Anazungumza maneno mazito sana , izi elemu ziwe zinatolewa kwa waowaji na wanaolewa. Yani mpaka usingizi umeniisha kwa kumsilikiliza dada yangu …siku moja mungu anajalie mke mwelewa inshallah
MAA shaa Allah ukhty Fatma! Nakupenda sana kwaajili ya Allah! Allah akubariki Sana wewe na familia yako! Najifumza Sana kwenye his darsa zako alhamdulillah..
Wallah juhudi zako dada etu fatma, Allah ajaze jaza njema katika mema yako nasisi inshaAllah tukumbuke kwa duaa ili endapo nasisi twayapitia haya, basi Allah atifanyie sahali inshaAllah
Aliekuoa amepata hakika, MUNGU muumba wa mbingu na ardhi bahari na vyote vilivyomo viavyoonekana na visivyoonekana akuongoze kuyatambua na mengine Zaid kwa faida ya wengi 🙄.
@@saidsuleiman9018 sub Hanna Allah,shukran sana,hili ni kweli kabisa na tena hata sijui mtu anafanya ivi kwa lengo gani,maana kama utafkiria mauti muda wowote utakufa huwezi kufanya ivi.
mwanamke gani wakiswahaba akipaza sauti yake na kuonesha sura zake.hizi darsa zako fitna.masheikh wamejaa hewani.nakama wafanya kwa ajili ya Allah .usingejipiga video.uzinifu uko njia nyingi,nahii ya sauti nimoja wapo.muogope Allah
Lakin ukhty ikiwa mke mwenyewe hanatabia nzuri hatakatika malezi hawape malezi bora ya kislam nivizuri asiendeleye kuza mana kuza tu bila kuzingatia malezi misione umuhim wake??
Yaa Rabb nijaariye mume mbora mwenye kheir nami INSHA'ALLAH 🤲
Aamin ..
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Ameen
Anazungumza maneno mazito sana , izi elemu ziwe zinatolewa kwa waowaji na wanaolewa. Yani mpaka usingizi umeniisha kwa kumsilikiliza dada yangu …siku moja mungu anajalie mke mwelewa inshallah
Allahuma amiin
Hya Aisha Lukulli ndiye Huyo.
Masha'allah naomba M/MUNGU anija'alie mke mwema na kizazi chema insha'allah
Mimi apa rajab mke mwema nimekuja🤣
Allah akuwezeshe na dua muhimu kwa kila hatua.
Hya rajabu dua Allah keshaijibu kazi kwako
Maashaallah, ni mara ya kwanza kusikiliza huyu Ukhty na ln Shaa Allah nitaendelea kusikiliza, Alhamdulillah nimepata faida kubwa.
Maashaallah...hakika UISLAMU ni NURUU❤
Mansha allah maa fatma allah akupe umbri mrefu wenye manufaaa❤🎉 nime faidi kwakwl💯👌
Maashaallah baarakallah dadangu nakupenda kwaajili ya Allah..mungu akujaze kheri akupe maisha marefu na akupe mwisho mwema aamin
MaSha Allah TabarakaLlah Shukran Kwa ukumbusho. Somo Mungu Akuhifadhi Akulipe kila lakheri. AlhamduLiLlah.
MAA shaa Allah ukhty Fatma! Nakupenda sana kwaajili ya Allah! Allah akubariki Sana wewe na familia yako! Najifumza Sana kwenye his darsa zako alhamdulillah..
MashaAllah tabarakalah!Mawaidha mema dadangu,Jazzak Allahu khayr fii dunya wal Akhera.
Maaashallah ukhty yetu kwakutufundishia wake zetu na dada zetu allah akulipe kheri na umry mrefu naafya njema
Mashaallah mashaallah mashaallah uhty numelipenda darsa lako Allah atakulipa ujira wako inshallah
Mashalla my ukht alla anijaalie nipate mume mwema
Inshallah tupo
Allah akupe maisha marefu ili uzidi kufundisha dini yake na akujaalie mume mwema inshallah
Mashallwah Allwah akuhifadhi nakila husda uzidi kuisambaza dini yetu ya kiislam
Asante sana mwalimu Kwa Elimu hii ya maisha.Mwenyezi Mungu akujaalie Ili utupatie tena Elimu .
Kongole dada Fatma kwa mawaidha yako Allah akupe nguvu na afya njema inshaallah
Masha allah thabaraka.llah...Allah akujaalie kheir kwa kila jambo lako insha allah.
Mashaa Allah Natafuta mke mwenye sifa nzuri Allah anijalie nimpate kabla sijafariq dunya
Wewe unazo izo sifa? Ustafte mke mwenye sifa njema kama ww huna utamtesa bure
Masha Allah, jazakalah khairan Ustaadha
Mashallah..... Allah akujaze kila la heri... Faida tele kwa tele
MASHA ALLAH UKHTI ALLAH AKUZIDISHIE ELIMU NA UMRI UZIDI KUTUPA FAIDA ZA MUME NA MKE
NAMI ALLAH ANIPE MATHNA WA KHEI YAARAB.
Wallah juhudi zako dada etu fatma, Allah ajaze jaza njema katika mema yako nasisi inshaAllah tukumbuke kwa duaa ili endapo nasisi twayapitia haya, basi Allah atifanyie sahali inshaAllah
Mashallah mama kwa mawaidha yko mungu azidi kukupa umri zaidi
Masha Allah darsa zuri sana Allah akulipe kheri
MashaAllah tabarakaAllahu shukran jazzakhaAllahu
Manshaallah Allah akuljpe kwa mawaidha safi kabisa endelea kutuwaidhy
Inshaallah mungu aniajalie mume mwema wa kheri na pia kutokea katika familia ya dini ya kiislam
Njo kwang bas from Burundi 🇧🇮
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Mashallah Allah awaongoze wake wetu wafatilie mawaitha , akilini.
