MSIKILIZE CHANG'WALU AKIICHAMBUA DHIKRI NA WANAOKOHOA "NENO KUKOHOA HAKUNA" | AWAACHA MIDOMO WAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 173

  • @ramadhanimsukuma8438
    @ramadhanimsukuma8438 2 ปีที่แล้ว +3

    WALLAH,SHEIKH CHANG'WALU
    NINAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH
    HALAFU UNAJUA KUONGEA SANA KWANNI USIWE UNATOA MAWAIDHA BHANA!!

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazzaka Allah kheri Masha Allah.

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 4 หลายเดือนก่อน

    Mmh...subhanallah

  • @abdullsalaammahamed9415
    @abdullsalaammahamed9415 ปีที่แล้ว +7

    Basi huyu shk chan'gwalu tukimuona tumuite cha cha cha cha cha cha cha cha cha au tumuite n'gwa n'gwa n'gwa n'gwa n'gwa n'gwa au tumuite Lu lu lu lu lu lu mkimuona mwambieni Achague kati ya hayo matatu , Sisi na yeye tutakubaliana hii sio Adabu, basi kwanini tunamfanyie ubakhili Allah unashindwa nini kusema Ya Allah ,Ya Rahman TUENI NA ADABU NA ALLAH

    • @ahmedmartin
      @ahmedmartin 3 หลายเดือนก่อน

      Soma lugha😂😂😂😂

    • @abdullsalaammahamed9415
      @abdullsalaammahamed9415 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@ahmedmartin wewe na yeye ndo msome🤣🤣🤣

  • @teedosuleish6155
    @teedosuleish6155 ปีที่แล้ว

    Shukran shekh

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 2 ปีที่แล้ว +8

    Aqida Sifuri.
    Sisi Hatuyajui Majina ya Allah ila Ni kwa Tawqiifiyyah.
    Hakika hawa wanamfnyia Mzaha Allah.
    subhaana Llah Ametukuka Allah na Majina yake Allah Hana Jina la Ah Ah Ah!
    Masufi Mkome!

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 2 ปีที่แล้ว +3

      Majina ya Allah pia zote zina maana... Watuambie maana ya hizo sauti wanazitoa wakikohoa

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 2 ปีที่แล้ว +2

      @@hay3_8kal
      naam Hilo pia

  • @nyumbayatibanadua737
    @nyumbayatibanadua737 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma shall aah. Allah akulipe Kheri kubwa wallaah

  • @urindaathumani6920
    @urindaathumani6920 ปีที่แล้ว

    Mashallah Sheikh yuko vizuri

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 2 ปีที่แล้ว

    ماشاء الله رحم الله والديك

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 ปีที่แล้ว +3

    Unaipamba bidaa we mzee ndio ucha mungu unapatikana aina iyo

  • @hay3_8kal
    @hay3_8kal 2 ปีที่แล้ว +5

    Astaghfirullah🙆🙆... Wameleta dini yao hawa masufi... Hii ni kupeleka dini kwa matamanio wallahi... Allah atuongoze sote

    • @teedosuleish6155
      @teedosuleish6155 ปีที่แล้ว

      Sasa unashindana na anaeleza kielimu .... الله Kila letter ukitoa Bado inaleta maana ya Allah

    • @hafanabdallah3112
      @hafanabdallah3112 ปีที่แล้ว

      😜😜😜😜😜

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal ปีที่แล้ว

      @@teedosuleish6155 angeanza mtume na maswahaba wake kuzitoa hizo letter

  • @allysaidy1965
    @allysaidy1965 2 ปีที่แล้ว +1

    Naaam MashaAllah

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 2 ปีที่แล้ว +2

    Doooooh Allahb Akbar

  • @asiaiddi2539
    @asiaiddi2539 2 ปีที่แล้ว +5

    Nilichojifunz kwa huu muda niliozinduk usingizin n kwamb nisihukum chochote km Kun Jambo silijui niwafate wanaojua niwaulize.....n hii imenipa umuhim wa kusema kwamb nirud madrasa..

