela 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hii imeenda kwa marafiki wanafiki

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 5 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@YasintaHongelakabxaa😢

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuwahi kumpenda rafiki yake😢😢😢​@@YasintaHongela

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 5 วันที่ผ่านมา +5

    Leo nimewai naomba like zangu 😊😊😊🎉🎉🎉❤❤❤

  • @BlessingsKelvin-c9u
    @BlessingsKelvin-c9u 5 วันที่ผ่านมา +4

    Nimeipenda sana

    • @YasintaHongela
      @YasintaHongela 5 วันที่ผ่านมา

      Mama Regy Yuko vizuri,nimeipenda

    • @BlessingsKelvin-c9u
      @BlessingsKelvin-c9u 5 วันที่ผ่านมา

      @@YasintaHongela regy atapata itaje la moyo wake

  • @GULAINEHelena
    @GULAINEHelena 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kaka lucas kwa simulizi nzuri pia yenye mafunzo

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 5 วันที่ผ่านมา +1

    Pole kwa mapito unayopitia Regina,omba Mungu akuongoze ili upite salama vinginevyo utapotea

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 5 วันที่ผ่านมา +7

    Ata mimi nimejikuta nachekat🤣kupenda mtu ambae hanaata chembe ya mapenz kwako mh kibarua kwel

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 วันที่ผ่านมา +1

      🤣🤣🤣🤣watu kamahao ndyo utasikia wanajua eti mapenzi mi nazarau mbaya hata nipende vipi sijitii wazimu haibu siwezi kabisa

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 4 วันที่ผ่านมา +1

      @@SalmanMughal-lq5lt upo sawa kabisa wanawake sio et hatuwatamani wanaume tunawatani San ila sio adikujito ufaham huko ad kelo

  • @GlorryMariki-ee6dc
    @GlorryMariki-ee6dc 5 วันที่ผ่านมา +2

    Moyo waniuma kam ni mie yan naogopa at mwisho itakuwaje dah 😢😢😢 na urafiki kam ushaanza kufa kat yao 😢

  • @carolwambua5250
    @carolwambua5250 5 วันที่ผ่านมา +1

    I love how ur narrating your stories Lukas.. am from kenya but in iraq 🇮🇶 saizi

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  5 วันที่ผ่านมา

      Sante sana mamaaa🎉🎉🎉

    • @carolwambua5250
      @carolwambua5250 5 วันที่ผ่านมา

      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI nimekua nikiskiza mingi but Hua siwezi kucoment cz mchana mimi hutumia simu nkiwa nimeficha bluetooth but am ur big fan in almost one month..keep up the good work..ur making life enjoyable fr pple like me who love reading but we don't get the opportunity..💞💞

  • @HellenAonnoh
    @HellenAonnoh 5 วันที่ผ่านมา +2

    Ai wish all mothers would be like Regys mume❤❤❤❤❤❤

  • @user-pr8gq5mo3w
    @user-pr8gq5mo3w 5 วันที่ผ่านมา +2

    Tuko pamoja kaka kazi mzuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 5 วันที่ผ่านมา +3

    Team Ginna huwa hatuludi nyuma hat kidg 🎉🎉🎉🎉

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  5 วันที่ผ่านมา +1

      😅😅😅 sawa ngoja tuone

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 วันที่ผ่านมา

      @@ReginaJumanne shauli yenu mutakuja kufa bule kisa wivu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-xp8pt3kv4t
    @user-xp8pt3kv4t 3 วันที่ผ่านมา

    Duuuuh so sad to regy dunia yako iko wap.hongera kaka lumbas kaz nzur🎉🎉🎉

  • @MariamHawa-b4w
    @MariamHawa-b4w 5 วันที่ผ่านมา +3

    Leo nimewahi ❤❤❤

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 5 วันที่ผ่านมา +9

    Regy ww mzr una umbo zur lkn kila mtu na chaguo lke usifos kupndwa na asye kupnda utapata wakwko atakae kupnda kwa dhat usiwe na wivu na mwnzko kila mtu na njia yke na hatma yke mama yko anausia mzr lkn ujinga umekukaa kichwan huelewi kabsa

