Maneno Ya Sheikh Walid Juu Ya Maendeleo Kwa Muislam "Tusiwe Kama Jiwe, Miaka 50 Nyuma Sikuwa Hivi"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 306

  • @Naah-o2c
    @Naah-o2c 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +25

    Tunaobaki na kishki mpaka mwisho gonga like apa kishki forever 💪💪❤️

  • @AbeidNurdin
    @AbeidNurdin 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Allah amlinde sheikh kishk awa wengne maslahi tu wanawaza hiv kweli sharifu anaungana na mtu anaesema haamini katika mungu chief Goodlove huu msiba waislamu 😢😢

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr วันที่ผ่านมา +20

    Tupo pamoja na kishk na Allah atampa nguvu ya kuelimisha na kufichua utapeli wenu kwa kutumia kivuli cha dini InshaAllah

    • @HawaYahya-h8t
      @HawaYahya-h8t 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amiiin yaraaaaby

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 วันที่ผ่านมา +51

    Uislam umekosa wasimamizi, Sheikh Kishik Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza

    • @sein.208
      @sein.208 วันที่ผ่านมา +4

      Allahumma Amiyn 🤲

    • @PuzzleMc-zp2lg
      @PuzzleMc-zp2lg วันที่ผ่านมา

      Are you educated person.

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 วันที่ผ่านมา

      @@bennymochiwa4800 Kabisa

    • @binshomartv8680
      @binshomartv8680 วันที่ผ่านมา +3

      Amin Allahumma

    • @MariamHaroon-pu3lx
      @MariamHaroon-pu3lx วันที่ผ่านมา +2

      🤲🤲🤲ameen 🙏

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji วันที่ผ่านมา +17

    Nilikuwa nakuheshimu sanaaa shekhe ila kwa hili mmmmh hpana😊

  • @SaphiaSaidi
    @SaphiaSaidi วันที่ผ่านมา +13

    Toba hata huyu nae kishki Allah akulinde na akusimamie kwa kila hatua katika kuipigania dini

  • @bossmtoto133
    @bossmtoto133 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    From komoro Vijana wa kislam jitahidini kusoma dini Kishki kasimama kwenye ukweli Mufti yuko wapi anashindwa kushuhulikia suali kama hili watu wanazalilisha uislam mufti yupo wapi toa neno kuhusu hili fukuza shehi wa mkoa anatetea sharifu hata lafuzi ya kusoma hana na shangaa mpaka mazinge anatetea mufti yupo wapi

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et วันที่ผ่านมา +20

    Mmh makubwa allah tuongoze waja wako na utupunguzie njaa maan tunapoelekea sipo kbsa

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do วันที่ผ่านมา +22

    Mtume Muhamadi s a w alitabiria mwisho Dunia watazuka Majeshi wa Masih Dajal kabla hajafika yy Atapotezea Umma mwingi atafuatwa na kundi kubwa Akatufuza tusome dua Allahuma Audhibnnar Wammin fitinat Masih Dajal tumuombe Allah atujaliye khatima njema vizazi vyema Dalili za kiama zote hizi

    • @sayeedmsct4255
      @sayeedmsct4255 วันที่ผ่านมา +2

      Nikweli kabisa 😢😢😢

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff วันที่ผ่านมา +3

      Nawe Sharif kweli lkn c kwakujaza maji machupani na kuyafanya biashara
      Naomba jamani cc Waislam tukikwazwa na jambo bac tulijadili kiustaarab na sio kukwazana kwa kushindana kwa njia ya aina flani ya kugombana. Tucfike huko waislam

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff วันที่ผ่านมา

      Turudi ktk kitabu chetu
      Hakikuacha kitu. Wenye elimu wapo!

    • @SalumMzee-cw8do
      @SalumMzee-cw8do วันที่ผ่านมา

      @@TunauzaSimu-fn2ff Masih Dajal ana upeo mkubwa wakuweza kukulaghai Akili kukufufulia Mzee wk kumbe ana tumia Majin walio muasi Allah,Ataoa fatuwa kwa wasio jua kusoma Wasio kuwa Elimu watamuamin ndio hili hapa limefika Masih Dajal ana uwezo wakukujua unachofikiria ktk Nafsi mwako wakati hali ya kuwa yy ni Kafiri tuombe Allah atujaliye khatima ila hii sio Elimu ni mitihan mikubwa

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 วันที่ผ่านมา

      Kabisa watatokea watu wanaojiita masalafi uchwara kila kitu wajuzi wao kumbe hasadi zimewajaa tu katika nafsi zao maneno mengi elimu hakuna, wakioewa hojja hawazitaki wanafata misimamo yao tu, ALLAH ATUJAALIE BUSARA NA HEKIMA