    • @mtumwenikassim5245
      @mtumwenikassim5245 ปีที่แล้ว +1

      Hakika kabisa umenena vizurii sana wengii wanasema dhikrii haram bidaa lakin sivyo ilivyo hawataki kuutafuta ukweli uyoo mzee ameifafanua herufii yaaa alifu na he katoa kwenye kitabu cha Nahau lakin wasomi wasasa watakuambia nahau haramu wakati huwezii kuitafsur kur-ani kama hujuii nahau

    • @mtumwenikassim5245
      @mtumwenikassim5245 ปีที่แล้ว

      Rudiii darasanii

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 ปีที่แล้ว +1

    Wenye wanacheka na mwenye anadharau mwenyezi mungu wote dhambi sawa

  • @badilamu
    @badilamu ปีที่แล้ว

    Inna lillah waina ilayhi rajioon

  • @MOHAMEDYUSUPH-oq1th
    @MOHAMEDYUSUPH-oq1th 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman someni ili muelezee Soo mnakarili uyo jamaa anajua hata mkimbeza mnapoteza mda tu aliyejua kashajua hata ukikunja roho

  • @khamisjuma2785
    @khamisjuma2785 ปีที่แล้ว +1

    Hii kuko Howa munayo it's dhiqir Haina tofa uti na kuji piga fifuwa Kwa ma shia acheni uzushi hakupata Mtume (S.A.W) kufundisha hiki sio ibada hii

  • @rashidandayi5514
    @rashidandayi5514 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah dini ilikamilika nao kwa njia hizo hawapati haki

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 ปีที่แล้ว

    Allah atujalie tuwe wenye kumtaja Allah bila ya kucheza au kufanya vituko. Allah tumtaje kwa khushui na tuyataje majina yake kikamilifu . Sio aah ahaa ahha haaha ahah ahhh . Hivi mie niache kusema Allah nisema Ah ah Ah .

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnaillaih raajeoooun!! Msiba mkubwa huu Kwa waislam na ulimwengu wa kiislam Kwa ujumla!!

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 2 ปีที่แล้ว

      Huu ni msiba mkubwa sana tena kwa wale wasiotaka kusoma dini yao na kujifunza.
      Kama unasoma dini yako na kujifunza,hiyo kwako inakuwa ni furaha tu maana unakuwa unajuwa nini kinazungumzwa na kwa maana gani.

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 2 ปีที่แล้ว

      Majina ya Allah zote zina maana... tuambieni maana ya hizo sauti wanazitoa wakikohoa

  • @muryd6999
    @muryd6999 2 ปีที่แล้ว

    Magnificent ♥️♥️

  • @rashidandayi5514
    @rashidandayi5514 ปีที่แล้ว

    Mjina ya Mwenyezi Mungu haya dhubutu kwa akili za watu. Bali ni kwa Sheria

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 2 ปีที่แล้ว +3

    مِنَ الَّذِينَ هَادُوا يُحَرِّفُونَ الْكَلِمَ عَنْ مَوَاضِعِهِ وَيَقُولُونَ سَمِعْنَا وَعَصَيْنَا وَاسْمَعْ غَيْرَ مُسْمَعٍ وَرَاعِنَا لَيًّا بِأَلْسِنَتِهِمْ وَطَعْنًا فِي الدِّينِ ۚ وَلَوْ أَنَّهُمْ قَالُوا سَمِعْنَا وَأَطَعْنَا وَاسْمَعْ وَانْظُرْنَا لَكَانَ خَيْرًا لَهُمْ وَأَقْوَمَ وَلَٰكِنْ لَعَنَهُمُ اللَّهُ بِكُفْرِهِمْ فَلَا يُؤْمِنُونَ إِلَّا قَلِيلًا
    Miongoni mwa Mayahudi wamo ambao hubadilisha maneno kuyatoa mahala pake, na husema: Tumesikia na tumeasi, na sikia bila ya kusikilizwa. Na husema: "Raai´naa", kwa kuzipotoa ndimi zao ili kuitukana Dini. Na lau kama wangeli sema: Tumesikia na tumet´ii, na usikie na "Undhurna" (Utuangalie), ingeli kuwa ni kheri kwao na sawa zaidi. Lakini Mwenyezi Mungu amewalaani kwa kufuru yao; basi hawaamini ila wachache tu.
    عَنْ أمِّ المُؤمِنينَ أمِّ عبْدِ اللهِ عائشةَ رَضِي اللهُ عَنْهَا قالَتْ: قالَ رسولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ:
    {مَنْ أَحْدَثَ فِي أَمْرِنَا هَذَا مَا لَيْسَ مِنْهُ فَهُوَ رَدٌّ}
    رواه البخاريُّ ومسلمٌ.
    وفي روايةٍ لمسلمٍ: {مَنْ عَمِلَ عَمَلاً لَيْسَ عَلَيهِ أَمْرُنا فَهُوَ رَدٌّ}.

