PART1:LWANDA MAGERE TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI AELEZA MAKANISA YENYE NGUVU ZA KUZIMU/AJIBU MASWALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 324

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli mimi na tamaa ya ngoono kama leo nimesex na wanaume watatu tofauti yeeee kweli hili wigi lipo kichwani ndio linanipeleka ivi ngoja nichome

  • @michaelmoto6019
    @michaelmoto6019 3 ปีที่แล้ว +16

    Yeeeeeeeeeee jamani uku kumenoga mzee wa bakora za kimkakati amerudi tena tufanye kitu kwa ajili yake jamani mbona stori yake inatubarki sana

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 ปีที่แล้ว +17

    Hakuna stori nilioopenda kama hi na nilimpenda sana huyu alisimuliz vizuri sana.

  • @akinyisheron9503
    @akinyisheron9503 3 ปีที่แล้ว +10

    I know this was a real life story...but this was the best told story...voice,diction...good one...bakora za kikakati....hahahaha

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 ปีที่แล้ว +12

    Ndo maana sipendi miwigi + mikuchaa + mikope =Yaani chochote ambacho sio nilichoumbiwa sivipendiii 🙌🙌🙌

  • @oscarkibate1913
    @oscarkibate1913 3 ปีที่แล้ว +20

    Watu nadhani tulienjoy sana story tukamsahau muhusika. Nikiwemo pia jamani vista weka number yake tena. Wenye nia njema njooni tumsaidie.

    • @longjuly239
      @longjuly239 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata uislamu haumruhushu muislamu kunyoa nywele.

  • @pili3750
    @pili3750 3 ปีที่แล้ว +4

    Akina dullivan wavaa mawigi 😀😀😀😀

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      We mwenyewe huvai

    • @pili3750
      @pili3750 3 ปีที่แล้ว

      @@gosbertmuta5421 sijawahi kuvaa na hata bei yake siijui Alhamdulillah Allah kaniruzuku nywele amazing masha Allah

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      @@pili3750 pili🤣🤣🤣🤣 wow mwanamke wa tofaut we au mzanzbar

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii mada imenigu sana un kutaa mtu kavaa kanguo kafup mgongo asilimia kubwa upo waz anakwambia katoka kanisan me kweli hichi kitu napiga ad mwisho tena najua hakuna din inayoruuhusu mtu kuwa na nguo fupi popote ata filam hzo za Yesu hatujawa kuona mtu kavaa kanguo kafup ebu alienielewa ... a like apa

    • @qaswidangitu5302
      @qaswidangitu5302 3 ปีที่แล้ว

      Na wamekuwa wakifunika vchwa vyao kwa kutumia nguo

  • @nakiwalahjulliet9208
    @nakiwalahjulliet9208 3 ปีที่แล้ว +12

    Next time host zablon please.big up young man.

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว +12

    Hapo kwenye mawigi ni kweli kabisa. Angalia maisha ya kina Wema Sepetu,Gigi Money,Nandy,na wengineo wengi hasa wasanii wa Tasnia ya Bongo movie na Music industry,kuolewa ni kikwazo. Wanaishi maisha ya kikahaba bila aibu na wanaona ndo ujanja kumbe ni mapepo yanawasumbua.

  • @nellyrhn4349
    @nellyrhn4349 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli asante san kaka maana ma wigi njo inakua nywele zasasa niatari kwakweli Mungu atusaidie

  • @ochidovictor9531
    @ochidovictor9531 ปีที่แล้ว +1

    Akuna stry niliependa kama hii jamaa anajua kusimulia..jamà la mabakora😅😅😅💪

  • @livingforgod2705
    @livingforgod2705 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli kabisa mimi
    Ni shuhuda wa mawigi nk.Mungu aliponibadilisha na tabia chafu zote zikafa.Nlichoma mawigi nk ya ghali
    Sana ila sasa niko huru na nina furaga sana.

