Mimi nimeota natakiwa niende chuo lakn kwa ufaulu mdogo sana lakni nikienda tu chuo nitapata kazi lakni changamoto mama angu hana ada yakuweza kunipeleka je ina maana gan?
Assalam waleko,mm nmeota nmeingia baharin nkawa najiulz ntatokaje mara kkaja ktu kpo kam kistul,nkakshka icho kistul kkaniokoa mpk nch kavu icho kgoda klivofk nch kavu kkawa kkubwa ina maan gn hii ndoto
Asalaam aleykum mim naota mala kwa mala nipo juu ya Bahari nimekaa kwenye sehemu nzuri ilokuwa kiti ambacho kipo juu ila chini bahar nzuri inang'aa mithili inamulikwa na jua lilotulivu, nimeota tena nipo Bahari kubwa sana na maji yake mazuri ila nipo juu ya mlima huo umezungukwa na hiyo Bahari je Ndoto hii inamaana gani
wasiliana na sheikh kwa number yake iliyopo kwenye video 0658073875 atakupa ufafanuzi juu ya ndoto yako (shukran endelea kufuatilia vipindi vyetu upate faida zaid )
Maana ya ndoto yako ni kwamba katka mafanikio yako kunachangamoto kila utakapo kuwa unataka kufikia mafanikio vikwazo vitakuwepo ili kuondoa hayo jihimize kwenye ufanyaji wa ibada zako kiukamilifu la pili kila hatua utakayo piga maombi muhimu kufanya
shukran kwa kutizama video katka channel yetu mwenyezi mungu akufanyie wepesi ili kupata maana ya ndoto wasiliana na sheikh iliyopo kwenye video atakupa maana ya ndoto yako
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakaatuhu. Sheikh mimi nime wai kuota tukiwa wengi twataka kumchinja myama ngamia mwenye mimba sasa kabla tumchije huyo ngamia akajifia kisha akamzaa yule mwanawe alioko tumboni mwake basi mimi nikamchukua huyo mtoto wa ngamia na kuanza kumlea nime mtoa katika matumbo ya uchafu kawaida ya kuzaliwa nayo mtoto wa myama nika muosha nikamkausha vizuri hadi kaka anza kusmama nika kabeba nikiwa na furaha mno hadi nikalia kwa ajili ya furaha walahi nini maana yake sheikh
shukran kwa kuwa mtazamaji wa vipindi vyetu katika channel hii kwa maelekezo zaid kutaka kujua tafsiri za ndoto wasiliana na sheikh number iliyopo kwenye ambayo 0658073875
shukran wasiliana na sheikh kwa namba yake ili aweze kukupa ufafanuz zaid +225 (0)658073875 kama upo tanzania anza na sifuri kisha endelea ikwa upo njee anza na jumlisha kisha mia mbili ishirin na tano
maana ya ndoto kuota upo shule kipind kitakacho fuata sheikh atakuja kuelezea endelea kufuatilia vipind vijavyo hapa hapa au wasiliana na sheikh kwa namba yake 0658073875 ili akupe maana ya hiyo ndoto
Amina
Shukran she khee❤❤❤
Ameen Shukran shekhe ❤️❤️
❤🎉😊 huwa ni.mama ,mwenda zake hapo 2021/8/23.
Amin amin
Amin yarabi laalamin🥰
Ameen lnshaallah
Mimi naotaga nava pete alafu kisha nakua na ela nyingi sana kisha naotaga jini amenipeleka nyumbani kwake
Roho ya Devil worship inakuwinda
Allah akusaidie Fanya Ibada sana
😂😂😂😂😂😂
Ushafunga ndoa na jini
Mungu akubari
Assalam Aleikum 😊mm naotangaa nateta na mchawiii n kumuona Hadi suraa yakee 😢inamaanisha nin iyo ndoto
Allah anakupenda Fanya Ibada sana
asalamualaykum warahmatullah wabarakatuh mimi nimelala naota naona malaika wengi maanayake nini?
shukran wasiliana na shekh namba iliyopo video 0658073875
Jeeh kama mzazi wako ametangulia mbele ya haki nkawa naongea nae vip apo
Mashallah
Asante
Mimi nimeota natakiwa niende chuo lakn kwa ufaulu mdogo sana lakni nikienda tu chuo nitapata kazi lakni changamoto mama angu hana ada yakuweza kunipeleka je ina maana gan?