Mashaaallah ukhty kwa maada mzr mungu akubariq
Masha Allah maneno mazuri
Ishalwah madamu kwa mawaiza Allah akufanyie wepesi kwakutupa dawa❤
Allah akupe afya njema
Akupe umri
Alaah kumpa afya njema na ujasri amin
Mashallah nakupenda Kwa ajili ya allah
Ma shaa Allah Allah akulipe duniani nakesho Akhera
Alaha akupe maisha marefu
MashaAllah ukhty Allah akupe nguvu na ukupe umri mrefu
Mashaallah nasaha nzuri Sana za kuijenga ndoa sababu ndoa nyingi zipo kushoto
Mashallah shukran ukhthy
MaashaAllah 💫 khuty
Mashallah Allah akulipe Kila la kheri
Ukhti niukweli mtupu mungu akuzidishie ilmu
Allah akuongoeni wanawake w kiislam
أللهم آمين،
Mashallah Allah akuhifadhi
Mashallah Allah akuzidishie elimu uht wetu umejaaliwa confidence endelea kujiendeleza kielimu uzidi kuitoa elimu kwa dalili zaid
Ukishakua mcha mungu Allah atakuelimisha usiyoyajua
Daah ila watu 😂😂kwaio ww mjuz zaid eti
Ahsante sana ukht🎉
Asante ukhty mungu akujaze kheri.lakini ile ya mihogo kwa mama halima nimecheka sana😅
MASHA ALLAH
Masha Allah shukran❤
Jazakallah khayran
Mash Allah jazz kalahul kheir
Mashallah
Asante Kwa mafunzo mazuri
Mawaidha Safi mashallah
Halima was just chilling 🤣🤣mashallah darsa zuri ukhty
Nimefurahi mtwara. Kucheiee
Swadkta ukhtii
Masha Allah kwani ndoa nyingi zimekosa muelekeo kwa kukosa mafundisho ya Quran na sunnah
Mashaa Allah
Mashaa àllah
Asalam alleykum munguakulipe kheri siku yamwisho
Mashaallah
Ila wametushinda tabia awa waume wasasa allah atunusulu vizazi vyetu
Si wote ila nawe unazngatia vipengele vyako
Utakapoxkua mwema Allah atakutngenea mambo yko
Masha allah
Maashaallah
mashaAllah
Swadakta madam
Mashalhaa
Masha Allha
Ninaswali mwalim
Hi I darsa zake anafanyia wapi nimpeleke me wangu ?@KalamuTV
👍👍👍
Aliekuoa amepata hakika, MUNGU muumba wa mbingu na ardhi bahari na vyote vilivyomo viavyoonekana na visivyoonekana akuongoze kuyatambua na mengine Zaid kwa faida ya wengi 🙄.
Wanawke hawapend kula wamo ktk vivaz t
Fafanua vizur hawapendi kula nini?
@@aminaalmazrui9785 hawapendi kulaa kwa kuvaa masha llah
Ww nae unagubu khaa kila koment upo 😂
@@rehmakondo kuniagua asaaa
😁
Your one side
Mashallah allahmdullilah MUNGU akulipe kila la kher ukth
What is the second side
mashallah
Ukhty Fatuma mie mwaka wakuolewa mie Namtaka uje nyumban uje unipe drasa za ndoa
Mwka gan tafadhali
Hhhhhhhh mwaaache
Andaa kipindi redioni ili Elimu hii ikutane na wengi.
Je hali ya wanawake ilivyo sasa, inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za mazungumzo, inayo wakabiri wanaume kwa sasa?
Swa dada
Naweza kupata in-box yako kwajili ya Allah
Kila mmoja anapaswa kuwa mtiifu juu ya mwenzake ili kudumisha mapenzi ya ndoa na mambo mengine.
😅😮
Naitaji number ya bi fatma mdidi
Kaswaid audio
Jambo hili wamama wengi limewafanya kuwachika
Jambo gani hilo
@@aminaalmazrui9785 ukhty ameliongea hujamuwelewa
@@saidsuleiman9018 nimemuelewa lakin Wew ndio hujamalizia jambo gani nataka nielewe samahani
Kujikweza Kwa waume zao kutokuomba ruhsa wanapo enda safari zao na kujiona wapo sawa na waume kwamba na yeye yupo na say
@@saidsuleiman9018 sub Hanna Allah,shukran sana,hili ni kweli kabisa na tena hata sijui mtu anafanya ivi kwa lengo gani,maana kama utafkiria mauti muda wowote utakufa huwezi kufanya ivi.
Asww
mwanamke gani wakiswahaba akipaza sauti yake na kuonesha sura zake.hizi darsa zako fitna.masheikh wamejaa hewani.nakama wafanya kwa ajili ya Allah .usingejipiga video.uzinifu uko njia nyingi,nahii ya sauti nimoja wapo.muogope Allah
Ni kweli lakini tumia staha
@@AbdallaSuleman-n9q🤔🤔🤔
Lakin ukhty ikiwa mke mwenyewe hanatabia nzuri hatakatika malezi hawape malezi bora ya kislam nivizuri asiendeleye kuza mana kuza tu bila kuzingatia malezi misione umuhim wake??
Sasa kama mke hanatabia mzuri, kaa nae kitako na umuelimishe haifai kumuachie bila ya kumuelimisha ,In shaa Allah ataelewa
Hakuna kuongokewa wote
Na uko kuzaa ndio uzima wao ao
Wasipo shuhulika na kizaz haw ndio hujikarbisha na Kaz si zao km uongozi
Wazae t ww km huez kuhdumia family walet uku
Mashallah
Mashaallah
Mashallah
Mashaallah