#Mix

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 296

  • @frankhaule8570
    @frankhaule8570 7 หลายเดือนก่อน +51

    Amina sana. Huwa kila nikisikia na kuimba huu wimbo najkuta kushushiwa roho mtakatifu,,najikuta ninamabadiliko kutoka ndani. Tumwombe huyu roho mtakatifu atuongoze katika kila tufanyalo.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน +6

      Ni furaha yetu kuona nyimbo hizi zinakuimarisha kiroho. Ndilo lengo letu kuu kushirikishana neno la Mungu kwa njia mbalimbali ili sote tujiimarishe kiroho kwa pamoja siku hadi siku.

    • @cosmasmutua1430
      @cosmasmutua1430 7 หลายเดือนก่อน +2

      Amen

    • @AnnaMuendi
      @AnnaMuendi 7 หลายเดือนก่อน +1

      Tufungue Mioyo yetu hili roho mtakatifu atujanze Na mapaji yake kupitia nyimbo zenu.

    • @JacklineMumo-vd7bw
      @JacklineMumo-vd7bw 7 หลายเดือนก่อน +1

      Amen 🙏🙏

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      @@cosmasmutua1430 Ubarikiwe

  • @douglascyprianmagwira9452
    @douglascyprianmagwira9452 หลายเดือนก่อน +2

    Roho Mtakatifu nijalie Imani ya kweli na unifundishe Matendo Mema ili niandikwe Jina langu kwenye KITIBU cha uzima Amina

  • @PatrisialJohn-u3d
    @PatrisialJohn-u3d หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana napenda Sana dini yangu nasito badiri dini milele mpka kufa kwangu nawapenda Sana wakatoriki wezangu

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 7 หลายเดือนก่อน +17

    Na tunashushiwa roho mtakatifu wa kweli, asante Yesu mfufuka jaza roho zetu tukuishi na uwe kinga yetu! Haleluya!

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน +2

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @felistaludela2695
    @felistaludela2695 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana na pata nguvu ya kusonga mbele katika Kristo Yesu. Kwa nguvu ya roho mtakatifu

  • @betyanyas8780
    @betyanyas8780 7 หลายเดือนก่อน +5

    Karibu Roho mtakatifu ukae kwangu na kulinda siku zote za maisha yangu. Amen

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @LiberathaBrown
    @LiberathaBrown 7 หลายเดือนก่อน +3

    Malaika wa Mungu wazidi kutupigania kupitia nyimbo hizi

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @ElizabethKessy-t2n
    @ElizabethKessy-t2n 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hizinyimbo zinaupa moyo wangu furaha na ana sichoki kuzidikiliza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @francoislutula1204
    @francoislutula1204 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awalinde kwa nyimbo tamu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana pia.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @MarycianaSteven
    @MarycianaSteven 28 วันที่ผ่านมา

    Ni kama roho mtakatifu kanishukia

  • @Eva-f4n
    @Eva-f4n หลายเดือนก่อน

    Tubarkiwe sana ee roho Wa maskini

  • @piustumweti3174
    @piustumweti3174 2 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa Kwa hizo nyimbo tamu

  • @ElianaMamy
    @ElianaMamy 3 หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu tawala dunia yote mubarikiwe waimbaji mubarikiwe tena amen

  • @AristidesDaudimutasingwaMutasi
    @AristidesDaudimutasingwaMutasi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Roho wa mungu yu juu yangu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @AnastaziaDaslo
    @AnastaziaDaslo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Njooroho mtakatifu uwashe moto wa mapendo yako rohoni kwangu daima.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @ChristineMithiarukendichristin
    @ChristineMithiarukendichristin 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Roho mtakatiful kwa upako wako kwangu. Niongoze maishani mwangu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @naalialenapir2152
    @naalialenapir2152 2 หลายเดือนก่อน

    My dad loves this songs of the holy spirit.hata mimi uje roho mtakatifu uzieenee

  • @oloowere
    @oloowere 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni mjakazi wako unikumbuke kila wakati wa maisha yangu uniongezie imani kuu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @NaomijeremiaJeremia
    @NaomijeremiaJeremia 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kila nikisikia huu wimbo najisikia nimeshukiwa na roho mtakatifu amen

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @TelesiaMbuzehose
    @TelesiaMbuzehose 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina nabalikiwa

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana pia.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @emmanuelMarandu-c4u
    @emmanuelMarandu-c4u 2 หลายเดือนก่อน

    Tulikia tunaimba Sana kwenye jumuiya zamani

  • @FlaviaKawishe
    @FlaviaKawishe 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina nabarikiwa sana na wimbo huu ❤❤❤.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @erickasenga2594
    @erickasenga2594 3 หลายเดือนก่อน

    Hii channel inanibariki sana. Inanipa furaha na ujasiri wa kuitunza imani yangu.