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og วันที่ผ่านมา +8

    Kishki M/Mungu atakulipa wacha wakupige mawe tuu wewe ni mti uliyojaa matunda na uko kwenye mstari na tunakuelewa sana

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Waislamu huu upuuz tusikubal tutadhaulika sana, ndugu zetu wanatuona sisi watu tusiopenda ujinga Leo mtu anakuja kuleta mambo ya ajabu,, sheikh kishki alishasema ukweli kuyaacha yale yatakuja mambo ya balaa zaidi ukweli usemwe hata kama mchungu.

  • @kaznakazn3495
    @kaznakazn3495 วันที่ผ่านมา +5

    Subuhnallah na wewe tena Shekhe inalilahi wainailaahi rajighunna 😭😭😭😭

  • @idricemachudemachude1607
    @idricemachudemachude1607 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    kwanini Mashek wetu amuitani na mukayajadili aya mambo pamoja kabla ya kuyarusha mitandaoni?Munajua Kua munawachanganya umma, from Mozambique

  • @sein.208
    @sein.208 วันที่ผ่านมา +6

    Subhana Allah
    Astaghafirullah
    Allah atuongoze vyema Sheikh Kishki Allah akuhifadhi popote ulipo.

  • @LamaMandenga
    @LamaMandenga วันที่ผ่านมา +8

    Daa inasikitisha sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Bahati47
    @Bahati47 วันที่ผ่านมา +56

    Duh hata huyu tunae muona kiongozi ameshindwa kukemea mafuta msikitini ?😢 Kishki mwenyezi MUNGU akuhifadhi na akupe umri mrefu inshaAllah 🤲🏿

    • @AllyhHassani
      @AllyhHassani วันที่ผ่านมา +6

      Hapa hakuna Sheikh wote wapigaji tu.mwenyezi Mungu amesema.tukiikataa dini yake ataleta.watu wengine wenye mapenzi makubwa wenye kuipenda dini yake wala hawatakuwa na uwoga kama sisi.wenye kupindisha.ulimi ili mbaya iwe nzuri na nzuri iwe mbaya kazi ipo.masheikh wa mchongo

    • @Happy31213
      @Happy31213 วันที่ผ่านมา +7

      Uislam wa Tanzania bado kuna tatizo sana, imagine uyu ndiye Sheikh wa mkoa anafanya ujinga huu

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 วันที่ผ่านมา +1

      sana kabisa

    • @MariamHaroon-pu3lx
      @MariamHaroon-pu3lx วันที่ผ่านมา +2

      Sijategemea kabisa😢😢

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd วันที่ผ่านมา +3

      Hawezi akhi huyu ni ghurafi mkubwa, anajua haifai ila akisema na yeye itaonekana ame support alhikima

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ety shekh wamkoa anatetea uovu kweli innalilah wainallh rajiun tatizo njaa sana anakwepa mada yuka kweny mada acha kupinda

  • @mapromovichege6997
    @mapromovichege6997 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nilianza kujiuliza maswali na naendelea kujiuliza hadi unipe majibu shekhe walid, jitathmin mwenyewe kabla uuma haujakutathmini

  • @mohamedmagongo9348
    @mohamedmagongo9348 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Zama za Mwisho:
    - Kusema uongo ndio itakuwa ikichukuliwa sahihi.
    -Dini itauzwa kwa matakwa ya dunia.
    - Watu watawafanya waovu na hakiri kuwa watawala au viongozi wao.
    - Wasufi na wasomaji wa Quran watakuwa wapumbavu.
    - Watu waovu watakuwa wakiheshima.
    - Unafiki utakuwa ndio mambo ya kujivunia.
    -Misikiti itajaa kwa watu wasiokuwa na khofu ya Allah Swt.
    -Watu wenye fahamu na akili kasoro ndio watakaokuwa wakiongoza Sala za Jamaa na watu kama hao kamwe hawatashutumiwa au kusutwa na badili yake wataheshiwa.

