Mzee wa miaka 99 afia gerezani na ujumbe kwa Rais Samia | GUMZO MAALUM | Sheikh Ponda & M.Ghassani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 472

  • @salyali7807
    @salyali7807 9 วันที่ผ่านมา +41

    Inna lillah wainna ilayhi raajiuun..May Allah amghufurie amrehemu ampe kauli thaabit apokee kitabu chake kwa mkono kulia ... Allahumma ameen Allahumma ameen ... hichi cheo cha urais hata kwa million elfu au hata ulimwengu mzima sina haja nao .. siku yakujibu ni siku kubwa na ngumu

    • @KalicKaguz
      @KalicKaguz 8 วันที่ผ่านมา +3

      Mimi hata ubunge

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 7 วันที่ผ่านมา

      Allah ndie ajuae Kila kitu, Halali Wala hasi hasinzii. Mimi sitaki uongozi hata ule wa dini pia, kwani ni shaona mengi huko niendako . Allah aniweke hivi hivi nilivyo, sitaki Tena sitaki.

    • @WingodEpafra-dl1cd
      @WingodEpafra-dl1cd 6 วันที่ผ่านมา

      pole sana

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 6 วันที่ผ่านมา

      Dash. Thanks

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 8 วันที่ผ่านมา +28

    Naumia sana na hii taarifa inaumiza sana. Allah awalipe malipo mema

  • @HamisiGatuso
    @HamisiGatuso 9 วันที่ผ่านมา +35

    Shekhe upo sawa Juhud zako zinaonekana za kuwapambania wanyonge m mungu atakulipa ni mashekhe wachache ambao wanaojitokeza kutetea wanao dhulumiwa wapo sana kidunia kuliko kuangalia ahera Yao na viongoz wataulizwa Kwa walio waongoza siku hiyo itafika nawataulizwa Dunia ni mapito

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 9 วันที่ผ่านมา +3

      Hata Mufti wa Tanzania angekua na jitihada kama anazofanya sheikh Ponda huenda hawa watu waliosingiziwa na kesi kama hizi wangeliachiwa

    • @MwanaidiBawji
      @MwanaidiBawji 8 วันที่ผ่านมา

      Hii dunia tunapita tuu unamfanyia thulma binadamu mwenzako wewe hujijui waufawith amri illah ALLAH ina ALLAH basirun bil ibadi inshaallah ALLAH atawahukumu ipasafavyo hawa wathulumaji nafsi za wenzao inasikitisha sana

    • @SadikiRajabu-z6o
      @SadikiRajabu-z6o 6 วันที่ผ่านมา

      Hawa makuufaari wanatuzurumu mno na mashekh zetu wako kiduniadunia kaziyao ni kujionyesha TU mitandaoni na kila mmoja akijiona ni Bora kuriko mwenzie wamelala uzingizi mnene mfano mpaka lini tutaacha kupiga hodi kwenye mahospitari yao na mashure pia chunguza shule zetu maada makubwa makini wapi asome kwenye shule zenu tamaa ya Dunia TU ndo ilowajaa

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 9 วันที่ผ่านมา +18

    Sheikh ponda Allah akupe umri mrefu pamoja na afya njema na malipo makubwa hapa ulimwenguni piya kesho akhera

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly 9 วันที่ผ่านมา +24

    Allah amrehemu hizi Sheria kandamizi kweli zipo nchi hii halafu viongozi mnakaa majukwaani mnahubiri amani muogopeni mungu

    • @knight6757
      @knight6757 9 วันที่ผ่านมา +1

      Uchawa ?

    • @KalicKaguz
      @KalicKaguz 8 วันที่ผ่านมา +2

      Masheikh wengi hawamwogopi Kwa sababu dunia imewachukuwa uchawa

    • @vt-kn6qf
      @vt-kn6qf 8 วันที่ผ่านมา +1

      Brother africa wangali wanatumia sheria zakikoloni hadi Sasa Burkina Faso wavuta kwenda jela labda kwa kesi ya kuuwa na kuiba mali ya serekali tuu

    • @AaAa-vm8bb
      @AaAa-vm8bb 8 วันที่ผ่านมา +3

      waache watumie time yao na iko siku isio kua yao watalipwa kwa watendayo Inshaa Allah laanatu llah

    • @wemakalama6458
      @wemakalama6458 4 วันที่ผ่านมา

      Wallahy🙏🙏🙏

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli 8 วันที่ผ่านมา +9

    Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote mola ampe khauli thabiti ndugu yetu

  • @FatmaSuleiman-g8q
    @FatmaSuleiman-g8q 8 วันที่ผ่านมา +10

    Hakika kwa Mwenyezi Mungu hakipotei kitu,watakwenda kujibu kwa kila walicho kifanya katika hii dunia.