shukran kwa kutizama vipindi vyetu walisiliana na sheikh kwa number zilizopo kwenye video akupe maana ya hiyo ndoto
Amina Amina Amina
Assalam waleko,mm nmeota nmeingia baharin nkawa najiulz ntatokaje mara kkaja ktu kpo kam kistul,nkakshka icho kistul kkaniokoa mpk nch kavu icho kgoda klivofk nch kavu kkawa kkubwa ina maan gn hii ndoto
shukran wasiliana na namba 0658073875 ya sheikh ili aweze kukupa maana ya ndoto uliyo ota ndoto nyengne haifai kujibiwa huku
Maana ya shuka leupe ni nini@@midrajtv6026
Nimeamini lnshalla
Mm.niliota boss wangu hameniwekea gold kwa.mikuno na fede hiyo ni nn
shukran kwa kutizama vipindi vyetu wasiliana na sheikh kwa number iliyo wekwa kwenye video uliyo itizama akupe maana ya ndoto uliyo ota
Mimi nimeota zaidi yamara3 namuona nabii issa aleysalaam
shukran wasiliana na sheikh kwa namba 0658073875
Hata mie Nabii lssa nisha wahi kumuona kama Malambili
Asalaam aleykum mim naota mala kwa mala nipo juu ya Bahari nimekaa kwenye sehemu nzuri ilokuwa kiti ambacho kipo juu ila chini bahar nzuri inang'aa mithili inamulikwa na jua lilotulivu, nimeota tena nipo Bahari kubwa sana na maji yake mazuri ila nipo juu ya mlima huo umezungukwa na hiyo Bahari je Ndoto hii inamaana gani
shukran chukua namba kwenye video kisha wasiliana na sheikh
Asallam alhk mm niliota ndoto kuna mwanga mkali sana unanipiga kwenye paji langu la uso hina maana gani mana nina wasiwasi kuusu hi ndoto
walykum salaam
shukran wasiliana na sheikh 0658073875 atakupa maana ya hiyo ndoto
Aminaaa shekhe 🙏🙏
Ameen
Mm naotaga napaa juuu angani inamanishaga nn hiyo ndoto
wasiliana na sheikh kwa number yake iliyopo kwenye video 0658073875 atakupa ufafanuzi juu ya ndoto yako (shukran endelea kufuatilia vipindi vyetu upate faida zaid )
sheikh mmi nimeota niko kati ya mbingu 7 ,kisha mbingu moja nikaona ni nzuri saana uzuri sijawahi kuona , nikashtuka
Shukran wasiliana na sheikh kwa namba yake atakupa maelekezo inshallah mtafte kwa number 0658073875
Shekh ukiota unawauwa mijus kafiri kisha tena akakutokea mtalaka wako maana yake nini
shukran wasiliana na sheikh kwa namba hii iliyopo kwenye video 0658073875
Aslamu alikum waramatulliah mm nimeota nimeokota diamond maana yake nn
Ni kheir utaolewa kama umeolewa basi utaozesha mwanao au utapataafanikio muhimu uombe mungu akuonyeshe kheiri
amina
Amiin
Happ mm nmeota ndot kama 3 hv
Mwenyez mungu akubarik jitahid kuteleka ibada ili upate mafanikio
Ameen nimeota hiyo ya 4
shukran mwenyezi mungu akubarik wasiliana na sheikh kwa numbe+225658073875 ikiwa upo tanzani
Amiin🤲🤲🤲
asalam aleykum
walykum salaam
Ubarikiwe 15:52
Amiiiiiiin ya rabby
Allahumma amiin
Mie naota nikiendesha baiskeli sijui inamaana gani?