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d วันที่ผ่านมา +8

    Waaah kama sio uluminati ni nn sharifu yuwavaa pete ya kichwa cha mfuuu husbunallah wanemal wakiil

    • @officialnuhu8163
      @officialnuhu8163 วันที่ผ่านมา +1

      Aisee inauzunish kweli 😭😭

    • @ukhtyaisha
      @ukhtyaisha 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nilikua nashaangaa pia zile pete zote za kazi gani aky

  • @jafarinauma6798
    @jafarinauma6798 วันที่ผ่านมา +7

    Sheikh Warid kaokota shida ipo wapi hapo katania tu... Sheikh Warid Mwenyezi Mungu akulinde inshaallah akupe maisha marefu tuendelee kupata elimu kutoka kwako
    Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @Naju645
    @Naju645 วันที่ผ่านมา +17

    Mashekhe wahovyo mmekua kama wanamuziki kupigana vita kama hamuijui dini mgekua waadilifu mgeitana faragha mkayamaliza kutwa mitandaoni kujibizana muwe nahaya dini haitaki hivi vitu jiheshimuni shekhe mzima wamkoa unaongelea mabishano yahovyo

    • @Dhawani-t8s
      @Dhawani-t8s วันที่ผ่านมา +1

      Hasaa nimekupenda bure ndo ninacho kisema kila siku kwanini wasiitqne na wakayqmaliza lakini lakini wao kila siku mitandaoni

    • @mwanaishanadi5828
      @mwanaishanadi5828 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa hawa walikuwa wasiwe wanabishana mitandaoni wanawafanya wasiokuwa waislamu kuwapa nguvu,wameisahau ile aya inayosema shikamaneni na kamba ya Allah wala mcfarikiane

    • @halimamohammed3580
      @halimamohammed3580 วันที่ผ่านมา

      Njaa oii jua Kali halima huruma Kwa jinsia wala umri wala wadhifa oiiiii

    • @zenasalum2231
      @zenasalum2231 วันที่ผ่านมา

      Sasa wakishaitana faragha sisi huku mtaaniI tutajuaje kama ​ Yale maji ni halal I au haraami @@Dhawani-t8s

    • @Tupena-ov7xq
      @Tupena-ov7xq วันที่ผ่านมา

      Wakristo wakatoliki hawafanyi hivi, huwezi kuwasikia wana maugomvi mitandaoni. Hamia kwenye ukristo ndugu yangu upate amani ya moyo

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary วันที่ผ่านมา +7

    Tamaa mbaya

  • @RashidiTullah
    @RashidiTullah วันที่ผ่านมา

    Mashallah, Allah akuzidishie , ni maneno ya hekima kubwa sana.

  • @yanifaakukufaa9032
    @yanifaakukufaa9032 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheikh walid ameongea point msikilize kwa umakini anamanisha fanyeni kazi masheikh wasiwe chawa wala omba omba kamtaja mazinge pia abadilike yaani asiwe chawa lkn indirect wala huyo wa kujiita sharif alisema wengine wanajiita sharifu awe wa kweli au wa uongo cha msingu hakukusudia kuwaongelea masharifu ndo maana alisema kaamua kujiita sharifu

  • @abdizahimhajir2116
    @abdizahimhajir2116 วันที่ผ่านมา +2

    Shukran Sheikh Wangu, nimekufahamu vyema.Allah Akuzidishie afya, elimu na Akubariki ❤

  • @Nuru_Maftah
    @Nuru_Maftah 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tuko na sheikh kishki mpaka mwisho, Allah azidi kukuongoz sheikh kishki. Yani walid nilikua nakufatilia kWa nasaha na elimu bora unayotupa kWa hili hapana aisee!! Very disappointed

  • @fay9687
    @fay9687 วันที่ผ่านมา +20

    😢😢😢😢😢 njaa mbaya masheikh pilau maslahi ya tumbo itawaua

    • @MursalKhamisi-fx5hh
      @MursalKhamisi-fx5hh วันที่ผ่านมา

      Jitahidi kuwa na kauli nzuri.

    • @mapishiyetumazuri2312
      @mapishiyetumazuri2312 วันที่ผ่านมา +6

      Wajuwa hakuna mtu yeyeyote ataependa kishiki coz ni mtu asemema ukweli

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 วันที่ผ่านมา

      Yaani hakuna watu wana njaa kama nyinyi masalafi tatizo hamujui tu kilichopo nyuma ya pazia, wakubwa wenu wanagawana pesa za mawahabi kutoka America halafu nyinyi munalishwa maneno mabovu kuwatukana waislamu wenzenu, hili ninalosema nimelishuhudia kwa macho yangu leo kusema kesho kuulizwa

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 วันที่ผ่านมา

      ​@@alhimnamussasaid3619umeshuudia nini uchawi wa masufi au mana masufi ndio mnaongoza kwa uchawi.tunawajuwa vizuli

