NI NOMA: MAKONDA AWATOA KIJASHO VIGOGO WA SERIKALI; AITWA MKOMBOZI WA ULIMWENGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • NI NOMA: MAKONDA AWATOA KIJASHO VIGOGO WA SERIKALI; AITWA MKOMBOZI WA ULIMWENGU
    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Paul Mkonda amefanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero za Wananchi Mkoani humo; ambapo aliwaita viongozi na kutoa majibu mbele ya kero hizo mbele ya Wananchi hatua ambayo imepelekea mmoja wa Wananchi kumuita Mkombozi wa walimwengu..

ความคิดเห็น • 21

  • @danielmakundi7612
    @danielmakundi7612 3 หลายเดือนก่อน +2

    Zaburi 74:20-21
    20 Ulitafakari agano; Maana mahali penye giza katika nchi Pamejaa makao ya ukatili. 21 Aliyeonewa asirejee ametiwa haya, Mnyonge na mhitaji na walisifu jina lako.
    Hongera sana Mheshimiwa Paul Makonda kwa kusimamia haki za wanyonge na wanaokandamizwa.

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 3 หลายเดือนก่อน +3

    Haya maneno ya mwisho ya huyu mama yana ngumvu in the spirit

  • @songeza
    @songeza 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mungu akulinde na hakuna atakae kugusa una hski zote nasema hivi magufuli huko anakuombea

  • @papysadiki5947
    @papysadiki5947 3 หลายเดือนก่อน +2

    Twende Arusha tukaone ekima ya salemani ndani ya makonda

  • @HellenSulle-m7t
    @HellenSulle-m7t 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ndo nchi yetu watu wanajali tu matumbo Yao sijui huko juu Mungu wanaenda kumwambia nini

  • @NassibuMfinanga
    @NassibuMfinanga 3 หลายเดือนก่อน +5

    Dk rais samia suluhu hassani nakuomba umlete Paulo c makonda mkoa Kilimanjaro awe MKUU wetu wa mkoa Kilimanjaro huyo ni komredi na ni kamanda

  • @MohamediKapilima
    @MohamediKapilima 3 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana mheshimiwa makonda😊😊😅😊

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 หลายเดือนก่อน +2

    Blaza makondo ww n mtu na nusu ukitaka kugombe urais hata kesho unachukuw nchi

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani makonda Aje morogoro

  • @shukulanihaonga8218
    @shukulanihaonga8218 3 หลายเดือนก่อน

    Samia tunaomba umteue na all happy naye yupo vzuli wakiwashe

  • @AlanusGerodi-mo3dm
    @AlanusGerodi-mo3dm 3 หลายเดือนก่อน

    Tunakuombea maisha marefu

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli ccm inazurum watu kwani makonda chamagani? Ccm mtakiota kwamakonda dawa yeni inachemka

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi Nauliza hawa Viongozi mbona hawafanyi kazi ipasavyvo yaani unashinda kesi alafu unakuwa kama umeshindwa yaani kama Mandonga Nikipigwa kama Nimepiga tunaelekea Wapi Jamani

  • @NassibuMfinanga
    @NassibuMfinanga 3 หลายเดือนก่อน

    MAKONDA ni jembe MUNGU akulinde na akupe maisha marefu

  • @eliamanimfinanga3957
    @eliamanimfinanga3957 3 หลายเดือนก่อน

    Duu

  • @MalandoJames
    @MalandoJames 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda hiyo no arusha pekee, je? Tanzania nzima pakoje? Matajiri wananyanyasa sana masikini aise? Yaani hii nchi inahitaji kinamakonda wengi sana.

  • @jalinachilala8465
    @jalinachilala8465 3 หลายเดือนก่อน

    Kama alikutumia txt kua anaenda hospital kwanini umemuita?

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anafaa kuwa jaji

  • @LilianKisumbi
    @LilianKisumbi 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera mkuu makonda