Ndugu yangu EBM nisaidie hili, Nikipata Green card, je inanihitaji kuwa na bank statement wakati wa kuomba visa? Pia naweza kuomba green card ya familia?
Hukuna haja hata kidogo ya kuwa na bank statement, Bank statement hua inatumika kwa non immigrant visa. Yes ni vizuri kuomba ya familia coz ukishinda lazima na familia yako ipate haki ya kupewa green card
Asante kwa elimu bro.
Asante kwa Elimu kaka
Mkuu habari...
Nisaidie swali Hili
Kwa mimi niliyesoma post graduate diploma hapa Tz, je naweza kuaply Masters kwa vyuo vya USA?
Asant sana kak kwa elim na ushauli ubalikiwe
Swala la muhim kabisa kuelewa.
Kwangu mm silud tena bongo
Nimejua mengi kupitia hii Chanel
Tupe vtu baba
Nimepata Elimu kubwa sana kupitia wewe
Mimi nikifika uko USA sirudi tena africa mpka kufa kwangu
😂😂😂😂❤