    • @ibrasaid9256
      @ibrasaid9256 วันที่ผ่านมา

      Unaweza toa ushahidi masalafi wanalipwa na America?? Haya unayoyatamka kumbuka yanaandikwa, unaweza kuyatolea Ushahidi mbele ya ALLAH utakapoulizwa.?? Kunyamaza ni salama zaidi kuliko kuropoka​@@alhimnamussasaid3619

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 วันที่ผ่านมา +9

    Hapa nishaanza kuamin kuwa, watakoingia pepon ni watu wakawaida sana, tena wasio na majina makubwa Wala cheo. Ndo kinaonekana Leo walimu na masheikh wakubwa sahiz wameamua kuugawa umma, Ewe muislamu mwenzako maamuma wa kawaida jitahid tu usicomment Wala usitoe maoni yoyote kiushabiki. Tubaki kuwaanin watu wawili tu Mwenyezi Mungu na Mtume wake ila mwanadamu yeyote katu usjaribu kwasababu ni rahis sana kubadilika., Leo kabla waislamu wakae wajidhatiti kujenga Umoja ila matokeo yake ndo kama mnavoona., Balil inn-saana baswiiiiira

    • @shamteshabani
      @shamteshabani วันที่ผ่านมา +2

      rekebisha hapo ulipo sema tuwaamin watu wàwily àllaah àfànani nayeyote. allàh akuwafiqish katika khery amiin

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉​@@shamteshabani

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw วันที่ผ่านมา

      Unatakiwa umuwe radhi Nia yake ni tumuamni ALLAH na mtume wake bas tu​@@shamteshabani

    • @shaibukhamis863
      @shaibukhamis863 วันที่ผ่านมา

      ​@@shamteshabanihah lakn umeelew apo alicho maaansh

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 วันที่ผ่านมา

      Naona porojo tu hata sijui una maanisha nini

  • @mwinyiothman5106
    @mwinyiothman5106 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yaaani mie nilikuwa nakuona mtu wa maana sana lakin kumbe ovyo,hakika mungu ni mkubwa sana kwa kusema ukiona mambo yana utata kwa kupata jibu sahihi basi rudi ktk quran hakika maisha yetu yote yamo humo

  • @maalimhamad1297
    @maalimhamad1297 วันที่ผ่านมา +1

    وَلَا تَحْسَبَنَّ ٱللَّهَ غَٰفِلًا عَمَّا يَعْمَلُ ٱلظَّٰلِمُونَ ۚ إِنَّمَا يُؤَخِّرُهُمْ لِيَوْمٍۢ تَشْخَصُ فِيهِ ٱلْأَبْصَٰرُWala usidhani Mwenyezi Mungu Ameghafilika na wanayoyafanya wadhalimu. Hakika Yeye anawaahirisha anawapa muda mpaka siku ambayo macho (yao) yatakaza.katika kutoka rohozao

  • @harunirashid
    @harunirashid 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uwo ni ushirikina mtupuu,, sharifu anapete za majini tena ingine ina fuvukabisaaaa ,alafu mnatetea ujinga, waislam wasasa tunamshirikisha sana Allah , dhambi kubwa sana

  • @ramadhanimtango9832
    @ramadhanimtango9832 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waislam tusomeni dini vizuri tuielewe ili tuiache chuki maana wengi tunashabikia chuki

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi naona nyote mko sawa kiski na anachosema yuko sawq na nyiye mnaounga mkono sharifu mko sawa sasa tumwachiye mungu msipigane mafumbo kila mtu aamini anachoamini madhali nyote wa Islam allahuyaalam

  • @AsiaShaban-zz4yr
    @AsiaShaban-zz4yr 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa hayo mapete mengi kwa vidole y nini ?km sio ubabaifu tu

  • @WiseIskhak
    @WiseIskhak วันที่ผ่านมา +2

    Huwez kua mtumish WA serekal ya Tz alaf uwe muadilifu hususan hawa tunaowaamin nankuwaita mashekhe, wanachojali wao NI mkono uwende kinywan2 lkn ukwel hawausem

  • @arafalawvu6401
    @arafalawvu6401 วันที่ผ่านมา +1

    Aiseeee Sina hamu na huyu baba. Mola wangu nijaalie mwisho mwema

  • @ابوذر-د8ك
    @ابوذر-د8ك วันที่ผ่านมา +1

    Muna msikia warida na sharifa wote hao mrengo mmoja wee sisi waislam dini yetu ipo wazi batwil twaijua na halali twaijua pia

  • @OthumaniKadama
    @OthumaniKadama 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Katika maisha kamwe hua siwamin asilan abadan masheikh wa bakwata hua nawaona masheikh wa serialized sio wa mungu

