MWALIMU JULIAS NYERERE: MAENDELEO NI WATU , MAENDELEO SIO VITU . #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money +255 685 72 22 17 (peter daudi)
Niliishi Tz kipindi cha Mkapa na Kikwete na picha niliyoipata ni kwamba nchi hiyo iko hatua mbele kuliko kenya.Kwa nini?Wana utu,wana amani,Maendeleo yao ni ya ukweli na miundo mbinu ni mikubwa na iliyojengwa kwa uadilifu bila ufisadi.La mwisho,hakuna umaskini wa kukidhiri na unaweza kujiendeleza bora uko na bidii.
Nasemaga Kenya wanahesabu kila transaction hata Filigisi ( Gizzard) zinaouzwa . Wakati Tanzania hawana time hiyo. Tanzania ikiweka kila Data ya transaction Tunawapita mbali sana sana. Tumeshawapita Kenya siku nyingi sana. Sana tu . Kabisa !.
Safi sana Kaka umeongea vizuri sana,yaani mimi huwa natamani hawa wazungu wafanye vibarua vya kulima mashamba yetu tena kwa jembe la mkono na inawezekana kama waafrika tutaamka na kufanya mambo yetu.
yes sir tunazo bandari nne mpaka sasa wao wanayo moja ujinga wetu kuto kureact kwenye mambo ya ujinga umoja mshikamano utulivu na amani ndiyo siri ya maendeleo Viva Tanzania VIVA LA REVOLUSION
Bado hamjasema tuko 67.milion nikuripakodi kujenga tz 🇹🇿 mritubiruza mikahiyo rkn kwa sasa hatutaki mambo mingi ripakodi jenganchi kwa seraya jpm rip John pombe Joseph magufuri long life mama Samia ❤️❤️🇹🇿🇹🇿
Mfano, uljerumani, Sweden, Danmark, Finland, Norge, ufaransa. Svealand, poland hizi nchi zinaheshimu lugha zao ukitaka kuishi uko na ufanye kazi uko lazima ujue lugha yao. Kwa hiyo na sisi tuipende lugha yetu kiswahili na tuiheshimu. Asante. ❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
Well said kaka, it is true true conclude that our trouble as a nation strated when Kenya got it's independence. Instead of uniting the Kenyattas were busy playing tribal politics. Our first constitution(Lancaster house) was autocratic in nature meaning it favored dictators more than liberal types of leadership. Any forms of challenges to the leadership were brutality met with force. People must thank kibaki because he was divinely inspired and visionary. He saw the need to change the constitution to even allow democracy. Meanwhile those who took over from him did not follow his steps, instead they chose to continue Kenyattas legacy of plundering the resources of the country. Just like Nyerere, kibaki retired with barely no wealth to show in his hands It is safe to say that our problems began immediately after independence. The legacy of winner takes all is still at play. It's a strategy leaders use to control those they rule over. It's time to get a different generation of rulers. If youths can't see eye to eye, then it's impossible to change the phenomenon
MUNGU IBARIKI TZ ZIDI KUTUWEKA JUU NA BADO HAMJASEMA YAANI MPAKA MSEME KUTANGULIA SI KUFIKA HATA NEW YORK ILIITANGULIA HONG KONG LEO HII HONG KONG IKO JUU KWA UWEZA WA MUNGU TUTAWAZIDI TU MAANA SI KWASPIDI HII AMBAYO HATA SISI TUNASHANGAA
Umeongea sawa .Sisi WaTz Pia kuna mahali pa kujisahihisha Kama nchi tusilale.Mimi ni kati ya watu naochukia hayo malinganisho kati Tz na KE .Tuachane na propaganda za magharibu .
Very good points from both of you. Kenya kazi yetu kwa mtandao ni kudharau Tanzania shilling every time. Total bullshit. These guys are ahead tukubali yaishe
Kila dk hiyo ni sh.ngapi ya kenya .mi nachekaga kweli Meanwhile na hiyo pesa yetu mnayodai ndogo , it caant imegine how far it can go hapa T🇹🇿z Watu wana kazi za kawaida hapa bongo ila ukienda wanakoishi you will be amazed, T🇹🇿nzanians wako very organized kuanzia ujengaji wa nyumba eanazoishi , assets, milo wanayokula kwa siku watu wanachakarika na matunda yanaonekana Jirani yeye kutwa english this english that , kenyan shilling here and there Wengine wanadiriki hadi kusema , waT🇹🇿z hawajui lolote, mara wavivu, ueducated ….. ANYWAY, tukutane 10years from now
Kenya iko mbele ya Tz, market wise,,,,ulizia nchi kama Nigeria, South Africa, na hata nchi za wazungu ...SGR na Bongo Music isikudanganye...tena GDP ndio nguzo muhimu katika jamhuri yoyote....
