JE, NI KWELI TRUMP ANACHUKIA IMMIGRANTS? 🤔

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @DPW665
    @DPW665 หลายเดือนก่อน +4

    I really appreciate you Makulilo as a great humble and rational thinker. Cheers!!

  • @BimHamdi
    @BimHamdi หลายเดือนก่อน +3

    Vibaya hivyo hupendi wenzako wapate sio wote watakuja kihalali sababu ni ngumu kupata

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe wakati una tu inspire ulikuwa una ngo'ong'a😂😂😂

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 2 หลายเดือนก่อน +2

    EBM hongera sana kwa kutusanua vizuri maana watu wengi wanapelekesha tuu Ila Trump akishinda Cyptocurrency blockchain meaning & Pi network nikula maisha na bataaa tuu hapo

  • @BeatriceMunyua-v2z
    @BeatriceMunyua-v2z 2 หลายเดือนก่อน +1

    We are getting now u did good to educate watu ni lack of understanding good job

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน +10

    Naomba Mungu Trump ashinde ktk jina la Yesu!
    Waafrika tuna ujinga mwingi, kusikiliza maneno ya vijiweni bila kutafiti ukweli,na hatupendi kuambiwa ukweli ,tufuate Sheria tu twende Marekani basi

  • @miriambethuel8892
    @miriambethuel8892 หลายเดือนก่อน

    Very informative

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 หลายเดือนก่อน +1

    Good lesson big

  • @OctovinaMalekia
    @OctovinaMalekia 2 หลายเดือนก่อน

    Dada Asante sana Kwa kutufungua akili mungu azidi kukulinda umesema kweli tufanye research kwanza 🙏

  • @AshaMaria-tx8qm
    @AshaMaria-tx8qm หลายเดือนก่อน +1

    Naomba aTrump ashinde uchaguzi❤❤,Trump oyeeeer🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🤣🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh1788 หลายเดือนก่อน +5

    Mwaka 2016 bada ya Trump kushinda aliweka traveling ban kwa Muslim Countries Tanzania ilikuwepo ktk group pia akuna kungia USA kwa Watanzania, siasa ni game of chess is about winning.

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 หลายเดือนก่อน +2

      Ndugu Tanzania haijawahi kuwepo katika orodha

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 หลายเดือนก่อน

      Ilikuwepo, sababu ya waso.ali toka kenya​@@Expedito2512

  • @kelemakelema3705
    @kelemakelema3705 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu Mungu tunaye muomba nilazima Président wetu 🇺🇸 Trump

  • @ayubujosiah
    @ayubujosiah หลายเดือนก่อน

    EBM hakika Mungu akubariki sana kwa moyo wako wa upendo na mafundisho mengi sahihi ya kutufanya tuingie Marekani kwa kishindo na njia sahihi kabisa

  • @OmmysniperTV3839
    @OmmysniperTV3839 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu mimi ni shabikiyako no 1 kila video yako naifuatilia lakini wewe ni picha inayo angaliwa na wengi Africa kwahio kunavitu unatakiwa usiviongee hadhalani vifanye kimya kimya binafsi mimi nipo ughaibuni kwasasa lakini kupitia video zako so ukimsapoti trump kusema anataka green card itoke kwa maforena wanaoishi marekani tu wanafunzi na walioingia kwa njia zingine wengi itawaumiza samahani bro kama nimekosea nakubari sana💪

  • @simplej1762
    @simplej1762 หลายเดือนก่อน +1

    I love the content please make for us this video in English

  • @shakwanjonies4192
    @shakwanjonies4192 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sana EBM, we should seek for the proper information and that hear say and rumours

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน +1

    😫🤔looo kumbe hilo neno uongo jmn🙄🤣
    Ila watu jmn
    Mungu tusamehe

    • @kleancontent
      @kleancontent 2 หลายเดือนก่อน

      Uyu jamaa apendi waafrica msidanganywe.. . Statistically watu weusi wengi waliuwawa na kuteswa na polisi under trump than any other administration.

  • @Irene65-z2n
    @Irene65-z2n หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @kwizeracedrick-p6u
    @kwizeracedrick-p6u 2 หลายเดือนก่อน

    We're.geting.naw.nanihajuwikama.hom.ist.swety❤❤

  • @sophiehammond77
    @sophiehammond77 หลายเดือนก่อน

    Subscribe guy's

  • @kev_kiarie
    @kev_kiarie 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉

  • @suleimanmbaroukhamad6882
    @suleimanmbaroukhamad6882 หลายเดือนก่อน

    Hivi canada kwann wanachelewesha viza?

