Yaaan mm siwez kuisia yanga hata siku moja wawe bora wawe vzr hayanihusu ninachojua Simba yangu ni boraaaaa tulikotoka kubaya tunakoelekea kuzur ihave hope
YANGA AMEWAACHA MBALI SIMBA 🦁 Baada ya Yanga kupoteza mchezo nilitaka nione reaction ya mashabiki wao katika vijiwe vya kidigitali nilitamani Sana nione ni kiongozi gani atamshutumu mchezaji gani kauza mechi. Nimegundua viongozi, Mashabiki pamoja na wazee wa klabu wapo smart Sana wamekubali maisha ya mpira Kuna siku mtapoteza haijalishi mna ubora kiasi gani. Pengine hapa dhana ya football ndio inaingia kuwa mchezo wa soka una matokeo matatu. Simba alipopoteza dhidi ya Yanga mbuzi wa kafara alikua kayoko, viongozi wakamvaa Kijili na Camara huku wazee wakiitisha press ya vitisho vya uchawi umeona utofauti? Kuna namna Kama timu zinatakiwa zipevuke kimpira na ziamini Zina haki za kupoteza mchezo.
Acha unafiki uwe mkweli tangu mwaka jana kwenye shirikisho na krabu bingwa na hata mechi za kirafiki yanga kafungwa na timu ngapi na yeye kafunga ngapi sasa huo ubovu wa yanga uko wapi roho mbaya uache
Mm cimba ila Yanga ni bora aiseeh tuache ushabiki na cio kwamb TZ timu zote mbovu , wala, cmba nzuri, cngda nzur, hata Dodoma wazuri. Angalia Yanga alivyotolewa Champions League na Mamelodi , katolewa kwa mang'@mung'@mu tuh na hujuma. Yanga bora, tujikaze na cc tukikutana nae tena tumfunge ili tuvimbe mbele yao na cio kushangilia tuh kaz wakifanya wengn, sawa inatulipa lkn tumkande wenyewe ili tuwe na maneno mbele yao.
Mm nimefurah mnoooo yanga kufungwa na Azam sababu walisema hii yanga unaifungaje kitu kingine maumivu ya yanga burudan kwangu tatu point tatu mzeee said chali unaijua point tatu
Jamani like kwa mzee saidi
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪...Mzee Saidi yupo safi sana,anaongea football ⚽⚽ na wala hakurupuki...naomba nikija Tanzania 🇹🇿,nimuone huyu mzee
Nlikusubili kwa hamu mzee said honger cha gamba kwa kutuletea mzee said mtu wamaana kabisa❤
Yani mm nilikuwa namsubilia mzee saidi jamani naombeni like ata kumi jamani❤
Ndio
Like mnazipeleka wap kwan
Hapo sasa@@JamesKatabazi-sf3pf
Mungu akuweke mzee Said.unanipa raha kwa kweli
Mzee said na chagamba Mungu awajalie uzima mzidi kutupa vitu bombaaaa ❤
Kakobe
Tumefungwa tuna furaha, hatujamlaumu kocha, kipa Wala viongozi 💚💛💪
Swala kwamba mmefungwa tu
Kabisaaa 😊@@abilahmanzi5921
Mtafute anaejiita mwalim km kweli weweee mtuatiliaji wa mpira
Yule mwalimu Yanga shabiki wa timu gani,yuko analalama tuu
Yaani chagama unapata raha sana unapo kuwa na mzee saidi yaani mzee saidi anafurahisha sana
Karibu sana mzee saidi napenda sana maoni yako hakika wewe na miraji maramoja mnauzunguzia mpira
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Namkubali sana mzee saidi
Uko sawa Kaka yangu.
Mzee Said kingereza chako kivyako vyako😂😂😂😂
Safi sana Chagamba kutuletea Mzee Said ananifurahisha sana
Duuu kweli,wanashangilia wakati wao wamefungwaaa😂😂😂😂😂
Jamaniii Mzee Wang Mbn Hasir Nyingii Kihas Hiko Anyway Tunaenjoy Kumuon Mzee Wetu Pendwa❤🎉🎉
Mzee saidi nakukubali sana
Hahaha eti kingili mzee saidi kazi nzuri sanaa tuna kupendaa
Mzee Said wewe ni mtu wa mpira. Hongera sana kwa uelewa wako.mkubwa. Hohehare ndio wanaoshangilia hawsjui.lolote. Bip up Mzee Said.
mzee saidiiii
Mnacheka Young kufungwa ngoja tukikutana mtalia machozi
Usichekwe kwani ww nani??