Kenya ni nchi nzuri tatizo lenu ukabira tu, mko vizuri mna democrasia,mnajielewa wananchi wengi wenu, kenya ni engine ya uchumi wa afrika mashariki. Viongozi wa kenya wapate mwalobaini wa ukabila.
Umeongea kwa ufahamu mkubwa. Nimependa sana approach yako, Nimependa presentation yako. Uko vizuri, naona bado pia tunahitaji kujikubali na kujitambua sana. Maneno ya kashfa ya Wakenya yanawafanya WaTZ wajione wanyonge kumbe we are far better than them. Mungu atusaidie tutambue na kuongeza speed zaidi ya kusonga mbele. Kudos BROTHER.
We are nearby to Pilitical Federation hizi nchi ni moja na zitakuwa nchi moja zote kama zilivyoamua zenyewe ziwe nchi moja na itakuwa na nguvu kama Marekani na Urusi , tusije tukagombanishwa tukaacha mawazo ya kuungana , Kenya ni ndugu zetu wa damu ,Unganda Congo zote , Sudan , ethiopia ,Burundi ,Rwanda na Somalia , Unity , Peace and love , namuomba sana Mungu niwe mmojawapo nitaliona Shirikisho la Afrika Mashariki
Kamanda nakukubali kaka hayo manenoyako ni akufundisha wa Tanzania mimi uku nilipo nipo na wakenya wanasema kama huyo jamaa pia wanasema Democrasia inawaludisha nyuma maana wameikumbatia sana Democtadia.
Your the most ignorant in the whole region...mko na mdomo kubwa tuu akili hamna .... busy bragging about GDP which is 80% Debt. Poor living standard , dirty townships .😂😂😂@@rashidwanjala8518
Ujamaa ulirudusha tanzania nyuma sana lazma tuambiane ukweli sasa hivi hapa africa kenyansa are very skilled compared to tanzania ndo maana sai diaspora remittance yani pesa ambazo wakenya walioko nje wanatuma nyumbani zimepita mapato ya utalii ni vizuri tanzania wanaamka eastafeica tusonge mbele pamoja hii kujilinganisha haisaidii mtu wewe binafsi maisha yako yako aje kila nchi ina mazuri na mabaya yake kuna vitu kenya inaeza jifiunza kutoka kwa tanzania na pia tanzania ina mengi inaweza jifunza kutoka kwa kenya juzi tu kenya ndio alikua muwekezaji wa pili mkubwa tanzania yaani kampuni za kenya zinawapa ajira hapo tz kila mtu ana maoni yake lakini kwangu binafsi hata kama mnakashifu kingereza ni lugha ya biashara ya dunia ni vizuri the next generation ya watanzania waelewe kuongea kingereza na mtaona mafanikio yake
Tanzania ipo mbali sana ukilinganisha na Kenya ukitaka kumjua hili nenda vijijini angalia maisha ya watu yapo chini sana hawana makazi,wanapangisha nyumba za wakubwa hawana mashamba
Tanzania mkona kibaridi mpaka lazima muongelee Kenya kila siku. Kenya imeongoza kwa kila kitu east and central Africa. Technology Infrastructure Government
Ni kweli bro umeongea ukw 8:21 eli mi nafanya kazi Kenya naishi More than 6 years but ukweli ndo huo waache kuongea mambo ya ukabila au ruto na kashagwa wafanye kaz
Nimesema sana,,mambo wanayosema Wakenya wanatanzania wanawafanyia au wanafikiria..wenyewe ndio wanafanya na kufikiria.Tanzania haina muda na mambo ya Kenya
Helen kuja KENYA utakuwa na uhuru wa kuuza KUMA Yako achana na MA-TZ hakuna DEMOKRASIA .KENYA KUNA DEMOKRASIA UTAUZA KUMA YAKO MKUNDU WAKO HAKUNA WAKUKUSUMBUA. NJOO MAMA.
