DADA MWENYE MAJABU YA KUTISHA/NASHUKA KUTOKA MBINGUNI/NILIWEKWA MOCHWARI/NAIJUA KESHO/ZINDIKO UCHAWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @yoldayim4492
    @yoldayim4492 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah dada anahadithia vizuri sana.

  • @jazzymkalitv5535
    @jazzymkalitv5535 3 ปีที่แล้ว +5

    Ulinichekesha sana ulipo kuwa Arusha. Eti...hujazoea baridi, vijana laini laini kutoka Dar!😅😅😅

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetie6934 😂😂😂.....na mie ndiyo maana nimecheka kweli kweli. Davista na mautani tani yake. 😅😅😅

  • @joycekariuki46
    @joycekariuki46 3 ปีที่แล้ว +4

    Tuned in from kanairo 🇰🇪

  • @Hashkan22
    @Hashkan22 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaah mbozii huko nimesoma shulee huko Mbozi mission high school, unanikumbusha mbalii

  • @aishakama1279
    @aishakama1279 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo story inaendana naya kwangu mpaka nikaitwa mchawi kwenye familiar

  • @patrickpazza4764
    @patrickpazza4764 3 ปีที่แล้ว

    Bro hiyo sehem naifaham Sana mm Niko mkwajun songwe hapa

  • @latifasaisi3548
    @latifasaisi3548 3 ปีที่แล้ว

    Davista Big Up story nzuri Sana imepata anayejua Kuadithia.

  • @jesusreignsrestorationministry
    @jesusreignsrestorationministry 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu tafadhali SAIDIA WATU WAKO ili WAKUJUE WEWE VYEMA. Utawaepusha na mengi!

  • @mutukumwaniki3901
    @mutukumwaniki3901 3 ปีที่แล้ว

    Davista io sauti ya nyimbo iko juu sana teremsha kiasi

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 3 ปีที่แล้ว +1

    This world truly we are passing by have God all the way , spiritually evil is always around us as well 🙏🏾🙏🏾

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 3 ปีที่แล้ว

      Kavaa shuka kutoka mbingun istoria nzur sana

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว

    Subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi namambo ya duniani 🙏🙏🙏🙏Ameen

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว +1

    N,6 Bora together na Mr dm Mr everything 💪🇹🇿

  • @kelvinkatende3871
    @kelvinkatende3871 3 ปีที่แล้ว +2

    Sawa sawa

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dada anaongea poa na haraka vile inaijua, wengine ni wa slow unaboeka

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    hiyo advert iko sawa sana hehe

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +3

    Team kujiamini mupo 🥰

  • @allexlunny7795
    @allexlunny7795 3 ปีที่แล้ว

    Yani anachanganya waganga na Mungu umoumo duh kweli Mungu muumba vyote.

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว

    Story nzuri sana ✨

  • @matridalule5614
    @matridalule5614 3 ปีที่แล้ว

    Upo mbeya sehem gani kalibu kwangu kaka

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว

    Mambo ni mengi.nimecelewa lkn nipo. Tuendelee mr DM.

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 ปีที่แล้ว +1

    'Kesho hakuna aijuae'

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 2 ปีที่แล้ว

    We mwandish punguza maongez

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 3 ปีที่แล้ว

    Kigoda🙆‍♂️kiswahili ngumu kwel

  • @asiamussa3780
    @asiamussa3780 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu wa leo hadi raha,muwaziiiiii

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 ปีที่แล้ว

    Kaka davistar mwambie atuhisie hiyo michanjo ya corona inann mana tunalazimishwa kuchoma chanjo hata hatuilewi

  • @lilianphilemon907
    @lilianphilemon907 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuu kwetu uko jamani

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana bro

  • @saadahassan1437
    @saadahassan1437 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂nilivyomuoga Moto ungeunguza akili zote am sure