  • @hassanbravo7412
    @hassanbravo7412 วันที่ผ่านมา +1

    Nyiny masheikh wengine hasa hasa wakibongo mnapenda pesa, mpo Kwa ajili ya maslahi, mnasoma dini Kwa ajili ya maslahi,, hamna lolote, hatuna shida na mafuta yenu

  • @edyiddy4711
    @edyiddy4711 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hamna shehe hapa

  • @jawadimwalim3634
    @jawadimwalim3634 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi japo nimechelea kuona klipu hiyi lakini aja nami niache komenti
    Wa Islam msimshambulie Bure Sheikh Walid, kwamtazamo wangu na nilivo skiliza hajasapoti huyo Sharif, lakini nikama alimkejeli kwa usharif na akatia Utani tu na ukitazama yeye Sheikh Walid alikuwa kama yuko tu kwenye kuendelea kuzungumza Mada aliokuwa anaongea, lakini pia kagusia huyo bwana kaamuwa kujiita Sharif maana yake ukitumia Hekma nakuchambuwa hilo neno utagunduwa kwamba Huyu jama sio Sharif na hatambuliki kama Sharif Ila kajiita Sharif . Vivo Ndio mimi nimejaribu kumuelewa Sheikh Walid Ndiomaana unaona kaendelea na mada yake tu aliokusudia kusimama kuzungumza ( Sasa wa Islam Mumechukuwa hiyo Taito muandishi alio andika hapo Basi na nyie mkatahamaki kwenye huskiliza 😂😂😂😂

  • @jeffmwambe7657
    @jeffmwambe7657 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukiwa mjinga uwezi kumuelewa sheikh warid hata siku moja elewa neno (umeona huyu bwana kaamua kujiita sharifu) sasa kama huwezi kuelewa huelewi mtu anaweza kujiita vyovyote lakini sio watu kumuita na kumuidhinisha kua yeye ni nani.

  • @hamisibakari7271
    @hamisibakari7271 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh anatamka kwa mpalange jaman bila hata kuwaza neno hilo linakusudiwa nini na wana jamii😢

    • @jafarinauma6798
      @jafarinauma6798 วันที่ผ่านมา

      Wewe umechanyikiwa sasa Sheikh Warid kakosea nini kutaja kwa Mpalange hilo si nieneo na watu wanaishi kule Yombo Buza

    • @ahz6907
      @ahz6907 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@jafarinauma6798hajielewi huyu😂

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ni Msufi ambaye ni Msamaria katika wakati huu anaroga mioyo ya watu wasiojua kusoma na kuandika

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 วันที่ผ่านมา +1

    Na apo mnasubiri siku ya Iddi mtucheleweshe kufunga na mtucheleweshe kuingia peponi.
    MNATUVURUGA MASHEIKH SASA MSISUMBUWI MWAPOSA TENA SEMA UNGANENI NAYE MPIGE HELA.

  • @KhamisAli-r1w
    @KhamisAli-r1w 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunawasema wake zetu kwenda kwenye vkoba na masherehe, kumbe na mashekh wana vikundi vyao vya kutunzana, naona shee anaongeza kasi ya maongezi baada ya kubustiwa na Sharif, hatar sana..Hela inawezafanya lolote..

  • @TwallayhatOmary-k3s
    @TwallayhatOmary-k3s 56 นาทีที่ผ่านมา

    Kama mtu unae akili na ukamsikiliza vizur shekh huyu wallah Allah kampa kipawa kikubwa saaana cha elimu Allah atunufaishe nae na elimu yake inshallah

  • @salimdiabyonlinetv4873
    @salimdiabyonlinetv4873 วันที่ผ่านมา +4

    Sasa hapo kosa la Shekh Waleed, Kosa Gani, Ikiwa yeye Amewasilisha Mada kwa Walimu wote Kwa Ujumla na Hata Jamiii kwa Ujumla, Hamna Alomsapoti wala Kumbeza, Jamani Kuweni Na Uelewa wa Mambo, TUSOMENI JAMANI ILA TUSISAHAU KUFANYA MAENDELEO PIA.

    • @SaliminSwalehe
      @SaliminSwalehe วันที่ผ่านมา +1

      Safi sana achana nao hao mawahabi

    • @salimdiabyonlinetv4873
      @salimdiabyonlinetv4873 วันที่ผ่านมา

      @@SaliminSwalehe Yah Akhuy, Watu wengi hivi Sasa Tupo kwenye Mabishano tu, Na Kujumuisha hata Wasio kuwemo, Mtihani mkubwa, Allah (s.w) Atatupa Uongofu In shaa Allah.