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  5 วันที่ผ่านมา +1

      Si anavunga hasikii anayoambiwa na mamaake mzazi😅😅 ngoja kitu kizito kimpige kichwani

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI yaan ukiwa na mama kma uyo na ukimsikiliza hupat shida kweny maisha yko yup kma mama yng anakupasulia ukwel hakufich kitu jns maisha yaliv na unavotkiw kuish

    • @SusanNeema-re3hr
      @SusanNeema-re3hr 4 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Babyfaty-m3y anamama mzuri sana mtoto wenyewe ameigiwa na pepo...mm natamani mama kama huyo mbona nigejivunia lakini mama wegine unamwambia hivi hakuelekezi vizuri jamani 😢

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 4 วันที่ผ่านมา +2

      @@SusanNeema-re3hr ukiwa na mama km uyo lazma ujivunie yaan mama anaekufnya rafik mpende sana mna hakuna rafik mzr kma yy

  • @mwanaibrahim3288
    @mwanaibrahim3288 5 วันที่ผ่านมา +5

    🎉🎉🎉wa pili like zangu wapendwa❤

  • @ZainabAli-rq8lg
    @ZainabAli-rq8lg 4 วันที่ผ่านมา

    Mama Regy chukua maua yko💐💐💐💐💐pili ppote ulipo kunywa soda bill juu yangu ❤️❤️❤️ nasaha nzuri kwa mwanawe ila kuna wakina mamake majirani zetu balaana hatari moto wakuotea mbali.

  • @زينزوادي
    @زينزوادي 5 วันที่ผ่านมา +2

    Yani pokea 🎉🎉🎉❤❤❤ unastaili

  • @YasintaHongela
    @YasintaHongela 5 วันที่ผ่านมา +8

    Mama Regy alishatoa jibu mapema Dunia ya mtu haiwezi badilishwa na mtu kaka Lumbas unatisha

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 5 วันที่ผ่านมา +4

    Ila kaka Lucas kwakweli inauma sna kumpenda asokupenda,,nayafl maumivu ya regy sema ushauri wangu kwake ajikubali na a move on,,mna bla ivo ataumia sna na atajiaribia maisha yke...ishanitokea kuic kua bila mwafula maisha yangu hayaezi songa.. ila nilijiokoa na nkapata wa maisha yangu alhamdulillah 😂😂😂

  • @aishaOmar-i1k
    @aishaOmar-i1k 5 วันที่ผ่านมา +3

    Haya tunaendelea na Regy tusikie kafanya nn tena

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 5 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mansabunam4887
    @mansabunam4887 5 วันที่ผ่านมา +1

    Lukas pole na kazi. Samahani hakuna Tuzo za wasimuliaji? Kijana hongera sana maana unastahili tuzo hakuna simulizi inayoboa kwa usimuliaji wako. Mungu akuweke maana hapa ni stress free. Maua yako tele kwenye kapu.

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  4 วันที่ผ่านมา

      Amen! Wakati wa Mungu ukifika kila kitu kinakuwa safi,

    • @user-jk8qn4zi5t
      @user-jk8qn4zi5t 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂 hat mm nilijiuliza hakuna tuzo za wasimuliaji tumpe kura kaka yetu

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Regy una matatizo😢😢😢 ilo ni pepooo kemeyaaaaa

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 5 วันที่ผ่านมา +1

    Enhee Ginna twende kazi 🎉

    • @YasintaHongela
      @YasintaHongela 5 วันที่ผ่านมา

      Regy elimi Haina mwisho Wala umri ni Bora aendelee tu naelimu Mungu atambariki

  • @HajraHassan-f7y
    @HajraHassan-f7y 5 วันที่ผ่านมา +3

    Regy pole mm cwez heka heka hiz mamaa una moyo🥺🥺

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 5 วันที่ผ่านมา +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila huyu Regina atakuja kufa na pressure kwakupiga chabo🤣🤣🤣🤣🤣

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  5 วันที่ผ่านมา

      Atakufa kifo kibaya 😂😂

    • @ErizabethToyi-bb8mb
      @ErizabethToyi-bb8mb 5 วันที่ผ่านมา

      Regy yani nimmbeya sana daa kilakitupakaajuwe?