    • @saadibraahim8561
      @saadibraahim8561 2 ปีที่แล้ว +1

      Waziri Hamisi umsoma kwa shekhe gani maana unachukua aya zinazo zungumzia mayahudi unawaingiza waisilamu wenzako katika ukafiri acha ukhawariji na uwahabi auna maana hivi wwe umesoma kweli?

    • @aboubilal3926
      @aboubilal3926 2 ปีที่แล้ว

      Uwahabi ndiyo nini?
      Unajua Muislamu yoyote yule anayejiita Muwahabi?

    • @jibriilaboubakar2514
      @jibriilaboubakar2514 2 ปีที่แล้ว

      @@saadibraahim8561 miongoni mwa mayahudi mpo nyinyi makhurafi haja sema uwongo Allah wala hajasema uwongo mtume nakuuliza wewe jina hilo linatoka katka kitabu gani au ushabihi na ushabiki umekujaa toa hoja huyo shekhe wenu kaanzisha fitna sasa wewe jukumu lako kutengu tunachokipinga kwadalili si kejeli

    • @feisalboy6702
      @feisalboy6702 2 หลายเดือนก่อน

      Masufi too much tena

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 6 หลายเดือนก่อน

    Sufi

  • @hamidihassan2904
    @hamidihassan2904 ปีที่แล้ว

    ukiskia ubaramaki ndo huu hizi Mambo sijuw wanatoa wapi hawa watu na wenyewa wanafurah kwel ikiingia katk usufi asubuh haufiki jion ushapagawa

  • @myonlineteacheracademy8207
    @myonlineteacheracademy8207 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee kanichekesha sana....... Hapa mzee umetupiga kweupeeee... Hahahahahahahha

  • @saeedqaseem1283
    @saeedqaseem1283 2 ปีที่แล้ว +7

    Mtume salallahu alayhi wasalam hakua fundi wa hiyo lugha ya kiarabu kuliko wewe?
    Acheni uzushi bwana dhikr ziko wazi na hakuna mahali mtume salallahu alayhi wasalam kakohoa kwa kufanya dhikr na kama kuna dalili weka mezani wacha kiarabu kingi......

    • @khadiaally9192
      @khadiaally9192 2 ปีที่แล้ว

      Nenda ukasome dung mte kasha zikr hivyo unavyo ona wewe wanakohoa.

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 ปีที่แล้ว

      @@khadiaally9192 usiwambie watu wakasome bali wewe ulieaoma njoo na dilili ktk Qur'an au sunna dini yetu hii iko wazi njooo na dalili usizungumze kwa matamanio ya nafsi yako ukiwa huna dalili basi huu ni uzushi

  • @quranrecitations7267
    @quranrecitations7267 2 ปีที่แล้ว +2

    Majina ya Allah yote yana sifa haya hio haaaaaaaaohaaaaa ina sifa gani

  • @hay3_8kal
    @hay3_8kal 2 ปีที่แล้ว +1

    Majina ya Allah zote zina maana... Watuambie maana ya hizo sauti wanazitoa wakikohoa

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 ปีที่แล้ว

    .yani maswahaba wao hawakukijua hilo mukakijue nyinyi . Sisi tutafanya dhikri bila kucheza na kufanya vituko

  • @suleyazidu4991
    @suleyazidu4991 5 หลายเดือนก่อน

    Hii so lugha ya kiarabu bana, acha kudanganya bana. Halaf na wenyewe wanashangilia.