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 ปีที่แล้ว +10

    KABISA KABLA YA KUMUOMBA MUNGU CHOCHOTE KWANZA YATUPASA TUMJUE KWANZA MUNGU WETU

  • @farajagordon4724
    @farajagordon4724 3 ปีที่แล้ว +5

    Suz way mama alinikataza kuvaa mawingi + makucha+makope ya bandia. Hakika new life in Christ nimatam

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 ปีที่แล้ว +4

    Duh afazal umemleta tn🥰 ndomaana nakupendaga Mr DM❣️

  • @faithkavete2967
    @faithkavete2967 3 ปีที่แล้ว +3

    Si mara ya kwanza kusikia hii habari ya wig. Mimi napenda nywele zangu sana. Yesu alizoniumba nazo. Yaani nachukia mawig kabisa na sikujua sababu gani. Kumbe Yesu alikua ananiepusha na mapepo ya wig dah!!!

    • @vicentsandess4880
      @vicentsandess4880 3 ปีที่แล้ว +2

      Hongera

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 ปีที่แล้ว

      Kumbe!!! Ni kweli hupendi kwasababu hauna hela au ukipata hela utakuwa unatisha na utanunua Yale ya laki sita kama wakina wema

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 3 ปีที่แล้ว +5

    Karibu mzee was mademu wa kimataifa

  • @sheikhabdallahiddi3350
    @sheikhabdallahiddi3350 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah amesema itakuja haqi nabatwil itajitenga. Leo mmesikia kwamba kujisitiri mwili wako mzima Ila uso na vitanga vya mikono. wanawake wote wanao tembea vichwa wazi sikati fupi au nguo fupi hao wote ni washirika wa masheitwani nawengi wanaigia katika sehemu za ibada kama kanisani wengi ni wigi staki fupi guo wazi bala juu ya balaa

    • @estermosha1985
      @estermosha1985 3 ปีที่แล้ว

      jifunze kwanza kuandika sheikh ndo uje na huo ushauri wako

    • @sheikhabdallahiddi3350
      @sheikhabdallahiddi3350 3 ปีที่แล้ว

      @@estermosha1985 wengi wa watu wamenielewa Ila wewe hukunielewa. inshaAllah siku nyegine utanirlewa

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Usmshike kipofu mkono mwache mwache kabsa maana

    • @edsonndomba1049
      @edsonndomba1049 3 ปีที่แล้ว

      Nakuvaa manguo meusi na mekundu ni ma uchawi pia

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah ujumbe umewafkia kwakwel shukran Sana mung akulipe kwa elimu hii

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 ปีที่แล้ว +3

    🤸🤸🤸🤸🏋️🏋️🏋️🏋️ fimbo za Kimkakati..
    Naomba atuambie namna ya kupata hiyo ya mkakati. Nimekubali Sana story YAKO. 👏👏👏👏

  • @ruthalberts8199
    @ruthalberts8199 3 ปีที่แล้ว +9

    Hiyo yote kuhusu wiggy ni ukweli kabisa, mapastor wengi wameiongelea.

  • @rogermomodesty3568
    @rogermomodesty3568 3 ปีที่แล้ว +3

    Dulvani ndiye mwanaume anayevaa mawigi na jot

  • @HamixBreshiBane
    @HamixBreshiBane 3 ปีที่แล้ว +1

    Uislamu chini Ya profesar Muhammad (S.A.W) ilishayaonaga haya anayozunguza jamaa miaka Mingi sana iliyopita...
    Haki na Batili itajitenga na Mengi Yataonekana miaka hii...asee kwa mungu kesho Tutaona mengi sana

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 3 ปีที่แล้ว +7

    Mzee wa bakora welcome back

  • @jamesabraham2757
    @jamesabraham2757 3 ปีที่แล้ว +3

    History zuri sana hongera Sana Brother Lwanda magere.

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 ปีที่แล้ว +3

    Hilo la mawigi nalikubali kwa %100) Wigi zinavuruga sana wanawake!

  • @jumashindano4758
    @jumashindano4758 3 ปีที่แล้ว +5

    Hey davista thank you to bring that guy back we love him

  • @samiralliy4214
    @samiralliy4214 3 ปีที่แล้ว +1

    kama umemuna tena mzee wa bakora za mkakati liki 👎zake hapa

  • @007-h9m
    @007-h9m 3 ปีที่แล้ว +2

    😀😀mzee wa bakora za MIKAKATI😀😀😀

  • @pili3750
    @pili3750 3 ปีที่แล้ว +1

    Woyoooooooooooo my love lwanda magere kaja tena 😍😍😍😍😍

  • @habibafeithal4014
    @habibafeithal4014 3 ปีที่แล้ว +1

    Woyooo tusharudi kwa mzeee chibalondaaa,,,💃💃💃 bado gamboshi sasa

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +2

    Amependeza Leo mzee wa bakora 😀😀😀

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 ปีที่แล้ว +1

      Naa nilimiss.... 🍆

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Teacher_01 😀😀😀

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 ปีที่แล้ว +1

      @@somoeawadh7774 😂😂😂

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 ปีที่แล้ว

      @@Teacher_01 😂😂😂😂

  • @vicentsandess4880
    @vicentsandess4880 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimegunduwa davister anatumia ugoro nimeucheki mdomo wake siuelewi kabs😂😂😂😂😂

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว +3

    Yesu nakupenda mimi...