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 9 วันที่ผ่านมา +23

    sheikh kafa shahidi

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 8 วันที่ผ่านมา +3

      Hajafa shahidi hapo ila.kma significant kadhulumia kiukweli

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe unajua maana ya shahidi huyo kadhulumiwa haki yake ya kuishi kwahiyo ni shahidi Allah amghufurie shahada yake na madhambi yake na amtie peponi ya firdausi ​@@ukhtyrayyan7884

  • @MugaruraIssa-z8e
    @MugaruraIssa-z8e 8 วันที่ผ่านมา +5

    Sheikh Suleiman ALLAH amuhifadhi.tutamkumbuka wana History wetu waislam waliyo kufa na waliyo hai na ALLAH awaongoze viyongozi wanao tumiliki ni makafiri na juhudi za kikafiri

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 8 วันที่ผ่านมา +7

    INNALILLAH WA INNAILLAH RAJIUUN poleni sana subhanna Allah MUNGU pekee ndio suluhu

  • @Marjeby
    @Marjeby 8 วันที่ผ่านมา +9

    Wallah Sheikh Ponda mungu atakulipa kheri hapa dunia na kesho mbele ya mungu wewe ni kati ya watu bora sana kutokea katika taifa letu mtu wa haki kabisa mtetezi wa haki za watu na hilo umekuwa ukiishi nalo katika maisha yako yote navutiwa sana na wewe
    Wallah hicho kisa cha hiyo familia kimeniliza

  • @issayurry7022
    @issayurry7022 8 วันที่ผ่านมา +30

    Bakwata hakuna shrkhe pale wale wote ni vibaraka wa ccm na wachumia tumbo tu

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 8 วันที่ผ่านมา +3

      Wasaliti wa wazi wale

    • @ramadhanmwandambotuntufye5972
      @ramadhanmwandambotuntufye5972 8 วันที่ผ่านมา +3

      Bakwata ni tawi la kanisa, hawawezi Abadan kutetea haki za waislamu.

    • @farhanahannana
      @farhanahannana 6 วันที่ผ่านมา

      Bora CCM kuliko hao wengine Wana udini wao dhaahiri hawajifichi na ukabila
      Wakitawala sijui itakuwaje

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@ramadhanmwandambotuntufye5972acha ujinga unacoment na ujala

  • @MugaruraIssa-z8e
    @MugaruraIssa-z8e 8 วันที่ผ่านมา +6

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun ALLAH amsamehe makosa yake Marehem Mzee ampe kauli thabit kwa safari anayo iyanza insha'ALLAH

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 9 วันที่ผ่านมา +17

    Siku ya hukumu viongozi mtarudi kwa ALLAH mkiwa dhalili sana na HAITOWAZIDSHIA MADHALIMU ILA KHASARA, HAITOWAZIDISHIA MADHALIMU ILA UPOTEVU, watesaji mtarudi kwa ALLAH mtalipwa kwa dhulma mnayoifanya na hilo halina shaka, matendo maovu mnayowafanyia wananchi malipo yapo kwa ALLAH

    • @Khamis-h4w
      @Khamis-h4w 8 วันที่ผ่านมา +2

      Alla ndie Hakimu Muadilifu Tusijenge shaka Malipo yapo hapa Duniani Akhera kwenda Hesabu tu

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 8 วันที่ผ่านมา +11

    Mama Samia Rais wetu nakuomba yatazame magereza yetu tena....ndani yake wapo wafungwa walihukumiwa kwa ushahidi wa uwongo na wanateseka maisha yao wote. Wanahitaji huruma yako mama ...hekima ya Mungu ikuangaze uone mateso yao uwasamehe.