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 ปีที่แล้ว

    Safi broo

  • @lydiaedwin3998
    @lydiaedwin3998 3 ปีที่แล้ว

    Wa mwisho jamani 😭😭 but tuko pamoja

  • @MaryamMaryam-wp5yk
    @MaryamMaryam-wp5yk 3 ปีที่แล้ว +1

    Davistar hana mbavu kusikia mtu anatokoota

  • @sophiajohn8707
    @sophiajohn8707 3 ปีที่แล้ว

    Davistar. Vaa mask hali tete brother

  • @rehemambito7989
    @rehemambito7989 3 ปีที่แล้ว

    Nitaisikiza kesho sahii usiku natishika na hicho kichwa cha simulizi

  • @neelamsuleimani4956
    @neelamsuleimani4956 3 ปีที่แล้ว

    Tunasonga mbele mungu awe nasiiiii

  • @jeniphaledaschali4594
    @jeniphaledaschali4594 3 ปีที่แล้ว +1

    Sauti yamziki inakera

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 3 ปีที่แล้ว

    Dada anavyosema eehe namkumbuka Zabron

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah w mwishoo😥😥😥😥🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @mercykim7004
    @mercykim7004 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa story dada anajua kuelezea

  • @aminaally863
    @aminaally863 3 ปีที่แล้ว +1

    Natami nisikilinze story za davstar ila simu inaniuminza sana kichwa naxhindwa nikisikia tu kitu kwa sikio mixhipa ya kichwai nasimama

    • @foncetecelectricalandelect34
      @foncetecelectricalandelect34 2 ปีที่แล้ว

      Mungu wa mbinguni akuponye kwa jina la Yesu sema amina uwe huru toka sasa

    • @aminaally863
      @aminaally863 2 ปีที่แล้ว

      @@foncetecelectricalandelect34 sina imani nayo hata nikiitikia kazi bure

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyie naogopa Ila naskilz ivyo ivyo loh 🙆naomb mtu aje tulale wote

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @jongoathumani3690
      @jongoathumani3690 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 huendi lala nae mmh mi pia namtafuta mke wangu nikalale nae tusikilize looh uko wapi dear wife

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@jongoathumani3690 Hakuna kulalaa

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 3 ปีที่แล้ว

    TWENDE KAZI

  • @jumanenga271
    @jumanenga271 3 ปีที่แล้ว

    Dm usichok tupo kukusapoti kazi yko inaonekan itaonekan utfk mbali kk

  • @lisaamosi7297
    @lisaamosi7297 2 ปีที่แล้ว

    Davista matar karibu Mbozi yetu yenye matukio yakutisha

  • @kmwendemusic5379
    @kmwendemusic5379 3 ปีที่แล้ว

    Duh! Ukistaaajabu ya Musa utaona ya firauni 🤔

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo mtu kuchemshwa ni kweli nimeshashuhudia

  • @babymkuya359
    @babymkuya359 3 ปีที่แล้ว

    Hii story inaonesha ni bam bam

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    santa

  • @christinarussambi2161
    @christinarussambi2161 3 ปีที่แล้ว

    😘😘😘

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee bonge la story

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 3 ปีที่แล้ว

    Umechelewa kutuleyea mikasa

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 3 ปีที่แล้ว

    🤨🤨🤨

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 ปีที่แล้ว

    Yaani ww hd umepikwa..mwenzio naona zaman hivo..ni mtihani kwa kweli

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 3 ปีที่แล้ว

    Bora umeachana na kale ka bint kanaonekana Kama stor nzur lkn hakaez kuongea

    • @ludza32
      @ludza32 3 ปีที่แล้ว

      Yule anaogopa na anatuharibia bundles bure

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 ปีที่แล้ว

    Binti amenyooka

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 3 ปีที่แล้ว

    Atari 😳😳

  • @elizabethauma2260
    @elizabethauma2260 3 ปีที่แล้ว

    Kiti moto

  • @sarahsaimon2318
    @sarahsaimon2318 3 ปีที่แล้ว

    Duuu🤔🤔🤔

  • @kelvinkatende3871
    @kelvinkatende3871 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawa sawa

  • @kelvinkatende3871
    @kelvinkatende3871 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawa sawa