  • @zhanyongwang9226
    @zhanyongwang9226 3 ปีที่แล้ว

    Kaka davistaaa we ni mtu makini san, had rwand magere big up sana we luv you

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 3 ปีที่แล้ว

    Kweli maneno yako mawigi ni mashetani pia mwanamke akijisitri anapendeza zaidi asante Davistar Mwenyezi Mungu akulinde

  • @medardissa6253
    @medardissa6253 3 ปีที่แล้ว +2

    Hata walie namna gani usiwaelekeze maana utakuwa unafanya kazi ya shetani kupeleka watu jehanam,fanya kazi ya Mungu kuwatoa watu huko.

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up uchawi. Nimemkubali sana Mungu bonge

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 ปีที่แล้ว +1

    Wooooooooy nimechelewa wapi jama kuja Kumvew mzee wa bakora za kimkakati 😂😂😂😂😂😂

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 3 ปีที่แล้ว

    Njo mambo haya sio wale wengine wanaikalia kutudanganya eti wailenda mbinguni kumbe wanaenda kuzimu . Big up brother . Love from Australia 🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇨🇩🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺

  • @shabanikinyenje8168
    @shabanikinyenje8168 3 ปีที่แล้ว +7

    Ni kweli kabisa Kuna haja ya kufanya Jambo kuhusu huyu Rwanda Magere ili kumwezesha aweze kujikimu katika maisha.Nimpe hongera kwani leo amependeza vya kutosha.

  • @makame3524
    @makame3524 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa anakili sana, dunia imemfunza

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว +5

    Mzee wa bakora yupo fteesh amependeza.

  • @jannyrose5367
    @jannyrose5367 3 ปีที่แล้ว +6

    Usielekeze mtu kwenda gizani plz....

    • @tonnyg5304
      @tonnyg5304 3 ปีที่แล้ว +3

      Kwel kuelezeka mtu ni kama umeshiliki asibanganywe na machozi ya watu kuelekeza Kwake kunamrudisha kulekule alipotoka yeye kama Mkrist aliyebadilika inabidi alijue hilo

    • @jannyrose5367
      @jannyrose5367 3 ปีที่แล้ว +3

      @@tonnyg5304 you are right,,,ni kama kupatia mtoto kisu ajiue eti kwa sababu amekililia!

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Wanalazmisha Sasa afanyeje hata ningekua mm ningeelekeza

    • @jannyrose5367
      @jannyrose5367 3 ปีที่แล้ว

      @@gosbertmuta5421 hakuna,
      mtu mzima halazimishwi,
      Tena ukiwa na msimamo kamili,you will focus on your decision no matter what!

  • @flubtv
    @flubtv 3 ปีที่แล้ว +7

    ZABRON TUNAMTAKA TENA DAVISTAR

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 3 ปีที่แล้ว +1

      Natamani sana kujua anaendeleaje 😭😭

  • @xiwuyan457
    @xiwuyan457 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye Ngono ni 10000%% Mawigi ndio yalivyo always

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว +2

    mr bakora za mikakati wellcome back.bt uwache kusifia mambo za gizani msifu Yesu

  • @kamagaissa4561
    @kamagaissa4561 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda kazi zako

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +2

    Duh pamoja na somo kubwa lakin kumbe kuna watu wanataka kwenda kutafuta utajiri kwa mzee Nchibalonda 🤣

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      mtihani mkubwa mno .