  • @aminahamad3428
    @aminahamad3428 8 วันที่ผ่านมา +8

    Inna lillah wainna ilayhi rajion allah amsameh makosa yake na sisi allah atupe husnil hatimaaa dunia mapito tu

    • @SalmaKenyatta-cn8tg
      @SalmaKenyatta-cn8tg 7 วันที่ผ่านมา

      Inna lillah Wainna Lillah Rojuin 😢😢😢😢

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 8 วันที่ผ่านมา +14

    Kumuona Kiongozi wa Juu au usimuone huwa haisaidii kabisaa, kama Mwenyezi Mungu amekukadiria shahada lazima uipate, lakini ukiwa jela au mahabusu na kutegemea Kiongozi wa Juu kama Muumini ni udhaifu, suluhisho ni kukimbilia kwa Mwenyezi Mungu tu na kuamini Hakuna likalo kufika hadi Mwenyezi Mungu abarik. Tunaomba Mwenyezi Mungu awaridhie na awape Pepo ya Fridaus

    • @ZenasefuAlly
      @ZenasefuAlly 6 วันที่ผ่านมา

      Amina innshallah

    • @RahmaAli-jd7by
      @RahmaAli-jd7by 6 วันที่ผ่านมา

      Amiin

    • @BonnyMwajombe
      @BonnyMwajombe 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jikaze wewe, jiongeze kuwa na akili

    • @BonnyMwajombe
      @BonnyMwajombe 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jikaze wewe, jiongeze kuwa na akili

  • @kassimmohd
    @kassimmohd 9 วันที่ผ่านมา +11

    Mungu Awalipe viongzi malipo wanayo staili Hapa duniani na KESH Aghera.

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 9 วันที่ผ่านมา +12

    Mama mitano tena
    Ila mama akumbuke tu kwa Allah s w kuna hukmu na hisabu hao walokuzunguka mwisho chumbe

  • @MohamedKaburu
    @MohamedKaburu 9 วันที่ผ่านมา +23

    Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta roho inaniuma sana

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 8 วันที่ผ่านมา +28

    Hata mimi mtoto wangu alibambikizwa ugaidi kwa pointi za uongo za ukandamizaji akahukumiwa kifungo miaka 20 Allah ana kazi ya kulipa haqqi za wadhulumiwa siku ya qiyama acha apate shida duniani dhuluma ikilipwa atapata kheri siku ya qiyama wataumia madhwalimu akhera.

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 8 วันที่ผ่านมา +5

      Malipo hapa duniyani na kesho Allah anawasubiri kwa Adhabu kalii Allah awape Subra family hii ni mitihanii kwa watu wenye kutumiya cheo na unformed kwa udhaliim 😢

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 8 วันที่ผ่านมา +2

      Subhanallah

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 8 วันที่ผ่านมา +5

      Pole sana kaka angu vip kashatoka mtihani wallah Mwenyezi Mungu akupe subra( Aamin)

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 8 วันที่ผ่านมา +4

      dah pole

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 8 วันที่ผ่านมา +1

      Uko mkoa gani?

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 7 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu awanusuru familia ya Ulatule Aamin

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 9 วันที่ผ่านมา +7

    Inna lillah wainna illahi rajiun Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri Allah amrahamu Allah walio bakia awatoe

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 9 วันที่ผ่านมา +5

    Inn Lilah wainnailay rajiun, Allah mma ajrunii fee musibati waalifliikhair Khair Minha, Yarabbi msamehe , na umsamehe mja wako huyu, na ulifanye kaburi lake moja ya viwanja vya pepo inshaallah, Poleni sana wafiwa, kwakweli inasikitisha na inauma sana, Mola ataleta nusura inshaallah.

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 9 วันที่ผ่านมา +8

    Ina lilah waina ilaih rajiun Allah amsamehe makosa yake

  • @SAFIAFOMAR
    @SAFIAFOMAR 5 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh Ponda Allah akujaze hikma na nguvu zaidi kuweza kusaidia wanao dhulumiwa

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 9 วันที่ผ่านมา +10

    Mfumo Kristo ni hatari sana kwa umaa wa kiislamu,Innalillah waina illah rajiun

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 8 วันที่ผ่านมา

      Huu ni ujinga nchi wanayo wakina nani why uongee imani flani ndio inaleta shida hiyo kuna mashehe wangapi wapo uraiani hawapo gerezani nikulize gerezani kuna wakristo wangapi bila kujali imani zao na wakristo wawambie watu wenzao wapo jela kwa imani flani tuache hizi mambo za uchonganishi mtu anavyo kamatwa haikamatwi imani yake anakamatwa mtu kwa makosa yake hivyo tuache uchochezi unataka kutwambia gerezani hawapo wachungaji wenye makosa

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 8 วันที่ผ่านมา +4

      Sisi wanadamu ndio wenye makosa wala sio dini zetu tukikamatwa tusingize stori za imani

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 8 วันที่ผ่านมา

      Mfumo kristo ndio uliowatuma wafanye ugaidi?