  • @Vestina-q5r
    @Vestina-q5r 7 หลายเดือนก่อน +1

    Karb roho mtakatifu uniongoze katika maisha yangu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @BettyBoit-hv8pu
    @BettyBoit-hv8pu 7 หลายเดือนก่อน +1

    May the holy spirit be with us always amina

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @TalishaSalmashally
    @TalishaSalmashally 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambie angalie balance vzr kevo anaeza reaves

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwa mchango wako. Tunaomba ufafanuzi vizuri ili tufanyie kazi.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @proscoviapastory3831
    @proscoviapastory3831 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana waimbaji, nyimbo hizi za roho mtakatifu zinanibariki sana.

  • @FerdinandSituma
    @FerdinandSituma 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hizi nyimbo zinaguza sana amina

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @Erick-eu7ir
    @Erick-eu7ir 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwema kwakwel utukufu ukakae juu yenu mliotuwekea utamu wa imani katoriki

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @oloowere
    @oloowere 7 หลายเดือนก่อน +3

    ROHO MTAKATIFU UMTUMIE VIPAJI WAKO EEH MTUKUZI WETU

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Ni furaha sana kwa kweli kuona comments kama hizi. Ubarikiwe sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @TarimoDominick
    @TarimoDominick 4 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru nimejaswa roho wako mtakatifu kisema maneno yako mungu

  • @JosephKibiki-by4bj
    @JosephKibiki-by4bj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hata umeisha nasikiliza nyimbo tamu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Asante sana. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @melesnjau4516
    @melesnjau4516 2 หลายเดือนก่อน

    Safiii barikiwa sana

  • @MARIAJULIUS-v3j
    @MARIAJULIUS-v3j 2 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo namkumbuka mwanangu sanaaa jaman najikuta nalia mud woteee daaaaaah naupendakutumia nikita na huzuniii

  • @SylviaMkami
    @SylviaMkami 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Roho Mtakatifu shuka ndani yangu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @mariamini2047
    @mariamini2047 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uje ewe Roho wa Bwana utujaze mapaji yako, ukae nasi milele, Amina aleluyaaaa

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @jamesbotongore
    @jamesbotongore 4 หลายเดือนก่อน +1

    Najivunia kuwa mkatoliki

  • @PaulMwanansila
    @PaulMwanansila 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kwa wimbo huu wenye Kutujaza Roho mtakatifu. Amina

  • @CharlesKazeze
    @CharlesKazeze 3 หลายเดือนก่อน

    Sijui kwa nini huu Wimbo wa Roho Mtakatifu usiimbwe ndani ya Bunge letu .

  • @PewaNgendelo
    @PewaNgendelo 4 หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana roman katholik na nyimbo zake👏👏❤️

  • @PaulkuriaNguku
    @PaulkuriaNguku 6 หลายเดือนก่อน +2

    yah roho wa mungu anatembea

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @luciamaganga210
    @luciamaganga210 8 หลายเดือนก่อน +5

    Amina Sana, nabarikiwa Sana na yimbo hizi

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  8 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana kwa kututia moyo

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @IssaSalimu-pz5co
    @IssaSalimu-pz5co 5 หลายเดือนก่อน

    Amina kila ni sikia nyimbo za dini Nasikia kububujikwa machozi amina❤❤

  • @luhambamerere2410
    @luhambamerere2410 3 หลายเดือนก่อน

    Naamini ktk Roho Na YESU Kristo, nafarijika sanaaaaaa nisikilivyo nyimbo hizi...