shukran wasiliana na sheikh namba chukua kwenye video ili kupata maana ya ndoto
wasiliana na sheikh kwa namba iliyopo video ili upate maana ya ndoto uliyo ota
Amiin
Me niliota nachota maji kwenye kisma lakin yanakauka naongeza bidii lkn yanakauka kabisa
Maana ya ndoto yako ni kwamba katka mafanikio yako kunachangamoto kila utakapo kuwa unataka kufikia mafanikio vikwazo vitakuwepo ili kuondoa hayo jihimize kwenye ufanyaji wa ibada zako kiukamilifu la pili kila hatua utakayo piga maombi muhimu kufanya
@@midrajtv6026 asante
Asalam alaikum je ukiota nyota ya mtume inashuka Toka juu una peleka mikono uishike naunaimba nyota ya mtume ina Waka naku ng'ara je Ina maana gan
shukran kwa kutizama video katka channel yetu mwenyezi mungu akufanyie wepesi ili kupata maana ya ndoto wasiliana na sheikh iliyopo kwenye video atakupa maana ya ndoto yako
Amen!niliota nikichinja ngombe halafu nikaanza kuitia watu wakuje wale 🙏🙏🙏
shukran wasiliana na sheikh kwa namba 0658073875
Mimi naota kiongoz wangu kanipa dawda
shukran kwa kuwa mtazamaji wetu wa vipind vyetu wasiliana na sheikh kwa maelezo zaid 0658073875
Maa Shaa Allah mafanikio Allah akujalie upate Ameen
Amiin yarabbi 🤲
Shekhe je ukiota umenunua chakula kisha ukakitoa.sadaka manake nini?
wasiliana na sheikh kwa number ya ofs 0658073875
Kuhusu ndoto ukwel mtupu
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakaatuhu. Sheikh mimi nime wai kuota tukiwa wengi twataka kumchinja myama ngamia mwenye mimba sasa kabla tumchije huyo ngamia akajifia kisha akamzaa yule mwanawe alioko tumboni mwake basi mimi nikamchukua huyo mtoto wa ngamia na kuanza kumlea nime mtoa katika matumbo ya uchafu kawaida ya kuzaliwa nayo mtoto wa myama nika muosha nikamkausha vizuri hadi kaka anza kusmama nika kabeba nikiwa na furaha mno hadi nikalia kwa ajili ya furaha walahi nini maana yake sheikh
walykum salaam
shukran wasiliana na sheikh kwa number yake ya sm 0658073875
Na ukiota umekwenda haghi usingizin je inamaanisha nini ustadhi
shukran wasiliana na sheikh kwa namba iliyopo kwenye video
Juzi niliotaNachota maji kwa kisima tena masafi nikitumia ndoo nikaijaza
Maa Shaa Allah ni mafanikio Allah akujalie upate kheir hiyo Ameen
Shekhe ukiota unampa swadaka babu ambye alishafariki n mkawa n furaha
shukran wasiliana na sheikh kwa number +255658073875
Nimeota nipo darasa nasoma maana yake nini
shukran kwa kuwa mtazamaji wa vipindi vyetu katika channel hii kwa maelekezo zaid kutaka kujua tafsiri za ndoto wasiliana na sheikh number iliyopo kwenye ambayo 0658073875
AMIIN
Asalam aleykum...naomba unisaidie kuniambia maan ya ndoto yangu
walykum salaam
wasiliana na sheikh kwa number yake iliyopo kwenye kipind 06580738750
Kuota unachinja kuku ni sawa na ya hao wanyama ulowataja?
shukran wasiliana na sheikh kwa namba yake ili aweze kukupa ufafanuz zaid +225 (0)658073875 kama upo tanzania anza na sifuri kisha endelea ikwa upo njee anza na jumlisha kisha mia mbili ishirin na tano
Kama mzazi amekufa ila unaota unazungumza nae
ikiwa mzazi utamuota unazungumza nae mazingira yenu yalikuwa vp na jee mlipata kufurahi
Mimi hua naota nafanya mtihani shuleni
shukran wasiliana na sheikh ili akupe maana ya ndoto
Je vipi ukiota uko shuleni
maana ya ndoto kuota upo shule kipind kitakacho fuata sheikh atakuja kuelezea endelea kufuatilia vipind vijavyo hapa hapa au wasiliana na sheikh kwa namba yake 0658073875 ili akupe maana ya hiyo ndoto
Ukiota unasaidia maskini
hiyo ni ndoto nzur ongeza bidi katika ibada usiache lakin pia jitahdi kufanya kazi mwenyez mungu atakufungulia mambo yako
Amina
Ameen
Amina lnhallah
Amina lnshaalla
Ameen