Ahaaaaaaaaaa uwiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉 Mzee saidi nimeanza ukuerewa kwaiyo Mzee saidi una sema auna uwezo wa kushinda Kila mechi
Duhh aisee mzee Side hatari sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo kazi IPO Mzee saidi
Mzee said upo vinzur ❤❤❤❤
Ni kweli kabisaa mzee Yuko sahih
We mzee saidi nakukubali sana 👊
Mzee said wewe nikimboko duu🎉🎉🎉🎉❤
Nampenda saidi
Chagamba mpe hata maji mzee saidi kolo limemkauka😂😂😂😂😂
Sio kolo.., koo
Mzee said bhana anapenda xana kuongea uwalixia🤝🤝🤝🤝🤝
Safi sn mzee saidii
Namuelewa sana mzee saidi
Em popote alipo mzee said niunganishe nikutumie hela😂 maan we mzee ndo mtu wa mpira 🙌
Mzee wangu unanifurahisha sana
Nomaaa mzeee said
Mzee Said anawadanganya wenzie kabla ya mchezo ulisema utamshangilia azam baada ya mchezo eti wasishangilie😂😂😂
Umeona eeh mzee said ni atar anabadrika
Mzee said acha kutudanganya kwamba hujafurahi yanga kufungwa uso wako2 unaonyesha furaha uliyonayo😅😅
😂😂😂😂😂😂 nimecheka mpaka mikojoo japokuwa nimefungwaa mzee saidi kweli kiboko, Kwa ivyo yeye alikuwa anaangalia Kila tukio
Mze Saidi Bana Mobethooooooo😅😅😅😅
Ilaaa wew mxeee unajuuaah hatariii❤❤❤
Usiwasifie banaaa mwaka huu wetu
Daaaah mzee said unanifurahisha sana
Daa mzee saidi unanifurahisha mno aksant kwa kuniongezea siku za kuishi
Mzeee wa hovyoooooo
Mi yanga dam ila mzee said anajju mpira ana kipaji
Mzee Said bhanaaaa 😅😂
Mzee saidi yana semwa Amefukuza kocha
Sema chagamba anamuweza mzee said
Kuna kupanfe nimeaangalia mala 10 haki ya mungu kusikiaa jina la tangawizi
Yaaan mm siwez kuisia yanga hata siku moja wawe bora wawe vzr hayanihusu ninachojua Simba yangu ni boraaaaa tulikotoka kubaya tunakoelekea kuzur ihave hope
Like hapa kwa kumuona mzee saidi
Mzee said uko vizur
Najua tumefingwa mzee saidi kafurahi sana
Mzee said kipayupayu tena jamani😂😂
Chagamb unaboa ndonn kumleta jiiioooooooooon😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Chagamba huyu mzee said kinoko usimwache😂😂😂
Maputila😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂ila mzeee saidi 😅😅😅😅 unanipaga Raha saaaana 🌺🌺🥀🌹💐🌷🪷🌸💮🏵️💮🌸🌸🌾🪷🍁🍂🌵☘️🪴☘️🌾🍀🌱🍀🌱🍀🌴🍀🍀🍀🌵🍀 mauwa yako
Chachiiii🎉🎉🎉🎉
Kabla y Ngao Alikufa FAINAL y Crdb Kafungwa Zanzibar ksha Ngao
Ila kizungu Cha mzee saidi noma sana et bed luck 😂😂😂
Maporofeshene 😂😀😁😁😂 Kweli ni bed laki And it was fandastic
Bed luck
Kingili
Hahahaaaa mze said kiboko bila kukusikia sijaelewa
YANGA AMEWAACHA MBALI SIMBA 🦁
Baada ya Yanga kupoteza mchezo nilitaka nione reaction ya mashabiki wao katika vijiwe vya kidigitali nilitamani Sana nione ni kiongozi gani atamshutumu mchezaji gani kauza mechi.