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว +3

    Bakora za kimkakati 💪

  • @tracyirene8917
    @tracyirene8917 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wa Bakora 👍 karibu tena 👍

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kwa kumrudisha......mafunzo nayapata 🇰🇪🇰🇪

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaaa yuko vzr sana

  • @sophiajonas3459
    @sophiajonas3459 3 ปีที่แล้ว +1

    Okoka Magere Mungu ana mpango kukutoa kule

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +3

    Simpendi ata kidogo mwanamke wakujivika wigi aisee na chukia sana kwann unapenda huwe kama mtu mzungu wakati mzungu mwenyewe ana penda nywele asili za mwafrika ni upumbavu mtupu

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Upo km mm mke wangu nilimpgaga malifuku zamaaaaani

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 ปีที่แล้ว +2

    Haise inatisha kumbe kuna watu wanamsumbua mzee wa bakora xa kimkakati awaelekeze maali alipopata utajiri wa nguvu za giza,

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 3 ปีที่แล้ว +2

    content i enjoy thanks for this im waiting to hear how he found God

  • @rosemarry2020
    @rosemarry2020 3 ปีที่แล้ว +1

    Karibu sana mzee wa bakora za kimkakati

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

      We Rose weweee! unafurahia bakora? Shauri ako🙈🙈🙉🙉

    • @antipascann2797
      @antipascann2797 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 3 ปีที่แล้ว +3

    Tuko pamoja mzee wa Bakora za kimkakati

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 ปีที่แล้ว +2

    Karibu Sana magere

  • @lyidwinafilbert6079
    @lyidwinafilbert6079 3 ปีที่แล้ว +3

    CHAWA EVOQUE WA davistar Nimeazima simu leo sina bando lakini account sio yangu

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 3 ปีที่แล้ว

    Umependeza Sana..na kunawiri..Mungu akupiganie zaidi

  • @makaatalia121
    @makaatalia121 3 ปีที่แล้ว

    Hivi kiswahili hamkijui au vip kujishaua na kiingereza Cha kuunga unga.

  • @hillarykirui4257
    @hillarykirui4257 3 ปีที่แล้ว +1

    The story we like

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 ปีที่แล้ว +1

    Next

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumekucha tenaaaaah mko wapi wangu

  • @IbrahimPhilipo-np5zy
    @IbrahimPhilipo-np5zy 8 หลายเดือนก่อน

    Gooood

  • @etrophianeema8070
    @etrophianeema8070 3 ปีที่แล้ว

    Asante Luanda Magere umetoa maelezo mazuri sana

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 ปีที่แล้ว +2

    Mawigi ya wadada zetu yanakuwaga na spirit of lust (pepo wa ngono)na pride (majivuno)yote hayo matokeo yake ni MOTONI

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana mtu makini kabisa mr fact

  • @gasparmpangaa8329
    @gasparmpangaa8329 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwenye mafuta mwamba utagusa pabaya maana hapa dar ni baraa

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 ปีที่แล้ว +1

    Mr everything please please mwambie huyu jamaa asiwaelekeze yoyote kwa shetani Mungu atamuhukumu asiseme ati yeye hatalaumiwa awambie bila uwoga NO mfano ni kama vile mtu ameogoka anamtuma mtu kwa mganga kwaniaba yake hatakama yeye haendi kwa mganga kwa macho ya Mungu ana dhambi Mungu anamhesabia dhambi.kama kweli anamtegemea Mungu sasa basi awache kuelekeza watu kwa shetani.wacha walie hatakama watalia damu

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapa nimeingia haraka haraka sana ningonje bakora mkakati

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 ปีที่แล้ว +1

    Afadhali tupo na mzee wa bakora

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว +3

    Story nzuri sana ✨

    • @estermosha1985
      @estermosha1985 3 ปีที่แล้ว

      my wangu upo vizuri...kila story haikupiti

    • @margaretachieng9887
      @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว +1

      @@estermosha1985 ok my dear thanks 💯

  • @rahmayohana2583
    @rahmayohana2583 2 ปีที่แล้ว

    Rwnda magele tuli kumis mzee wabakala😁😁🙏

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanamke wa leo uchome wigi lake 🤣🤣🤣kwa kwel hamuez kuelewana kwa kwel

  • @swaifasaid1742
    @swaifasaid1742 3 ปีที่แล้ว

    huyu kaka hatar kwa kueleza wallah.mungu akuongoze kwa kila jambo mana unatufundisha mengi sana bila kujali dini.