    • @ErizabethToyi-bb8mb
      @ErizabethToyi-bb8mb 5 วันที่ผ่านมา

      Regy yani nimmbeya sana daa kilakitupakaajuwe?

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 5 วันที่ผ่านมา

      Hataki kupitwa nakitu kama Athena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 atakuja kupoteza kazi kwajili ya wivu wake mbaya .

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 วันที่ผ่านมา

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI itabidi umupe ushauli maana atakuja kufa buleau umupatie namba za Roma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @KhadijaTsumo
    @KhadijaTsumo 2 วันที่ผ่านมา

    Regy kula chuma icho 😂😂😂 sa we wapendaje mtu mwnywe hata hajui ka yuakupnda

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 5 วันที่ผ่านมา +2

    Maua Yako kaka Lukas 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 5 วันที่ผ่านมา +3

    Edna Kampenda Roma

  • @SuzanaRobert-l4q
    @SuzanaRobert-l4q 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kaka Lucas 🎉🎉

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 5 วันที่ผ่านมา +2

    Woi kidogo nichelewe😅😅😅😅🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 5 วันที่ผ่านมา

    Waoo,♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹👋👋💃Regina huo ni mlipuko tu huwa unamtokea kila msichana tena mara nyingi tu,wala siyo jambo geni hilo,unapaswa kuvumilia,kila mtu anafungu lake,hakuna mwenye ubora kuliko mwingine,hakuna haja yakuona wivu juu ya mwingine,hasira ni hasara kubwa

  • @MwanakomboMangwe
    @MwanakomboMangwe 5 วันที่ผ่านมา +3

    Regy achilia moyo wako utafanikiwa subir mda wako

  • @mhojjajanga6088
    @mhojjajanga6088 5 วันที่ผ่านมา +4

    Ginna hampendi kabisa rafiki yako

  • @haluwaharuni4564
    @haluwaharuni4564 5 วันที่ผ่านมา +4

    Lakini huyu ragy ni mjiga juu talik hajawai mtamkia anampenda

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 5 วันที่ผ่านมา +2

      Regy yy anatk kil ktu kiwe mwnz kwke uwo ndo ujinga wke

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  5 วันที่ผ่านมา +2

      Yaani hata mahakami anafungwa.... maana jamaa hajawah kabsa mtongoza😂😂😂

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 5 วันที่ผ่านมา

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣litankuta jmbo kwa wivu wke

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 4 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Babyfaty-m3yKnachomuuma almwambia ndg yake na ndg yake hajaonesha kumsaidia il ijulkane hapendw wenda ingekuwa afadhal na pur nahc anataka 2 atmze malengo yake na anashndwa kumkataa mwamba kwa ushawsh wake wa kumjar na maneno ya mama mkubwa wake ngoja 2one ila naogopa mwsho wa hii simulz 🤦‍♀️

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 4 วันที่ผ่านมา +1

      @@FatumaJumanne-p4d Pury hana kosa mna yy cku ya kwnza tu kapndwa kutokan na kauli zke nzr kwa tarik na regy na yy alimwmbia tu kma kuna mkaka mzr huk ila me sjaona kosa la pury

  • @LovenessMsangi-u7r
    @LovenessMsangi-u7r 5 วันที่ผ่านมา +6

    Leo nimewai Leo please naombeni like

  • @WernerJunior-wc5uq
    @WernerJunior-wc5uq 5 วันที่ผ่านมา +3

    Kwene mapenzi akuna urafiki aca apime bahatiyake wenda mushikaji akamuelea ila mapenzi ayafosiwi

    • @aminanimbona1861
      @aminanimbona1861 5 วันที่ผ่านมา +1

      Kama Kweli mwanaume ashakwambia nampenda ndugu yako ao rafiki yako usifosi mapenzi ni hisia Regy asifosi mana atateseka Sana

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@aminanimbona1861Naogopa mwsho wa haya yote ila pur nae kashndwa hata kuhc maumvu ya rafk yake

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 4 วันที่ผ่านมา +1

    Pur n mnafk na ukzw wake maana angekuwa mwema na kutokuwa na tamaa angemwambia tark ndg yake anampenda ila ngoja 2one huko chuo atakapopelekwa hatomgeuka tark ila naogopa regy kuwa na ukatl.