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Nenda Saud Arabi Siku mbili tu umeshapata

  • @Rakel-d9v
    @Rakel-d9v หลายเดือนก่อน

    By the way wenye wamesomea huko wako worthy kupewa greencard,

  • @Forester__
    @Forester__ หลายเดือนก่อน +1

    Huku TZ ukionesha facts ivi unapotezwa kbsa aah

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nakuelewa !! Hao wote wana fanana! Kwa ubaguzi, ila Trump anaongelea wazi jinsi gani haitaji watu wa aina fulani,kumbuka alivyo ifungia Tanzania wasingie US,na je umesahau alivyo wazuia Raia wa Marekani wasirudi nchini sababu hawa kuzaliwa us? Huyu mwamba kazidi

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la Trump labda sio mwanasiasa 😁😁😁😁 yaani hajui kuongea kama mwana siasa,Hao wengine wanafahamu namna ya ku sugarcoat

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 2 หลายเดือนก่อน +3

    KAMALA HARRIS 2025 💯 . EBM jifunze kufunga mdomo unaharibia watu bahati zao.Unajifanya mjuaji sana wa kila kitu.

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mashoga na watowa mimba 😂😂😂😂

  • @victoriawanjiku1011
    @victoriawanjiku1011 หลายเดือนก่อน

    EBM pliz nieleze kwamba ukipiga picha ya dvlottery inafaa utumiwe kwa email? ndo iwe digitalize na ukitumiwa kwa wassup

  • @OscarNevele
    @OscarNevele หลายเดือนก่อน +3

    Umefeli ndugu yangu , wewe inabidi utusaidie jinsi gani tutaingia marekani lakini masuala ya siasa sisi ayo ayatuhusu.

  • @gracenbarnes5254
    @gracenbarnes5254 หลายเดือนก่อน

    Baadhi ya wakimbizi hapa marekani wanafanya mambo. Ya hovyo. Hawataki kujifunza lugha, vijana wanatongoza wamarekani, wamexico wanaenda kuwalala hawawaoi pesa yoyote wanachofanya Wanamake wa kimexico na marekani umempala humpi pesa anapiga simu police anasema umembaka vijana wakimbizi wanatupwa jela wakitoka apo wanarudishwa Kongo nk.

  • @MukrimOmar-jr6lq
    @MukrimOmar-jr6lq หลายเดือนก่อน +3

    Akishinda uyo mjinga ndo visa zitazidi kuwa ngumu ni mshenzi sana uyo

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mpumbavu, unataka Visa ya kwenda wapi, kwaani lazima uende America? Unaweza kwenda Saud Arabi au Kuwait nako pia kuna fulsa

    • @MukrimOmar-jr6lq
      @MukrimOmar-jr6lq หลายเดือนก่อน

      @ kila mtu na ndoto yake kaka ww nenda uko Saudia arabia na kuwait unapoona kuna fursa kwa uplande wako

  • @caramamttv
    @caramamttv 2 หลายเดือนก่อน

    Shikamo nauliza ni wapi naweza kupata connect yako ili unisaidie nina mke Pittsburgh na mtoto nataka msada wako ili nikawafikiye

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 2 หลายเดือนก่อน

    Naogopa kucoment Maana nampango wa kuja USA so wasije ninyima VISA kwa kuandika maneno Ya kuegemea upande Wowote Wakati wakifuatilia Email Yangu Ila Tu Nimeelewa Sana.

  • @abukingkima092
    @abukingkima092 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba trump ashinde 😢ila asije tena akatuletea janga jengine kama lile la corona😮

  • @Forester__
    @Forester__ หลายเดือนก่อน +1

    Wew jamaa una akili mno

  • @Mariejo123-g2x
    @Mariejo123-g2x หลายเดือนก่อน

    Trump achukii wahamiaji, anataka kuja marecani kwa proper procedure, ambayo itaisaidia marekani kiuchumi, ukija kialali, utalipia application fees, na utalipia na other charges zitskazo saidi uchumi kupanda. Ukiwa ndani ya America fanya kazi ulice tax, hautakuwa na shida na Trump. Ukija kihalamu hapo ndio shida inaanza na Trump administration.Trump😂 mzuri kwa economy

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

    KWAHIYO HUKO NJIANI UKIPITA UNATEMBEA UNAONESHA WATU VYETI KAMA WEWE UPO REGAL HUKO? Mana mtu akichukia wahamiaji njiani anamchukia yeyote mgeni, anyway kila mtu na akili yake lkn kiufupi mtu anaeongea wageni ni mchochezi

  • @OmmysniperTV3839
    @OmmysniperTV3839 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa wapewe waliosomea huko nasisi ambao hatujasomeahuko na tunataka kuja kwa njia ya green card na hatuna elimu kubwa???