  • @mohamedimusa2043
    @mohamedimusa2043 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ndiye mwenye stori bora toka amalize sijawahi kusikia stori nzuri tena saluti kwako 👍👍

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Mfano mm zilirushwa nyiiingi baada ya hii Lkn niliishia kuangalia ya mdada mkenya yule lkn sjaimaliza maana spat mssmko km hii ase

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 ปีที่แล้ว +3

    Watu akili zao zina mafuta ya taaa kweli shida zote za mzee wa bakora na nyinyi mnazitaka du noma

    • @pili3750
      @pili3750 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yaan watu ni waajabu sana kwa kweli yaan unalilia kuzimu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 3 ปีที่แล้ว

      @@pili3750 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bonychitanda6410
    @bonychitanda6410 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ni muongo sana anataka kupiga tu hela kilungu hayupo Hugo mzee

  • @gsokya937
    @gsokya937 3 ปีที่แล้ว

    Davista punguza sauti ya hiyo beat

  • @vicentsandess4880
    @vicentsandess4880 3 ปีที่แล้ว +2

    Oyaaaaaaaa ageuke bas ila mm nishmjuwaaaa

  • @susankomu8978
    @susankomu8978 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu n mzee wa bakoraa zakimikakati😅😅

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wetu welcome back

  • @fredrickdaniely8973
    @fredrickdaniely8973 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wabakoraaa Karib san

  • @marryjoely8091
    @marryjoely8091 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu bro kwenye mawiki apo yuko sawa kabisa

  • @baravuga622
    @baravuga622 3 ปีที่แล้ว +1

    Bakora za Kimkakati..hahahaaaa

  • @ninajohn8643
    @ninajohn8643 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli ametusaidia sana kujuha mengi ya nguvu ya giza asante sana

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni ule wa Fimbo za kimkakati 🙏🙆

  • @beautyshine935
    @beautyshine935 3 ปีที่แล้ว +1

    Watatu Leo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      kesho utakuwa wa kwanza

  • @nsubisingailo5006
    @nsubisingailo5006 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwani hayo mafuta ndio haiwezekani kuwekwa vitu vya kishirikina

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

    Namm nawauliza je mnaendaga kanisani kumjua mungu au mpate matakwa yenu

  • @abubakarwadi5773
    @abubakarwadi5773 3 ปีที่แล้ว

    More fire mzee wafimbo zakimkakati

  • @Laila-lz4ij
    @Laila-lz4ij 3 ปีที่แล้ว +1

    Davistar Muulize Vipi bado Anawasiliana na shangazi yake yule Wa mwanza alio ambiwa na malkiya amtoe kafara!? Na je yule Dada Wa Arusha alimtafuta tena?

  • @farhadhassansaid8830
    @farhadhassansaid8830 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana hayo miwigi ni kweli yapo na mapepo, alafu pia mafuta ya Al Zeit Zaitun(Olive Oil) mazuri sana

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi naomba unisaidie tu ile dawa ya babu Nchibalonda ya bakora za kimkakati.Hawa wadada wa siku hizi hawatosheki aisee😄😄😝. Kidding!

  • @saidhomie3368
    @saidhomie3368 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa vile anavyo kisema kiswahili fasaha, ni mfano kwa watanzania wale wanaotaka kubadili lugha yetu nzuri.

    • @estermosha1985
      @estermosha1985 3 ปีที่แล้ว

      kabisaaaa

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Said sema kingne ulichovutia nacho kwa mzee wa bakola

    • @saidhomie3368
      @saidhomie3368 3 ปีที่แล้ว

      @@gosbertmuta5421 sikusikiliza story yake na sijui kwanini anaitwa mzee wa bakora, sihitaji kuulizwa ningeandika tu,Kuishi kwingi kuona mengi, Mimi nina miaka 60, nimeishi maisha na nimetembea dunia, wewe jifunze kwenye maisha yako, na useme nini ulicho vutiwa, usiniulize masuali, kama hayo, utafaidika nini Kwa kinacho nipendeza, au kunivutia? Huyo mchungaji anamuongelea Yesu kama ndio Mungu, Jee Maria atakua Mama Mungu?

  • @khalidhamis5811
    @khalidhamis5811 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomb kuuliza umesema tutumie mafuta ya nazi pure je kwa mafuta ya mise yanayotokan na (mchikichi) je unaweza kutumia pia? Maan unaweza kupikia hata kupaka sio mawese ni mise tunda za michikichi

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 3 ปีที่แล้ว

      Yanaitwa mawese sio mise