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo 28 วันที่ผ่านมา

    Mawahab mwajua kutokan tu lakn uelew wen upo kwenye makakio yenu

  • @abouado8127
    @abouado8127 2 ปีที่แล้ว

    tuma full

  • @ahmadifakimjaka1433
    @ahmadifakimjaka1433 2 ปีที่แล้ว +1

    Jahir murakkab

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 2 ปีที่แล้ว

      Hata kuandika jahil hujui maskini umemezeshwa tu na wewe unatema minofu iliyooza uliyolishwa

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 ปีที่แล้ว

      @@mohamedhamismagoraonlinetv459 yeye kakosea kuandika ila wewe umekosea moyo wako kuegemeza sehemu sahihi sasa jiulize nani atakae haribikiwa.

  • @hajinassor6369
    @hajinassor6369 3 หลายเดือนก่อน

    Sallaaala ilo sufiii

  • @MOHAMEDYUSUPH-oq1th
    @MOHAMEDYUSUPH-oq1th 4 หลายเดือนก่อน

    Hata mkituita watu wa dhikir makafir tuiten tu maana nyinyi kukufurisha watu Sasa ss tutaingia moron kwa kumtaja Allah alafu nyinyi mtaingia pepon kwa kukufurisha watu jamaa kashajua hata uwe na hasadi ktik moyo wko Kaz bure tu

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 ปีที่แล้ว +1

    Basi tuamini tu "hah aha" ni jina la mwenyezi mungu.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว

      Utaniumiza Na Mzaha Wako Kuwa Makini.

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 2 ปีที่แล้ว +1

      Nenda kasome lugha huenda kama utakuwa na nia ya kujifunza ukaelewa

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 ปีที่แล้ว

      @@suleymanmohd3418 Wewe umeamini hio ni jina la mungu??

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 2 ปีที่แล้ว

      @@mohagurey2214
      Unajuwa vizuri lugha ya kiarabu....,!!!?

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 ปีที่แล้ว

      @@suleymanmohd3418 sijui ndio maana nakuuliza wewe kama kweli unaamini "hah aha" ni jina la mwenyezi mungu???

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 ปีที่แล้ว

    Hawi mtu sufi asubuhi,ila jioni ni chizi(imaamu shaafii)

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wanaimba hiyo dhikri hajaifanya mtume ambea ndo kiongozi wa uma. Tuwaombee hidaya wajue haki na batil

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 2 ปีที่แล้ว +3

    Upuuzi mtupu hayo anayoyaeleza ni kwa mujibu wa maelekezo ya bwana mtume au maswahaba au matabii au maimamu wakuu wanne au kwa mujibu wa kichwa chake??

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 2 ปีที่แล้ว

      Mashindano ya qur an yanayo fanywa na mshindi anapewa Nyumba,fedha n.k ni kwa mujibu wa maneno ya nani....,!!!!?
      Ya Allah,mtume au maswahaba....,!!!?
      Tauhidi kugawanywa katika vipengele vitatu,hayo mafundisho ni kutoka kwa nani,Kwa Allah, mtume,au maswahaba......,!!!?

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 2 ปีที่แล้ว +1

      @@suleymanmohd3418 kupeana zawadi kwenye mashindano ya quran ni kwa ajili ya kuhamasisha vijana kuhifadhi quran...
      Halafu vigawanyo vya tawheed havitumiki katika ibada... Haiingii katika bid'ah...
      Hizi majina ama sijui ni kukohoa mnayatumia kama adhkaar... Kwa iyo mnakua mmeleta mapya katika dini.... Muogopeni Allah ndugi zanguni... Allah atuongoze sote

  • @shabanabdullaziz9934
    @shabanabdullaziz9934 ปีที่แล้ว

    Hiyo elimu imepokelewa ktk hadithi gani kutoka kwa Rasuulullaah swala na salamu ziwe juu yake, ama swahaba gani alifanya dhikiri hiyo ya KISHEITWAANI!?