    • @Mzawa12
      @Mzawa12 2 หลายเดือนก่อน

      Uwe na experience ya kazi ya miaka miwili..... Omba hata barua kazini kwako iweke muhuri wa ofisi ionyeshe bosi ameandika kuwa unauzoefu...iwe ya kiingereza

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

    Ki Ukweli wanasiasa wengi ni kama kinyonga

  • @Forester__
    @Forester__ หลายเดือนก่อน

    People vote especially black vote for emotions not facts, mtu akiulizwa why unamchukia DT hana sababu atakuambia ni mbaguzi ukimwambia nioneshe ubaguzi wake hana

  • @davidmwasonya2718
    @davidmwasonya2718 หลายเดือนก่อน

    Bro ndo maana nakuelewa sana,hata mi namkubali sana Donad Trump

  • @rutasitarakyaruzilonginus3673
    @rutasitarakyaruzilonginus3673 หลายเดือนก่อน

    Uchambuzi mzuri kabisa

  • @lucianodeo4103
    @lucianodeo4103 2 หลายเดือนก่อน

    safi sana

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekusoma kaka uko sawa kila mtu anae wapke mwenye amempigia kula from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo หลายเดือนก่อน

    mimi niko finland niko napenda nije.marekani nitafanya anje

  • @jonstarofficial
    @jonstarofficial หลายเดือนก่อน

    Umeongea Facts tupu

  • @PembaOnline
    @PembaOnline หลายเดือนก่อน

    Channel yangu ina grow slow mno😢

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 หลายเดือนก่อน

    Trump amebeba kitu cha Mungu ndio maana vita yake ni kubwa..hao wengine ni wasbudu shetani wanapendwa na wasbudu shetani wenzao...na ndio wanaotawala ulimwengu

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin หลายเดือนก่อน

    Sasa inamuhusu nani

  • @rabisonchrizestomu1810
    @rabisonchrizestomu1810 หลายเดือนก่อน

    Unajua immigration ina effect Gani katika uchumi. Utashindanage na nchi kama China ukiwa na idadi ndogo ya watu. Population matters

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz หลายเดือนก่อน

    I am from Zanzibar and I voted for Trump

  • @rabisonchrizestomu1810
    @rabisonchrizestomu1810 หลายเดือนก่อน

    Reproductive right matter, health care, Medicare

  • @nick9967
    @nick9967 หลายเดือนก่อน

    Mama ndiye rais let this guy keep yapping he will be embarrassed when she gets it

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nina Imani na Trump na Republican yake. Hao #Democratic na #NATO ya kipindicha Obama walimuua #Gadaffi. Siwapendi kabisa hao kwanza chama chao kinachochea vita Duniani.

  • @kamanda007
    @kamanda007 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu fala kapata kikaratasi chake kwa ndoa fake, leo anaita wengine illegal immigrants, Trump is bad for immigration na wasio wazungu kama huelewi pole

  • @Salisalum
    @Salisalum หลายเดือนก่อน

    Siyo democratic party hamna chama cha nama hiyo, kuna chama cha Democrat.

  • @BirihoJunior
    @BirihoJunior 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nanikuulize ma refugees nawo wakokinyume na sheriya?mbona Kambini watuhawatoki wakati Trump alikuwa madarakani ila atakama unamupenda naye anamazaifu na anawubaguzi sematu unamupenda alakini nakumbuka gisi watu waliganda mumakambi wakatiyake watu hawakusafiri nawashakuwa na program yani Mugu asaidiye asipite uyo Mimi namuunga mkono Kamara Harrisi