    • @gwakisakaswaga5249
      @gwakisakaswaga5249 8 วันที่ผ่านมา +1

      Acha kujitoa ufahamu. Tumekuwa na Marais watatu wasio wakristo. Km alifungwa kwa sababu za kiimani wote hao hawakuona???

    • @ChristantusNyambo
      @ChristantusNyambo 7 วันที่ผ่านมา

      Rais Samia ni mkristo, acha kuwa na pepo la dini

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 9 วันที่ผ่านมา +11

    Allwah ampokee Mzee wetu.Na hawa Madhaalim Allwah atajua la kuwafanya

  • @SalimJabiri-ev2tj
    @SalimJabiri-ev2tj 8 วันที่ผ่านมา +3

    Yaa Allah Tuongeze katika Njia iliyonyooka Sisi Viumbe wako , Na kwko ndo Marejeo

  • @songombingo108
    @songombingo108 9 วันที่ผ่านมา +73

    Dunia ina mambo. Lakini mengi hayana maana yoyote. Ati Mzee kama huyo awe Gaidi? Binadamu tuandae majibu kwa Mwenyezi Mungu😢😢😢

    • @MaulidKomboza-wh2ki
      @MaulidKomboza-wh2ki 8 วันที่ผ่านมา +14

      Allah amfanyie wepec ktk Safari yake ya Barzakh Allahummah Aamiiin.

    • @manenohamisi2858
      @manenohamisi2858 8 วันที่ผ่านมา +2

      Kwani ugaidi uko na umri

    • @manenohamisi2858
      @manenohamisi2858 8 วันที่ผ่านมา +1

      Hao wazee ni wajinga wanatumia dini ...kwenye siasa za kiutawala....

    • @ZeynabAlly-c2m
      @ZeynabAlly-c2m 8 วันที่ผ่านมา

      Angekuwa ni baba yako au ndugu yako yasingekutoka maneno haya​@@manenohamisi2858

    • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
      @mkanjimamkanjimamkanjima2043 8 วันที่ผ่านมา

      Sina jibu kijana lá kukujibu ila Allah ipo siku atakujibu kutokana na kauli yako hivyo🙏🏾🙏🏾​@@manenohamisi2858

  • @RayyanBubuu
    @RayyanBubuu 2 วันที่ผ่านมา

    Innallaha maswabirin hakika mwenyez mungu yupo pamoj na wenye kusubil Dunia n pepo yamakafiri n Dunia nigereza la waumini

  • @SalumOthman-w8c
    @SalumOthman-w8c 8 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akujalie afya njema sheikh Ponda

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 8 วันที่ผ่านมา +18

    Hii nchi kaiharibu sana nyerere kwa ubinafsi wake wa kuwatenga waislamu. Hivi wachungaji mapadri maasikofu mbona hawapo magerezani? Inamaana hawa ni watakatifu zaidi?

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 8 วันที่ผ่านมา

      Una tatizo la ugonjwa wa akili!

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 8 วันที่ผ่านมา

      Ulishaona wachungaji wanajihusisha na harakati za ugaidi?

    • @Azza-o8c
      @Azza-o8c 8 วันที่ผ่านมา +1

      Nyerere moto anao

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 8 วันที่ผ่านมา +2

      Kama kuzungumza siasa na kuikosoa serikali ni kuikosoa serikali ni ugaidi basi wapo wachungaji wengi tu wanakosoa Hadi wanafikia kutoa nyaraka ila Sheria ya ugaidi ni kwa ajili ya waislamu

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 8 วันที่ผ่านมา +1

      Wachungaj tutawaonaje magerezan wakat alie fanya haya ni miongon mwao kwahyo lzm awalinde

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 9 วันที่ผ่านมา +10

    Sasa mzewamyaka 99 gerezani ?naraisi wenu anasemaje wa Tanzania mnaroho mbaya mwenyezi mungu atawahukumu 😢

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 8 วันที่ผ่านมา +1

      Mhmm wee Acha tu

    • @mohamedimiraji5495
      @mohamedimiraji5495 8 วันที่ผ่านมา +1

      Sijasikia hata hicho chama cha wazee na utetezi wa wazee waongea japo chini chini. Hata hivyo vyama vinavyojifanya vinatetea haki za watz hakuna kitu.