Shida yenu mnajifanya mnajua kiingereza sana Eti mmesoma saaaaana.Mnalalamika nini sasa!?!?.kila kitu kizuri cha Tanzania mnataka kiwe cha kwenu.Haya subirini hapo tutarudi kuwachukua.
Kenya 🇰🇪 tukiongezwa miaka kumi, hata tutakuwa nyuma ya Uganda 🇺🇬 na Somalia. Achana na Tanzania 🇹🇿. Uchumi wametuzidi. Wakiinua viwango vya elimu kidogo, sisi kwisha!
@@SaneMweziUbarikiwe sanaaa dada ila mbona unatusi kila mmoja hata wasio kuwepo jamani,amani idumu mwisho wa siku njia ni moja hakuna ajuwaye.....ila Mola
Tanzania nachojua itapiga atua kubwa sana. Watanzania ni wavumilivu na marndeleoa ni kuwa mvimilivu naku focus... Kuna mambo matatu yatakayo tufanya tuwe na maendeleo.. 1. Investment... We need to keep on investing on infrastructure both by government and private sector. 2. Education. 3. Technology.
Mmh! Ukwapuaji wa ardhi wa viongozi na manyonyaji na makupe (mabepari) ndo usiseme! Huku wakiacha wananchi wa kawaida hawana hata Mita moja ya mraba ya kujenga!! Achana na sisi TZ hakuna anayekosa pa kujenga.
sisi wa kenya tunapo kua na program ambazo hazina faida kwa taifa kama housing program ambayo haileti hata fetha kwa uchumi wetu ndio tunajigamba naya eti ni maendeleo
Sisi wakenya tuko na viongozi katika akili kuliko ujamaa ndio maana katika 'kura na ustawi wa nchi' mambo ya politics itakua ngumu kuchambua. So man ni heri ukishaelewa kama sisi wengine huta komplain na uishi kenya. waache majira zetu wawe jamani, si kuwaamsha na mambo yetu. Kila nchi ina changamoto zake. Sio kwamba wametulia unadhani wamo sawa😢.
I'm Tanzanian, but Kenyan politics is way more advanced than any other East African country.
So what
Nothing advanced apart from tribalism and noise
Nimeipenda hii hususani finishing imekaa kizalendo sana
Niliishi Tz kipindi cha Mkapa na Kikwete na picha niliyoipata ni kwamba nchi hiyo iko hatua mbele kuliko kenya.Kwa nini?Wana utu,wana amani,Maendeleo yao ni ya ukweli na miundo mbinu ni mikubwa na iliyojengwa kwa uadilifu bila ufisadi.La mwisho,hakuna umaskini wa kukidhiri na unaweza kujiendeleza bora uko na bidii.
Jamaa anajua sana very smart guy
Kazi nzuri kaka 🎉🎉🎉
Nakukubali sana wewe ndugu. Nimekua nikifuatilia video zako, hakika wewe ni Mzalendo wa kutumainiwa.
Hongereni jirani zetu nafuatilia sanaa ❤
Karibu @Pauline.. Kenya Ni mipaka tu ya wakoloni but my relatives wengi wameoa na kuolewa Kenya. Let's build our strong future
Nasemaga Kenya wanahesabu kila transaction hata Filigisi ( Gizzard) zinaouzwa . Wakati Tanzania hawana time hiyo. Tanzania ikiweka kila Data ya transaction Tunawapita mbali sana sana. Tumeshawapita Kenya siku nyingi sana. Sana tu . Kabisa !.
Safi sana Kaka umeongea vizuri sana,yaani mimi huwa natamani hawa wazungu wafanye vibarua vya kulima mashamba yetu tena kwa jembe la mkono na inawezekana kama waafrika tutaamka na kufanya mambo yetu.
Wakenya wanaamini kujua English ndio kila kitu wakati wachina wanaongea zao kichina na wanaendelea
Absolutely 💯 agree with you my brother…we need people like you brother..Asante sana
Nakuelewa, na naona unaelewa vzr unachozungumzia.