Nimegundua viongozi, Mashabiki pamoja na wazee wa klabu wapo smart Sana wamekubali maisha ya mpira Kuna siku mtapoteza haijalishi mna ubora kiasi gani.
Pengine hapa dhana ya football ndio inaingia kuwa mchezo wa soka una matokeo matatu.
Simba alipopoteza dhidi ya Yanga mbuzi wa kafara alikua kayoko, viongozi wakamvaa Kijili na Camara huku wazee wakiitisha press ya vitisho vya uchawi umeona utofauti?
Kuna namna Kama timu zinatakiwa zipevuke kimpira na ziamini Zina haki za kupoteza mchezo.
😂 😂 😂 😂 Fandastic
Mzee saidi upo vizuri sana ingekuwa simba wangesema kahongwa
Mzee Saidiiiiiii acha mambo yako unavunja mbavu zetu
Mzesaidi ee😂😂😂😂😂
Ukiangalia aliyesema acheni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣....
Haijahitokea nikakusklza bure mpk nicheke
Mungu bariki timuyetu ya yanga
Maproshono daah ila mwalimu wa mzee said😂
Wamxhelewesha mzee said sana bn twakosa uhondo sana akichelewa
Yanga inaonekana Bora Kwa sababu Tz timu zote mbovu, lkn ndo walewale tu
Acha unafiki uwe mkweli tangu mwaka jana kwenye shirikisho na krabu bingwa na hata mechi za kirafiki yanga kafungwa na timu ngapi na yeye kafunga ngapi sasa huo ubovu wa yanga uko wapi roho mbaya uache
Mm cimba ila Yanga ni bora aiseeh tuache ushabiki na cio kwamb TZ timu zote mbovu , wala, cmba nzuri, cngda nzur, hata Dodoma wazuri. Angalia Yanga alivyotolewa Champions League na Mamelodi , katolewa kwa mang'@mung'@mu tuh na hujuma. Yanga bora, tujikaze na cc tukikutana nae tena tumfunge ili tuvimbe mbele yao na cio kushangilia tuh kaz wakifanya wengn, sawa inatulipa lkn tumkande wenyewe ili tuwe na maneno mbele yao.
Mzee burudani sana
Tuliokua tunamsubili Mzee said like hapa jamaniii😂😂❤❤
Mzee noma namkubali sana
Mm nimefurah mnoooo yanga kufungwa na Azam sababu walisema hii yanga unaifungaje kitu kingine maumivu ya yanga burudan kwangu tatu point tatu mzeee said chali unaijua point tatu
kolo bhana ni asa ile nyimbo alitaka aimbe vp ni kama alikiba ile ngoma yake eti kombe la Africa ulishawahi kuchukia😂😂😂😂
Mzeee wang pendwa nakupenda mzee said unaongea point tupu
Itabidi siku moja nije kumsalimia mzee saidiiii😂
chagamba na Mzee saidi nakubali sana
Simba atalejesha hizo 3 tulizo mpa azam
Mzee said unajua kiasi chake jamaa watu pungufu wamehenya
Anadaiwa elfu 50 na chagamba
Waaaah nyekundu ya mzee Said unachekesha 😂😂😂
We mzee saidi muongo kweli,ila vichekesho uko oky
Unamtia kadi mchezaji fandaski😅😅😅😂😂😂😂 Mzee said wetu shikamooooo😅😅😅😂😂😂😂
Sawa mzee said
Mzee Sina la kusema hapa nimeisha kuwa mpole nime fungwaa
Kapita geti kubwa😂😂😂😂😂 nimeipnda hii
Mzee said umenikumbusha mbali sana.Taji bakari alikuwa refa kutoka Dodoma
maprokosheni😂😂😂😂😂
Kwani huyu kingili ni mchezaji gan mzee saidi😂😂😂😂😂😂
Anaitwa kijili so kingili🤣🤣
Uyu mzee anaongea ukweli anakitu
Fandastik😂😂😂😂😂😂
Mzee said kweli wewe mamruki nimeamini
Mzee said utachekwa etiii ukishangilia yanga wasubiri machine zijazo
safiiiiiiiiii Mzee said mpiraaa unaujauuuua
Huyu mzee hata Kama una stress znaisha anachezesha sana