  • @ibrahimthani6685
    @ibrahimthani6685 2 วันที่ผ่านมา

    Innalilahi wainna ilahiy rajioun ALLAH amjaalie pepo ya firdaus sh wetu amjaalie kauli thabit

  • @MugaruraIssa-z8e
    @MugaruraIssa-z8e 8 วันที่ผ่านมา +9

    Huyu Mzee kaondoka ikiwa shahidi mbele ya ALLAH miaka 99 ana ugaidi Gani ALLAH akuhifadhi Sheikh ISSA Ponda malipo yenu kwa jumla ni mbele ALLAH.

  • @KhalfanKhamis-mo5xd
    @KhalfanKhamis-mo5xd 9 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu ampe umri mref wenye kher shekh ponda azid utafuta haki kwa wanaodhulumiwa

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 8 วันที่ผ่านมา

      Hiyo Haki anaitafutia mtandaoni ??

    • @salyali7807
      @salyali7807 8 วันที่ผ่านมา

      @@richardnganya2311 watu wengine bora hata wasicooments huu utumbo sehemu nyengine haufit

  • @omarsaid7153
    @omarsaid7153 9 วันที่ผ่านมา +12

    Hasbiyallah waniimal wakiil 😥😥

  • @RamaDzengo-ns3nj
    @RamaDzengo-ns3nj 9 วันที่ผ่านมา +8

    Poleni sana kwamungu simbali pia walio fnya hivo sku zao zitafi

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 7 วันที่ผ่านมา +3

    😭😭😭kumbe na ndugu yake kafia uko dunia inaenda wapi hii , tutasema nini kesho mbele ya Allah

  • @Saum-o1w
    @Saum-o1w 7 วันที่ผ่านมา +5

    Nimekumbuka mbali wallah mwaka 2012 kipindi waislamu wengi walifungwa Segerea akiwemo na shekh Ponda mwenyew 😢😢 waislamu tulipitia wkt mgumu sna wallah " Allah azidi kusimama nao " kafa akiw shahidi mbele ya Allah 😢😢

  • @Oman-n2v3t
    @Oman-n2v3t 8 วันที่ผ่านมา +4

    Jamani ni kaka zangu binamu hao eee allah tenda haqi juu yao yaarabby

  • @IssaJuma-rk5qb
    @IssaJuma-rk5qb 8 วันที่ผ่านมา +6

    Dah, viongozi kazi mnayo kesho akhera

  • @FASSALEHALIB
    @FASSALEHALIB 9 วันที่ผ่านมา +6

    INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJI'UUN.

  • @SiriNkya-z9m
    @SiriNkya-z9m 2 วันที่ผ่านมา

    Innalillah wainna ilyhir rajiuun poleni sana,Allahsw ni mjuzi anayejua haki na batili atahukumu kwa kilichotokea muwe na subra malipo yapo kwa Allahsw

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kullu nafsin zaikatul maut,( Allahu Akbar)_☝

  • @SAFIAFOMAR
    @SAFIAFOMAR 5 วันที่ผ่านมา +2

    Muislam kuwa kiongozi mtihani sana. Maana unabeba dhima kubwa kwa wanao dhulumiwa

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 7 วันที่ผ่านมา +2

    Poleni sana.
    Hii labda iko.ndani ya sheria za zamani kwa wahanga hao?
    Basi kama ni hivyo. KATIBA MPYA IUNDWE HARAKA SANA ili sheria nyingine ziangaliwe na kurekebishwa.😢😢😢😢😢.

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 9 วันที่ผ่านมา +6

    Inna lillahi wainna illyhi rajiuun

  • @ismailmakame3972
    @ismailmakame3972 7 วันที่ผ่านมา +2

    Innalilahi wainailaihi rajiun. Nimaisha ya Dunia tu haya. Haki yake ataikutia akhera. Nawalio mdhulumu basi wajue hivi karibuni nao watapita njia hiyo hiyo Haina rushwa hiyo Asante