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 วันที่ผ่านมา +1

      Ana kosa kumchukua mtu anaekwenda kinyume na dini inavyotaka . Yy anamsupport hilo ni kosha kisheria. Sheikh kishki kasema ukweli. Mm hua naangalia dini inatakaje haswa ktk tiba ni vitu vya kuchukua tahadhari sana.

    • @jafarindege6640
      @jafarindege6640 วันที่ผ่านมา

      Wewe acha mapenzi simama kwa mola wako hii Dunia TU utaya acha hayo maendeleo

    • @jafarindege6640
      @jafarindege6640 วันที่ผ่านมา

      Nawew acha ubaguzi enzi ya mtume Muhammad swallalahu alaih wasallam hakukua madhehebu ila walikua waislam wanafiki na makafiri wew upon kundi gan

  • @AbdulJabar-l9u
    @AbdulJabar-l9u 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mala ya kwanza naskia mavuta hao mushikila kishik Allah Akuandalie Djanaaflidaus

  • @OthumaniKadama
    @OthumaniKadama วันที่ผ่านมา +1

    Nyie mataper na moto wa Allah unawahusu abadan

  • @abouddatrinest6091
    @abouddatrinest6091 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwamba ukismama nyuma yake yeye akiswalisha hesabb zake zinamwambia wewe n mteja wake…wallah uislam kama n hivi Rasulullah (s.a.w) asingekufa akiwa maskini

  • @saidemomade1195
    @saidemomade1195 วันที่ผ่านมา +1

    Astaghfirullah

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 วันที่ผ่านมา +11

    Huyo sio sharifu muhuni tu kama wahuni wengine

  • @Noorabdulrahman-x1d
    @Noorabdulrahman-x1d วันที่ผ่านมา

    Subhanallah

  • @SalmaMrembo
    @SalmaMrembo วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah

  • @hassanisihaka910
    @hassanisihaka910 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo tuko kushabiki sana Walid Hana Kosa kwenye Daawa
    Hapo kilichopo tu kumpinga ni makundi

  • @MUHAMMEDKIGUMI
    @MUHAMMEDKIGUMI 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie uyu shekhe waridi taswaufi imejaa, na pia balagha hapo imelala na icho kipande cha sharifu alitania2,

  • @sharifumussaalaadabiy9001
    @sharifumussaalaadabiy9001 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😊😊😊 kumbe nyie amja muelewa sheikh kasema sihuyu amejiita sharif

  • @sadakheri1795
    @sadakheri1795 วันที่ผ่านมา +4

    Sheikh wetu hao ni walewale tamaa

  • @msarama5406
    @msarama5406 วันที่ผ่านมา +5

    Hizi ni kazi wanazofanya karibu wote sasa hawawezi kukosoana wanaamini ni sahihi

    • @shabihiayubu6857
      @shabihiayubu6857 วันที่ผ่านมา

      Kwani kumuombea dua ni haramu ?

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np วันที่ผ่านมา

      ​@@shabihiayubu6857hakuna huram wa duw mafuta maji ya njano nini vile usharif kutoa wpi?

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 วันที่ผ่านมา

      Upo sahihi kabisa wote ni chama kimoja 😂

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 วันที่ผ่านมา +1

      Kumuombea mtu dua kuna sharti na taratibu zake sio kwenda mtu atakavyo.

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi วันที่ผ่านมา

      Yule anafanya biashara anauza dini mwamposaaa wa kiislam 😂😂😂😂​@@shabihiayubu6857

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dahh 😢mungu wangu

  • @ashanassoro6492
    @ashanassoro6492 วันที่ผ่านมา

    Bakwata ni shirika la Uganga 😢watu wa bidaa washirikina

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y วันที่ผ่านมา

    Yesu Kristo alikufa kwa ajili yenu..

    • @NuwayraHamidu
      @NuwayraHamidu วันที่ผ่านมา +1

      Bible imesema kila mtu atabeba mzigo wake sasa mbona haijaseme Yesu nabeba mizigo yenu

    • @hanspop6961
      @hanspop6961 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 Umejibu kisomi

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@NuwayraHamidu Ako kakifungu ndo umemaliza biblia nzima..Pia ndo unaielewa kweli ya biblia..??
      Mzigo apo anamaanisha/anatukumbusha tutembee katika imani ili tukawe na thawabu kubwa...Kama tulivyo amini.. tujitwike msalaba tuonyeshe tusonge mbele...