👍🏼👍🏼👍🏼
yes sir tunazo bandari nne mpaka sasa wao wanayo moja ujinga wetu kuto kureact kwenye mambo ya ujinga umoja mshikamano utulivu na amani ndiyo siri ya maendeleo Viva Tanzania VIVA LA REVOLUSION
Nakukubari sana Brother
Kaka nakufatilia sana,uko vzr sana
TANZANIA ❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Haaaa.... Am on my cry now someone is hurting my heart as he pumping the naked truths and real facts about this two nations
Baba,uko vizuri.kuna watu hujivunia maendeleo ambayo misingi yake iliwekwa na wakoloni waliowatawala.ss wengine maendeleo yetu ni nguvu zetu wenyewe
Mjomba ubongo mdoga hawawezi kukuelewa watumwa wa fikla kukuelewa ni kazi sana kuku elewa
Bado hamjasema tuko 67.milion nikuripakodi kujenga tz 🇹🇿 mritubiruza mikahiyo rkn kwa sasa hatutaki mambo mingi ripakodi jenganchi kwa seraya jpm rip John pombe Joseph magufuri long life mama Samia ❤️❤️🇹🇿🇹🇿
Mfano, uljerumani, Sweden, Danmark, Finland, Norge, ufaransa. Svealand, poland hizi nchi zinaheshimu lugha zao ukitaka kuishi uko na ufanye kazi uko lazima ujue lugha yao. Kwa hiyo na sisi tuipende lugha yetu kiswahili na tuiheshimu. Asante. ❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Uko sawa brother 💯. Endelea kuelimisha jamii.
One love ❤️
Well said kaka, it is true true conclude that our trouble as a nation strated when Kenya got it's independence. Instead of uniting the Kenyattas were busy playing tribal politics. Our first constitution(Lancaster house) was autocratic in nature meaning it favored dictators more than liberal types of leadership. Any forms of challenges to the leadership were brutality met with force.
People must thank kibaki because he was divinely inspired and visionary. He saw the need to change the constitution to even allow democracy. Meanwhile those who took over from him did not follow his steps, instead they chose to continue Kenyattas legacy of plundering the resources of the country. Just like Nyerere, kibaki retired with barely no wealth to show in his hands
It is safe to say that our problems began immediately after independence. The legacy of winner takes all is still at play. It's a strategy leaders use to control those they rule over. It's time to get a different generation of rulers. If youths can't see eye to eye, then it's impossible to change the phenomenon
MUNGU IBARIKI TZ ZIDI KUTUWEKA JUU NA BADO HAMJASEMA YAANI MPAKA MSEME KUTANGULIA SI KUFIKA HATA NEW YORK ILIITANGULIA HONG KONG LEO HII HONG KONG IKO JUU KWA UWEZA WA MUNGU TUTAWAZIDI TU MAANA SI KWASPIDI HII AMBAYO HATA SISI TUNASHANGAA
😂😂
Haya mmetuzidi sawa basi kojoa ulale kaka, ila Kenya hatuhami tupo tupo sana na tunazidi! Wakenya woyeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hapana kenya mpojuu hakuna uzalendo kijinga kenya hongera zenu🌾🌾🌾🌾🌾🌾💐💐💐
🤣🤣🤣🤣 kaka makasiriko ya nini sasa mbona povu jingi 😂
Umeongea sawa .Sisi WaTz Pia kuna mahali pa kujisahihisha Kama nchi tusilale.Mimi ni kati ya watu naochukia hayo malinganisho kati Tz na KE .Tuachane na propaganda za magharibu .
Kaka upo sahihi tunaenda mbele.vyama visitupotezee dira yetu.
Tanzania has now the best road network! Don't consider the past
FACTS!!
Which road network? Kigoma iko na tarmac?
@@Yokomoi- Wacha bangi chokoraa
@@section8ight174 CCM itakula mali ya watanzambuzi yote
@@Yokomoi-Ofcoz,you should visit
huyu mKenya anafwatilia mambo kwa kina sio juu juu
Very good points from both of you. Kenya kazi yetu kwa mtandao ni kudharau Tanzania shilling every time. Total bullshit. These guys are ahead tukubali yaishe
Kila dk hiyo ni sh.ngapi ya kenya .mi nachekaga kweli
Meanwhile na hiyo pesa yetu mnayodai ndogo , it caant imegine how far it can go hapa T🇹🇿z
Watu wana kazi za kawaida hapa bongo ila ukienda wanakoishi you will be amazed, T🇹🇿nzanians wako very organized kuanzia ujengaji wa nyumba eanazoishi , assets, milo wanayokula kwa siku
watu wanachakarika na matunda yanaonekana
Jirani yeye kutwa english this english that , kenyan shilling here and there
Wengine wanadiriki hadi kusema , waT🇹🇿z hawajui lolote, mara wavivu, ueducated ….. ANYWAY, tukutane 10years from now
Iseh mnarespect road system yetu na vile iko ovyo! Kenya tunalia kila uchao barabara zetu ziko vibaya.