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 3 วันที่ผ่านมา

    Inna lillah wainna illaihi rajiun 😭 lnasikitisha sana ...,watu walio pigania uhuru wa nchi yao...leo hii unamshutumu gaidi.. subhana Allah 😭 enyi viongozi.fanyen uadilifu wa haki...mtaulizwa mbele ya Mungu jaman
    Hebu kuwen waadilifu viongoz..Mungu yupo na anayaona mnayo yatenda ...bila shaka mtahukumiwa

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 8 วันที่ผ่านมา +3

    Umesema ukweli kabisa sheikh, roho ina uma kusikia maneno kama hayo ulio ya sema ila tunasema kwa yale yanayo mridhisha Allah Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Allah amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia amsamehe makosa yake. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi mungu alitie Nuru kaburi lake binadamu wabaya Sana

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 9 วันที่ผ่านมา +7

    kiyama allah atawalipa kwahili watu mtaingia motoni huo moto sio huu ni wa allah ndy anamrisha huo moto mamlaka kwa allah tu

  • @salyali7807
    @salyali7807 9 วันที่ผ่านมา +6

    Inasikitisha sana 😭😭😭

  • @ShafiiKauli-xk2hy
    @ShafiiKauli-xk2hy 8 วันที่ผ่านมา +3

    Innalilah wainnailahi rajiun hizi Sheria za ugaidi nikwajamii ya waislam pekee ila hakim wakweli ni allah pekee
    Allah amsamehe madhambi yake

  • @ramadhanmkandas5733
    @ramadhanmkandas5733 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika Mungu ni hakimu muadilifu kuliko mahakimu wote, hakika yeye atahukumu kwa haki tu

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mw.mungu ndiye hakimu wa haki

  • @BasfariJuma-l3j
    @BasfariJuma-l3j 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Innalillah wainnailayhi rajiuun,fanya yote katika hii dunia lakini ipo siku tutaiacha, hata uringe, uonee watu wasio na hatia ipo siku utaingia katika mahakama ya allah na kila mmoja atawajibika. Inahuzunisha sana,

  • @ShaomoShahomi
    @ShaomoShahomi 4 วันที่ผ่านมา

    Innalilah wahina illah rajiuni 😭 akika yaa Allah awafichi wazalimu Allha atamlipia tu mzee wetu 😢😢😢

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 9 วันที่ผ่านมา +5

    Poleni sana

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 3 วันที่ผ่านมา

    Subhana Allah 😭😭 laa illah haillah 😭 Yarrab tulinde waja na fitna za kiduniya.... mitihan ipo tena wallah.... hii kuwachukua watu na kuwauwa na watu wasiojulikana.. jaman watu wanafamiliya...mnawaliza kila siku... Ewe Mungu tulinde waja wako

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 8 วันที่ผ่านมา +3

    Innalillah wainna ilaihi rajiun allah ampe kauthabiti katika kaburi
    Mama samia tunakuomba kama tunaendelea NA madaraka safisha magereza uane upya mama etu hii nini jamani wazee wasio nakuvungu pia wanafia jela jamami imeniuma sana 😢😢😢😢😢

  • @mfumwamangara
    @mfumwamangara 9 วันที่ผ่านมา +9

    Tatizo ugaidi ni waislam tu na ndio waliotafuta Uhuru wa nchi hii na viongozi wetu wapo kimya semeni kweli mbona ponda haogopi.

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 8 วันที่ผ่านมา

      Uhuru vipi walitafuta dini inaweza vipi kutafuta uhuru walio tafuta uhuru ni watu wa kila eneo bila kujali dini zao swala la harakati hapa tz wazee wetu walilianzisha kwa kupitia machifu wao kukataa kutawaliwa tumeona kina mkwawa na wenzake walikufa wakipigania nchi hii leo useme dini flani hivi kina nyerere kambona walikuwa dini gani tuache stori hizi za uongo

  • @IssaJuma-rk5qb
    @IssaJuma-rk5qb 8 วันที่ผ่านมา +7

    Ipo kazi kesho kwa mungu

  • @mohamedothman5792
    @mohamedothman5792 5 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah
    Dhulma dhulma dhulma
    Allah atusaidie tu aisee

  • @JumaPandu-d3l
    @JumaPandu-d3l 8 วันที่ผ่านมา +3

    M,/Mungu Atahukumu

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr 8 วันที่ผ่านมา +3

    Inauma sana innalillaj wainnailayhi rajiuun

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 7 วันที่ผ่านมา +1

    Watakwenda jibu mbele ya HAKIMU wa HAKI ALLAH, na watajibu walichopanda wanafiki hao