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@hanspop6961 Yesu anakupenda...

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukiristo ni ukafiri

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr วันที่ผ่านมา

    Comments nyingi zipo negative. But hii dini kuisoma na kuifahamu ni jukumu la muislamu binafsi yake. Elimu ni faradhi kwa muislamu wa kike na kiume. Isifike wakati muislamu unalalama kuwa unashindwa kujua ukae sehemu ipi kwa hoja eti unachanganywa au unayumbishwa na viongozi au waislamu wenzako.
    Kama tunavoihangaikia dunia ndivo vivo vivo tunapaswa kuihangaikia akhera kwa kuisoma dini yetu. DINI SIO USHABIKI BALI NI ELIMU NDUGU ZANGU.

  • @daudkindy5807
    @daudkindy5807 วันที่ผ่านมา +1

    Subhannallah

  • @yusrajafar4095
    @yusrajafar4095 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii njaaa😂😂😂😢😢😢😅😅😅

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah 😢

  • @AllyHozza
    @AllyHozza วันที่ผ่านมา +1

    mtihani mkubwa huuu haraam inakuwa halaal na halali inakuwa haraam. Allah atupe mwisho mwema , izi pesa izi daa ngoja nisiongee mengi

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu na walid hanacho anachokizungumza sasa amesema nini? Kumsupport Yule jamaa mwenyewe mafuta ? Sasa hii mifani ya nini? Kama darasa la tatu Yule jamaa kikweli ni unataka kupiga hela Sawa na mafuta ya mwampisa Yana tofauti gani hivi ndio kuibadilisha dini kwakweli tumepata viongozi sio kabisa sio shekhe mkuu wala wa mkoa hamna trush wote

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasahivi ukitaka kuwa tapeli nzuli Na kuwapotosha watu kkwa ushilikiana tumia dini utawapotosha sana watu

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 วันที่ผ่านมา

    Walid bid'a ni katika aqida na hukmu sio kwenye vitu vya technology mbona aibu hii!!??

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwn bakwata kuna masheikh au kunamashushushu wa serikali hawa ndio wanaopanga njama waislam wenzao watekwe na kuuuwawa

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtu anae sema mizimwi nisawa harusi atafanya usiku baharini kisha nawe uunge

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan วันที่ผ่านมา

    Duh Innalillah wainnailah rajiun yan kumbe warid nae mswahili njaa imetoka tumboni imehamia kichwani leo unalingania waislam wabadirike na wabadilishe yaliyofundishwa na mtume? Na unayaita maendeleo? Kwa taarifa yako uislam umekamilika hauhtaji akili yako yyte kama hutaki

  • @HassanUtoto-h9e
    @HassanUtoto-h9e วันที่ผ่านมา

    Sheikh Walid upo sawa sana watu wanajua uislam ni umaskini kishki kwasababu wanaletewa misaada na warabu wenzao wanajua maustadh na sheikh wawe ombaomba ila wao ndio watembelee magari

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 วันที่ผ่านมา

      Kishk hoja yake kwenye dini hakuna upako wale ni matapeli tu tena wezi na wahuni

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il วันที่ผ่านมา +1

      Hujakatazwa kutembelea gar tatizo unaipataje?

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 วันที่ผ่านมา +2

    Haya maneno utatamani siku Moja Usingeyasema.

  • @hamisichakachaka
    @hamisichakachaka 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sijaipenda hii kitu tumekuwa kama upande wa pili huyu akikemea huyu anasapoti Elimu yetu iko wp, tuna munqu mmoja kibla kimoja luqha ya ibada moja kitabu kimoja nk, haipendezi

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi วันที่ผ่านมา

    Mnaomlaum huyu sufi woote nawauliza..JE UNAWEZA KUONGEA IKIWA UNAMAJI MDOMONI?KUNA MAWILI IMA UMEZE UMPONGEZE ALOKUNYWESHA AU UTEME UMWAMBIE UKWELI 😢

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 วันที่ผ่านมา +4

    Bongo mpka masheikh ni wasanii 😂😂

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x วันที่ผ่านมา

    Waislam tunamtihani mkubwa humu wengi waliokomment ni waislamu lakini takriban wote wamehukumu motoni motoni Allah Akbar hivi kwenye vitabu vyote alivyoteremsha kwa mitume yake kunakipengele Allah ametoa authority ya kuwatiamotoni na peponi hapa duniani? Mbona mnamkufuru Mungu acheni hayo mambo waislamu kwani Allah anasema Inna llaha yahfiru dhunuba jamigha