  • @RihhanaFenty
    @RihhanaFenty 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiweni wati was Mungu Na aliye juu atusaidie kumshinda mwovu shetani

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki pia. Roho Mtakatifu azidi kututia nguvu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @catherinngowi5826
    @catherinngowi5826 7 หลายเดือนก่อน +2

    Njoo roho mtakatifu ukae ndani yangu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @tombaroz9976
    @tombaroz9976 7 หลายเดือนก่อน +1

    Waipeleka roho yako❤❤❤❤eeee bwana

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @Margaretmuthoni-yf7vo
    @Margaretmuthoni-yf7vo 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wale wote mliimba huu wimbo Mungu awambaliki sana very nice one

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @JuliethSagini-gp4qy
    @JuliethSagini-gp4qy 4 หลายเดือนก่อน

    Roho Mt. Kuwa pamoja nami siku zote za maisha yangu amina

  • @samwelkiwory2670
    @samwelkiwory2670 7 หลายเดือนก่อน +2

    Njoo Roho mtakatifu.ukae nami Daima 🙏

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @oloowere
    @oloowere 7 หลายเดือนก่อน +1

    Roho mtatifu unifanye mpenzi wako wa milele kwa ajili ya mapendo yako mkuuAmina

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Ni furaha sana kwa kweli kuona comments kama hizi. Ubarikiwe sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @Donathkimaro
    @Donathkimaro 3 หลายเดือนก่อน

    Amina Sana nakumbuka mbali wakati najitaidi kuudhuria mafushisho

  • @RobertKisengewa
    @RobertKisengewa 4 หลายเดือนก่อน

    Safari sana, tunaendelea kumtukuza Mungu

  • @jennifermumbi4520
    @jennifermumbi4520 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uje roho mtakatifu ,bila nguvu yako wewe mwanadamu hana kitu kwake yote yanakosa

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Hakika usemayo ni sahihi. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @BabaManu2024
    @BabaManu2024 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nyimbo tamu za Roho mtakatifu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @IbfaBakari
    @IbfaBakari 5 หลายเดือนก่อน

    jamani mungu anatupenda nasitumpendeyy tukumbuke kristo atakuja kuhukumu wazimana waf tujiweke tayar kumpokea

  • @Josephatharuna
    @Josephatharuna 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nikweli roho mtakatifu hushuka hadi faraja

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @TarimoDominick
    @TarimoDominick 4 หลายเดือนก่อน

    Amina pia nabarikiwa Sana na nyimbo hizi

  • @VctorMenlady-u4r
    @VctorMenlady-u4r 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amna Mbarikiwe mno watunzi na waimbaji na wote mliofanikisha hi kazi Ya utume♥️♥️

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @sophiamtatondwa9002
    @sophiamtatondwa9002 5 หลายเดือนก่อน +3

    Amina najisikia kujazwa roho mtakatifi.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @BeathaSwai
    @BeathaSwai 7 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu roho mtakatifu kweny moyo wangu a Mungu wangu Wang watoto wetu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @SimphorosaLibonge
    @SimphorosaLibonge 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nafarijika sana kusikiliza nyimbo hizi.Amina

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @terrywanyoike589
    @terrywanyoike589 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi nyimbo zinajaza roho yangu furaha,
    Ukweli zina ni bariki,Roho mtakatifu njoo

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @stevenkilian-hs7os
    @stevenkilian-hs7os 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana nyimbo ni sehemu ya ibada

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  8 หลายเดือนก่อน

      Asante sana. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @Tasla_mtega
    @Tasla_mtega 5 หลายเดือนก่อน

    Amina sana aman hutawala napenda sana Catholic songs💯💯💯💯💯

  • @JenifaMrosso
    @JenifaMrosso 5 หลายเดือนก่อน

    Amina nimejezwa na Roho Mtakatifu

  • @DativaMarandu
    @DativaMarandu 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nimwema Kila wakati usgukuriwe mwenyezi mungu kunipa pumzi nyingine tena pokea sifa Mungu wangu mbingini

  • @judithassenga4189
    @judithassenga4189 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante roho mtakatifu😊😊😅❤

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @nzayiramyatharcisse8142
    @nzayiramyatharcisse8142 7 หลายเดือนก่อน +1

    Roho mtakatifu atupe matumaini ya kutenda mema marshaling mwetu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @KishaVerus
    @KishaVerus 7 หลายเดือนก่อน +1

    Njoo Roho mtakatifu
    ukae ndani yetu..