    • @alawikihema8676
      @alawikihema8676 ปีที่แล้ว

      pole kasoma syntax na mophology ya kuarabu ndo uje hapa uanze kupinga tuache ujahili katika elimu kama jambo huna elimu nalo jifunze pia tumefundishwa tuulize lile tusilolijua

    • @alawikihema8676
      @alawikihema8676 ปีที่แล้ว

      kiarabu

  • @musawaziri5088
    @musawaziri5088 4 หลายเดือนก่อน

    Masufu nisawa na hamna kitu

  • @allysaidy1965
    @allysaidy1965 2 ปีที่แล้ว

    Aitwaa Sheikh Naani huyuu

  • @ramadhankheir4793
    @ramadhankheir4793 2 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wapo apoapo wamepinga 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @iddim.bakuli9395
    @iddim.bakuli9395 ปีที่แล้ว

    Jamani turudi shamba tukalime hizi njaa zitatupeleka sipo.

  • @salumnuhu9066
    @salumnuhu9066 2 ปีที่แล้ว +1

    وما مذهب الصوفية إلا بطالة وضلالة

  • @AliKhatib-vy1oj
    @AliKhatib-vy1oj ปีที่แล้ว

    Nyinyi masufu jielewen musikue mazuka

  • @quranrecitations7267
    @quranrecitations7267 2 ปีที่แล้ว

    Kukohoaaaaaaaa

  • @abdallahmoussa614
    @abdallahmoussa614 5 หลายเดือนก่อน

    mbona kwenye kusoma quran haisomwi hivyo iweje ma jina ya Allah muyachezeye alafa watu wanachekaaa subhaanAllah acheni uzishi katika dini fwateni Aliyo kujanayo Mtume sala na salam ziwe juu yake

  • @SaadRamadhani-he2ov
    @SaadRamadhani-he2ov ปีที่แล้ว

    Mawahabi lengo lao nikupingatu kila ambalo nafsi zao hazilitaki

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashk wakubwa wapo waonakenuwa tu wanasikiliza uzushi wa matwariqa

  • @quranrecitations7267
    @quranrecitations7267 2 ปีที่แล้ว

    Kusaaaaaalamaaaaaa hukoooooooooo

  • @mickdadymwinyi1936
    @mickdadymwinyi1936 2 ปีที่แล้ว

    Yote njaa hiyo

  • @quranrecitations7267
    @quranrecitations7267 2 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaaaaa mumezidi kudanganya watu nyinyi

  • @hasanikijanga9360
    @hasanikijanga9360 5 หลายเดือนก่อน

    Chizi mpuuzi huyu

  • @fadhilmohammed5353
    @fadhilmohammed5353 2 ปีที่แล้ว +3

    Bangi hizi hakuna cha maana alichosema hapo

    • @jibriilaboubakar2514
      @jibriilaboubakar2514 2 ปีที่แล้ว

      Hakadha

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 2 ปีที่แล้ว

      Usiwadharau wana wazuoni yawezekana wew ndyo hujamwelewa,kama Jambo hulijui,waulize wenye kulijua.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

      @@yasinomary2147 usishabikie ujinga!!

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 2 ปีที่แล้ว +1

      Sio bangi na hakuna alicho kisema,sema ni kwamba elimu yako ni ndogo kwahyo hujui nini kazungumza.
      Wanaojuwa wanajuwa hapo huyo kazungumza nini,ni ilmu yu hiyo sheikh,kama hukai darsani na masheikh kufundishwa dini huwezi ukaelewa.
      Ndio maana Allah alisema
      "WAULIZENI WANAOJUA IKIWA NINYI HAMJUI"
      Kama hujui uliza kwanza ufahamishwe na sio kupinga tu.
      Shida yetu watu wa sasa hivi tunasoma mitandaoni,tunafundishwa itikadi badala ya dini,ndio maana ikitokea mtu anazungumzia mambo ya kielimu unakuwa mgeni nayo na unaanza kubisha na kupinga.
      TUSOMENI DINI JAMANI NA TUACHE KUSOMA ITIKADI.