Kenya iko mbele ya Tz, market wise,,,,ulizia nchi kama Nigeria, South Africa, na hata nchi za wazungu ...SGR na Bongo Music isikudanganye...tena GDP ndio nguzo muhimu katika jamhuri yoyote....
I am a Kenyan lemi be sincere ...Kenya 🇰🇪 generally is a head of tz right now but where we are heading is totally pathetic
Kenya ni nchi nzuri tatizo lenu ukabira tu, mko vizuri mna democrasia,mnajielewa wananchi wengi wenu, kenya ni engine ya uchumi wa afrika mashariki. Viongozi wa kenya wapate mwalobaini wa ukabila.
Umeongea sahihi ubarikiwe ❤
Hongera sanaa: Mongogwelaanthony
Tunamalizwa na ukabila na rushwa bila huruma wallai unakuta mtoto wa mtu amesoma mbaya sna lkn anasukuma kokoo💔
Na mashamba pia kenya ni ngumu mtu wa kawaida gawezi pata shamba 😭😭 lkn tz ata mtu anauza soko lkn yko na nyumba n shamba
Mashamba walisha gawana zamani kina Kenyatta, Koinange,Moi, Njonjo Hakuna Ardhi.
Kenya bado mpo juu yetu sema tunawakaribia
Wako juu kwa lipi
Mkenya huyo achana nae hujui tu miandiko yao😂@@patrickKitambo
Wa Kenya watu ache kwanza🇹🇿🔥kelele zime zidi 🇹🇿🔥
Umeongea kwa ufahamu mkubwa.
Nimependa sana approach yako, Nimependa presentation yako.
Uko vizuri, naona bado pia tunahitaji kujikubali na kujitambua sana.
Maneno ya kashfa ya Wakenya yanawafanya WaTZ wajione wanyonge kumbe we are far better than them.
Mungu atusaidie tutambue na kuongeza speed zaidi ya kusonga mbele.
Kudos BROTHER.
Tuko nyuma wakenya, ukabila inatumaliza. Tuna changua viongozi kwa msingi WA mtu wetu, akisha chaguliwa wanapora nchi kumaliza.
Well said
Ni kweli kakaangu I'm so proud to be Tanzanian, nimependa sana
Vijiji Tz vipo vizuri sana kuliko Kenya nimeenda kule wana ita Wester pokoti ni kugumu sana
We are nearby to Pilitical Federation hizi nchi ni moja na zitakuwa nchi moja zote kama zilivyoamua zenyewe ziwe nchi moja na itakuwa na nguvu kama Marekani na Urusi , tusije tukagombanishwa tukaacha mawazo ya kuungana , Kenya ni ndugu zetu wa damu ,Unganda Congo zote , Sudan , ethiopia ,Burundi ,Rwanda na Somalia , Unity , Peace and love , namuomba sana Mungu niwe mmojawapo nitaliona Shirikisho la Afrika Mashariki
Wakenya wana kiburi cha kipumbavu.I totally agree with my Kenyan brother.
Tanzania, shida ni elimu .
Bila elimu Tz ,Kwa maisha ya baadae TZ Hana nafasi.
Hakuna sehem panamaisha magumu kama kenya nairobi sijui watu wanaishije
Uko vizuri mwalimu tupe faida achana n wajinga wa mrengo wa kimarekani na magharibi
Mm ni mkenya,lakini kwa mtazamo wangu kwa akili zangu mahali Kenya huelekea ni kubaya ,Tena hivi karibuni na tayari imeshafika.
Wewe sumbuka, kenya tuko na habari yoyote kinachofanyika kwote duniani,,,twajua mambo hata ya majirani,ni muhimu kuelewa mambo 🇰🇪🙏‼️
Marais wengine umepata isipokua Mkapa na Magufuli wanatokea kwa kabila kubwa, Mkapa ni Makonde na Magufuli ni Msukuma
shida ya Kenya ni kwa sasa tukona viongozi wapumbavu sana
Kamanda nakukubali kaka hayo manenoyako ni akufundisha wa Tanzania mimi uku nilipo nipo na wakenya wanasema kama huyo jamaa pia wanasema Democrasia inawaludisha nyuma maana wameikumbatia sana Democtadia.