  • @asumthamanyahi5255
    @asumthamanyahi5255 4 วันที่ผ่านมา

    Broo lucas unachekesha unavyolia😂😂😂

  • @gedizwamama
    @gedizwamama 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wa mwisho

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wanawake karibu 10 kwa Roma lakini Edna Kapunda Roma ❤

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi วันที่ผ่านมา

    Unamwabia juu ajui kaa unampenda

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 5 วันที่ผ่านมา

    Jamani Leo nimechelewa ila silali Hadi kieleweke shukran kaka Lucas ❤❤❤

  • @GladysChidude
    @GladysChidude 5 วันที่ผ่านมา

    Mwendelezo dear❤❤❤

  • @ReachelChemtai-m2s
    @ReachelChemtai-m2s วันที่ผ่านมา

    Mama ni mama hakuna kama yeye asente Sana Lucas lumbasi

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 5 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤

  • @user-sy6md7fh4w
    @user-sy6md7fh4w 4 วันที่ผ่านมา

    Regy mjinga mmoja ww pasipo na rizk hplki na huuthamin moyo wako huna knyaa tafuta pengine tarki siwako hovyoo

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 4 วันที่ผ่านมา

    Ooh Gyna jmn😮 yani matukio unafanya ww lkn aibu naona Mimi huku

  • @GharshanLila
    @GharshanLila 3 วันที่ผ่านมา

    Yaaani wivu wa regy mpk unaniboa

  • @carolwambua5250
    @carolwambua5250 5 วันที่ผ่านมา

    Waiting part 3 kesho

  • @AnnaBura-p2g
    @AnnaBura-p2g 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Gina wew chizi

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi วันที่ผ่านมา

    Kabisa mama mwezangu mwabie ukweli kabisa

  • @carolwambua5250
    @carolwambua5250 3 วันที่ผ่านมา

    Lucas part 3 ya Regy ni lini pls

  • @Hazelnesssa
    @Hazelnesssa 4 วันที่ผ่านมา

    Da I feel ur pain Gna Sema sometime letting the one u love be happy even if it's costing you pain💔😊

  • @OdethaTesha
    @OdethaTesha 4 วันที่ผ่านมา

    Watu mnao mlaum regy hamjawah kumpenda mtu mapenz ni kitu kingine

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 5 วันที่ผ่านมา

    Thanks 😊😊😊😊😊❤❤❤❤kaka lucas lumbas 🎉🎉

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 5 วันที่ผ่านมา +4

    Bint kakaza fuvu yani haelewi hata nasaha ya mama yake Regy mwisho wako uwe mzur tu maana ibilisi kakukaa kichwan

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  4 วันที่ผ่านมา +2

      Regy akiona hii comment yako atakujibu "Hafsa hujapenda bado"😅😅😅

    • @hafsasaid9666
      @hafsasaid9666 4 วันที่ผ่านมา

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI nimependa lakini huyu kazid ila marafiki kama hawa wapo wengingi sana

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 5 วันที่ผ่านมา +4

    Regy wivu wakininga

  • @Hazelnesssa
    @Hazelnesssa 4 วันที่ผ่านมา

    Nasubir mwisho kwahamu😅

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 5 วันที่ผ่านมา

    Jamani hii kali❤❤❤

  • @mariamrema9232
    @mariamrema9232 5 วันที่ผ่านมา +2

    Fx

  • @MagdalenaMbingi-py1hr
    @MagdalenaMbingi-py1hr 5 วันที่ผ่านมา

    Mama Regy afungue kanisa MUNGU
    ambariki sana

  • @ReginaBenjamin-ij2ec
    @ReginaBenjamin-ij2ec 5 วันที่ผ่านมา +2

    Ngoja nisikilize kwanz ntalud comment

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 5 วันที่ผ่านมา +1

      ❤❤ wajina ila mapepe kwel

  • @sumaiyyamathei8855
    @sumaiyyamathei8855 5 วันที่ผ่านมา +3

    Wa plliiiiiiiiii, plz like

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 วันที่ผ่านมา

    Bahati yamwezako usilalie mlango rej shetani asijefanya kaxi kwako udhuru mwezako nimekuona unagubu sana