    • @ibrahimswalehe9303
      @ibrahimswalehe9303 2 ปีที่แล้ว

      Matusi hatujui Alhamdullillah turudinini tukasome In shaa ALLLAH

  • @salumnuhu9066
    @salumnuhu9066 ปีที่แล้ว

    Usufu niupumbavu mtupu

    • @salumnuhu9066
      @salumnuhu9066 ปีที่แล้ว

      Usufi niupuuzi nabatwili na uzushi

  • @hamadfaki2503
    @hamadfaki2503 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anatakiwa kupimwa akili kwanza

  • @husseinonacha4111
    @husseinonacha4111 ปีที่แล้ว

    mwendawazimu huyu

  • @selemoud600
    @selemoud600 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @galbasalim2164
    @galbasalim2164 2 ปีที่แล้ว

    Hao wanakusikiza na wewe ni wapi wagonjwa

  • @maimunashaban9538
    @maimunashaban9538 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jahili

  • @quranrecitations7267
    @quranrecitations7267 2 ปีที่แล้ว

    Munakohoaaa tuuu

  • @mariamuhady6257
    @mariamuhady6257 2 ปีที่แล้ว +1

    Madini adimu sana haya

    • @ibrahimabdillah5729
      @ibrahimabdillah5729 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna madini hapo...bali ni majaahili matupu

    • @mariamuhady6257
      @mariamuhady6257 2 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimabdillah5729 kweli bt nikatika kuchangamsha hadhara

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 2 ปีที่แล้ว

      Hayo madini kwanza kama hujasoma lugha ya kiarabu huwezi ukayaelewa,inakubidi ukae chini usomeshwe ndio usikie utamu wa hicho anacho kizungumza bila ya hivyo utaona ni ujinga kweli.
      Allah anasema,
      "WAULIZENI WANAOJUA IKIWA NINYI HAMJUI"
      Tatizo la watu wa sasa hivi kusoma hatutaki na tupo zaidi kwenye ushabiki.
      Tunajifunza zaidi itikadi kuliko dini.
      TUKAENI CHINI TUSOME DINI JAMANI TUACHE KUSOMA ITIKADI.

    • @ibrahimabdillah5729
      @ibrahimabdillah5729 2 ปีที่แล้ว

      @@suleymanmohd3418
      We ni mtu wa ajabu...Itikadi ndio Dini...na Dini ikiwa haina itikadi sahihi,hiyo ni Dini batili

    • @ibrahimabdillah5729
      @ibrahimabdillah5729 2 ปีที่แล้ว

      @@suleymanmohd3418
      Kisha
      Lugha sisi tunaisoma...ila tusiweke takliif katika mambo yasio na umuhimu...tazama jinsi huyo msemaji anavyosema,kisha fuatilia tena kwa umakini ikiwa ww ni mpenzi wa Lugha

  • @albassammusaalbassam7487
    @albassammusaalbassam7487 2 ปีที่แล้ว +5

    Ujinga mwingi katika dini Allah atupe fahm ya dini

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa,,,

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 2 ปีที่แล้ว

      Allah atupe ufahamu wa dini na atuepushe na itikadi maana ndizo zinazo fanya watu kutokutaka kujifunza na kuanza kuongea wanavyo vijuwa wao sio vinavyo julikana.
      Tusome dini na sio itikadi na tuwe tayari kwa kujifunza sio kubishana na kupinga.

  • @ahlanwasahlan1514
    @ahlanwasahlan1514 2 ปีที่แล้ว

    upumbavu mtupu

  • @abuu_hassanaini176
    @abuu_hassanaini176 2 ปีที่แล้ว +1

    Kikubwa ni useme nani kakutangulia katika hilo ? usilete falsafa katika ibada hamna dhikri ya namna hiyo

  • @25duller
    @25duller 2 ปีที่แล้ว +1

    Jahir murakkab

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว +1

      Tulia. Sikila Usichokijua Wewe Ni Bida'a

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nurdinmfamau3493 tosheka na ibada yasiyo na shaka ndani yake na uitumie wakati wako hapo. Hii innovations achana nayo

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mohagurey2214 Mtihani Nihali Yawatu Kama nyinyi Kilajambo Nahali Nimtihani Isipokuwa Kwamnaoyataka Nyinyi.

    • @jibriilaboubakar2514
      @jibriilaboubakar2514 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nurdinmfamau3493 we mpumbavu sana aliyefundisha hivyo ninani wako mpumbavu wewe mnajazana ujinga. Tu

    • @jibriilaboubakar2514
      @jibriilaboubakar2514 2 ปีที่แล้ว

      @@nurdinmfamau3493 mwajua kiarabu sana kushinda waarabu. Wenyewe.?