  • @KhamissMchaa
    @KhamissMchaa 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ana waona

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 8 วันที่ผ่านมา +5

    Hasbiya Allah wani'mal wakiil kwa kila dhalim mpaka siku ya qiyama

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ila hii sii haki wallah wabillah tena sijui nianfike nini inauma sana , innalillah wainan lillah rajoun

  • @AsilahHamad-e4f
    @AsilahHamad-e4f 8 วันที่ผ่านมา +7

    Innalillah wainna ilahi rajiuuni roho imeniuma sana 😢😢

  • @HawaSeif-j7b
    @HawaSeif-j7b 3 วันที่ผ่านมา

    Inalillah wainaillaih rajiiun yarabi mjaalie makazi mema peponi, amiiiiinaaa.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 8 วันที่ผ่านมา +2

    SubhanaAllah 😢💔 Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 💔

  • @ShamsiMikdad-bj7me
    @ShamsiMikdad-bj7me 8 วันที่ผ่านมา +2

    Inaalillahi wainnaillaihi rajiuuna allahuma ghafilahu waruhamuhu

  • @SamiiJymmy
    @SamiiJymmy 2 วันที่ผ่านมา

    Inallilah waina illah rajuuna May Allah let them rest peaceful 🙏

  • @IddNgakonda
    @IddNgakonda 8 วันที่ผ่านมา +3

    Innalillah wainnaillah raj'un!

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 9 วันที่ผ่านมา +5

    Innalillah waina illayih rajiun

  • @HalimaMrisho-qk1rp
    @HalimaMrisho-qk1rp 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ni mungu kw viongozi wa nchi kuingia ktk Jannah ya Allah, sbb ya udhalimu wao

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 9 วันที่ผ่านมา +7

    ila allah atawalipa kwa hili ujinga wa bakwata mbona hakuna mapatri mbona ni mashekh tu

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 8 วันที่ผ่านมา +1

      Una uhakika gani kama hakuna ulisha wahi fanya utafiti tuache udini makosa wanafanya watu sio dini

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 8 วันที่ผ่านมา

      Saidy "Allah" Andika kwa herufi kubwa Shukran

    • @w4058
      @w4058 7 วันที่ผ่านมา

      Inna Lilaah Wainna Ilayhi Rajioun Allaah amsameh makosa yake Subhanallah Allaah awape Subra na nyie watawala muogopeni Allah naam dhulma haikubali Allah ila Allah ana Subra Alaysa llahu biahkamil hakimin

  • @WahidaAlharthi
    @WahidaAlharthi 8 วันที่ผ่านมา +2

    LAA HAULA WALA QUWWATI ILA BILLAH
    INNA LILAHI. WA INNA. ILAYHI. RAJIUUN SUBHANALLAH
    HWANA. IMANI. HATA KIDOGO😢😢😢
    NDIO. SHAIHID. KWELI KABISA

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 8 วันที่ผ่านมา +3

    Result za Uhuru wa Tanganyika ni Kuuwa Waislamu na Uislamu 😢😢😢

  • @JabirLusasama
    @JabirLusasama 8 วันที่ผ่านมา

    Shekh ponda mungu akupe nguvu

  • @yusufwarsame2633
    @yusufwarsame2633 8 วันที่ผ่านมา +1

    IlaissaLLahu biahkamilhakimin
    Watawala watawala jamaaani Muogopeniii Allah Tendeni hakiiii dunia mapito dunia matoto dunia mapito

  • @AllyBujafar
    @AllyBujafar 8 วันที่ผ่านมา +3

    Innalillah wainailayhi rajiuun allah ampe mghfira

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 8 วันที่ผ่านมา +1

      Aly Bujafar Allsh tuandike kwa herufi kubwa "
      Allah"
      Shukran

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 8 วันที่ผ่านมา +1

      Allah*

  • @stonetown578
    @stonetown578 8 วันที่ผ่านมา +1

    Naam, Alaysallahu bihakamin lhakimina.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 9 วันที่ผ่านมา +2

    Innalillahi wainnailahivrajuun. Allah ampe.kauli thabiti marehem

  • @websuperspy
    @websuperspy 8 วันที่ผ่านมา +2

    Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Rajioun.
    Kila dhalim ana siku yake. Hivi hawa wahalifu wanahisi hawajulikani, wanasahau kwamba siku ya malipo itawafikia.

