TRUE STORY - SIMULIZI FUPI YENYE KUSISIMUA (AUTHOR: BAHATI BAKARI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Ile hali kwa ufupi sikuielewa kabisa na sijawahi kujihisi vile kabla nilijitahidi kujikaza lakin wapi nikasema ngoja nikajimwagie maji kwanza nione nilioga nikarudi kitandan ila bado

ความคิดเห็น • 100

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 7 หลายเดือนก่อน +20

    Kuoa Au kuolewa, siku zote ni kumuomba Mungu tu, ni km unaingiza mkono kwenye kiza kinene na kirefu,hajui yajayo.
    Allah azibariki ndoa zote inshaallah

  • @Regina-p6r
    @Regina-p6r 22 วันที่ผ่านมา +1

    Yani kaka unajua kusimulia sana upewe mauwa yako🎉🎉

  • @AshullaNdayisenga-rg6sg
    @AshullaNdayisenga-rg6sg 6 หลายเดือนก่อน +3

    Tuna shukuru sana kwa simulizi zuri yenye mafunzo

  • @ZabibuHassan-ci5vz
    @ZabibuHassan-ci5vz 7 หลายเดือนก่อน +34

    Watu mnalala youtube jmn ila pia mm leo nmewai naombeni likes jmn hata 3 😊

    • @nurianaramadhan
      @nurianaramadhan 7 หลายเดือนก่อน +1

      We unasema kulala wanakesha na kushinda aisee😂😂😂😂😂

    • @emmanuelmilawi8037
      @emmanuelmilawi8037 6 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅

  • @Mercymariki2017gmail
    @Mercymariki2017gmail 7 หลายเดือนก่อน +9

    Nimekuwa wamwisho leo ila sio mbaya acha nisikilize tunakupend kk Lucas ❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 7 หลายเดือนก่อน +12

    Wakwanzaaa nipeni maua yangu bro lucas maua yako haya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Lovelovely660
    @Lovelovely660 7 หลายเดือนก่อน +5

    Beautiful with my favorite ❤️ girl

  • @خديجه-و1خ
    @خديجه-و1خ 7 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤

  • @brianmbuvi6570
    @brianmbuvi6570 7 หลายเดือนก่อน +3

    Video wa wakubwa😂😂😂😂😂❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 7 หลายเดือนก่อน +3

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥 ♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹🇹🇿 ciao ciao

  • @jean-pierremsambya6429
    @jean-pierremsambya6429 5 หลายเดือนก่อน +2

    Inavutia

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 7 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @fhet6618
    @fhet6618 7 หลายเดือนก่อน +3

    Pamonja sana

  • @STARJAMAL-my4mq
    @STARJAMAL-my4mq 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mama shaikila na baba shakila listening from Uganda 😊

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 7 หลายเดือนก่อน +5

    Ni marudio kweli ila faida kwa wanaosikiliza mwanzo

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 7 หลายเดือนก่อน +4

    Lucas kwakweli hii mimi naelewa kwa sababu nifupi maana episode 1 ,mpaka 16 au 20 mda mchache jamini maana hee kazi nyingi mda mdogo kwahiyo mjitahidi story ziwe fupi, episode 1 mpaka 3 siyo mbaya

  • @GhazanffarsamDollah
    @GhazanffarsamDollah 7 หลายเดือนก่อน +4

    Who noticed that the lady on the cover of true story anakaa Actress Nigeria Adaa Kiriri

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 7 หลายเดือนก่อน +4

    🎉🎉🎉❤❤

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 7 หลายเดือนก่อน +4

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @anunalamin6472
    @anunalamin6472 7 หลายเดือนก่อน +4

    I like this lucas tupo ndani ndani kaa mimba😂😂

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mapenzi hayo❤❤❤❤❤

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 7 หลายเดือนก่อน +4

    Asante kwa simulizi hii tamu,nimeifurahia sana.God bls u Lucas Lumbasi❤

  • @user-si6rf5wv8g
    @user-si6rf5wv8g 7 หลายเดือนก่อน +2

    ♥️♥️♥️

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nice 👍 story tamu sana tumeinjoy sana congratulations 👏👏👏❤❤🎉🎉🎉

  • @user-dw2ic9gc4b
    @user-dw2ic9gc4b 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Lukas Lumbasi binafsi ninapenda sana simulizi zako barikiwa mnooo