  • @saidemomade1195
    @saidemomade1195 วันที่ผ่านมา

    Sheikh don’t do that 💔💔💔💔

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani วันที่ผ่านมา

    mudafrani rushua ilikua inaitwa taklima Sasa maji ya upako yamebadilishwa jina Kwa ajili ya kupiga pesa

  • @mzalendohasa
    @mzalendohasa วันที่ผ่านมา

    Haja sema sharifu kasema kajiita sharff tumuelewe walidi

  • @Abdallahmohamed72
    @Abdallahmohamed72 วันที่ผ่านมา +1

    Upuzi mtupu feki sana huyu

  • @KhamisAli-r1w
    @KhamisAli-r1w 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    BAKWATA ni chombo cha serikali kinachosimamia baadhi ya mambo machache ya waislam wa tz, kwaiyo tunashangaa nini kusikia vimbweka kutoka kwao!! Hapo atatajwa mungu, mtume na shetani pia..yani MCHANGANYO!!. Take care to BAKWATA...

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 วันที่ผ่านมา +1

    Tuliwambia mtautukana, weee,Ukristo mkimaliza, mtageukiana wenyewe kwa wenyewe
    ,itakuwaje uislamu dini ya kweli harafu,ninyi viongozi,wa,kiislamu,mhitirafiane,katika, tafasri za aya za,kuruani,yenu wenyewe?

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuna kuzidiana elimu kwenye uislamu hilo ni kawaida ila kwenye ukristo kwenye kanisa lote lenye watu 1000 mwenye elimu anakuwa mmoja tu hata akiwaambia wavue nguo na kujipaka kinyesi watakubali bila kuhoji

  • @sadickmshana8625
    @sadickmshana8625 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mada ilikua nzuri ila matokeo yake sio sahihi
    Allahul Aghlaam

  • @zully756
    @zully756 วันที่ผ่านมา

    Mtihani

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 วันที่ผ่านมา +1

    nyie ndiye mnafanya waislam kutapeliwe!!
    .hakun cha sharif hapo!!utapeli tu!!
    Sema wanawapenyezea kitu kidogo!!!

  • @sashaman3862
    @sashaman3862 วันที่ผ่านมา

    Moja ya dalili za kiama ni makundi ya dini moja kupingana

  • @AbdulhafidhSaleh
    @AbdulhafidhSaleh วันที่ผ่านมา +1

    Mnamsema vibaya tu shekhe hajasem nisharifu kasema kaamua kujiita sharifu

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 วันที่ผ่านมา

    Huyo sheikh walid akate mzizi wa fitina yeye kama nani? Walid ni mpumbavu kama wapumbavu wengine wa kisufi.
    Huyo aliwahi kusema kama mufti hatoingia peponi wataandamana. Ndio muelewe maneno ya imaam Shafy aliposema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika adhuhuri atakuwa mpumbavu.

  • @ATICKLUNKO
    @ATICKLUNKO วันที่ผ่านมา

    Watu wanatukan masheikh kwenye koment,,lakin wao wanamhar washenzibhawawahi kuwatukan

  • @AliBuya-nv3ym
    @AliBuya-nv3ym วันที่ผ่านมา +1

    Asalam Alaikum naomba muweke wazi pia kuhusu uwalii maana pia hawa ndugu zetu wanapinga kitu kabla ya kutathmiin yalioko katika vitabu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 วันที่ผ่านมา

      Nakujibu mimi kumjua walii ufanye kibarua kweli huwezi kumjua eti ni walii ndio yule utahisi tu kwa zama zetu. Mahafadhi Quran wapo wengi lkn kumtambua walii mbinde.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@mwawekomiuda9779walii ni mtu wa aina gani?

  • @abdoumadiousseni4835
    @abdoumadiousseni4835 วันที่ผ่านมา

    Hicho ndoshina cho sababisha kupoteza uma nyinyi wajiga kweli 😢😢😢

  • @BabyCleaver
    @BabyCleaver 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    dah dunia imeisha hawa ndio mashehe wakisasa wanapindisha dini kwasababu pesa tu dini simzaha dah tuna maji ya upako

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    njaaaa zimewatoa kwenye misingi

  • @Abdallahmohamed72
    @Abdallahmohamed72 วันที่ผ่านมา

    Anazungumza nini sasa maneno hayanamafunzo kabisa huyu sio shekhe hana maneno yenye faida hata kidogo

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 วันที่ผ่านมา

    Huyu sharifu jmn mbona ana Pete ya vibwengo ebu tizama picha ya Pete zake vizur