BABA ALITUACHIA MALI ZA MAAGANO BILA SISI KUJUA MATOKEO YAKE MAJINI YALIUA NGUGU WOTE NIMEBAKI MIMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @khadijamwenda1851
    @khadijamwenda1851 ปีที่แล้ว +7

    Asee 🙌 hii ishu ilikuwa inaenda kunikuta ila wamenifilisi kwanza na wakadai wanataka kunipa pesa zao yaan majini ila nimewakataa na baada ya kuwakataa wakasema wataniua endapo nikirudi Tz na family yangu 😢yaan ndugu zangu mniombee nimeokok na yamejuwa naomba Mungu anisaidie nivuke hili pia mwenye anajuwa mtumishi wa kweli wa Mungu naomba anisaidie namba nipate msaada Zaid wa maombi

    • @khadijamwenda1851
      @khadijamwenda1851 ปีที่แล้ว

      @@Catherine-mh8sw ndiyo maan huyo mganga alikuwa shekhe na nahis nimeimgizwa kwenye hili Kwa kusudi maalumu nikiwaza mapito yangu ya nyuma naona kabisa nilikuwa nafatiliwa juu ya rizki yangu,Majin yenyewe yanasema sisi tunaswali na Mungu tunamjuwa yaan tafran nikaona hapa kuokoka ndiyo njia sahihi saiv hawanitafuti na nimesumbuliwa miaka 4 na miezi 5 sijawai kuona pesa hata mia mbovu zote wanachukua na nikama ufahamu sikuwa nao maan hata family nilisahau kabisa nao hawanitafuti ndugu yangu ACHA tu ila Mungu aliyehai yupo nitavuka namtumainia yeye pekee

    • @nyambochristelle7640
      @nyambochristelle7640 ปีที่แล้ว

      Kama wewe ni mu christo amini Yesu na usali sana ukijitakasa na damu ya Yesu watakuogopa nawasikuogopeshe wao hawana nguvu nikukutisha tu!!

    • @khadijamwenda1851
      @khadijamwenda1851 ปีที่แล้ว

      @@nyambochristelle7640 ameni

    • @nyamogafamily9549
      @nyamogafamily9549 ปีที่แล้ว +2

      Nipe namba yako nikuunganishe na mchungaji,

    • @erickmisilakuba6426
      @erickmisilakuba6426 ปีที่แล้ว

      Yesu hawez kukutupa

  • @mariamnur1036
    @mariamnur1036 ปีที่แล้ว +4

    Story kma izi ndo nzuri Mr devistar

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +4

    Karibu sana kijana wetu tujifunze kutoka kwako

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว +8

    Vijana tupunguze tamaa mali zisokua na fulaha zanini wadogo zangu Amumuogopi mungu 🙆‍♂️😭🇹🇿🇬🇷⛴⚓

  • @charlestangawizi9191
    @charlestangawizi9191 ปีที่แล้ว +1

    davistar bado hujasemaa yaan mpaka usemee!

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว +3

    Shetani ni m baya sana hata ujitowe mwenyewe bado ataifwata family yako dahi😢

  • @ericmajige378
    @ericmajige378 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atusaidie sana, pesa za shetani ni hatari sana jamani

  • @nancolower_8032
    @nancolower_8032 ปีที่แล้ว +4

    Ila usukumani hpn aisee,,,, 😢😢😢 ndio maana wasukuma ukiwatazama kila sehemu wana chale chale tu,,,,,

    • @lujuomjanja2866
      @lujuomjanja2866 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaeeeeh kazi sana

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

    • @nancolower_8032
      @nancolower_8032 ปีที่แล้ว

      @@lujuomjanja2866 yaan we acha tu

    • @rerisamba
      @rerisamba ปีที่แล้ว

      Lakini wengi ni watumishi wa Mungu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      @@rerisamba kumbe wasukuma wengi ni wa kristo?

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +1

    Yani heri babako alijikufia mwenyewe kuliko wewe

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 ปีที่แล้ว

    Mizimu ni ushetani na Haina maana yoyote

  • @PatrickPazza-kr3vm
    @PatrickPazza-kr3vm 10 หลายเดือนก่อน

    Mwanza bhn Kuna pesa nyingi sana za hovyo sana aisee😭

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว +4

    Hivi ukisiliza hizi story sana haupat matatizo kweli? Mpk naanza kuogopa

    • @nyambochristelle7640
      @nyambochristelle7640 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 na mimi nawaza ivo😳

    • @MrTzakaSanTz
      @MrTzakaSanTz ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂 tunajielimisha, sisi kikubwa kujifunza..na kumuomba sana M/Mungu yasitukute..