  • @user-zd2zn8yj2e
    @user-zd2zn8yj2e 7 หลายเดือนก่อน +3

    Asati,kwasinulizi,

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 7 หลายเดือนก่อน +3

    Weeee dunia ina mambo🙆🙆🙆🙆🙆🙆😭

  • @user-yf3er1cp1w
    @user-yf3er1cp1w 7 หลายเดือนก่อน +5

    Wow tupo tunackiliza Kaka

  • @EpiphaniaMallya
    @EpiphaniaMallya 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dah Hiyo safari ya maisha ya wawili hao yalikua yanatamainisha kutaiga

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 7 หลายเดือนก่อน +2

    Very stor so much ❤❤

  • @taurielbilbo9501
    @taurielbilbo9501 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤Hadith’s zako zatoa Nyoka pangoni 🥰

  • @LovenesMbaga
    @LovenesMbaga 7 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana vidokezo vyako kaka lucka yan mpaka nasahau comment🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @ytyg7261
    @ytyg7261 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kiukweli iyi simulizi nimeisikia ju napenda sana kukusikia yauti yako maana tayarii ishaga simuliwa kabla ila sikumbuki kama niww ao mtu mingine ndani ya simulizi mix so na enjoy kwenye simuliz zako pendwa ❤❤❤❤

  • @Munira1044
    @Munira1044 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wow

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ila nikweli kuwa hakuna safari haina kona wala viulizo ivo hivyo hata katika ndoa maisha nikuvumiliana

  • @annahnyansiaboka451
    @annahnyansiaboka451 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka Lukas uko mpaka na kitoto kichanga kinalia

  • @Happiness-eh4jc
    @Happiness-eh4jc 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ni nzuri sana thank's kaka lucas

  • @WitnesiMgeni
    @WitnesiMgeni 7 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 7 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂i can't imagine eti sasa mm Esther nimekaa na MALKIA OSAM na muelezea hayo yote mrembo wetu alikuwa anamuelezea afu sana professional wa kusimulia apelekewe sasa ndo ako kwenye 🎤 na ndo hajui kumbeleza 🙈🙈🙈

  • @Mrsmick712
    @Mrsmick712 7 หลายเดือนก่อน +4

    Aya ni mamb niapenday

  • @EmJesho
    @EmJesho 7 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooo very 👌 ❤❤❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉🎉japo kuna sehemu iliniskitisha😢😢😢😢 lakin nmejifuza mengi

  • @bentahmasiemo2742
    @bentahmasiemo2742 7 หลายเดือนก่อน +9

    ❤❤❤❤ congratulations simulizi, much love from kenya 🇰🇪.

    • @dolinamarena7100
      @dolinamarena7100 7 หลายเดือนก่อน

      you too you know zimulizi well come

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Much ❤❤❤❤❤ bro nice one 👍fire 🔥 Asante kwa simulizi mzuri sana 🙏 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 but in Dubai

  • @ANKOZUBERI881
    @ANKOZUBERI881 7 หลายเดือนก่อน +2

    waoo Mr LUMBASI

  • @Mohammedaa-xp3tq
    @Mohammedaa-xp3tq 7 หลายเดือนก่อน +3

    Thanks kaka Lucas

  • @aviaseba9822
    @aviaseba9822 7 หลายเดือนก่อน

    Waoooooh simuliz nzuriiii kweli

  • @user-zr4xs8ie9v
    @user-zr4xs8ie9v 6 หลายเดือนก่อน

    nami nakupenda pia❤❤❤❤

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 7 หลายเดือนก่อน +4

    Haya ngoja nkae kusikiliza matamu😂

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pepoooooooo

  • @HalimaAli-e8z
    @HalimaAli-e8z 7 หลายเดือนก่อน +4

    Nilichogundua ni nyie wanaum mwanak anajifungua tu huwa munabadilika mno.. Ju hata mm yalishanikut km hayo😢

  • @brianmbuvi6570
    @brianmbuvi6570 7 หลายเดือนก่อน +1

    You can make someone to marry immediately ❤❤😂

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mama mkwe diye ali ku advice vibaya unamnyima aende wapi

  • @JudithGeorge-mw7fe
    @JudithGeorge-mw7fe 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mnmnnh mmeirudia hii simulizi tulishaga iskia ila nyie mmekosa simulizi au nimeboweka