  • @AminiHakundwa
    @AminiHakundwa 9 วันที่ผ่านมา +4

    Innaa lillah wainnaa ilayh rrajiuun. Allahumaghfir lahuu waaf anhuu warahamhuu maskana firjannat

    • @MahamuduAbasi-o1n
      @MahamuduAbasi-o1n 9 วันที่ผ่านมา +1

      Ingekuwa vizuli Raisi awaone watuhumiwa wate wakigaidi na ajulishwe kila upererezi wakila mmoja ulifikiya wapi (majibu ya kila mmoja).

  • @adamrajabu7464
    @adamrajabu7464 9 วันที่ผ่านมา +7

    Daah najiuliza je utu ni nn? Je dhulma ni nn? Je haki ni nn? Je mahakama ni nn? Je viongozi wasimamizi wa yaha mambo wapo au hawapo? Wanafanya nn walijisahau? Je hawajakumbushwa? Na kama aliamua kuunda tume ya haki jinai je bado anachelea nn? Je hata haya anayezumgumza shk ponda ni uongo? Je kama kweli bado nn kinakwamishaa? Au viongozi wamechaguliwa na kuteuliwa ili baadhi ya mambo yaende kombo mengine yaende vizuri ili iwe ni kichaka cha kujifichia? Au ndo sheria zinabagua yule wa kupewa haki yule sie? Sasa ina maana gani sasa kumbe kuwa na wafrika wenzetu japo wanaozidi hata tabia za maksudi za wakoloni? Au ni kosa kumpa haki ya hukumu mkosaji kama kakosea? Ila ni haki kumkalisha gerezani tu?? Au viongozi wetu si ktk familia ya kibinadamu? Haya ni baadhi ya maswali macheche, ipendezeza basi kama si viongozi wetu wa familia ya kibinadamu wawajibike basi tuelekezwe kama wapo wengine ambao sio wao! Eeh mola wetu una thamini hata wema mfano wa uzito wa sufi kidoti hata hili tunakuomba mola wetu anayehusika hasaaa uone njia sahihi ya kumsahihisha kwa namna ya elimu yako.hakika tunaona sisi waja wako viongozi wetu wanafanya maksudi na dharau ya wazi.

    • @hedaya-e9j
      @hedaya-e9j 8 วันที่ผ่านมา +1

      Mmmmh allah atujaalie mwisho mwema mana😢😢😢😢

  • @zenajaha3222
    @zenajaha3222 วันที่ผ่านมา

    Wanatafuta ushahidi wa kulazimisha sababu ushahid wa halali hakuwepo sasa kuupanga huo ushahid ndio lilikuwa ni tatizo kwao Mungu atawalipia Inshallah

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 7 วันที่ผ่านมา

    Innalilah wainna ilaihi rajiuun
    ALLAH AMSAMEHEE MAKOSA YAKE NASI ALLAH ATUPE HUSNUL KATIMAA DUNIA

  • @wastarangayonga8562
    @wastarangayonga8562 8 วันที่ผ่านมา

    Mbele yake nyuma yetu Amin imeniuma sana

  • @yasinmasawe6421
    @yasinmasawe6421 8 วันที่ผ่านมา

    Inalillah waina ilaih rajiun Allah ampe qauli thabit mzee wetu Mlatule

  • @benedictsenya
    @benedictsenya 7 วันที่ผ่านมา +2

    Misikiti misikiti Ina nafasi yake kusoma Duwaa kumwomba Mola wetu afanye mabadiliko kwenye uongozi wa Namna hii !! Molha wetu ana Masikio Ombeni Mashekh na Maimam mtajibiwa kama haki .!!

  • @IddyMarriam-z7r
    @IddyMarriam-z7r 6 วันที่ผ่านมา

    Duu😭😭😭😭😭😭 Subbhana Allah inauma Sana walahi

  • @AminaKanyika-k1y
    @AminaKanyika-k1y 6 วันที่ผ่านมา

    Inaniuma sana Rais anashindwa vipi kuona yote haya Allah akujaalie mwisho mwema shekhe ponda na amujaalie pepo shekhe wetu aliyefariki

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 8 วันที่ผ่านมา +1

    Inauma sana na inasikitisha

  • @امينهسالم-ذ7د
    @امينهسالم-ذ7د 8 วันที่ผ่านมา +2

    Inalilahi wainalilahi rajighuna hakika inauma ssna