Uchambuzi uliotukuka sana hakika wewe mzalendo bravo 👏
Atamimi najiuliza Kenya wametuacha nini au ndo iyo English 😂😂😂 Tanzania baba Lao
English gani kwanza wanapuyanga tu. Nawajua vizuri hawana umahiri wowote wa kiingereza. Waingereza wanaongea kiingereza lakini ni lugha tu.
😂😂😂😂😂hujifanya wajuaji ns kizungu yao imewafkisha wpi 😢
Ignorance has no excuse. I was in Dar last month passed through Arusha and Moshi. Tz has a long way to go.
This guy is a villager and has nothing to tell Kenyans.
Your the most ignorant in the whole region...mko na mdomo kubwa tuu akili hamna .... busy bragging about GDP which is 80% Debt. Poor living standard , dirty townships .😂😂😂@@rashidwanjala8518
Kilicho isukuma Tz kwenye Maendeleo ni Kilimo watu wanapata Pesa Snaaaa Kwenye hiyo sekta
Hayo ni mawazo binafsi ya youtuber
Asanteni sana ndugu zetu wachambuzi na qashauri kwa faida ya nchi zetu
is not the power of the dog in the fight but the size of the power in the dog
Ujamaa ulirudusha tanzania nyuma sana lazma tuambiane ukweli sasa hivi hapa africa kenyansa are very skilled compared to tanzania ndo maana sai diaspora remittance yani pesa ambazo wakenya walioko nje wanatuma nyumbani zimepita mapato ya utalii ni vizuri tanzania wanaamka eastafeica tusonge mbele pamoja hii kujilinganisha haisaidii mtu wewe binafsi maisha yako yako aje kila nchi ina mazuri na mabaya yake kuna vitu kenya inaeza jifiunza kutoka kwa tanzania na pia tanzania ina mengi inaweza jifunza kutoka kwa kenya juzi tu kenya ndio alikua muwekezaji wa pili mkubwa tanzania yaani kampuni za kenya zinawapa ajira hapo tz kila mtu ana maoni yake lakini kwangu binafsi hata kama mnakashifu kingereza ni lugha ya biashara ya dunia ni vizuri the next generation ya watanzania waelewe kuongea kingereza na mtaona mafanikio yake
Tanzania ipo mbali sana ukilinganisha na Kenya ukitaka kumjua hili nenda vijijini angalia maisha ya watu yapo chini sana hawana makazi,wanapangisha nyumba za wakubwa hawana mashamba
Tanzania hatuna ukabila...hatuna ukabilaaaa....hatujalibkabila la mtu
Mungu katupendelea sana kwa kutuondolea ukabila kwa sababu karibu afrika yote ni ukabila tuu.
Huyo ni MTU Wa content.. Anatafuta subscribers from tz
Well said brother
Tanzania mkona kibaridi mpaka lazima muongelee Kenya kila siku. Kenya imeongoza kwa kila kitu east and central Africa.
Technology
Infrastructure
Government
Hugo ni mjinga asituletee ukabila Tanzania sisi tuko sawa sana kuliko wao hawana chochote acheni maneno ya hovyo
Sisi hatuko Kwa siasa miaka zote zaidi tuko Kwa soccer ⚽ na makombe.
Kenya is still the best
Nakubali kaka
Magufuli alitoka kabila kubwa, wasukuma
Big up mzee umenena ukweli na huo ndio ukweli hata mm huwa najiuliza sana Wakenya wametuzidi wapi?.
Kweli kaka umesema kweli tanzania tumebarikiwa mno na muumba wetu tushukuru tuna amani
Ni kweli bro umeongea ukw 8:21 eli mi nafanya kazi Kenya naishi More than 6 years but ukweli ndo huo waache kuongea mambo ya ukabila au ruto na kashagwa wafanye kaz
Hongera maarifa mazuri
TANZANIA NI WORLD POWER KWA UMBAYA,ROHO CHAFU,UHASIDI NA KUROGANA KWA UCHAWI TUU.
Nimesema sana,,mambo wanayosema Wakenya wanatanzania wanawafanyia au wanafikiria..wenyewe ndio wanafanya na kufikiria.Tanzania haina muda na mambo ya Kenya
It is true bro kenya we are sleeping with our tribalisum
Wasukuma ni kabila dogo Tanzania? umeanza uchawa,kwamba chaguzi zetu ni nzuri haitaji mabadiliko?