  • @FatumaIddy-h4r
    @FatumaIddy-h4r 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jmn humu ndani kuna kamchezo kakuchezeana paka unakojoa alaf amjanambia jmn kwl😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-kw1wh1qq7d
    @user-kw1wh1qq7d 7 หลายเดือนก่อน +2

    Na mm 5. Much 💕 Lukas

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 7 หลายเดือนก่อน +3

    Tunakujuwa huna mbaya wewe❤❤❤

  • @user-ew4yf2fm5e
    @user-ew4yf2fm5e 5 หลายเดือนก่อน

    Pamojna sana

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hii simulizi mbona marudio,japo kwa mara ya kwanza sikuisikiliza kwa hii Chanel 😂😂😂ok all in all gad is gud❤❤

    • @alineumutoniwase9667
      @alineumutoniwase9667 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi nikisikilizaga simulizi hapa huwa nagunduwa kuwa nimezisikiliza sehemu nyingine nimarudiwo

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 7 หลายเดือนก่อน +2

    Simulizi inasikitiza sanaa😭😭😭😭😭😭😭😭🙆

  • @Shakkeela-uq9oj
    @Shakkeela-uq9oj 7 หลายเดือนก่อน

    ❤waoooh nimeipenda jina la mtoto wajina mwenzang

  • @user-rm1bd7uc4s
    @user-rm1bd7uc4s 5 หลายเดือนก่อน

    🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo ni ukweli kabisa lucas❤❤❤❤

  • @chobushaka7650
    @chobushaka7650 7 หลายเดือนก่อน +2

    Lucas
    Hii kamanaijua vile

  • @azzahawadh3183
    @azzahawadh3183 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka kazi zako ❤❤❤

  • @leah5307
    @leah5307 7 หลายเดือนก่อน

    Mm nataka part 2 kakaa LUCAS❤❤❤

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🙏

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @nurianaramadhan
    @nurianaramadhan 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani kwa wale wapenzi wa simulizi,,simulizi mbona kama imerudiwa wapenzi

    • @MariamWambura-f6m
      @MariamWambura-f6m 7 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli imerudiwa

    • @nurianaramadhan
      @nurianaramadhan 7 หลายเดือนก่อน

      @@MariamWambura-f6m Kama sisi tunavyo sikiliza tunajua kitu kitakacho tokea,,ila tunampenda sana kaka Lucas tuko pamoja

    • @anunalamin6472
      @anunalamin6472 7 หลายเดือนก่อน +2

      Mbona mm sijaiskia

    • @MariamWambura-f6m
      @MariamWambura-f6m 7 หลายเดือนก่อน

      @@anunalamin6472 labda hujawahi kuisikiliza Ile yakwanza

    • @nurianaramadhan
      @nurianaramadhan 7 หลายเดือนก่อน

      @@anunalamin6472 ukienda simulizi mix hii imesimuliwa na anko Jay kama sijakosea

  • @fahmimohd261
    @fahmimohd261 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona meridia hii jamani

    • @aminakhamis5078
      @aminakhamis5078 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ata mimi kubu kubu zagu nahis hivo japo ile ya awali nimesahu jina lake

    • @fahmimohd261
      @fahmimohd261 7 หลายเดือนก่อน

      @@aminakhamis5078 au imekosewa kurushwa

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😢😢

  • @SofiaKhamis-f2n
    @SofiaKhamis-f2n 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza leo like zenu plz❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hii mbona ipo Simulizi mix mume yirudia 😮

    • @ZabibuHassan-ci5vz
      @ZabibuHassan-ci5vz 7 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu anapenda sauti ya msimuliaj anaempenda ss hatukuiona huko simuliz mix ko tuache tu tuenjoy mwee

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 7 หลายเดือนก่อน

      @@ZabibuHassan-ci5vz hivi nime kuziwia usi injoi!😄🫢

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 7 หลายเดือนก่อน

      Kwn kunavita huku 😂😂😂 Dah polen lkn 🙏❤️

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 7 หลายเดือนก่อน +1

    Very stor so much ❤❤

  • @NeemaAkansha-m7c
    @NeemaAkansha-m7c 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @faizajumwa4696
    @faizajumwa4696 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Sanita-g4v
    @Sanita-g4v 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @omanmajan9438
    @omanmajan9438 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @user-so4gw1wz9b
    @user-so4gw1wz9b 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @IsaacChituli
    @IsaacChituli 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @Lucy-vp8pm
    @Lucy-vp8pm 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