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @juliekabulunze8059
    @juliekabulunze8059 3 หลายเดือนก่อน

    Na zipenda sana hizi nyimbo

  • @TajMohamed-o1b
    @TajMohamed-o1b 3 หลายเดือนก่อน

    Tunabalikiwa sana

  • @RaphaelVicent-k1c
    @RaphaelVicent-k1c หลายเดือนก่อน

    amin san

  • @JoyceMichael-wv7ik
    @JoyceMichael-wv7ik 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uje Roho Mtakatifu msemesha ndimi zetu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @JosephNgilangwa
    @JosephNgilangwa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @DativaMarandu
    @DativaMarandu 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika wewe nimwema nafadhili zako zadumu milele

  • @kochulemdelvine1285
    @kochulemdelvine1285 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤Amina

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @LudovickMushi-jy7ip
    @LudovickMushi-jy7ip 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo hizi zimenipa faraja kubwa sana leo

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @CLAUDIAJOSEPH-p2f
    @CLAUDIAJOSEPH-p2f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

    • @IbfaBakari
      @IbfaBakari 5 หลายเดือนก่อน

      jamani tuiombee nanch yetu kwani mahasi yamezid mungu ashushe Moto waeliy kuteketesa mahasiyot nchinikwet

  • @AgnesMathew-u7h
    @AgnesMathew-u7h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina napenda San ukathoric

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana. Tuzidi kumuomba atuzidishie na kutujalia IMANI KUU kupitia ROHO MTAKATIFU.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @MagrethThobias-fm8bm
    @MagrethThobias-fm8bm 4 หลายเดือนก่อน

    Amina ❤❤❤,

  • @Erick-eu7ir
    @Erick-eu7ir 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tupitie program ipi kudanilodi non stop hii

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Kwenye simu au computer?

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @DismasWai
    @DismasWai 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @orestanzotta4004
    @orestanzotta4004 6 หลายเดือนก่อน +1

    Am blessed

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amen. May GOD Bless You.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @MARION-o2e
    @MARION-o2e หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @BenitoKweya
    @BenitoKweya 5 หลายเดือนก่อน

    Powaaa sana flash yake napata?

  • @RosimeryMchelemi
    @RosimeryMchelemi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @sharifffrank6553
    @sharifffrank6553 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙌

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Roho Mtakatifu azidi kututia nguvu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @valentinemwanzia
    @valentinemwanzia 7 หลายเดือนก่อน +1

    amen

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @benniek8414
    @benniek8414 7 หลายเดือนก่อน +1

    Alleluia..

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @franklineosewe-em2li
    @franklineosewe-em2li 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ni tamu ni tamu akuna kuongeza chumvi

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @ElcieKyakimwa
    @ElcieKyakimwa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Alléluia ❤❤❤

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Amina. Roho Mtakatifu azidi kututia nguvu

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @MathewsJohn-hl1hw
    @MathewsJohn-hl1hw 6 หลายเดือนก่อน +1

    Veni sancte spiritus

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @JenifaMrosso
    @JenifaMrosso 5 หลายเดือนก่อน

    Nimesoma comments nimegudua wengi wanakosea kuandika hili linanza na herufi kubwa Roho Mtakatifu ukiandika herufi ndogo umemaanisha kitu kingine jamani

  • @JastineShayo-le3zb
    @JastineShayo-le3zb 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zinanipa matumain hizi nyimbo

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Asante sana. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @Kato-j5m
    @Kato-j5m 7 หลายเดือนก่อน

    Ukatori udumishwe.

    • @frankhaule8570
      @frankhaule8570 7 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  7 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana. Tuzidi kumuomba atuzidishie na kutujalia IMANI KUU kupitia ROHO MTAKATIFU.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @lydia2696
    @lydia2696 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  8 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe na MUNGU

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @benjaminkyowire1495
    @benjaminkyowire1495 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bonjour

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @PENINAMAGONGO
    @PENINAMAGONGO 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  5 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba ‘subscribe’ chaneli hii, waweza kuwaomba uwapendao wa-subscribe pia. Asante.
      Please subscribe to our channel, share with others, and ask them to subscribe. Thank you.

  • @stellaatukuzwe495
    @stellaatukuzwe495 7 หลายเดือนก่อน +1