    • @Mzawa12
      @Mzawa12 2 หลายเดือนก่อน

      Hao wakimbizi waliendaje huko marekani kihalali au kwa kuzamia?? Kama kuzamia NI haramu hata kama ni wakimbizi .... Halafu hapa kinacho angaliwa Nani ana unafuu.... trump akiwa madarakani vita vya hovyo Duniani hakuna hasapoti wakiingua hao wengine kila wanapoingia wao ndo wanasapoti vita na kuingilia nchi za Afrika kwa kiasi kikubwa......wafanya biashara wengi hata waafrika waliopo huko wanataka trump

    • @BirihoJunior
      @BirihoJunior หลายเดือนก่อน

      Seyo kuziya wanaendaka kupitiya ressentlement ila akiwa madarakani anafungakilakitu​@@Mzawa12

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli asizungumzie kuhusu habari za uhamiaji tu aseme pia kuhusu hizo za abortion anazosema Trump, je ni halaliiiii Jameni

  • @ABDISHAKURMANDA-qv2sz
    @ABDISHAKURMANDA-qv2sz หลายเดือนก่อน

    Na uliza , Sisi wakimbizi uwa tuna ingiya marekani kisheria, je hata kama trump ana pita wata endelea kutu chukua ili tu ingiye marekani ?

    • @healthcare433
      @healthcare433 หลายเดือนก่อน

      Wakimbizi kuingia hapa marekani Ni umoja wa mataifa tayali imefanya makubaliano na nchi zote Kwa hio wataendelea kuingia kikawaida.wengi ninaojua waliingia kipindi cha trump

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Omba Saud Arabi au Kuwait

  • @navokisembo
    @navokisembo หลายเดือนก่อน +1

    Trump hataki wahamiaji kabisaaa kaka acha kupitisha

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin หลายเดือนก่อน

      Wewe kama bendela ufwata upepo

    • @mighandampinguhi7584
      @mighandampinguhi7584 หลายเดือนก่อน

      Sio kwamba trump hataki uhamiaji hataki illegal immigrants yaani wale wanaoingia njia za panya

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 หลายเดือนก่อน

    Tatizo watu hawajui Lugha ya kiinglish utawasikia yuno yuno hawana lolote

  • @javugwi
    @javugwi หลายเดือนก่อน +1

    POLENI WADAU WA TRUMP..... UKWELI NI TRUMP ATAENDA NYUMBANI. TRUMP HATAKI IMMIGRANTS WHETHER LEGAL OR ILLEGAL

  • @nick9967
    @nick9967 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bure.Sitazami video zako tena

  • @Salisalum
    @Salisalum หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo mzee unapiga kampeni?

  • @alexfrank5342
    @alexfrank5342 2 หลายเดือนก่อน

    I Love president trump

  • @rosiehayatta2619
    @rosiehayatta2619 หลายเดือนก่อน

    Mhh wewe muha angalia elections za nyumbani huko wewe utakuwa ni mgeni tu sababu hukuzaliwa huko umeenda mtu mzima. Acha wazawa waongee

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

    By the way wako sahihi kulinda nchi yao!
    Wakiacha kabisa si itakua balaa jmn tuwe wakweli.
    Haya nyie kwenye nchi zenu hamfanyi hayo? Wahamiaji haramu , etc
    Trump 🎉🎉🎉

  • @abdallahnassor2945
    @abdallahnassor2945 2 หลายเดือนก่อน

    Trump atashinda Inshaallah

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 หลายเดือนก่อน

    Blacks sisi ni wajinga na tunaendeshwa na mihemko...na ushabiki

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 หลายเดือนก่อน

    Trump hapendi wahamiaji haramu

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Watu tunajitoa ufahamu

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

      Sasa utatembea njiani unajisema wewe upo huko halali? Huoni Kama ni hatari watu watauawa bila kosa? Anyway

  • @reginas1832
    @reginas1832 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani umefafanua vizuri sana. TRUMP FOR PRESIDENT 2025

  • @rutasitarakyaruzilonginus3673
    @rutasitarakyaruzilonginus3673 หลายเดือนก่อน

    Uchambuzi mzuri kabisa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน +1

    By the way wako sahihi kulinda nchi yao!
    Wakiacha kabisa si itakua balaa jmn tuwe wakweli.
    Haya nyie kwenye nchi zenu hamfanyi hayo? Wahamiaji haramu , etc
    Trump 🎉🎉🎉

    • @albertmatunda5387
      @albertmatunda5387 2 หลายเดือนก่อน

      Shida si uhamiaji haramu ,Trump hana experience.Alianguka kibiashara na ataka kuangusha nchi.