Helen kuja KENYA utakuwa na uhuru wa kuuza KUMA Yako achana na MA-TZ hakuna DEMOKRASIA .KENYA KUNA DEMOKRASIA UTAUZA KUMA YAKO MKUNDU WAKO HAKUNA WAKUKUSUMBUA. NJOO MAMA.
Kweli tanzania tutafika mbali muumba anatupenda tanzania
Tanzania is the hub of Africa.Dar es salaam is the fastest growing city in the World
Heee!!!!!!! Ivi kutawala kabila ndogo ndo maendeleo jamani uchumi upo juu si ndo maendeleo yenyewe, mi sikubali akubali mhun
Mwambie huyo MKENYA. Si ndio analia . Sasa
@fatumajohn703 haliii anatafuta umaarufu
@@JibeMwaijibe-p1z kama uchumi uko juu mbona tunachoma BUNGE.AU HIYO NDIO "way of expressing DEMOCRACY?
Shida yenu mnajifanya mnajua kiingereza sana Eti mmesoma saaaaana.Mnalalamika nini sasa!?!?.kila kitu kizuri cha Tanzania mnataka kiwe cha kwenu.Haya subirini hapo tutarudi kuwachukua.
Umeeleweka vizuri
Mimi nime hama kenya to tanzania
Nimekufatilia ndugu yangu uchanganizi wako upo vizuri na umkweli kwenye uhalisia kuliko siasa, endelea kuelimisha
Kwa lipi sasa ?
Pongezi kwa wahasisi wetu was taifa kwa kuweka misingi mizuri
Kenya 🇰🇪 tukiongezwa miaka kumi, hata tutakuwa nyuma ya Uganda 🇺🇬 na Somalia. Achana na Tanzania 🇹🇿. Uchumi wametuzidi. Wakiinua viwango vya elimu kidogo, sisi kwisha!
anaijua tanzania kuliko wewe sio sisi
Ukabila wa kenya imeletwa na WAKIKUYU kwa kujiona ni bora kuliko wake ya wengine
Kaka nimekupenda wewe ni mtanzani halisi ni mipaka tu sisi ni wamoja na kenya tunawapenda na tunawaombea amani watoke kwenye ukabila
Tanzania tunazungumzia soccer ⚽ Simba na Yanga .Kenya wanazungumzia siasa mwaka mzm
Wakenya bure kabisa
Wakenya wanaandamana kisa mkate huku relief Yao ya sgr imeiba mabirioni ni wajinga sana😂😂
@@SaneMweziUbarikiwe sanaaa dada ila mbona unatusi kila mmoja hata wasio kuwepo jamani,amani idumu mwisho wa siku njia ni moja hakuna ajuwaye.....ila Mola
@@godshanthomas3297Heri wewe una akili zilizopitiliza,ila kuna mengi chini ya jua...usilolijuwa nyuma ya pazia...ukiyajuwa mhhhh
@@paulinewangila-cs6ysHakika
Honestly this video is a "complete facts" acha tuendelee.
Tuliambiwa na magufuli ,mkiacha ukabila basi mtakuwa vizuri na corruption ndio inatumaliza
Anaesema nyerere alikosea kuwafujuza wazungu ni mpumbavu
Retirement plan for a local village chief 🤣 FACTS!!
Tanzania nachojua itapiga atua kubwa sana. Watanzania ni wavumilivu na marndeleoa ni kuwa mvimilivu naku focus...
Kuna mambo matatu yatakayo tufanya tuwe na maendeleo..
1. Investment... We need to keep on investing on infrastructure both by government and private sector.
2. Education.
3. Technology.
Tatizo ukabila
Viongozi WA kenya ubaya wao ni kujipenda zaidi binafsi kuliko kuwahudumia Wakenya. Na ufisadi mwingi pasipo kujali Wananchi WA Kenya
Mmh! Ukwapuaji wa ardhi wa viongozi na manyonyaji na makupe (mabepari) ndo usiseme! Huku wakiacha wananchi wa kawaida hawana hata Mita moja ya mraba ya kujenga!! Achana na sisi TZ hakuna anayekosa pa kujenga.
sisi wa kenya tunapo kua na program ambazo hazina faida kwa taifa kama housing program ambayo haileti hata fetha kwa uchumi wetu ndio tunajigamba naya eti ni maendeleo
Don't you mind about slum upgrading?
Facts
From 5:00 minutes jamaa ndo anabonga point zaidi