  • @annemarieladslaus
    @annemarieladslaus ปีที่แล้ว +2

    Shetani ni muongo na tena anajiita kwa majina mengi, mizimu, majini, n.k. you name them all are his name. He is one created being naming himself with many names.
    Hakika kitu moja tunapaswa kujua ni kwamba Shetani hana furaha na hivyo basi nawezi kukupa furaha.
    Mali anazokuahidi hayo ni yale mazingaombwe yake ambayo atayafanya mpaka siku Yesu atakaporudi. Ni yale yale mazingaombwe aliyoyafanya kwa Saul kum impersonate Samwel.
    Hata kama ungemtukia kwa uaminifu mwisho wa siku atakuua na akishindwa kukuua basi atakutumikisha na kuhakikisha anaidhalalisha ile sura ya mfano wa Mungu iliyomo ndani mwako mpaka hapo Mungu atakaporuhusu unalale kusubiria siku ile ya hukumu aidha kuishi au kufa milele…

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc ปีที่แล้ว

    Yni ww niwakuuwawa tu inamana ndugu wengne hawakustuka tu

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว +2

    Unaweza kuwatoa ndugu zako lakini Wewe hutaki kufa??? Binadamu anageuka myama du!

  • @ashasaid9056
    @ashasaid9056 ปีที่แล้ว +2

    Mwanza mwanza😭😭😭😭

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 ปีที่แล้ว

    Ndiyo ile nyimbo ya Mzee wa Busara

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 ปีที่แล้ว +1

    Number 1❤❤❤

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Wewe ni mtu wataama na hao washetani walikugundua tangu siku nyingi na ndio wakufuata directly , tamaa mbaya sana

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc ปีที่แล้ว

    Yani ww unawaambie achukue yyte mbwa kweli ww shetani mkubwa acha tamaa looh🙄

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc ปีที่แล้ว

    Nduguzako walikuwa awajui kama wanaishi nashetani da! Uruma kweli pasipokujua wanaishi nanyoka

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว

    Jamani hata kama utajiri haki hata huna Sasa utajiri wa nini watu wako wote humetowa Sasa huta mbaki na Nani Dunia hi hata mungu hukumbuki

  • @ThomasErro-ec3ov
    @ThomasErro-ec3ov ปีที่แล้ว

    Devister kuna mashine inanguruma, ikiwezekana poteza hiyo sauti

  • @mkwajumfupidalo6512
    @mkwajumfupidalo6512 ปีที่แล้ว +1

    Mshenzi sana huyu jamaa

  • @AishaMuhidin-uj7vw
    @AishaMuhidin-uj7vw ปีที่แล้ว

    Mzee alimtumia huyu kijana bila yeye kujua.kufuraisha mizimu yake

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว

    Watu wengine kama hao wanaojipenda na tamaa za kishetani washindwe kabisa kwa Jina la Yesu Christo na wasipotubu ushetani huo uwarudie milele

  • @happyatonga2618
    @happyatonga2618 ปีที่แล้ว

    Wanadam mmefungwa ufaham kijna unashindwa kutafut unatka mseleleko yesu akusaidie japokuwa unaler

  • @tututz100
    @tututz100 ปีที่แล้ว +3

    J.boys 1999

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 ปีที่แล้ว

    Niko na Wachina hapa wanakupa tano

  • @user-hi9xd9ok1e
    @user-hi9xd9ok1e ปีที่แล้ว

    🎉🎉

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 ปีที่แล้ว +1

    davistar mbona huulizi maswali mfano ungeweza muuliza je kadri kila wakati ndugu zake wanakufa je majirani au watu walikuwa hawastuki majirani walikuwa hawajiulizi kwanini watu wanakufa kila mwaka au hata watu kuhisi je hawakuwahi kusikia watu wakijiuliza hasa majirani,,, uliza ili swali

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 11 หลายเดือนก่อน

      Anaulizaga mwishoni

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 11 หลายเดือนก่อน

      Anaulizaga mwishoni

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 11 หลายเดือนก่อน

      Anaulizaga mwishoni

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว

    Tamaa ni mbaya 😢

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 ปีที่แล้ว

    pesa za shetani na mapepo ni mbaya yaani kutoa ndugu kafara si kesi shindwe!

  • @nelsonpatricioestanislaus7144
    @nelsonpatricioestanislaus7144 ปีที่แล้ว

    1991.

  • @ezekieltalented2351
    @ezekieltalented2351 ปีที่แล้ว

    Mwanza again🎉🎉🎉🎉🎉❤

    • @MrTzakaSanTz
      @MrTzakaSanTz ปีที่แล้ว

      😂😂 yaani kawaida tu! Hatar sana

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 ปีที่แล้ว

    Wa nne 🎉

  • @Nanu-hv4od
    @Nanu-hv4od ปีที่แล้ว

    Wa4 leo

  • @charlestangawizi9191
    @charlestangawizi9191 ปีที่แล้ว

    huwez nimalizia bando na watu wako hao wa story za mchongo.

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 ปีที่แล้ว

    Mimi #0

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 ปีที่แล้ว

    Kijana wa hovyo kabisa huyu....mwenye tamaa mbaya, baba mwenyewe alijitoa kafara mwenyewe, lenyewe linaua ndugu zake kirahisi kwa tamaa zake mwenyewe....fyuùuu!

  • @BahatiMgaza
    @BahatiMgaza ปีที่แล้ว +2

    Mjinga Sana mungu atakulaan

    • @josykogei7647
      @josykogei7647 ปีที่แล้ว

      Apo ungekuwa ungemsamba kofi😂😂😂

  • @user-hi9xd9ok1e
    @user-hi9xd9ok1e ปีที่แล้ว

    🎉🎉