  • @holykinyasi2745
    @holykinyasi2745 5 วันที่ผ่านมา

    Mmmh mapenzi haya yatafanya watu wauwane jamani ooooh shikamoo mapenzi

  • @Wakiomiss.78
    @Wakiomiss.78 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyu Ginah amekua kichekesho, Tariq atafananaje na boy wako 😂😂 Ginah umezidi mm nishaona watu aina yako, lakini hua tunawasuta nakuwatenga,huyu Priscilla ndio anamchelewesha hapo wangemtafutia kazi sehemu nyingine,hapo mjengoni ashakua python mwenye sumu 😂😂

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tuko pamoja

  • @DamarisAkoth-f3v
    @DamarisAkoth-f3v 5 วันที่ผ่านมา

    mm wangapi sas😂😢

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 5 วันที่ผ่านมา

    Kusema ukweli dogo Tariq hana mda na ww😂😂😂amempenda huyo swahiba yako,kwa hio play your part,bila hivyo itaku coast,coz unapenda usipopendwa 😂😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 วันที่ผ่านมา

    Bahati yamwezako usilalie mlango rej shetani asijefanya kaxi kwako udhuru mwezako nimekuona unagubu sana uachee ujinga hutakiwi bs tulia

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 5 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤🎉🎉🎉😢😂2

  • @candidamushi-se9mb
    @candidamushi-se9mb 3 วันที่ผ่านมา

    Regy 😂😂😂

  • @GogoO-mb5fq
    @GogoO-mb5fq 5 วันที่ผ่านมา +1

    🥰🥰🥰🥰🥰

  • @OdethaTesha
    @OdethaTesha 4 วันที่ผ่านมา

    Rerg ungeondoka hp ili ukae mbali na tarik uweze kumsahau

  • @MaryamSaid-s8p
    @MaryamSaid-s8p 5 วันที่ผ่านมา

    Dah regy matatizo

  • @mhojjajanga6088
    @mhojjajanga6088 5 วันที่ผ่านมา

    Ginna huo sio upendo huo ni ubinafsi, na uuaji. Upendo haulazimishwi aslani

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 วันที่ผ่านมา

    Mm upande siwexi lzm mapenxi kama mtu hskutaki naanataka rafiki yako ww mwachee sasa unapambambania mtu hakutaki kwann ulazimishee

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 5 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢🤔

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 วันที่ผ่านมา

    Huyudada namshangaa anamkasirikia mwezake kwann siumwambie kua unampenda huyo kijana.nausijee hapo huyo dada angekusikiza lkn nikaxi yaburee mana mama yako kakukambia ukweli usitamani chamtuuuu shexi wewe

  • @user-zs3jf3uz9c
    @user-zs3jf3uz9c 5 วันที่ผ่านมา

    Edna na roma

  • @user-qe3tc9mo4q
    @user-qe3tc9mo4q 5 วันที่ผ่านมา +1

    Gina,mapenzi,hayalazimishwi

  • @GogoO-mb5fq
    @GogoO-mb5fq 5 วันที่ผ่านมา +1

    🤣😭😂😭😎🤣🥺😭🌹👍

  • @user-kl1cx7sm8i
    @user-kl1cx7sm8i 5 วันที่ผ่านมา

    Mwenye wivu kama Regy ni uchawi kwani unatakiwa kutokuiendekeza nafasi itakupoteza tunasikuzote shukuru kupata atakae kuenda akupende kwa dhati maana mapenzi ya kweli ni sawa na simulizi za kale tuishi tu

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 5 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @Aishamzamilu
    @Aishamzamilu 5 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 5 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 วันที่ผ่านมา

    Bahati yamwezako usilalie mlango rej shetani asijefanya kaxi kwako udhuru mwezako nimekuona unagubu sana uachee ujinga hutakiwi bs tulia

  • @amalsaeedzh1099
    @amalsaeedzh1099 5 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤

  • @nelly-r6v
    @nelly-r6v วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @user-so4gw1wz9b
    @user-so4gw1wz9b 5 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